- 12
- 4 820
Dayani Kitambi
Приєднався 14 жов 2022
Dayani K. kitambi Almaalufu kwajina la SHITAMBI SHABULA ni Msanii wa Maigizo,Mwimbaji, Mtunzi au mwandishi wa Story, na Muongozaji wa Filamu na CAMERA MAN napatikana Rujewa Mbarali mkoa wa Mbeya,Kwa mawasiliano zaidi unaweza nipigia kwa namba hizi - 0710803019/0744857539.
Dayani kitambi - lnolana inofu, (official Audio)
Dayani kitambi - lnolana inofu, (official Audio)
Переглядів: 45
Відео
Dayani kitambi - Umugosi nu washimayi (official Audio)
Переглядів 7521 день тому
Dayani kitambi - Umugosi nu washimayi (official Audio)
Dayani kitambi - Omwe Vasangu wona ( Official Audio )
Переглядів 13221 день тому
Dayani kitambi - Omwe Vasangu wona ( Official Audio )
Dayani Kitambi - Musa Nikikufilikha(Musa Nakutuma) [Official Video]
Переглядів 51811 місяців тому
Mpango wa Mungu kuwaokoa wanadamu Nijambo kubwa kwake Na ndio mana MUNGU aliwaokoa wana Israeli kupitia Musa lakini sasa Mungu anatuokoa kupitia Mwanaye Mpendwa amabaye ni Yesu kristo, Natamani wimbo huu Uwe Baraka kwako Unaye Tazama. MUSA NIKIKUFILIKHA ( MUSA NAKUTUMA ) 720HD. Produced By J.J Directed By Peris. More info: 0744857539 Subscribe to My channel :ua-cam.com/video/Cowcfh9vqLI/v-deo.html
Dayani Kitambi _Kwa Yesu Kuliutwa (Official Music Audio )
Переглядів 131Рік тому
Dayani Kitambi _Kwa Yesu Kuliutwa (Official Music Audio )
UNFAITHFUL PASTOR ( Mchungaji Asiye mwaminifu ) SHORT FILM FULL HD.
Переглядів 519Рік тому
TAZAMA MOVIE YANGU MPYA YENYE KUSISIMUA INAYO MUHUSU MCHUNGAJI AMBAYE AMEISHI MAISHA AMBAYO NI KINYUME NA UHALISIA WA UTUMISHI WAKE HAPA DUNIANI NA KUGEUKIA MAISHA YA ANASA YENYE DHAMBI NA MUNGU ANAMPITISHA KWENYE MAGUMU KUPITIA NDOTO ILI KUMKUMBUSHA AACHE NJIA YAKE MBAYA NA AMRUDIE MWENYEZI MUNGU. KWA USHAULI ZAIDI NIPIGIE -0710803019 AU 0744857539 , NAPATIKANA RUJEWA MBARALI MBEYA.
DAYANI KITAMBI - UNITETEE ( Official Music Video )
Переглядів 8112 роки тому
Kwa neema ya Mungu nimekua hivi nilivyo, namshukuru Mungu kwa karama aliyonipa ya Huduma hii ya Uimbaji, Nimeona Mungu akiniinua siku kwa siku mpendwa mtazamaji nakusihi Ungana nami katika hiki ambacho Mungu amenipatia Ili Karama hii niipalilie kwa Uimbaji mzuri na wenye kumtukuza Mungu na watu wabarikiwe katika Uimbaji huu. Amina Unaweza kuwasiliana namini wakati wowote kwa Msaada,Ushauri na M...
Dayani kitambi - Unitetee ( Official Music Audio )
Переглядів 712 роки тому
Dayani kitambi - Unitetee ( Official Music Audio )
Dayani kitambi - Nipemba ( Official Music Audio )
Переглядів 1532 роки тому
Dayani kitambi - Nipemba ( Official Music Audio )
Dayani Kitambi- Uliposema ( Official Music Video )
Переглядів 1,1 тис.2 роки тому
Dayani Kitambi- Uliposema ( Official Music Video )
THE LOST LOVE (PENZI LILILO POTEA) | SHORT FILM FULL HD VIDEO
Переглядів 1,1 тис.2 роки тому
THE LOST LOVE (PENZI LILILO POTEA) | SHORT FILM FULL HD VIDEO
Safisana ubarikiwe zaidi
Ubarikiwe keep it up ✨
Najivunia ww kipenz changu 🥰 kaka angu, pacha Mungu akubariki sana🙏🙏🙏
Hongera sana, hata m'buyu ulianza kama mchicha, ongeza bidii na ubunifu zaidi ✅✅✅ much love to you 👍👍👍
Kazi njema kaka
Naombeni coment
Rafiki mnafik
❤
Sana mze
Iko poa sana bro! Keep it up
Sawa dogo wangu
Ena asante
❤
Chukua tano tuzipeleke mbinguni my kaka
Pamoja my dada
Mungu akubaliki kaka angu
Ahsante mdogo wang
Haya muyaa wataa kushanya
Sawa bhana❤
Mbona imetafsriwa hapo chin
Niteteee mungu wangu nitetee
Kazi nzuri
Message sent, congratulations to you for what you have done just keep on it,,,,✍️
Kazi nzuri xanaaa✨✨ Mungu akubariki
Nimekubal mwamba
Hongera mtumishii kunidanganya muumini wako
Haha haha haya bhana
Good Good my brother
Nimeona kazi yako bro upo vzr sana Mungu azidi kukupa maujuzi
Nimeona kazi yako bro upo vzr nakubali sana
nzr
Nimesikiliza Àsante sana
Umakin zaid pia ongeza juhud
Asante kwa ushar ndugu
Ahsante sana
Kila la heri kaka angu kipenzi damu yangu baba angu wa pili mungu akutie nguvu akushike uinuke ili uweze kitusaidia ndgu zako ww ndo baba kwetu by vaileth karimu kitambi kwako dayan karim kitmb ndgu yangu wa damu mungu ni mwema💛💚💛💛
tutazidi kuipenda kazi yako kizazi hadi kizazi pidoboy kutoka mbeya
Safi sana kaka angu mungu akutie nguvu 🥰🥰🥰🥰 ktk utumishi wako
My God help me
Favorite song
Mungu akubariki❣️❣️
Asante mwanangu
Asante mpendwa
Kazi mpya ni noma subscrub zianguke hapo
Safi sana
Safi sana nimeipenda
Pamoja Sana mwamba wangu
Good
❤ asante
Nimekuona bwana umepambana
Kazi nzuli