Siri za Vitabu
Siri za Vitabu
  • 411
  • 151 058
KUNA NINI NYUMA…?
Vitabu ni hazina. Kupitia vitabu akili zetu zinakutana na akili kubwa. Katika vitabu watu wenye mafanikio wanaongea nasisi, wanatupa mawazo yao na uzoefu wao katika mafanikio. Vitabu ni sauti ya watu ambao wako mbali nasisi na hatuwezi kukutana nao, ni sauti ya watu waliokufa wakituachia urithi na hazina ya mawazo yao.
Vitabu vinatupa usawa, na yeyote anae vitumia kwa usahihi na kuviamini vina muweka katika ulimwengu mmoja na watu wakubwa na mashuhuri wanaoishi na waliowahi kuishi katika hii dunia.
Haya sio maneno yangu, ni maneno ya William Channing, kama alivyonukuliwa na Ben Cason katika kitabu chake ya Think Big.
Naitwa MFAUME HASSAN, na karibu katika channel yangu ya SIRI ZA VITABU.
Nikufunulie siri zilizofichwa katika vitabu. Nikufunulie ubongo wa watu mashuhuri na waliofanikiwa.
Unaweza kufuatilia Siri za Vitabu
Instagram: siri_za_vitabu
Facebook: sirizavitabu
Email: mfaumehassan@gmail.com
Contacts: 0745624754
Переглядів: 198

Відео

MALENGO & MFUMO
Переглядів 2152 місяці тому
Vitabu ni hazina. Kupitia vitabu akili zetu zinakutana na akili kubwa. Katika vitabu watu wenye mafanikio wanaongea nasisi, wanatupa mawazo yao na uzoefu wao katika mafanikio. Vitabu ni sauti ya watu ambao wako mbali nasisi na hatuwezi kukutana nao, ni sauti ya watu waliokufa wakituachia urithi na hazina ya mawazo yao. Vitabu vinatupa usawa, na yeyote anae vitumia kwa usahihi na kuviamini vina ...
YULE MTU WA MAFANIKIO
Переглядів 2292 місяці тому
Vitabu ni hazina. Kupitia vitabu akili zetu zinakutana na akili kubwa. Katika vitabu watu wenye mafanikio wanaongea nasisi, wanatupa mawazo yao na uzoefu wao katika mafanikio. Vitabu ni sauti ya watu ambao wako mbali nasisi na hatuwezi kukutana nao, ni sauti ya watu waliokufa wakituachia urithi na hazina ya mawazo yao. Vitabu vinatupa usawa, na yeyote anae vitumia kwa usahihi na kuviamini vina ...
NAMNA HA KUBADILI UTAMBULISHO WAKO ILI UBADILI TABIA
Переглядів 1812 місяці тому
Vitabu ni hazina. Kupitia vitabu akili zetu zinakutana na akili kubwa. Katika vitabu watu wenye mafanikio wanaongea nasisi, wanatupa mawazo yao na uzoefu wao katika mafanikio. Vitabu ni sauti ya watu ambao wako mbali nasisi na hatuwezi kukutana nao, ni sauti ya watu waliokufa wakituachia urithi na hazina ya mawazo yao. Vitabu vinatupa usawa, na yeyote anae vitumia kwa usahihi na kuviamini vina ...
KUWA NA SIFA ZA MTU UNAE MUHITAJI
Переглядів 1602 місяці тому
Vitabu ni hazina. Kupitia vitabu akili zetu zinakutana na akili kubwa. Katika vitabu watu wenye mafanikio wanaongea nasisi, wanatupa mawazo yao na uzoefu wao katika mafanikio. Vitabu ni sauti ya watu ambao wako mbali nasisi na hatuwezi kukutana nao, ni sauti ya watu waliokufa wakituachia urithi na hazina ya mawazo yao. Vitabu vinatupa usawa, na yeyote anae vitumia kwa usahihi na kuviamini vina ...
KWANINI UHANGAIKE KUBADILI UTAMBULISHO WAKO?
Переглядів 1262 місяці тому
Vitabu ni hazina. Kupitia vitabu akili zetu zinakutana na akili kubwa. Katika vitabu watu wenye mafanikio wanaongea nasisi, wanatupa mawazo yao na uzoefu wao katika mafanikio. Vitabu ni sauti ya watu ambao wako mbali nasisi na hatuwezi kukutana nao, ni sauti ya watu waliokufa wakituachia urithi na hazina ya mawazo yao. Vitabu vinatupa usawa, na yeyote anae vitumia kwa usahihi na kuviamini vina ...
HADI UVUNJE HII “LAYER” UWEZE KUDAI MAFANIKIO YA UNACHO KIFANYA
Переглядів 2062 місяці тому
Vitabu ni hazina. Kupitia vitabu akili zetu zinakutana na akili kubwa. Katika vitabu watu wenye mafanikio wanaongea nasisi, wanatupa mawazo yao na uzoefu wao katika mafanikio. Vitabu ni sauti ya watu ambao wako mbali nasisi na hatuwezi kukutana nao, ni sauti ya watu waliokufa wakituachia urithi na hazina ya mawazo yao. Vitabu vinatupa usawa, na yeyote anae vitumia kwa usahihi na kuviamini vina ...
TINY BEHAVIOURAL CHANGES
Переглядів 1062 місяці тому
Vitabu ni hazina. Kupitia vitabu akili zetu zinakutana na akili kubwa. Katika vitabu watu wenye mafanikio wanaongea nasisi, wanatupa mawazo yao na uzoefu wao katika mafanikio. Vitabu ni sauti ya watu ambao wako mbali nasisi na hatuwezi kukutana nao, ni sauti ya watu waliokufa wakituachia urithi na hazina ya mawazo yao. Vitabu vinatupa usawa, na yeyote anae vitumia kwa usahihi na kuviamini vina ...
JASHO MAFUNZONI AU DAMU VITANI: WEWE NDIO MUAMUZI
Переглядів 1442 місяці тому
Vitabu ni hazina. Kupitia vitabu akili zetu zinakutana na akili kubwa. Katika vitabu watu wenye mafanikio wanaongea nasisi, wanatupa mawazo yao na uzoefu wao katika mafanikio. Vitabu ni sauti ya watu ambao wako mbali nasisi na hatuwezi kukutana nao, ni sauti ya watu waliokufa wakituachia urithi na hazina ya mawazo yao. Vitabu vinatupa usawa, na yeyote anae vitumia kwa usahihi na kuviamini vina ...
KWANINI UNASHINDWA KUWA “CONSISTENT”KATIKA KUSOMA VITABU
Переглядів 1892 місяці тому
Vitabu ni hazina. Kupitia vitabu akili zetu zinakutana na akili kubwa. Katika vitabu watu wenye mafanikio wanaongea nasisi, wanatupa mawazo yao na uzoefu wao katika mafanikio. Vitabu ni sauti ya watu ambao wako mbali nasisi na hatuwezi kukutana nao, ni sauti ya watu waliokufa wakituachia urithi na hazina ya mawazo yao. Vitabu vinatupa usawa, na yeyote anae vitumia kwa usahihi na kuviamini vina ...
KWANINI USICHAGUE VYOTE..?
Переглядів 3124 місяці тому
KWANINI USICHAGUE VYOTE..?
TAMBUA SIRI HII KUHUSU MUDA
Переглядів 4014 місяці тому
TAMBUA SIRI HII KUHUSU MUDA
UNATAKA KUKATA TAMAA?
Переглядів 2645 місяців тому
UNATAKA KUKATA TAMAA?
PART 2: MTAJI WA BIASHARA: DR. MENGI ALIVUKAJE HUU MTEGO NA SISI TUFANYE NINI
Переглядів 2095 місяців тому
PART 2: MTAJI WA BIASHARA: DR. MENGI ALIVUKAJE HUU MTEGO NA SISI TUFANYE NINI
PART 1: MTAJI WA BIASHARA: DR. MENGI ALIVUKAJE HUU MTEGO NA SISI TUFANYE NINI
Переглядів 3175 місяців тому
PART 1: MTAJI WA BIASHARA: DR. MENGI ALIVUKAJE HUU MTEGO NA SISI TUFANYE NINI
MPANGO ULIO FELI
Переглядів 1565 місяців тому
MPANGO ULIO FELI
UNAJIWEKAJE KARIBU NA NDOTO ZAKO?
Переглядів 2915 місяців тому
UNAJIWEKAJE KARIBU NA NDOTO ZAKO?
MASTERMIND ALLIANCE
Переглядів 1285 місяців тому
MASTERMIND ALLIANCE
YUPI UNAEMTAMANI NA KWANINI?
Переглядів 1435 місяців тому
YUPI UNAEMTAMANI NA KWANINI?
UNATAFUTA MALI ILI UPATE FURAHA: JE UPO UHUSIANO WA MALI NA FURAHA? NINI UFANYE?
Переглядів 1915 місяців тому
UNATAFUTA MALI ILI UPATE FURAHA: JE UPO UHUSIANO WA MALI NA FURAHA? NINI UFANYE?
PELEKA MAWAZO YAKO KWENYE FREQUENCY SAHIHI…?
Переглядів 2386 місяців тому
PELEKA MAWAZO YAKO KWENYE FREQUENCY SAHIHI…?
JE ASINGEZALIWA NYERERE HISTORIA YA TANZANIA INGEKUAJE…?
Переглядів 2336 місяців тому
JE ASINGEZALIWA NYERERE HISTORIA YA TANZANIA INGEKUAJE…?
CHUKUA MTAZAMO HUU KWENYE MCHEZO
Переглядів 1726 місяців тому
CHUKUA MTAZAMO HUU KWENYE MCHEZO
NANI ASIETAKA KUFANIKIWA…?
Переглядів 1666 місяців тому
NANI ASIETAKA KUFANIKIWA…?
NTENDWA NA MTENDA…? UPO WAPI?
Переглядів 1076 місяців тому
NTENDWA NA MTENDA…? UPO WAPI?
NAMNA YA KUISHI MAISHA YENYE FURAHA: TAMBUA MAENEO HAYA MANNE
Переглядів 2776 місяців тому
NAMNA YA KUISHI MAISHA YENYE FURAHA: TAMBUA MAENEO HAYA MANNE
Akili Mnemba: Maongezi Yangu na ChatGPT Kuhusu Kitabu Cha Think and Grow Rich
Переглядів 2286 місяців тому
Akili Mnemba: Maongezi Yangu na ChatGPT Kuhusu Kitabu Cha Think and Grow Rich
Akili Mnemba: Stori na ChatGPT Kuhusu Umuhimu wa Kuweka Akiba
Переглядів 646 місяців тому
Akili Mnemba: Stori na ChatGPT Kuhusu Umuhimu wa Kuweka Akiba
TAFSIRI YA MAJIBU YA DUA ULIZO MUOMBA MUNGU
Переглядів 1537 місяців тому
TAFSIRI YA MAJIBU YA DUA ULIZO MUOMBA MUNGU
ANZA NA KUBADILI KISICHOONEKANA
Переглядів 2857 місяців тому
ANZA NA KUBADILI KISICHOONEKANA

КОМЕНТАРІ

  • @Tanzaniakids-o1
    @Tanzaniakids-o1 4 дні тому

    Shukran San by new subscriber mpya

  • @jumaqmussa3001
    @jumaqmussa3001 17 днів тому

    1.continous learning 2.diversifacation 3.Networking 4.Aplication 5.goal setting 6.risk management 7.adaptability 8.financial education 9.Time manangement 10.track progress

  • @RashisiAlly
    @RashisiAlly 18 днів тому

    Safi sana kaka Nimekuelewa sana big up

  • @ANDREWMLEGU
    @ANDREWMLEGU 18 днів тому

    Hey....kaka nataka vitabu

  • @othumanjenga9974
    @othumanjenga9974 24 дні тому

    asante..kwa kweli tunafunzika

  • @jamesmkwizu9638
    @jamesmkwizu9638 Місяць тому

    Sahihii

  • @kareemnamwete4426
    @kareemnamwete4426 Місяць тому

    Kazi mzuri❤❤❤

  • @fadhilimyoba983
    @fadhilimyoba983 Місяць тому

    GOOD

  • @BATHOLOMEOMASINDE
    @BATHOLOMEOMASINDE Місяць тому

    Nzuri sana , naelewa vizuri

  • @LeonardJuma-ge3jy
    @LeonardJuma-ge3jy Місяць тому

    Brother Mfaume,Je tunaweza share Ideas whatsApp?

  • @LeonardJuma-ge3jy
    @LeonardJuma-ge3jy Місяць тому

    Big up brother..

  • @smhina18
    @smhina18 Місяць тому

    Asante sana mtaalam kwa elimu hiii adimu

  • @RenatusVictoris
    @RenatusVictoris Місяць тому

    Naweza kupata kitabuiko kwa kiswairi

    • @sirizavitabu
      @sirizavitabu Місяць тому

      Cha kiswahili kipo ila kukielewa vizur itabidi ukisome ukiwa umeshasikiliza vizuri na video. Mana Kiswahili chake cha kenya,

  • @MarikaPaul-lp2nd
    @MarikaPaul-lp2nd 2 місяці тому

    Good work bro

  • @AwardHakimu
    @AwardHakimu 2 місяці тому

    🎉

  • @AwardHakimu
    @AwardHakimu 2 місяці тому

    Kitambo sana brother🎉 umenenepa

  • @filberthendry2651
    @filberthendry2651 2 місяці тому

    Asante sana mwalimu

  • @mahirfauz1993
    @mahirfauz1993 2 місяці тому

    Allah akuzishie kheri

  • @SharoneElias
    @SharoneElias 2 місяці тому

    Habari nipo nje napataje kitabu

  • @WilliamLukas-ub1mg
    @WilliamLukas-ub1mg 2 місяці тому

    Nahitaji hivyoo vitabi jee napataje?

  • @mahirfauz1993
    @mahirfauz1993 2 місяці тому

    Asante sana kaka

  • @yassinbilo2159
    @yassinbilo2159 2 місяці тому

    Habari kaka, Mimi nimekuskiliza leo tu, huewezi amini sijajiuliza mara 2 kusubscribe, coz nmeona una kitu brother,

  • @kareemsheby4473
    @kareemsheby4473 2 місяці тому

    Somo 🔥

  • @sura_Artist
    @sura_Artist 2 місяці тому

    Thanks

  • @imahaule8817
    @imahaule8817 2 місяці тому

    keep doing.....

  • @kareemsheby4473
    @kareemsheby4473 2 місяці тому

    Somo zur kaka

  • @rubenMbokwa-b3o
    @rubenMbokwa-b3o 2 місяці тому

    Bosi Ongeza Muda Kidogo Walau Dk 5 Kwa Sasa Video Zako Zinakua Ubora Hivyo Tuzitegemea Kujifunzia

    • @sirizavitabu
      @sirizavitabu 2 місяці тому

      Sawa Mkuu. Naandaa Series ya videos ndefu zinakuja

  • @rubenMbokwa-b3o
    @rubenMbokwa-b3o 2 місяці тому

    Heko Sana

  • @IbrahimuSaid-z7e
    @IbrahimuSaid-z7e 2 місяці тому

    Kaka nimependa na umeimprove kwenye location Big up nakupa maua yako Japo watu wengi hatupendi kufuatilia maudhui ya namna hii ila jua kua haupo pekeako jua kuna watu wanapenda maudhui haya Mungu akubariki Sana

  • @imahaule8817
    @imahaule8817 2 місяці тому

    5 AM CLUB✊✊✊✊✊

  • @japhetchambanenje5483
    @japhetchambanenje5483 2 місяці тому

    1;Desire, 2;Faith 3; Auto suggestions ( unajisemea ww ni mtu wa namna gani) 4; Specialized knowledge (kuwa na maarifa katika eneo husika) 5; Imagination ( kuwazaa vitu ambavyo havijabuniwa)6;Organized Planning (Mpango thabiti katika kuiendea ndoto yako)7; Decision (kuweza kufanya maamuzi)

  • @Dumbadumba-d9t
    @Dumbadumba-d9t 2 місяці тому

    Ni kitabu kizuri sana

  • @JustinMsuya
    @JustinMsuya 2 місяці тому

    🙏🙏🙏

  • @ImaniMandoto
    @ImaniMandoto 2 місяці тому

    Unafanya kazi kubwa Sana mkuu heshima kwako.

  • @ImaniMandoto
    @ImaniMandoto 2 місяці тому

    Nime kuelewa Sana nakazi. Yako Ina manufaa makubwa kwangu shukrani.

  • @VaticanViva
    @VaticanViva 2 місяці тому

    Hapo unanikumbusha nilikua nabeba zege ule msoto nilio kuwa nakula ilibidi nihis kama nipo na mwanamke nione kaz nyepes

  • @EmanuelMayombo1982
    @EmanuelMayombo1982 3 місяці тому

    Safi sana

  • @bushimani1544
    @bushimani1544 3 місяці тому

    Gd

  • @khalidhaji-ls2or
    @khalidhaji-ls2or 3 місяці тому

    Good brother

  • @mahirfauz1993
    @mahirfauz1993 3 місяці тому

    Allah akubarek sana

  • @bamMedia-Uj3
    @bamMedia-Uj3 3 місяці тому

    shukran sana🎉🎉

  • @EmanuelMayombo1982
    @EmanuelMayombo1982 3 місяці тому

    Safi sana

  • @EmanuelMayombo1982
    @EmanuelMayombo1982 3 місяці тому

    Nimeelewa

  • @EmanuelMayombo1982
    @EmanuelMayombo1982 3 місяці тому

    Safi sana kiongoz

  • @Abdulrahmanhassan18
    @Abdulrahmanhassan18 3 місяці тому

    Ahsante sana kwa maarifa