- 15
- 579 048
Abuu Samaa
Приєднався 12 лют 2012
Відео
YAKUJIPIKA MAKONDE SI UISLAMU| Sheikh Yusuf Abdi
Переглядів 483 роки тому
Khutba ya ijuma katika msikiti wa Mtwapa
UISLAMU NI MFUMO KAMILI WA MAISHA / Sheikh Yusuf Abdi
Переглядів 823 роки тому
Khutba ya Ijumaa katika mji wa Malindi
RIZIKI HAIPATIKANI KWA MIUJIZA Sheikh Yusuf Abdi
Переглядів 503 роки тому
Khutba ya ijumaa mada vijana wetu na kufanya kazi
QADHI MWANAMKE | Sheikh Yusuf Abdi
Переглядів 673 роки тому
Khutba ya Sheikh Yusuf Abdi kuhusu Hukmu ya mwanamamke kuwa Qadhi katika Msikiti wa Mwapa
FAIDA YA SWALA YA ALFAJIRI
Переглядів 2,9 тис.5 років тому
Sehemu ya Khutba ya ijumaa katika Masjid Ibrahi ikitolewa na Sheikh Yusuf Abdi Mungu amuhifadhi
HUU UMMAH HAUFI MADAMU WAMESHIKANA NA QUR'ANI - Sheikh Yusuf Abdi
Переглядів 2175 років тому
Vidokezo vya Khutba ya Sheikh Yusuf Abdi Masjid Ibrahim Mombsa Kenya
KUBORESHA ELIMU- Sheikh Yusuf Abdi
Переглядів 3715 років тому
Videkezo vya Khutba ya Ijumaa katika Masjid Ibrahi Mombasa Kenya
KUJIFAKHIRI NA MABABU-Sheikh Yusuf Abdi
Переглядів 3705 років тому
Vidokezo vya Khutba ya Ijumaa Uislamu na Maendeleo Masjid Ibrahim Mombasa Kenya
Nasheed Mzuri wetu Rasuli -Sheikh Yusuf Abdi
Переглядів 246 тис.8 років тому
Nasheed Mpya ya Sheikh Yusuf Mzuri wetu Rasuli 15/4/2016
Nasheed Twakulingani Sheikh Yusuf Abdi
Переглядів 106 тис.10 років тому
Nasheed mpya ya sheikh yusuf akiwaombea Mungu waislamu ulimwnguni kwa mikasa inayo wafika
Mashairi ya Sheikh Ali Bahero Baada ya Kupigwa na Vijana
Переглядів 122 тис.10 років тому
Haya ni Mashairi ya ali bahero alipo pigwa na vijana walio taka kumuuwa kwa sababu hawaungi mkono kwa fikra zao
NASHEED ( QUR'ANI KITABU CHANGU) SH. YUSUF
Переглядів 101 тис.12 років тому
Album ya kwaza ya nasheed za kiswahili ya sheikh yusuf abdi tarehe shawwal 1-10 1433H 19-8-2012
kipenzi chetu rasuli saw...
Munafiki
Shairi lako limenikosha shekh yussuf Allah Azidi kukuhifadhi
Maskini pole saana
HIVYO NDIVYO MLIVYOWAFUNDISHA KUWA WAKIONA MTU WANAYEAMINI KUWA SI MWENZAO KATIKA BASI WAMPIGE TU, SASA HIVYO NDIVYO WALIVYOKUONA WEWE KUWA UMESHATOKA KWENYE MANHAJI, NA KWA HIVYO WEWE NI HALALI DAMU YAKO KWAO, WAMEKUBONDA KWELI KWELI ILI UJUE KUWA MAFUNZO ULIYOWAPA WAMEYASHIKA BARA BARA.
Mashaallah Allah amzidishie mtunzi
Ivi awavijana kwanini lakini
Subhanallah
Sasa wanawake inakuwaje na hatusali msikitini
😢😥😭 ASTAGHAFIRULLAH
Masha Allah
Mtu huchuma alichokipanda.Stahiiil yako
Allahuma swalli àlaa MUHAMMAD yaarabbi swalli àlyhi wasallim
Hahaha mola atuongoze yaani dini leo ina wasanii kweli huyo hapo anayejiliza na huyo anayesoma utenzi sijui nyimbo kweli hatari hizi zama za maduati wanaowaita watu motoni huko Saudia ndio wamejaa hao masheikh kama huyu wanaoutetea ufalme wa utwaght wa kisaudia na wale watu wa haki wako majela so ni sunnah yake mola aliyetukuka kutaka waislamu wawajue wapi wako katika haki na wapi wapi waongo
ALLAH akulipe duniani na Akhera Aamina
Hawa ndiyo maduaat waloileta sunnah. Sio hivi vimolo vijitavyo vijisalafi
Allah akuzidishie subra akupe utulivu wa nafsi mtihani uwoo Allah kakupitisha haya Nabii alipigwa
Allah akuhifadhi shk bahero sana akupe subra ktka hii dunniya kwasababu watu hawana msingi ya dini kbsa.....Allah akuhifadhi shk bahero
Uoga huo na kuipenda Dunia. Na kwa kulipa kisasi Kuna kuishi kwenu. Sheikh anaepinga baadhi ya ibada za kidini unafananisha wewe na kifo Cha Othman bin affan radhi za mungu ziwe juu yake. Hivo ni vioja wallah.
Pole sana Mungu tujalie tuiendeleze dini yetu ya kiislam
pole sana sheikh
😭 Subhanallah
Alafu niambieni hao vijana waliofanya kitendo Kama hiki watakuwa na furaha gani katika maisha yao na kisasi Chao ?Allah ndiye anayejua Ila sisi hatuna haki ya. Kuhukumu
Pola Dana sheikh
Pole bahero
Hok
Mashalllah
Pole sana shekhe wetu.
Asalam Aleykum Sh Bahero Allah akujaliye pahali pema peponi na familia yako na akupe Amani hapa duniani na akhera
huyo mtu amesoma aje hiyo aya
Na huyo abu qatada ati analia na yy ama amesahau kabadilisha msimamo wake alivokuwa akifanya
Pole sana sheh
😭😭😭😭😭😭😭🤲🤲
Allah knows what I'm going through
May Allah forgive my daughter's and my family Amin yarab 😭.Allah knows what I'm through
aamin ya rabbi
ماشاءالله
Mashallah umetisha sn sheikh naipend sn
Kuulisha watu kwa kushirik a na makafri si kosa kiislamu ila kumtia adamu munafki kiislamu nikosa ila mtume aliamrisha ichomwe nyumba na waliokueko ndani kiss ni unafki tusjisahau kua bahero ni mnafki alimuulisha jemedari shajaa sheh wetu abud rogo na alipo pigwa risasi sheh abud rehemahullah bahero alifurahia vijana wa kikenya watamuacha mnafki ni mnafki tu ata Kama anatamka shahada masheh mchele Kama Hawa wanaurudisha uislamu nyuma kufa kwenye msimamo wako wakushirikiana na makafri kutuuwa waislamu nakutuita magaid tunapo dai haki zetu inshallah ukifa kwenye ftina nakupokea sinti kwa makafri nakuipga kuriani meisho wake hutokua na chakumjibu mungu ety damu ya muislamu anaihurumia bahero mbona ulipo muulisha rogo na kupga misimamo yake ulisimama na kusema Yuko wap sheh abud rogo ulicheke muslamu mwenzako alipo kufa kwa risasi tutolee unafki wako hapa dini ya Allah Haina mshezo hata rogo asingeuliwa Kama syo nyinyi kuwasujudia makafiri nakuwapa jeuri ya kumuuwa tunamkumbuka Sana sheh wetu rogo Allah amueke jana namashuhadaa wote amin
Halijazau l,insani ilal insan malipo ya wema ni wema Allah akupe shifaa akupe sahal ila na ww ujifunze kutowa kauli nzury ktk dini ya uwiislam mheshimu yule ulohitilifiyan nae madhehebu yapo mengi ss waheshimu wanaokuheshimu ww hupo sawa na unamadhaifu hujakamilika
Allah atunusuru
mashaallah very sweet
Allah yupo pamoja na wewe
ilove allahi☝️💞💞🕋💗and muhammad💗💕💞🕌
Allah yup pamoj naa wanyonge
😫 pole sana shekh subhanallah hawo jamaa wa kibidaa achana unafik tu umewajaa
Pole sana shekh bahero Allah yuko pamoja nawe atakupa shifaa yarab muepushe shekh wetu na kila la shari azid kutulingania
SAW
Alipaswa kukatwa kchwa huyo munafiq
Mungu ndie hakim
Assalam alaykum warahmatullah wabarakatouh naomba kuuliza ukihitaji waipataje sijaona sehemu ya ku download