MORAVIAN CHURCH KINONDONI
MORAVIAN CHURCH KINONDONI
  • 24
  • 36 888

Відео

KARAMU YA BWANA OFFICIAL RELEASE UMOJA WA WANAWAKE KINONDONI
Переглядів 224Рік тому
FOR MORE INFORMATION PLEASE. CALL CHRISTINA MBONLE - 255 784 600 324, FLORAH MWAIPAJA - 255 714 750 233 SARA MBONILE - 255 754 473 223 MARION MSEMAKWELI - 255 786 464 086 KWA PAMOJA TUTAIENEZA NJILI
PIGENI KELELE OFFICIAL RELEASE UMOJA WA WANAWAKE USHIRIKA WA KINONDONI
Переглядів 674Рік тому
FOR MORE INFORMATION PLEASE. CALL CHRISTINA MBONLE - 255 784 600 324 FLORAH MWAIPAJA - 255 714 750 233 SARA MBONILE - 255 754 473 223 MARION MSEMAKWELI - 255 786 464 086 KWA PAMOJA TUTAIENEZA NJILI
WANAWAKE USHIRIKA WA KINONDONI WALIVYONOGESHA UZINDUZI WA "PIGENI KELELE"
Переглядів 156Рік тому
Hivi ndivyo waimbaji wa Umoja wa wanawake Ushirika wa Kinondoni walivyoshiriki katika uzinduzi wa albabu yao iitwayo Pigeni kelele hakika tulimuona bwana Yesu akituhudumia
MAISHA YAKO NI MBEGU, ISHI MAISHA YAKO YA UJANA KAMA MBEGU - MARTHA NGOMUO
Переглядів 932 роки тому
Mtumishi wa Mungu Martha Ngomuo kutoka katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Ushirika wa Chamazi akifundisha neno kwenye Ibada ya sikukuu ya Umojja wa vijana Kanisa la Moravian Jimbo la Mashariki, Ushirika wa Kinondoni
HATUMSHINDI SHETANI KWA MAOMBI YASIYOKUWA NA NENO, TUNAMSHINDA KWA MAOMBI YENYE NENO - MARTHA NGOMUO
Переглядів 942 роки тому
Mtumishi wa Mungu Martha Ngomuo kutoka katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Ushirika wa Chamazi akifundisha neno kwenye Ibada ya sikukuu ya Umojja wa vijana Kanisa la Moravian Jimbo la Mashariki, Ushirika wa Kinondoni
TASWIRA YA MAISHA YAKO YA SASA NI MAJIBU YA MAISHA YAKO YA KESHO - MARTHA NGOMUO
Переглядів 262 роки тому
Mtumishi wa Mungu Martha Ngomuo kutoka katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Ushirika wa Chamazi akifundisha neno kwenye Ibada ya sikukuu ya Umojja wa vijana Kanisa la Moravian Jimbo la Mashariki, Ushirika wa Kinondoni
ACHENI KUKIMBIZANA NA WAKATI, UKOMBOENI WAKATI, MTUMISHI WA MUNGU PETER MLOPE
Переглядів 1125 років тому
Sikiliza hii ili uweze kukua kiroho, hapa ni Mtumishi wa Mungu Peter Mrope alipofundisha kuhusu kuukomboa wakati. ukiipenda usiache kusubscribe kwenye ukurasa wetu
TULIVYOIMBA WIMBO WA TULIO WAZIMA NA MAREHEMU HAPPY MWAMBOLA
Переглядів 3,8 тис.6 років тому
Kwa heri Happy Mwambola Mwampashi, kwa heri furaha, Mungu wetu wa mbinguni tunayemuamini ailaze roho yako mahali pema peponi, hekima kwaya tutaendelea kukukumbuka daima. Mungu awabariki wote mlioungana nasi katika hali, mali na maombi na hatimaye tumefanikisha zoezi hili la kumuhifadhi mwenzetu katika nyumba yake ya milele mbarikiwe sana
INGIA ZIZINI NA HEKIMA KWAYA KINONDONI
Переглядів 2,5 тис.7 років тому
SAUTI HAIKO POA SANA
HEKIMA KWAYA WALIPOMUABUDU MUNGU UHURU MORAVIAN
Переглядів 8887 років тому
Cheki hii ya Hekima Kwaya uone jinsi walivyomuabudu Mungu katika Kanisa la Moravian Ushirika wa Uhuru, Hakika Mungu alitukuzwa na kuabudiwa
LIVE UHURU MORAVIAN: EEE NAFSI YANGU MUHIMIDI BWANA
Переглядів 1,7 тис.7 років тому
Waimbaji wa hekima kwaya wakiwa live kwenye stage katika kanisa la moravian ushirika wa uhuru, hakika tulimuona Mungu
Karibu sana katika Semina hai ili ukue kiroho
Переглядів 807 років тому
Karibu sana katika Semina hai ili ukue kiroho
Somo la Uwakili lililofundishwa na mtumishi Martha Shitindi
Переглядів 1,8 тис.7 років тому
Msikilize hapa mtumishi wa Mungu Martha Shitindi alivyofundisha somo la uwakili katika kanisa la Moravian Ushirika wa Kinondoni
Hivi ndivyo hekima kwaya tulivyofanya yetu sikukuu ya Krismass
Переглядів 1,4 тис.8 років тому
Tunamshukuru sana Mungu wetu aiye hai, tumemaliza salama sikukuu ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo hapa kanisani kwetu Ushirika wa Kinondoni, ashukuriwe Mungu aliyetufikisha
Efatha wakifanya mambo yao hukoooo juu
Переглядів 4288 років тому
Efatha wakifanya mambo yao hukoooo juu
Efatha na maajabu yao uwanja wa Sokoine Mbeya
Переглядів 6378 років тому
Efatha na maajabu yao uwanja wa Sokoine Mbeya
HEKIMA CHOIR: Vita hii yatoka wapi
Переглядів 3,6 тис.8 років тому
HEKIMA CHOIR: Vita hii yatoka wapi
HEKIMA CHOIR: Nikikumbuka msalabani
Переглядів 1,8 тис.8 років тому
HEKIMA CHOIR: Nikikumbuka msalabani
HEKIMA CHOIR: Dunia
Переглядів 1,3 тис.8 років тому
HEKIMA CHOIR: Dunia
HEKIMA CHOIR: Tulio Wazima wote
Переглядів 4,3 тис.8 років тому
HEKIMA CHOIR: Tulio Wazima wote
HEKIMA CHOIR: Twaja Mbele Zako
Переглядів 6 тис.8 років тому
HEKIMA CHOIR: Twaja Mbele Zako
HEKIMA CHOIR: Mimi Ndimi Mzabibu
Переглядів 3,6 тис.8 років тому
HEKIMA CHOIR: Mimi Ndimi Mzabibu
hekima kwaya na siku ya miaka 50 ya Uhuru
Переглядів 7888 років тому
hekima kwaya na siku ya miaka 50 ya Uhuru

КОМЕНТАРІ

  • @faithshisia7615
    @faithshisia7615 Рік тому

    I love this choir so much...nabarikiwa sana Asante

  • @JudithMathias-f9j
    @JudithMathias-f9j Рік тому

    Nakushukuru mungu Kwa uhai 🙏🙏

  • @emmanuelmwamkinga7431
    @emmanuelmwamkinga7431 Рік тому

    hakika tumshukuru Mungu kwa neema hii.Nyimbo hii inanikumbusha marehemu mama yangu, sipo nae mwaka wa 3 sasa . Pain without Her incredible

  • @timilayedward
    @timilayedward Рік тому

    Bwana awabariki

  • @silaskirui1884
    @silaskirui1884 2 роки тому

    🙏

  • @ramabela9813
    @ramabela9813 4 роки тому

    Imis u kinondoni jmn mm mwanakwaya mwenzenu

    • @adammwakapesa7619
      @adammwakapesa7619 Рік тому

      Mungu awabariki sana hekima kwaya kwa huduma njema, hakika mnaimba vizuri sana

  • @richardmwansile5989
    @richardmwansile5989 4 роки тому

    Mungu awabariki sana , huduma yenu ibarikiwe .

  • @obadiamartin116
    @obadiamartin116 4 роки тому

    Poleni sana Mungu aendelee kuwafariji nae alikuwa mwanakwaya wa Hekima

  • @precioustanttiana5036
    @precioustanttiana5036 4 роки тому

    Wimbo mzuri sana dunia iko hekaheka wacha Mungu ndio peke wataiponya dunia

  • @godwinskimtai
    @godwinskimtai 6 років тому

    blessed

  • @annangalawadr22
    @annangalawadr22 6 років тому

    RIP mwanangu Pole sana Mbope

  • @nurungangise9802
    @nurungangise9802 6 років тому

    Nyimbo hii hunikumbusha mbari sana hakika kilakitu kinapita hapa duniani😭😭😭

  • @emilyfwamba4144
    @emilyfwamba4144 6 років тому

    I luv your song. Barikiwa sana kwa kazi nzuri.

  • @hadijasalum1654
    @hadijasalum1654 6 років тому

    R.I.P dada angu kipenzi,nakukumbuka sanaa

  • @desynerzemimi4652
    @desynerzemimi4652 6 років тому

    Am blessed with this song

  • @desynerzemimi4652
    @desynerzemimi4652 6 років тому

    Namuonaa dada happy na red clothes kw a mbali

  • @desynerzemimi4652
    @desynerzemimi4652 7 років тому

    Pumzikaa kwa amani kipenzi changu nilikupenda jasiri wangu mwenye kunipa ujasiri

  • @tukulambamwaibanjemwaibanj1791
    @tukulambamwaibanjemwaibanj1791 7 років тому

    safi sana wana hekima wote tuingie zizini mwa Bwana Mungu awabariki sana kwa kazi Nzuri nawapenda ktk bwana mzidi kufanya kazi ya Bwana pasipo mawaa

  • @barakamapasa2947
    @barakamapasa2947 8 років тому

    Safi sana Hekima kwaya tv online,ila jitahidini kuwa unapata video nzuri hii si nzuri sana. barikiwa