- 84
- 279 436
DANSI YETU
Tanzania
Приєднався 26 кві 2019
DANSI YETU ni platform ya kupeleka mbele muziki Wetu mzuri wa dansi ili kwenda na wakati na kusaidia Kuwafikia Watu mbalimbali ndani na nje ya Africa
Prezidaa Kalala Junior wa Tukuyu Sound hiki kijembe kinaenda wapi?
Prezidaa Kalala Junior wa Tukuyu Sound hiki kijembe kinaenda wapi?
Переглядів: 41
Відео
Papii Kocha Prezidaa wa Town Classic Anamuimba nani?
Переглядів 424 місяці тому
Papii Kocha Prezidaa wa Town Classic Anamuimba nani?
Exclusive interview na Mamen Kombo @dansiyetu3249
Переглядів 567 місяців тому
Mwanamuziki solo Artist wa muziki wa Dansi anafanya vizuri sana.
Jose Mara Akifanya yake kwenye live ni noma@dansiyetu3249
Переглядів 1158 місяців тому
Jose Mara Akifanya yake kwenye live ni noma@dansiyetu3249
Exclusive na Mtoto wa TX Moshi ajibu kuhusu kuhama bendi ya Msondo ngoma!
Переглядів 4311 місяців тому
Exclusive na Mtoto wa TX Moshi ajibu kuhusu kuhama bendi ya Msondo ngoma!
Mpambano wa Muumin Mwinjuma vs Banza Stone Utafurahia show!
Переглядів 2511 місяців тому
Mpambano wa Muumin Mwinjuma vs Banza Stone Utafurahia show!
exclusive interview na Dansa wa Town Classic band alia sana @dansiyetu3249
Переглядів 1611 місяців тому
exclusive interview na Dansa wa Town Classic band alia sana @dansiyetu3249
Papii Kocha afunguka Town Classic,baada ya kutua @dansiyetu3249
Переглядів 3711 місяців тому
Papii Kocha afunguka Town Classic,baada ya kutua @dansiyetu3249
Exclusive interview na Salehe Kupaza wa Twanga pepeta akifunguka
Переглядів 161Рік тому
Exclusive interview na Salehe Kupaza wa Twanga pepeta akifunguka
Matokeo ya mpambano `Tukuyu Sound' vs `Town Classic band' Times FM Kimeumana
Переглядів 16Рік тому
Matokeo ya mpambano `Tukuyu Sound' vs `Town Classic band' Times FM Kimeumana
Exclusive na Meneja wa Twanga pepeta `Martin Sospeter' Akifunguka mengi
Переглядів 18Рік тому
Exclusive na Meneja wa Twanga pepeta `Martin Sospeter' Akifunguka mengi
@dansiyetu3249 tazama Umuhimu wa Papii Kocha Town Classic band
Переглядів 17Рік тому
@dansiyetu3249 tazama Umuhimu wa Papii Kocha Town Classic band
Mkubwa wa kazi Mvula Mandondo jukwaani
Переглядів 712 роки тому
Mkubwa wa kazi Mvula Mandondo jukwaani
@dansiyetu3249 cheki Mdau Patrick Kessy na Waluguru original ni noma 🔥
Переглядів 2132 роки тому
@dansiyetu3249 cheki Mdau Patrick Kessy na Waluguru original ni noma 🔥
Tarsis Masela aka Joto jukwaani ni noma
Переглядів 1062 роки тому
Tarsis Masela aka Joto jukwaani ni noma
Raisi wa milele Nyoshi,Anakalisha Watoto wadogo
Переглядів 262 роки тому
Raisi wa milele Nyoshi,Anakalisha Watoto wadogo
Chokoraa aka Nywele ngumu Akifanya yake
Переглядів 212 роки тому
Chokoraa aka Nywele ngumu Akifanya yake
'Dogo Rama aka Kilometa kwenye copy ya Penzi sigara kali'
Переглядів 2702 роки тому
'Dogo Rama aka Kilometa kwenye copy ya Penzi sigara kali'
'Rapa Furgason kwenye jukwaa la Twanga'
Переглядів 172 роки тому
'Rapa Furgason kwenye jukwaa la Twanga'
Raisi wa milele Nyoshi El Sadaat aka Sauti ya Simba na Boggos Musica wakishambulia jukwaa
Переглядів 382 роки тому
Raisi wa milele Nyoshi El Sadaat aka Sauti ya Simba na Boggos Musica wakishambulia jukwaa
Raisi wa Mjengoni Band Digitali,akiwasha moto
Переглядів 202 роки тому
Raisi wa Mjengoni Band Digitali,akiwasha moto
Jesca huu wimbo Umetendea haki @dansiyetu3249
Переглядів 392 роки тому
Jesca huu wimbo Umetendea haki @dansiyetu3249
Kama zamani Msondo ngoma Wakitendea haki @dansiyetu3249 kwa sauti za pekee
Переглядів 5002 роки тому
Kama zamani Msondo ngoma Wakitendea haki @dansiyetu3249 kwa sauti za pekee
Piano kizazi kipya Twanga Akionyesha Uwezo!
Переглядів 533 роки тому
Piano kizazi kipya Twanga Akionyesha Uwezo!
waoooo 2024
aliye piga hiyo solo guitar daaah Mungu akubariki sana
Daah ila Muumini Mwinjuma alikuwa hatari😢😢🙌🙌🙌🙌
balaa na nusu
18/9/2024 pumziken kwa aman baba zangu
Pumzikeni kwa amani baba zangu😢
Hii ndipo ilipoishia msondo kwa sasa umebaki uswahili naniutoto mtupu
Kwasasa,hakuna,watunzi
2024 tunatamba nao
Nipo tena 2024
Asante wazazi wangu pumzikeni kwa amani ninyi ni watu bora mno asante mchinga hakika uhai ni zawadi mwanzoni mwa 2000
Silent In Club mwenge...1996 niliwapenda sana hawa jamaa
Nakumbuka mbali sana 2024
🙏🏼🙌🏼🙌🏼 nice
🙏🏼🙌🏼🙌🏼
hatari sana
Mjomba pigeni kazi dansi mmeirudisha kazeni buti
Endeleeni kupumzika mahali pema peponi wazazi wangu niliwapenda sana ila mungu amewapenda zaidi 🙏
ngwasuma shule ya vpaji tz
Special kwa cc yatima
Tunao usikiliza 2023 kwenda 2024 gonga like zenu apa
2023🎉
Nawapenda sana
Daaah nakumbuka mbali sana hizi nyimbo jamani .... umevumbua kitu bora sanaaa .... umenifanya nilie machozi
Nyimbo za diamond sound, mviko sound mbona hamuwekii
Richard mangustino daah
Ttc club hiyo
mrembo mwenyewe🥰🥰🥰
Rip bibi mama wajomba daaaa😭😭😭😭😭
Wimbo huu nawakumbu wazaziwangu walio tangulia mbele haki
Nakubali xana
Hatari,musondo,inatisha,Yani,kama,zamani
Mchinga saumd
Sema Mtoto wa marehemu Tx fani hii haikufai unalazimisha tu,Sauti huna
Addo Sangs asante Kwa kutuwakilisha Njombe na Makete
Rip Dad and mom ❤️❤️❤️🙏 🙏🙏.
Daaaa miss my daddy KENED MASINGA❤️❤️ and my mother MARTHA MASUDYA ❤️❤️ rest in piec 😭😭😭😭🙏🙏2023
Pole sana🤒
Thanks
Jesus Ibonga..papii kocha..richard mangustino..bonaa..salma mamalao..papii brother(nguza)..nk..
Pumnzika Kwa amani nakumic mamaanguuu.
Nikilia sana namkufulu MUNGU.... Nabaki na uchungu mwingi moyoni.....
Huu wimbo hauishi ladha miaka yote
Wanikumbusha mbali sanaaaeee
Sina chakusema😥😥😥😥😥😥
duh naikumbuka huu mziki vzr san.ninatokwa na machozi san kipindi hicho ubwabwa maharage ilikuwa mia tatu tu kipindi cha mkapa
Msondo nidawa na ni afya kwa wenye mawazo,
Hivi huu wimbo ulitoka mwaka gani, maana nakumbuka nilikua nausikia nikiwa mdogo kati ya drs la 1 au 2. Anayekumbuka pliiz
Hii nyimbo jaman dah kiboko yangu wallah
Yakale dhahabu
Nakubali Rama, Shaomy, soloist De Suoza, Haruni, mzeee minja, seba mpiga kinanda, steve mzee wa konyagi na madansa Emmey.
Hatarii
Woww nimemmisi huyo dada wa magomeni mtaa wa gombero kwa mzee shekue mpesalamu zangu