- 41
- 12 112
jomgfarm
Приєднався 21 чер 2022
We are involved in agriculture, poultry farming and its products
Kuwapa vifaranga chanjo ya Newcastle
Kuwapa vifaranga chanjo ya Newcastle.
Kwa maitaji ya vifaranga na kuku wakubwa wanapatikana.
Tupo Pugu kwa Raisi
Mawasiliano: 0753571633
#poultryfarming #birds #chicken #chicks #farm #farming #kuku #poultry #ufugaji #ufugajiwakuku #agriculture #kuku #ufugajiwakuku #ufugaji #tanbro
Kwa maitaji ya vifaranga na kuku wakubwa wanapatikana.
Tupo Pugu kwa Raisi
Mawasiliano: 0753571633
#poultryfarming #birds #chicken #chicks #farm #farming #kuku #poultry #ufugaji #ufugajiwakuku #agriculture #kuku #ufugajiwakuku #ufugaji #tanbro
Переглядів: 11
Відео
Vifaranga machotara / tanbro Siku ya 6
Переглядів 4112 годин тому
Vifaranga machotara / tanbro Siku ya 6 Tupo Pugu kwa Raisi Mawasiliano: 0753571633 #birds #chicken #chicks #farm #farming #poultryfarming #poultryfarming #kuku #poultry #ufugajiwakuku #ufugaji #vifaranga
kuhudumia vifaranga siku ya kwanza
Переглядів 23121 годину тому
Kuhudumia vifaranga siku ya kwanza. Kwa maitaji ya vifaranga na kuku tuwasiliane tupo Pugu kwa Raisi Mawasiliano: 0753571633 #poultryfarming #chicken #farming #birds #chicks #farm
Maandalizi ya banda kabla yakuweka vifaranga.
Переглядів 61День тому
Maandalizi ya banda kabla yakuweka vifaranga. Kwa maitaji ya kuku na vifaranga tuwasiliane tupo Pugu kwa Raisi, 0753571633.
Kuchanganya chakula cha kuku wanaokua
Переглядів 851Місяць тому
Kuchanganya chakula cha kuku wanaokua Tupo Pugu kwa Raisi Mawasiliano: 0753571633
Kuroiler siku ya 50
Переглядів 269Місяць тому
Kuroiler siku ya 50 Tupo Pugu kwa Raisi Mawasiliano: 0753571633
Kuwakinga vifaranga na magonjwa
Переглядів 4352 місяці тому
kuwakinga vifaranga na magonjwa Tunapatikana Pugu kwa Raisi Mawasiliano: 0753571633
Jinsi ya kuwapa vifaranga chanjo ya Ndui
Переглядів 4892 місяці тому
Jinsi ya kuwapa vifaranga chanjo ya Ndui Tupo: Pugu kwa Raisi Mawasiliano:0753571633
Jinsi ya kuchanganya chakula cha vifaranga - Starter feed.
Переглядів 1,3 тис.2 місяці тому
Jinsi ya kuchanganya chakula cha vifaranga - Starter feed Mchanganuo wa chakula cha vifaranga/starter wa kilo 100. 1. Maindi/Paraza Kilo 25 2. Mashudu ya alizeti Kilo 20 3. Pumba za mahindi kilo 33 4. Soya ya mafuta kilo 5 5. Uduvi/Dagaa kilo 12 6. Chokaa ya mifugo kilo 2 7. Mifupa ya konokono/Shells kilo 2 8. Grower Premix kilo 1 9. Chumvi Nusu Kilo JUMLA Kilo 100 Zingatia: Chakula hiki kitumi...
Vifaranga vya kroiler, siku ya 29
Переглядів 2402 місяці тому
Vifaranga vya kroiler, siku ya 29 Tupo: Pugu kwa Raisi Mawasiliano:0753571633
Kroiler siku ya 19
Переглядів 3852 місяці тому
Vifaranga vya kroiler, maandalizi ya chanjo ya Newcastle, siku ya 19 Tupo: Pugu kwa Raisi Mawasiliano:0753571633
Jinsi ya kuwapa vifaranga chanjo ya Gumboro
Переглядів 3753 місяці тому
Jinsi ya kuwapa vifaranga chanjo ya Gumboro Tupo: Pugu kwa Raisi Mawasiliano:0753571633 #birds #chicken #kuroiler
Jinsi ya kuwapa vifaranga chanjo ya Newcastle/Mdondo
Переглядів 1123 місяці тому
Jinsi ya kuwapa vifaranga chanjo ya Newcastle/Mdondo
Maandalizi ya chanjo ya Newcastle, siku ya 6
Переглядів 943 місяці тому
Maandalizi ya chanjo ya Newcastle, siku ya 6
Vifaranga vya kroiler, siku ya kwanza
Переглядів 9943 місяці тому
Vifaranga vya kroiler, siku ya kwanza
Maandalizi ya banda kwa ajili ya kufugia kuku
Переглядів 183 місяці тому
Maandalizi ya banda kwa ajili ya kufugia kuku
Kuchanganya chakula cha kuku wanaotaga
Переглядів 88910 місяців тому
Kuchanganya chakula cha kuku wanaotaga
Maandalizi banda la vifaranga na kuingiza vifaranga bandani
Переглядів 372 роки тому
Maandalizi banda la vifaranga na kuingiza vifaranga bandani
Maandalizi ya banda la vifaranga video 1
Переглядів 432 роки тому
Maandalizi ya banda la vifaranga video 1
Banda bora la kuku chotara, kuroiler
Переглядів 2,5 тис.2 роки тому
Banda bora la kuku chotara, kuroiler
Chanzo chako cha joto unatumia nini?
@@annangemela1895 natumia chungu cha mkaa
Nahitaji nipo iringa
Mnapatikanawap
@@PraygodMangula tupo Dar es salaam Pugu kwa Raisi
jogoo moja unauzaje
Izo ni pumba za mchele ama
Ni pumba za mahindi
Hapo ni kuku wangapi
Je huo uduv na soya vinauzwa shs ngap kwa kilo?
Kaka naitaji kufuga naitaji mafunzokwako niepike vifo
Naitaji na mimi vifaranga vya kroira
Nahitaj vya siku moja no sh ngapi?
🎉🎉
ayo maji ni lita ngapi
ungeongea ingependeza zaidi.je yule ambaye hajui kusoma afaidikaje?tafadhalo
Nakubali
Nipo na ww mpk utakapokuza Hawa vifaranga
Mimi nauza vifaranga vya kroiler box 1 Ni 100000 wanakaa kuku 100 Kama utahitaji karibu
❤❤❤❤❤
Mambo kaka Mimi nahitaji majike na weza kupata !