@@naasibabuu We nae acha uzuzu,Kuna swali Gani hapo?!!Kusoma si kazi,kazi kuelewa...Allah kwenye Qur'an anasimulia mazazi ya Mussa na Mitume wengi tuu,akiwemo,Iliyasa(A.S)na wengineo,jambo ambalo kafanya Mungu Mwenyewe,liwe kosa kwa kufanyiwa Mtume Swalallahu aleyh wasalam?!!!!Au kosa ni kupika watu wakala?!!!Mbona Aya hii hamuifanyii kazi ikiwa mmeelewa?!!"Waamaa khalaqtul Jinn wal Ins ilaa liya'abudun"Ikiwa lengo ni Ibada tuu,Mbona mnafanya kazi zenu?!Mnapika na kula?!Iwe kosa watu kufanya Ibada ya kusomwa Qur'an,mawaidha,manaqib ya Mtume,Kisha kikawepo Cha watu kula baada ya Ibada kama hiyo,likawa kosa?!!!Kweli?!!Mbona nyie wajinga hivyoo?!Ikiwa basi hata jambo Dogo la kimantiq mnaelewa vibaya kuliko hata Wasoo na Dini mtakuwa nani nyie katika sura ya uelewa m-bovu kiasi hicho?
Subuhana llah yani we ni muislamu au mkristo mbona unaonekana muhuni fulani hivi alovamia dini aso jiheshimu unamtukana mwamadamu mbwa ww ulofunzwa adabu na nani mbona hisia za wavuta bangi wameingia kwenye upande wa dini Jambo la mungu lataka matusi kaah!! We huna mungu kabisa ni mtu wa ovyo sana yaeezekana hata dini enyewe hujui hata moja ndo mlikofikia kutukana ww huna hofu na mungu arafu huna uislamu kabisa matusi unayotukana yatakurudi mwemyewe hilo utalikuta mbele ya Allah limeandikwa na kosa la kumtendea binadamu mwenzio halisameeki mpk umuombe msamaha ulomkosea ndo utasamehewa na mungu lakini umuombe msamaha mungu ulomtukana hajarizika utaraanika ww mpk siku ya kiama utayakuta matendo yako ww huku kunataka hoja na ustarabu huku so kwa Simba na yanga au diamond na alikiba kusema muanze kutukanana ww Allah akusamehe kama mgonjwa wa akili lakini kama unaakili timamu watukana watu wawapi ww na kabila gani? Dini haitaki jazba na matusi Jenga hoja ujibiwe we hujui kitu waanza mshambulia mtu kwa matusi salalaa
Masha ALLAH 🇰🇪 mawaitha matamu sana💐
Allahu akbar
Point noted
❤❤
ALLAH AKBAR
🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿
Sheikh maima kuna wengine wasoma bismillahi n wengine hawasomi bismillahi hapo bidaa ipo vipi
Huo sio uzushi shekhe mtume kwa nn alituambia tuwafomee suratul yasiin n km uko mtalibani tupe Aya n hadithi
Ustadhi tupe Aya n hadithi ndio Kwa hiyo hadithi za mtume Zina danganya aliptuambia tuwaasomee maiti zetu suratul yasiin
Hakuna mmoja kaziyao maguvutu
Hiyo Kweli shekhe wala sio kitu kizuri Baba kuwa mkalitu. Mojakwa Moja
Allah atuongoze
Ndio wamejaa sheikhe waume wahivoo wapo telee
Hiyo ni Kweli kabisa waume wamekuwa mabahili mnoo hatanguo za wake hawanunui
✅🔥🔥
✅
Shukran
HAPA SHEKH WANGU UMECHEMKA UNATAFUTA KIKI LABDA
جاهل مركب
Heee?!!Huyu nae vipi?!!Kasome vema kwa mafuhum mzuri Muhabi!!!!Weye waona hizo ni hoja?!!!
@@naasibabuu We nae acha uzuzu,Kuna swali Gani hapo?!!Kusoma si kazi,kazi kuelewa...Allah kwenye Qur'an anasimulia mazazi ya Mussa na Mitume wengi tuu,akiwemo,Iliyasa(A.S)na wengineo,jambo ambalo kafanya Mungu Mwenyewe,liwe kosa kwa kufanyiwa Mtume Swalallahu aleyh wasalam?!!!!Au kosa ni kupika watu wakala?!!!Mbona Aya hii hamuifanyii kazi ikiwa mmeelewa?!!"Waamaa khalaqtul Jinn wal Ins ilaa liya'abudun"Ikiwa lengo ni Ibada tuu,Mbona mnafanya kazi zenu?!Mnapika na kula?!Iwe kosa watu kufanya Ibada ya kusomwa Qur'an,mawaidha,manaqib ya Mtume,Kisha kikawepo Cha watu kula baada ya Ibada kama hiyo,likawa kosa?!!!Kweli?!!Mbona nyie wajinga hivyoo?!Ikiwa basi hata jambo Dogo la kimantiq mnaelewa vibaya kuliko hata Wasoo na Dini mtakuwa nani nyie katika sura ya uelewa m-bovu kiasi hicho?
Jazakallahu kheir
Kweli kabisa
BARAKALLAHU FIIKA SHEIKH WETU.
Jambo la muhimu ni kuomba mwisho Mwema 🤲
Were mjinga
Auzubilah minzalika mungu tunusuru na adhabu ya moto
نسأل الله التوفيق والسداد 🤲
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh Naomba uje ututolee khutba siku moja in shaa Allah ,masjid khadija #Majengo
BARAKALLAHU FIIKA SHEIKH WETU.
Mungu akijaalia afya njema Shekhe ili uendelee kunipa somo insha Allah
BARAKALLAHU FIIKA SHEIKH WETU.
Subhanallah mie ndo nishachngntkiw kbis
BARAKALLAHU FIIKA SHEIKH WETU.
Elimu ni bahari sio bahati
Subhaanallah kwaniiniashekh umekuwa hivi
Swadakta
Asante
Wape ukweli bro
Jazakallah jazakallah jazakallah khairul jaza fidunyaa wal akhera
Wow
❤❤❤❤
acha kubesa watu msenge wewe, vikogia na vikanzu wewe umevaa nn dera na mtandio au shungi? ndo mambo muyajuayo hakuna lengine
hilo jamaa lapiga kelele, mmh! huna dalili kjambe mbwa tu wewe, hatukufati piga kelele tu
Subuhana llah yani we ni muislamu au mkristo mbona unaonekana muhuni fulani hivi alovamia dini aso jiheshimu unamtukana mwamadamu mbwa ww ulofunzwa adabu na nani mbona hisia za wavuta bangi wameingia kwenye upande wa dini Jambo la mungu lataka matusi kaah!! We huna mungu kabisa ni mtu wa ovyo sana yaeezekana hata dini enyewe hujui hata moja ndo mlikofikia kutukana ww huna hofu na mungu arafu huna uislamu kabisa matusi unayotukana yatakurudi mwemyewe hilo utalikuta mbele ya Allah limeandikwa na kosa la kumtendea binadamu mwenzio halisameeki mpk umuombe msamaha ulomkosea ndo utasamehewa na mungu lakini umuombe msamaha mungu ulomtukana hajarizika utaraanika ww mpk siku ya kiama utayakuta matendo yako ww huku kunataka hoja na ustarabu huku so kwa Simba na yanga au diamond na alikiba kusema muanze kutukanana ww Allah akusamehe kama mgonjwa wa akili lakini kama unaakili timamu watukana watu wawapi ww na kabila gani? Dini haitaki jazba na matusi Jenga hoja ujibiwe we hujui kitu waanza mshambulia mtu kwa matusi salalaa
Swadakta sheikh lkn kuna wanawake wengine hawauliziki iwa mdomo
Mashallah
Maashaallah vizuri sana
Jazakallah jazakallah jazakallah
Kwelihasa sikila anaezaa kwauchungu anauchungu namwanae
Asalam alykum Naomba jina l hyu sheikh
Subhaana'Allah