- 17
- 72 201
Mwaki Piano
Приєднався 18 сер 2019
Karibu katika kituo changu cha UA-cam. Lengo ni kufundisha kinanda kwa njia rahisi ili kuwasaidia waliokua na ndoto ya muziki hasa uchezaji wa kinanda, ili kuweza kupata ujuzi na kujiajiri wenyewe, kubadilisha mtazamo wa Playback na kuweza kufanya mziki wa live, Hatimae kuweza kulikabili vilivyo soko la muziki.
mwaki piano season 2 Somo la 7 jifunze muziki wa mwambao
mwaki piano season 2 Somo la 7 jifunze muziki wa mwambao
Переглядів: 406
Відео
mwaki piano seoson 2 somo 6 piano na muziki wa asili ya kigogo
Переглядів 3592 роки тому
mwaki piano seoson 2 somo 6 piano na muziki wa asili ya kigogo
mwaki piano seoson 2 Somo la tano ni sebene kirahisi
Переглядів 6332 роки тому
mwaki piano seoson 2 Somo la tano ni sebene kirahisi
Mwaki piano seoson 2 Somo la 4 jifunze mtindo wa Rhumba kwa njia rahisi
Переглядів 6532 роки тому
Mwaki piano seoson 2 Somo la 4 jifunze mtindo wa Rhumba kwa njia rahisi
Mwaki piano seoson 2 Somo la 3 zouk jifunze kupiga rythim na Bass kirahisi
Переглядів 8792 роки тому
Mwaki piano seoson 2 Somo la 3 zouk jifunze kupiga rythim na Bass kirahisi
Mwaki piano season 2 Somo la 2 jifunze kupiga mtindo wa zouk kirahisi kabisa
Переглядів 1,1 тис.2 роки тому
Mwaki piano season 2 Somo la 2 jifunze kupiga mtindo wa zouk kirahisi kabisa
Mwaki piano seoson 2 Somo la 1 jifunze jinsi ya kuhama funguo kirahisi
Переглядів 1,1 тис.2 роки тому
Mwaki piano seoson 2 Somo la 1 jifunze jinsi ya kuhama funguo kirahisi
jinsi ya kupiga melody na chord somo la 8
Переглядів 11 тис.4 роки тому
jinsi ya kupiga melody na chord somo la 8
Chord inversion 7 (mishiko ya kodi)
Переглядів 4,7 тис.4 роки тому
Chord inversion 7 (mishiko ya kodi)
Mahusiano ya Chords ( relative chords )5
Переглядів 10 тис.4 роки тому
Mahusiano ya Chords ( relative chords )5
Mwaki Piano - Jifunze jinsi ya kupiga Scale sehemu ya kwanza 2
Переглядів 17 тис.4 роки тому
Mwaki Piano - Jifunze jinsi ya kupiga Scale sehemu ya kwanza 2
Mwaki Piano - Jinsi ya kujifunza kinanda sehemu ya kwanza 1
Переглядів 8 тис.4 роки тому
Mwaki Piano - Jinsi ya kujifunza kinanda sehemu ya kwanza 1
Unapatikana kwa nmba ipi kaka
Mungu akubariki nimelifurahia sana somo nitalizingatia
Teacher nakukubali san
Good
Kaka mungu akubariki
Safi. Sema wimbo ukiwa mmoja na zikwa nyingi ndio nyimbo. Asante mwaki
bro nakupataje na shida ya scale pamoja cod
Vzr mkuu
Mr. Mwaki you are very clear.
Wazo zuri kaka
Nimekupata vzr kaka
Bro unajua kufundishaa tukupe maua tu
Excellent !
Ubarikiwe sana kwa mfunzo yako mszuri
Shukrani mkuu najifunza
Asante 🙏
Vzr mkuu asante
Nifunze jinsi ya kupiga solo melody
Nichek Whatsapp 0716887915
Nice idear 100%✓
Vip kwawale abawo awahishi Tanzania
Kwa sasa Tanzania kwanza
Please towa video nyingi kuhusu kinada
Tumekaribia kaka
Zuri sana
Je Kama c ndo funguo mama na G clef na f clef ni Aina gani za ufunguo
Nitafute Whatsapp nikuelekeze zaidi
,0716887915
Asante sana mwalimu somo zuri sana
Nainjoy sana kaka vipindi vyako barikiwa sana
Mwalimu Mungu akubariki yani napiga vizuri kwa kufwata kanuni japo vidole bado vizito ila nakazia mazoezi asante sana 🙏🏆💪
0716887915 nitafute nikuunge kwenye group
🙏🏾❤️🙏🏾
uko poa kaka nakufatilia
Sawaa
Well kaka kipind kifup lakn kinaeleweka nakubali sanaaa
Amazing
Mwalimu SAUTI IKO chini
🔥🔥
Unakipaji Kaka kak
Uko vzuri sana
Upo vzr sana Mpendwa
Asante sana Somo liko poa
asante sana nalifanyia kazi
asante mwalimu
Kaka Mwaki sauti yako iko chini
Asante Leonard nitalifanyia kazi shukrani sana
Safi sn ticha iko good sn tuk pmj sn nassir apa
Good sn ticha emma uko juu sn
Good Master
🙌my best pianist all the time
Kazi safi
Woohh nice broo
🔥🔥🔥
Thank you Teacher
Kazi njema sana ndugu yangu, tupe tupe darasa 👏