- 900
- 183 629
Nyanza Online Tv
Tanzania
Приєднався 8 кві 2019
DEALS IN : NEWS ,DOCUMENTARY, VISUAL EDITING & GRAPHICS.TV & RDADIO PROGRAM.PHOTOGRAPHY E,TC
LISSU TUNAINGIA UCHAGUZI TUKIWA PUNGUFU, 'NENDENI MKAWAPIGIE KURA WAGOMBEA WETU'
Hakikisha una Share kqa Marafiki, Kumbuka Kushiriki katika Uchaguzi ili Kupata Viongozi watakao Tuongoza kwa Miaka mitano ijayo.
Переглядів: 0
Відео
LIVE: KONGAMANO LA WANAWAKE EAGT MAJIMBO YA MASHARIKI ZIWA VICTORIA MWANZA.
Переглядів 715 годин тому
Hakikisha UnaHsare kwa ndugu na Marafiki ili kushiriki Mbaraka huu kupitia Mkutano huu.
SIMBA NA PAMBA LENGO NI ALAMA TATU Semaji la CAF KIKOSI KIPO TAYARI.
Переглядів 192 години тому
Hakikisha unaendelea Kutembelea Kurasa zetu kwa habari mbalimbali.
TAASISI YA NYOTA DRIVING YAHIMIZA VIJANA KUJIFUNZA ILI KUKABILIANA NA SOKO LA AJIRA.
Переглядів 124 години тому
Endelea kutembelea Channeli yetu kwa Habari mbalimbali.
VUNJA UKIMYA YAZINDULIWA SAUT KAMPENI YENYE LENGO YA KUPIGA VITA VYA UKATILI KATIKA VYUO.
Переглядів 67 годин тому
Endelea kutembelea Channeli yetu kwa Habari mbalimbali.
IMANI ZA KUPITILIZA, MAJI YA UPAKO HATA NDOTO BINAFSI UNAWAELEZA WAUMINI.
Переглядів 12612 годин тому
Endelea kutemebea Channeli yetu kwa Habari mbalimbali.
Fr. SANGA: WATUMISHI TUMEKOSA THAMANI KATIKA KWA KUHUBIRI MAMBO BINAFSI KATIKA NYUMBA ZA IBADA.
Переглядів 10419 годин тому
Endelea kutembelea AChanneli yetu kwa Habari Mbalimbali. Kumbukua kuendelea kutembelea kurasa zetu na Kushare kwa ndugu na Marafiki.
KANISA LA MENNONITE NA MPANGO WA KUWASHIRIKISHA VIJANA.
Переглядів 15День тому
Hakikisha una Share babari zetu kwa Marafiki. Na kama huja subcribe katika Channeli yetu fanya hivyo.
Big Sunday: MENNONITE CHURCH, MZEE MAHILI KWENYE KUCHEZA NYIMBO ZA KWAYA.
Переглядів 67День тому
Endelea kutembelea Channeli yetu kwa Habari mbalimbali.
UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA BUCHOSA KUTEMBEA KIFUA MBELE NA UTEKELEZAJI WA MIRADI.
Переглядів 10День тому
Endelea kutembelea Channeli yetu kwa habari mbalimbali
MAELEKEZO ASASI ZA KIRAIA KUFANYA KAZI KATIKA MAENEO YA PEMBEZONI.
Переглядів 714 днів тому
Endelea kutembelea katika Channeli yetu kwa Habari mbalimbali.
BUTL YAFUNGUA SHELLY IKIWAHAKIKISHIA WAKAZI WA MWANZA HUDUMA ZILIZOTUKUKA
Переглядів 6521 день тому
Kwa Habari na Matukio Endelea Kutembelea Kurasa zetu.
ASKOFU EAGT BROWN MWAKIPESILE NA UJUMBE ZIARANI MWANZA.
Переглядів 2121 день тому
Endelea Kutembelea Channeli yetu kwa Habari mbalimbali
MALEZI NA OMBWE KATIKA FAMILIA KULEA WATOTO KIMAYAI MAYAI.
Переглядів 4121 день тому
Share, Comment na Endelea Kutembelea Channeli yetu kwa Habari mbalimbali.
SIKILIZA UTETEZI WA MTUHUMIWA WA MBEGU FEKI MBELE YA DC.
Переглядів 9621 день тому
Kwa Habari na Matukio toka Maeneo mbalimbali Endelea kutembelea Channeli kwa habari mbalimbli na Matukio.
MPANGO WA MEMKWA KURUDISHA MATUMAINI KWA WATOTO WALIKOSA FURSA.
Переглядів 1521 день тому
MPANGO WA MEMKWA KURUDISHA MATUMAINI KWA WATOTO WALIKOSA FURSA.
SHEHENA YA MBEGU MAHINDI FEKI YAKAMATWA DC NASARI ATOA NENO.
Переглядів 1,7 тис.28 днів тому
SHEHENA YA MBEGU MAHINDI FEKI YAKAMATWA DC NASARI ATOA NENO.
JESHI LA POLISI LATAJA WALIOPATA AJALI HUKU LIKIMSAKA DEREVA WA BASI LA ASANTE RABI.
Переглядів 714Місяць тому
JESHI LA POLISI LATAJA WALIOPATA AJALI HUKU LIKIMSAKA DEREVA WA BASI LA ASANTE RABI.
AJALI ILIYOHUSISHA MABASI YA ABIRIA, RPC MWANZA ADHIBITISHA.
Переглядів 1,2 тис.Місяць тому
AJALI ILIYOHUSISHA MABASI YA ABIRIA, RPC MWANZA ADHIBITISHA.
MAJIKO RAFIKI KWA MAZINGIRA YAGAWIWA KWA WAJASILIAMALI MWANZA.
Переглядів 118Місяць тому
MAJIKO RAFIKI KWA MAZINGIRA YAGAWIWA KWA WAJASILIAMALI MWANZA.
MBINU YA UPANDAJI MAHARAGE INAVYOKOA MUDA NA RASLIMALI KWA MKULIMA Bi Astelia.
Переглядів 12Місяць тому
MBINU YA UPANDAJI MAHARAGE INAVYOKOA MUDA NA RASLIMALI KWA MKULIMA Bi Astelia.
Big Sunday:YESU AMETUNDEA, KKKT BUHONGWA, MWANZA.
Переглядів 35Місяць тому
Big Sunday:YESU AMETUNDEA, KKKT BUHONGWA, MWANZA.
UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA KIONGOZI WA JUMUIYA WAFANYABISHARA ATOA NENO.
Переглядів 16Місяць тому
UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA KIONGOZI WA JUMUIYA WAFANYABISHARA ATOA NENO.
BIg Sunday: KKKT Ibada ya Shukrani. NAKUIMBIA MUNGU WANGU ULIYE NIKOMBOA.
Переглядів 95Місяць тому
BIg Sunday: KKKT Ibada ya Shukrani. NAKUIMBIA MUNGU WANGU ULIYE NIKOMBOA.
KKKT IDARA YA WANAWAKE WAFANYA IBADA YA SHUKRANI JIJINI MWANZA.
Переглядів 14Місяць тому
KKKT IDARA YA WANAWAKE WAFANYA IBADA YA SHUKRANI JIJINI MWANZA.
FURAHA YA WAKAZI WALIOKOSA HUDUMA ZA AFYA WILAYA BUTIAMA.
Переглядів 117Місяць тому
FURAHA YA WAKAZI WALIOKOSA HUDUMA ZA AFYA WILAYA BUTIAMA.
RAIS SAMIA AWA NURU KWA WAKAZI WA KADASHI FURSA KWA VIJANA ZATAJWA.
Переглядів 29Місяць тому
RAIS SAMIA AWA NURU KWA WAKAZI WA KADASHI FURSA KWA VIJANA ZATAJWA.
MAHUBIRI YA HOMECOMING YALETA FARAJA KIJIJI CHA NYABEHU, BUNDA.
Переглядів 11Місяць тому
MAHUBIRI YA HOMECOMING YALETA FARAJA KIJIJI CHA NYABEHU, BUNDA.
TAKUKURU,ASASI ZA KIRAIA MKOA WA MWANZA WAJA NA MIKAKATI JUU YA ELIMU MASWALA YA RUSHWA.
Переглядів 162 місяці тому
TAKUKURU,ASASI ZA KIRAIA MKOA WA MWANZA WAJA NA MIKAKATI JUU YA ELIMU MASWALA YA RUSHWA.
WAZAZI WASISITIZWA KUPINGA MILA KANDAMIZI ZINAZOCHOCHEA NDOA ZA UTOTONI
Переглядів 152 місяці тому
WAZAZI WASISITIZWA KUPINGA MILA KANDAMIZI ZINAZOCHOCHEA NDOA ZA UTOTONI
❤
Madeko
Inatia moyo. Barikiwa.
Uhujumu uchumi mkubwa kabisaaaaa, nikunyongwa tu hao nyang'au
Hilo limenikuta msimu 2023 2024. Nilinunuabegu ya ufuta ambao haukuota kabisaaa, na Mbegu za Mahindi kwa hali hiyohiyo inarangi , Lakini baada ya kufungua nilikuta uchafu wa magunzi.
Jaman, jaman mbegu tununue wapi?
Mmmm hata mimi nimeinunua
Pole sana
Jaman serikali irudishe visibiti mwendo ili kupunguza ajali barabaran
😢
Mungu awarehemu
hii wakerewe siyo ngoma yetu ya asili- tuliiga tu mahali
Nakupata Mkuu
Hongeren
Naombafomla ya kuchanganya molases namajab
Mwanza hm
Syo Mv Nyehunge ni Mv mgendi meli ya kutana
Mr manguruwe
Manguruwe huyo
🎉🎉🎉nyumbani nimepakumbuka sana
Your are on fire
uyu mama ashafel akuna cha maana kwa wananchi wake
NAOMBA MKOPO
NAOMBA MKOPO
Jambo zuri ni Kwa eneo Moja tu watu wavimbe mna mbunge wao , Sasa wale wanaenda mbeya kufanya fujo
Shida ni kuwa hujafanya kitu hapo wanaona kama huna cha maana
Povu la nn si muondoke ccm na kuja chadema
Faida ya nani tumekuchoka
Lione kwanza linaongea kama MBUMBUMBU
Nyie uwaneni tu😂😂
Makulatur asichaguliwe tena
Huyu anatupigia Kelele tu Chama Cha Mambuzi nyie miaka 63 mpaka Leo hakuna Maendeleo
Wapi ww hao wstendaji umekuja nao leo miaka yote ulikuwa wapi hahahaha na miwan yako
Watu wameichoka ccm acheni ujingaaaaaa
Safi kabisaaa na bado mjasema
Hii
Ukiuwa upinzani wa nje unazalisha upinzani wa ndani
VIJANA OYEEEEEEEEEEEEEEE
Mbona mnaanza kulana wenyewe sasa😮
Gen- Tz
Dhambi zenu ccm zitawatafuna hd msambaratike . Mwisho wa ccm umefika. Huu ni wkt CHADEMA kushika DOLA kwani wananchi wamechoshwa na VIONGOZI wezi na wababaishaji wa ccm. VIONGOZI msio dira wananchi wamewachoka
Sasa vijana wameanza kujitambua
Diwani kumbe ananguvu sana kuvuruga mkutano😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
Very good indeed. It is a fight among dogs. Sisi wananchi tunangojea kwa hamu kubwa kifo cha CCM na hakika kimekaribia. Mungu aitwe Mungu na hata siku moja hadhihakiwi!
Wabunge waliopita kwa kubebwa safari hii hakuna mbeleko wa kuwabebea, kazi imeanza, na bado!!
Wajinga nyie
Mliupata kwa dhuluma sasa asante magufuli matunda yake mtayaona mlipewa ubunge wa laana
Hakuna laana yoyote mshahara wao milioni 17 kwa mwezi posho yakikao laki Tatu, mfuko wa jimbo milioni 30 kwa mwezi , anakopa zaidi ya milioni 500 kwa miaka mitano akimaliza kiinua mgongo ni milioni 250 hiyo ni laana we ambae huna laana kwa miaka mitano umeingiza kiasi gani watu wanaishi vyema we unaita laana au dhiki ndio Baraka
WAMEKUCHOKA MAMA
Wewe ndio huelewi diwani ni mtuhumiwa wa kula pesa kaogopa kuja kusemwa na wananchi wapenda amani
Ushamba wao tu, Mabula apishe
CCM mna wakati mgumu sana!.Mnaahidi vitu halafu hamtekelezi na ni kila mahali!
Watu wameanza kujitambua,,nabado itazidi apo,,
@@Peterchipemba Mungu siyo mwanadamu hata aseme uongo! Imeandikwa "..Haki uinua taifa, bali dhambi ni aibu kwa watu wowote.." Haki za watu zimelaliwa kwa muda mrefu kigezo ni "amani na utulivu.."wakati inajulikana amani ni tunda la haki, no haki no amani ni watu tu wanaamua kupuuzia. Sasa wameshikwa mkono vya kutosha wanaamua kuitafuta sahani ilikopelwkwa na hao wenye macho!! Zaidi tumwombe Mungu hawa wanaojifanya wana macho na akili ya kutuongoza, Roho wa Mungu awakumbushe kuachia ngazi kuepusha makubwa.
Mbunge wa hovyo kabisa eti kwa manufaa yao!kwa hiyo ukisimamia maendeleo na serikali ikatimiza wajibu hayo maendeleo ni kwa manufaa ya wanaccm ya kata hiyo? Tatizo chama Cha ccm huwa kinadhani ndo serikali kinashindwa to separate party and gvt hii imesababishwa na ubaya wa katiba ya ccm ambapo Mwenyekiti wa ccm Taifa ndo rais wa nchi hafu ndo msimamizi wa rasilimali za Taifa nz amiri jeshi,Akiamua kuchukua rasilimali za nchi anapeleka kwenye chama na anasema Mali ya chama,Yaani vyovyote anageuzageuza tu ili afikie adhima yake.
@@kasomishedrack5027 pombe ndo tumezoea kuiona inalevya watu lkn kumbe na madaraka/ukubwa/ubunge unalevya!
Hivi aliyeleta msemo wa kimeumana nani?, Mimi binafsi Huwa sifulahii hata kidogo mambo haya, ila tujifunze yalipoanzia, usimfunze mwanao kukomba mboga kwa jirani akimalizana na jirani atanza kukomba za nyumbani na atawalaza njaa
Kama kunaupotevu wa fefha Shelia ichukue nafasi yake siyokusubili mukutano wa mubunge
Ubunge hupati Tena hapo Dalili zimeanza kuonekana
@@ThomasAlute ningekuwa mmewe huyo dada ningemwambia wakihitimisha Bunge mwaka kesho aage tu hakuna haja ya kuitia pressure familia kulala nje kisa wanamtafutia mama yao ubonge ili waneemeke. Kwanza kitendo cha kutufuliwa uwaziri kilitosha kumfanya ajitathmini na kupumzika kama ana kishamba aanze maandalizi mapema!