- 183
- 21 710
UzimaTele TV
Tanzania
Приєднався 15 гру 2018
Pentecostal Holiness Mission (PHM),
Ni Kanisa ambalo linaloongozwa katika misingi ya Kipentekoste. Kanisa la PHM - UZIMA UKONGA, lipo Jijini Dar es Salaam, Ukonga - Magereza katika eneo la Kichangani - Madukani. Kanisa linaamini juu ya Ubatizo wa Maji Mengi, Wokovu kwa wanadamu wote unaopatikana kwa kumwamini YESU KRISTO MWANA wa MUNGU aliye HAI. Na pia tunaamini juu ya ROHO MTAKATIFU mwenye Nguvu na Uweza ambaye humpatia Nguvu na Uwezo wa Kuishi maisha Matakatifu na Ushindi kila aaminiye kwa mujibu wa Ahadi za NENO LA MUNGU.
Kanisa la PHM - UZIMA UKONGA , DAR ES ALAAM lipo chini ya uangalizi wa Mchungaji Dickson Sifaeli Mbwambo na Florence S Mbwambo ambaye pia ni Askofu Msaidizi wa Jimbo - Sehemu ya Temeke.
Mungu Mkuu Kwa Utukufu Wake anawatumia watumishi wake, Kurejesha Uzima wa Mungu katika maisha ya watu walioteswa na Ibilisi shetani.
Yohana 10:10 "...Mimi nalikuja ili wawe na UZIMA, kisha wawe nao TELE"
Kwa mawasiliano: Piga +255 714 774 329 au +255 716 944 424

Відео
Ibada ya sifa ndani ya PHM UZIMA UKONGA
Переглядів 202 години тому
Ibada ya sifa ndani ya PHM UZIMA UKONGA
Amini tu. kwaya ya kanisa uzima ukonga
Переглядів 832 години тому
Amini tu. kwaya ya kanisa uzima ukonga
vitu vyote vinamjua YESU kuwa ni nani
Переглядів 1614 годин тому
vitu vyote vinamjua YESU kuwa ni nani
MAOMBI YA NGUVU YAFANYIKA NA WATU WAFUNGULIWA
Переглядів 9716 годин тому
MAOMBI YA NGUVU YAFANYIKA NA WATU WAFUNGULIWA
ibada ya jumapili ya mwisho ya mwezi wa kwanza na askofu Dickson mbwambo
Переглядів 91День тому
ibada ya jumapili ya mwisho ya mwezi wa kwanza na askofu Dickson mbwambo
Asiwepo mtu mwenye moyo mgumu wa kuto kuamini
Переглядів 2214 днів тому
Asiwepo mtu mwenye moyo mgumu wa kuto kuamini
Jumapili ya kwanza ya mwaka 2025 ujumbe mzito
Переглядів 73Місяць тому
Jumapili ya kwanza ya mwaka 2025 ujumbe mzito
NENO LA KINABII 2025 Mambo yatakuwa magumu sana kwa wasiomtafuta Mungu
Переглядів 76Місяць тому
NENO LA KINABII 2025 Mambo yatakuwa magumu sana kwa wasiomtafuta Mungu
salamu za mwaka mpya kutoka kwa ASKOFU Dickson MBWAMBO
Переглядів 22Місяць тому
salamu za mwaka mpya kutoka kwa ASKOFU Dickson MBWAMBO
JUMAPILI YA MWISHO 2024 NDANI YA PHM UZIMA UKONGA
Переглядів 35Місяць тому
JUMAPILI YA MWISHO 2024 NDANI YA PHM UZIMA UKONGA
watu wafunguliwa baada ya kuelewa somo la kujalibiwa
Переглядів 67Місяць тому
watu wafunguliwa baada ya kuelewa somo la kujalibiwa
mch wissa ndani ya phm uzima ukonga. huwezi kwenda juu bila kufaulu mtihani
Переглядів 94Місяць тому
mch wissa ndani ya phm uzima ukonga. huwezi kwenda juu bila kufaulu mtihani
kukosa utii kwako ni fursa kwa mwingine part 01
Переглядів 45Місяць тому
kukosa utii kwako ni fursa kwa mwingine part 01
Kukosa utii kwako ni fursa kwa mwingine
Переглядів 64Місяць тому
Kukosa utii kwako ni fursa kwa mwingine
Yesu ni wathamani kuliko vitu vyote part 01
Переглядів 802 місяці тому
Yesu ni wathamani kuliko vitu vyote part 01
YESU NI WATHAMANI KULIKO VIYU VYOTE BY MAMA ASKOFU FROLENCE MBWAMBO
Переглядів 482 місяці тому