- 9
- 13 426
Kwaya Ya Mt. Mikaeli Malaika Mkuu - Salasala
Приєднався 3 лип 2023
LIVE PERFORMANCE KUTOKA KWAYA YA MT. YOHANE MBATIZAJI- KIJITONYAMA
'Udugu huponya ulimwengu, sisi sote ni ndugu.' Video Hii ni sehemu ya Onyesho Mubashara la Kwaya ya Mt. Yohane Mbatizaji - Kijitonyama Walipofanya ziara ya Kitume Parokia ya Mt. Agustino Salasala na kuhudumu katika Misa Dominika ya 32B. Baada ya Misa kwaya ilishirikishana udugu na upendo na Wenyeji wao kwaya ya Mt. Mikaeli Malaika Mkuu.
Переглядів: 256
Відео
DOMINIKA YA UMISIONI - ABASIA YA MT. BENEDIKTO PERAMIHO
Переглядів 501Місяць тому
KWAYA YA MT. MIKAELI MALAIKA MKUU - SALASALA IKIIMBA WIMBO WA MWANZO DOMINIKA YA 29B (DOMINIKA YA UMISIONI) WAKATI WA ZIARA YA HIJA NA UTUME HUKO PERAMIHO
SIFA KWA BWANA (PRAISE TO THE LORD ALMIGHTY) - MUALIKO KWA MISA DOMINIKA YA UMISIONI HUKO PERAMIHO
Переглядів 1,1 тис.2 місяці тому
Karibu Usikilize Kwaya ya Mt. Mikaeli Malaika Mkuu wakiimba wimbo huu Maarufu wa Sifa kwa Bwana kama mualiko wa kushiriki misa dominika ya 29B, Dominika ya Umisioni ambapo kwaya walifanya ziara ya Hija na Uinjilishaji katika Abasia na Parokia ya Mt. Benedikto huko Peramiho, Jimbo Kuu la Songea.
TWENDE KWA NANI? - Kwaya Ya Mt. Mikaeli Malaika Mkuu - Salasala, Dar es Salaam #kwayakatoliki
Переглядів 9824 місяці тому
Karibu Usikilize Wimbo mzuri wenye kutafakarisha mahusiano yetu na Mungu na wenye kuleta faraja kwa changamoto tunazopitia. Mtunzi: Batez Waimbaji: Kwaya Ya Mt. Mikaeli Malaika Mkuu - Salasala Mwito: Like, Comment & Subscribe Ili kusapoti na kuboresha utume #music #live #choir #gospelmusic #kwayakatoliki #kwaya
Mwimbieni Mungu Maana Katenda Maajabu - Mt. Mikaeli Malaika Mkuu - Salasala (Official Music Video)
Переглядів 8294 місяці тому
Kwaya ya Mt. Mikaeli Malaika Mkuu ni kwaya inayohudumu katika parokia ya Mt. Agustino - Salasala jimbo kuu la Dar es Salaam. Inafanya utume wa uimbaji katika misa takatifu kila dominika na sikukuu zilizoamriwa, katika misa za jumuiya, kanda, ndoa na maombolezo. Mnamo November 2022 katika mwaka uliokubaliwa na Bwana, Kwaya ilisherehekea Jubilei ya Miaka 25 ya uinjilishaji. Katika kumpa Mungu Shu...
KWAYA IKIIMBA VIZURI WIMBO MZURI WA KILATINI (VIVAT) WA KUWATAKIA HERI NA MAISHA MAREFU BABA ZETU.
Переглядів 7 тис.6 місяців тому
Karibu katika UA-cam Chaneli ya Kwaya Ya Mt. Mikaeli Malaika Mkuu Kutoka Parokia ya Mt. Agustino - Salasala Jimbo Kuu la Dar es Salaam. Chaneli hii ni maalumu katika kuinjilishana kwa njia ya Nyimbo, tenzi, zaburi na Maisha ya Wanakwaya hasa wakatoliki. Utabarikiwa kwa Kusubscribe, Kushare contents na Kuchangia utume huu wa kwaya. Karibu na Asante Sana.
BABA MWENYEZI MUNGU POKEA SIFA -HEHE MELODY @HOLYTRINITYSTUDIOS @JugoMedia @rajopro @kmkmakuburi
Переглядів 1,4 тис.Рік тому
Nakukaribisha Kusikiliza wimbo wa Ede Ede ambao umebeba ujumbe wa shukrani na tafakari ya neema na upendo wa Mungu Kwetu sisi wanadamu. Ni mengi Mungu amekutenda, kuishi kwetu, afya yetu, familia zetu, kazi, biashara, watoto, wazazi, ndoa, kipato, elimu, ndugu na majamaa nk. hizi zote ni neema ambazo Mungu ametujalia kwa kumuomba au kwa sababu ya upendo wake kwetu. Katika yote hatuna budi kumsh...
YOTE YATUPENDEZAYO YASILINGANISHWE NAWE MUNGU @muphilipmedia7944
Переглядів 1,4 тис.Рік тому
Nakukaribisha kusikiliza na kutafakari makuu ambayo Mungu amekutendea Maishani na kukupa Furaha ya Kweli inayodumu katika maisha yetu kila iitwayo leo. Furaha itokayo kwa Yesu sio kama ile tunayopewa na mataifa ambayo mara nyingi huleta furaha, ahueni na tabasamu la muda mfupi na baadae kuturudisha katika majonzi na huzuni kama tulivyokuwa mwanzo. Aidha, Ninayofuraha pia kukufahamisha kuwa; Yes...
Amen
Wapo wachache ila mziki mnene hatari
❤❤❤❤
Hongereni kumwimbia Mungu kwa kutulia namna hiyo, mlioshindwa kujizuia kuliai, Mungu awatie nguvu Penda sana kwaya ya Mt. Mikael Malaika Mkuu Salasala
Napenda utulivu uliopo katika wimbo huu Mungu awabariki sana❤
Jamn Mbona mmeimba vizur Mm sielew lakin sasa Daah nasema I no stress ana 😂😂😂
Organist🎉pedal umezitendea haki🎉
👍👍👍👍
Amina saan
Kazi nzuri watu wa Mungu
Imekaa poa sana 🎉
Mume,nikumbushambali,jaman
💯
Tumshukur,mungu,kwahili
hongereni sana kwa kuimba vizuri🙏 ....sauti ya kumwinua Mungu🤲 ....bila kumsahau maestro wetu Deo ngereza unajua maestro👍🙏
Hongereni! Mmemtukuza Bwana Kwa sauti nzuri👏👏👏
Safi kabisa!!
❤❤❤❤
kama kuna mwenzangu ameutazama wimbo huu zaidi ya mara moja kama mimi gonga like hapa
nakuona mwalimu Msasalaga maestro na mtunzi wa wimbo unaonibariki....TUNAKUOMBEA MWALIMU WETU ,kwa mtu asiyejua music hawez kuelewa nnachosema ,,keep it up 💥💪👏 mwalimu, tunaomba na misa yako uiweke swahili
hongereni kwa wimbo mzuri ....it's my best song ,naupenda sana !mnajua sana kuimba ,Mungu awabariki mtoe nyimbo zingine zuri kwaajili ya utukufu wake💓💓💓
Kwaya yetu, naipenda sana jamaani, hapa tuliimba vuzuri sana!!
Wow 👏
Uimbaji mtukufu
Msasalaga ❤❤❤
Yesu ndie Rafiki Mwema wa wakati wote , hongereni Kwa Utume.
Greate Job
❤💯
Good Job. Mbarikiwe sana
🎉cheers to Malaika mkuuu❤
blessed cathoric song
kwaya nzuri sana. Hongereni
Mwombezi wa Kwaya aendelee kuisimamia vyema na kufanya vizuri zaidi kwa kumtumikia Mungu. Mbarikiwe
Hongereni Kwa kuimba vizuri,
❤
❤🎉🎉🎉🎉
Mungu azidi kuwabariki na kuwainua Kwa Uinjilishaji mzuri mnaoufanya
Mungu azidi kuwabariki na kuwainua kwa viwango vya juu Kwa ajili ya utukufu wa Mungu.❤
Mungu mwema awainueee kwa viwango vya juu
Wimbo mzuri Sana huu nimependa
🎉🎉🎉🎉🎉
Mbarikiwe sana jamani🙏
Heshima kwenu wapendwa
Safi sana
Good job
Kazi nzuri sana, Mungu azidi kuwabariki
Kazi nzuri sana hongereni Mungu azidi kuwapigania
Hongereni sana,wimbo ni mzuri sana na unatafakarisha.
Hongereni sana kwa utume. Hakika mnainjilisha
🙏🙏
Huu wimbo ni burudisho tosha la moyo kama maneno yenyewe katika wimbo
Amina Sana