Jabali Tv
Jabali Tv
  • 110
  • 13 143
Kampuni za Kenya zinatambulishwa kwa Kanuni tano (KAIZEN Principles) kupitia KIRDI na Japan
Taasisi ya Utafiti na Maendeleo ya Viwanda Kenya (KIRDI) inashirikiana na serikali ya Japan kuimarisha ubora na uzalishaji wa bidhaa zilizo na uwezo wa kukubalika katika soko la kimataifa.
Kulingana na Mkurugenzi Mkuu wa KIRDI, Dkt. Calvin Onyango kupitia ushirikiano huo, kampuni za Kenya zinatambulishwa kwa Kanuni tano alamaarufu KAIZEN Principles, ambazo zinalenga kuongeza tija na mapato, hatua ambayo itaongeza ushindani wa viwanda nchin
Переглядів: 0

Відео

Jeneza aina ya ndege,mtaani Kondele Kisumu
Переглядів 89 годин тому
Jeneza aina ya ndege,mtaani Kondele Kisumu
Timiza ahadi tukupigie kura 2027, wakazi wa Kisumu wamshauri rais Ruto
Переглядів 372 години тому
Baadhi ya wakazi wa Kisumu wameapa kumpigia kura rais William Ruto, ikiwa atatimiza ahadi zake kwao kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Rais Ruto alikuwa Kisumu mnamo Jumanne kwa mara ya pili katika kipindi cha miezi miwil
GENEZA LA AJABU
Переглядів 782 години тому
Wakaazi wa kondele katika kaunti ya Kisumu walistajaabu kuliona geneza la aina yake lenye muundo wa ndege, huku mwili ukiwa ndani ukisubiri kusafirishwa hadi kaunti ya Migori kutakakofanyika mazishi.
KIRDI na FAO yatoa mafunzo kwa wawekezaji wadogo wadogo kuhusu kupunguza hasara baada ya mavuno
Переглядів 1962 години тому
Taasisi ya KIRDI kwa ushirikiano na Shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu Chakula na Kilimo FAO, inatoa mafunzo kwa wawekezaji wadogo wadogo kuhusu kupunguza hasara baada ya mavuno
Matumizi ya pombe na mihadarati yamesababisha hofu sana nchini
Переглядів 292 години тому
Matumizi ya pombe na mihadarati yamesababisha hofu sana nchini
Ahadi za rais William Ruto kwa wakazi wa Kisumu
Переглядів 1044 години тому
Ahadi za rais William Ruto kwa wakazi wa Kisumu
Rais William Ruto kufungua kongamano la AfSNET Kisumu
Переглядів 504 години тому
Rais William Ruto kufungua kongamano la AfSNET Kisumu
Wajane katika Kaunti ya Kisumu wapata krismasi ya mapema katika eneo la Nyamasaria
Переглядів 10412 годин тому
Wajane katika Kaunti ya Kisumu wapata krismasi ya mapema katika eneo la Nyamasaria
Mradi wa uchimbaji dhahabu wa Ramula-Mwibona wapata pingamizi
Переглядів 17212 годин тому
Baadhi ya wakazi wa Gem kaunti ya Siaya na Luanda kaunti ya Vihiga wamepinga mradi wa uchimbaji dhahabu wa Ramula-Mwibona. Mradi huo unaofahamika kama ‘Open Pit Mining,’ umependekezwa na kampuni ya Shanta Gold
Kisumu City Manager, Abala Wanga declares ‘packed entertainment program’
Переглядів 9319 годин тому
Residents of Kisumu have been urged to prepare for entertainment galore, during the Christmas and New Year Festivities. Addressing the press on Wednesday, Wanga said with Congolese singer Koffi Olomide, Prince Indah and the Zaiko Langalanga band will set the ball rolling during the Mzuka festival, on December 14, 2024, at the Jomo Kenyatta International Sports Stadium, in Mamboleo. He assured K...
Wanaharakati wamtaka rais Ruto kufutilia mbali hotuba yake kwa taifa
Переглядів 22919 годин тому
Baadhi ya wanaharakati jijini Kisumu, wamemtaka rais William Ruto kufuatilia mbali hotubu kwa taifa, wakati kiongozi huyo akijiandaa kwa mchakato huo wa kikatiba Ruto anatarajiwa kuhutubia taifa kupitia kikao cha pamoja cha wabunge na maseneta, hapo kesho Alhamisi tarehe 21 Novemba, 2024
Viongozi wa kididni wamtaka Rais Ruto kushughulikia baadhi ya changamoto zinazowakumba wakenya
Переглядів 71День тому
Viongozi wa kidini katika eneo la Nyanza, wamemtaka rais William Ruto kuchukua hatua za haraka kutataua changamoto mbali mbali zinazowakabili wakenya
Chapa Kazi na Oliver Ochieng, akiwa na daktari Alfred Mayani wa hospitali ya Agha Khan, Kisumu.PRT 2
Переглядів 14День тому
Chapa Kazi na Oliver Ochieng, akiwa na daktari Alfred Mayani wa hospitali ya Agha Khan, Kisumu.PRT 2
Chapa Kazi na Oliver Ochieng, akiwa na daktari Alfred Mayani wa hospitali ya Agha Khan, Kisumu
Переглядів 42День тому
Chapa Kazi na Oliver Ochieng, akiwa na daktari Alfred Mayani wa hospitali ya Agha Khan, Kisumu
Waziri Mutua atangaza usajili wa vijana kufanya kazi ng’ambo
Переглядів 116День тому
Waziri Mutua atangaza usajili wa vijana kufanya kazi ng’ambo
Tamasha la ‘Piny Luo’ Kaunti Siaya
Переглядів 16114 днів тому
Tamasha la ‘Piny Luo’ Kaunti Siaya
Wanafunzi wa taasisi ya elimu ya kiufundi ya KMET jijini Kisumu waliokamilisha masomo yao wafuzu
Переглядів 24014 днів тому
Wanafunzi wa taasisi ya elimu ya kiufundi ya KMET jijini Kisumu waliokamilisha masomo yao wafuzu
Wachimba migodi wapata mafunzo kuhusu njia salama kuhusu kuendesha ucbimbaji wa madini
Переглядів 9914 днів тому
Wachimba migodi wapata mafunzo kuhusu njia salama kuhusu kuendesha ucbimbaji wa madini
Kaunti ya Kisumu yapata katibu mpya
Переглядів 4114 днів тому
Kaunti ya Kisumu yapata katibu mpya
Benki ya ABSA imeandaa kikao na wafanyabiashara 200 kutoka eneo la Magharibi
Переглядів 6614 днів тому
Benki ya ABSA imeandaa kikao na wafanyabiashara 200 kutoka eneo la Magharibi
Serikali kuu na za kaunti zatakiwa kuwapa vifaa maalum wachimba madini
Переглядів 4514 днів тому
Serikali kuu na za kaunti zatakiwa kuwapa vifaa maalum wachimba madini
Wazazi wahimizwa kuwapeleka wanao kwenye vituo vya dayacare badala ya kuwafungia kwenye nyumba
Переглядів 8021 день тому
Wazazi wahimizwa kuwapeleka wanao kwenye vituo vya dayacare badala ya kuwafungia kwenye nyumba
Juhudi za kuboresha hospitali ya kimishenari ya Maseno
Переглядів 2321 день тому
Juhudi za kuboresha hospitali ya kimishenari ya Maseno
Pana haja ya wazazi kushirikiana na walimu ili kufanikisha mtaala wa CBC
Переглядів 300Місяць тому
Pana haja ya wazazi kushirikiana na walimu ili kufanikisha mtaala wa CBC
Wevarsity Sacco yailambisha sakafu Water Project mjini Kakamega
Переглядів 44Місяць тому
Wevarsity Sacco yailambisha sakafu Water Project mjini Kakamega
Wakfu wa Mercy and Love kwa ushirikiano na KMET wapeana matibabu bila malipo
Переглядів 21Місяць тому
Wakfu wa Mercy and Love kwa ushirikiano na KMET wapeana matibabu bila malipo
Wevarsity sacco inaadhimisha miaka 20 tangu kuasisiwa
Переглядів 76Місяць тому
Wevarsity sacco inaadhimisha miaka 20 tangu kuasisiwa
Kampuni ya Yego Mobility, imezindua huduma za teksi jijini Kisumu
Переглядів 47Місяць тому
Kampuni ya Yego Mobility, imezindua huduma za teksi jijini Kisumu
Kauli mbiu ya tamasha la mwaka huu ni ‘Omena’
Переглядів 15Місяць тому
Kauli mbiu ya tamasha la mwaka huu ni ‘Omena’

КОМЕНТАРІ

  • @JournalistLeylah
    @JournalistLeylah 22 години тому

    Maajabu haya😂🙌.wacha nicheke ata kwa kifo

  • @sun-flower8408
    @sun-flower8408 3 дні тому

    que hago aqui

  • @OkeyoEmanuel-z8l
    @OkeyoEmanuel-z8l 4 дні тому

    Good job 🎉

  • @MillicentRanda
    @MillicentRanda 4 дні тому

    Kazi nzuri! Hatua nzuri!

    • @JabaliTv.
      @JabaliTv. 4 дні тому

      @@MillicentRanda kila hatua dua

  • @LeonardNgenoh-v3m
    @LeonardNgenoh-v3m 7 днів тому

    Funga your satanic ears. The adress to the Nation is constitutional. Are you worshiping your church leaders? Then you remain CURSED by God

  • @asiepetjoan3067
    @asiepetjoan3067 12 днів тому

    Prof. Also look at scholarship for that girl singing. Let her reach greater heights in her career. Don't keep quiet about it.

  • @asiepetjoan3067
    @asiepetjoan3067 12 днів тому

    Profit.Anyang thanks for this good gesture. This is nurturing young minds and encouraging them. Please look at the brain(teacher) behind this.

  • @brendamuteti4448
    @brendamuteti4448 Місяць тому

    Great

  • @emmanuelokoth4662
    @emmanuelokoth4662 Місяць тому

    👌👌

  • @movinopiyo8347
    @movinopiyo8347 Місяць тому

    Great

  • @HamsiAmstrong
    @HamsiAmstrong Місяць тому

    Watching from Kisumu Dala ❤❤

  • @oladokunsamuel5923
    @oladokunsamuel5923 2 місяці тому

    One of the things destroying the modern world.

  • @oladokunsamuel5923
    @oladokunsamuel5923 2 місяці тому

    One of the things destroying the modern world.

  • @danielsinda
    @danielsinda 2 місяці тому

    Wawe kama p.a.g Tanzania uchaguzi unaenda vizuri

  • @mrnajah2000
    @mrnajah2000 2 місяці тому

    Nani aliwaambia lihanda atawachilia kwa urahisi? It shall be a battle

  • @PASKAMASENOODERO
    @PASKAMASENOODERO 2 місяці тому

    WELL DONE GOOD IMPROVEMENT

  • @Bebecomedian42
    @Bebecomedian42 2 місяці тому

    Nice work bro Abonyo

  • @danielonyango5078
    @danielonyango5078 3 місяці тому

    Safi kabisa

  • @atienootieno1091
    @atienootieno1091 3 місяці тому

    Weeeh

  • @orejemike
    @orejemike 4 місяці тому

    Haki na usawa, asante Jabali TV

  • @bernard_wandera
    @bernard_wandera 4 місяці тому

    This is well researched.👍

  • @orejemike
    @orejemike 4 місяці тому

    Quality production Jabali TV

  • @AnnMwanasarifu
    @AnnMwanasarifu 4 місяці тому

    Asanteni Kwa kuzidisha ukwasi wa lugha

  • @CHUNYONAGITV
    @CHUNYONAGITV 4 місяці тому

    Nice

  • @cleo_gatete
    @cleo_gatete 4 місяці тому

    Inapendeza kweli 👏👏👏👏

  • @orejemike
    @orejemike 4 місяці тому

    Twapata habari mwafaka huku Mombasa, twapenda Jabali.

  • @WinnnieSirengo
    @WinnnieSirengo 4 місяці тому

    Welldone shemeji❤

  • @labanshikokoti68
    @labanshikokoti68 4 місяці тому

    Hongereni

  • @mosesoduwa4395
    @mosesoduwa4395 4 місяці тому

    Shule ya kina..... Junior school

  • @mosesoduwa4395
    @mosesoduwa4395 4 місяці тому

    Kazi kuntu walimu wakereketwa

  • @mstahifumabruki6690
    @mstahifumabruki6690 4 місяці тому

    Hongera sana kwa kazi nzuri.

    • @JabaliTv.
      @JabaliTv. 4 місяці тому

      @@mstahifumabruki6690 shukran guru

  • @bongatube
    @bongatube 5 місяців тому

    Muhimu sana

  • @orejemike
    @orejemike 5 місяців тому

    Jabali remains to be a top media house within the Kenyan nation. The quality production in this media house brands it as one of the best. Napenda Jabali. Je, wewe?

  • @orejemike
    @orejemike 5 місяців тому

    I've fallen in love with the beautiful health impact revealed in Jabali. This proves this media house as one of the best media houses in Kenya. Asante Jabali❤❤

    • @JabaliTv.
      @JabaliTv. 5 місяців тому

      Asante sana, Tupo Sababu Upo!

  • @TOBIASOTIENOO
    @TOBIASOTIENOO 6 місяців тому

    Brilliant

  • @LaurineJepchirchir
    @LaurineJepchirchir 8 місяців тому

    Nice work 💯💯

  • @Monika-x7i7g
    @Monika-x7i7g 9 місяців тому

    Kazi safi

  • @wakasa_ke
    @wakasa_ke 9 місяців тому

    Hii ni Bora

  • @lizmarbmusanga8286
    @lizmarbmusanga8286 9 місяців тому

    Beautiful girls, go go go !

  • @Mac-u9o
    @Mac-u9o 9 місяців тому

    Good work 😅😅

  • @bettynzioka657
    @bettynzioka657 9 місяців тому

    Powerful

  • @zuhurathwalib.3171
    @zuhurathwalib.3171 9 місяців тому

    MashaAllah zuchu keep it up mamah

  • @danielonyango5078
    @danielonyango5078 9 місяців тому

    Safi kabisa 😊

  • @millicentbosire4032
    @millicentbosire4032 9 місяців тому

    Go go girl🎉

  • @sharonondeko8073
    @sharonondeko8073 9 місяців тому

    Good work

  • @leonardmurunga5910
    @leonardmurunga5910 11 місяців тому

    💪

  • @lunalotv
    @lunalotv 11 місяців тому

    Kabisa kiongozi walunalo tv