- 112
- 46 919
Huduma ya Madhabahu ya Kristo.
Приєднався 20 бер 2020
Ubatizo wetu katika Yesu Kristo By Mwl Christian Mwabukusi.
Ubatizo wetu katika Yesu Kristo By Mwl Christian Mwabukusi.
Переглядів: 124
Відео
Mateso ya Yesu kama ubatizo By Mwl Christian Mwabukusi
Переглядів 1017 місяців тому
Mateso ya Yesu kama ubatizo By Mwl Christian Mwabukusi
Siri iliyojificha katika msalaba wa Yesu Kristo By Mwl: Christian Mwabukusi.
Переглядів 1318 місяців тому
Siri iliyojificha katika msalaba wa Yesu Kristo By Mwl: Christian Mwabukusi.
Ukombozi wetu kupitia Yesu Kristo By Mwl:Christian Mwabukusi
Переглядів 1338 місяців тому
Ukombozi wetu kupitia Yesu Kristo By Mwl:Christian Mwabukusi
Msiwe na walimu wengi sehemu ya 3 By Mwl Christian Mwabukusi
Переглядів 518 місяців тому
Msiwe na walimu wengi sehemu ya 3 By Mwl Christian Mwabukusi
Msiwe na Mwalimu wengi Sehemu ya 2 By Mwl Christian Mwabukusi.
Переглядів 1178 місяців тому
Msiwe na Mwalimu wengi Sehemu ya 2 By Mwl Christian Mwabukusi.
Msiwe na walimu wengi 1 Yakobo 3:10 Mwl Christian Mwabukusi.
Переглядів 888 місяців тому
Msiwe na walimu wengi 1 Yakobo 3:10 Mwl Christian Mwabukusi.
Thawabu tunayoipata tunapomtumukua Mungu By Mwl:Christian Mwabukusi.
Переглядів 230Рік тому
Thawabu tunayoipata tunapomtumukua Mungu By Mwl:Christian Mwabukusi.
Thawabu tunayoipata kwa kumtumikia Mungu By Mwl:Christian Mwabukusi.
Переглядів 285Рік тому
Thawabu tunayoipata kwa kumtumikia Mungu By Mwl:Christian Mwabukusi.
The reward of serving God By Mwl: Christian Mwabukusi.
Переглядів 173Рік тому
The reward of serving God By Mwl: Christian Mwabukusi.
Thawabu ya kumtumikia Mungu By Mwl:Christian Mwabukusi.
Переглядів 201Рік тому
Ni muendelezo wa somo liitwalo thawabu ya kumtumikia Mungu ambalo mwalimu Christian Mwabukusi alifundisha katika siku ya pili ya semina katika kanisa la KKKT usharika wa Losikito.
Thawabu ya kumtumikia Mungu By Mwl: Christian Mwabukusi.
Переглядів 137Рік тому
Ni semina ya neno la Mungu iliyofanyika katika kanisa la KKKT usharika wa Lositoti
Ufunuo kuhusu maarifa,hekima na ufahamu Mwl:Christian Mwabukusi.
Переглядів 146Рік тому
Ufunuo kuhusu maarifa,hekima na ufahamu Mwl:Christian Mwabukusi.
Hekima ,ufahamu na maarifa By Mwl: Christian Mwabukusi.
Переглядів 160Рік тому
Hekima ,ufahamu na maarifa By Mwl: Christian Mwabukusi.
Ufunuo kuhusu madhabahu By Mwl Christian Mwabukusi.
Переглядів 149Рік тому
Ufunuo kuhusu madhabahu By Mwl Christian Mwabukusi.
Umuhimu wa madhabahu katika ulimwengu wa roho by Mwl: Christian Mwabukusi.
Переглядів 272Рік тому
Umuhimu wa madhabahu katika ulimwengu wa roho by Mwl: Christian Mwabukusi.
Utambue utendaji wa madhabahu /Mwl:Christian Mwabukusi.
Переглядів 260Рік тому
Utambue utendaji wa madhabahu /Mwl:Christian Mwabukusi.
New messege from Mwal;Christian Mwabukusi
Переглядів 205Рік тому
New messege from Mwal;Christian Mwabukusi
Sikiliza ujumbe huu kuna kitu cha kukusaidia
Переглядів 652Рік тому
Sikiliza ujumbe huu kuna kitu cha kukusaidia
Ndoa na wana ndoa by Mwl: Christian Mwabukusi
Переглядів 123Рік тому
Ndoa na wana ndoa by Mwl: Christian Mwabukusi
Wape watu Yesu usiwape watu hela by Mwl: Christian Mwabukusi.
Переглядів 206Рік тому
Wape watu Yesu usiwape watu hela by Mwl: Christian Mwabukusi.
Mavazi ya rohoni by Mwl:Christian Mwabukusi.
Переглядів 217Рік тому
Mavazi ya rohoni by Mwl:Christian Mwabukusi.
Utambue ulimwengu wa roho ili kuwashinda wafalme wa giza By Mwl:Christian Mwabukusi.
Переглядів 522Рік тому
Utambue ulimwengu wa roho ili kuwashinda wafalme wa giza By Mwl:Christian Mwabukusi.
Know the spirit world to overcome the gates of hell/Mwl Christian Mwabukusi.
Переглядів 200Рік тому
Know the spirit world to overcome the gates of hell/Mwl Christian Mwabukusi.
Fahamu yaliyojificha kwenye matambiko By Mwl Christian Mwabukusi
Переглядів 4732 роки тому
Fahamu yaliyojificha kwenye matambiko By Mwl Christian Mwabukusi
Fahamu ulimwengu wa roho na sadaka za kishetani
Переглядів 8922 роки тому
Fahamu ulimwengu wa roho na sadaka za kishetani
History of Mwl; Christian Mwabukusi in brief.
Переглядів 7622 роки тому
History of Mwl; Christian Mwabukusi in brief.
Ukombozi kupitia Maji na Fruto By Mwl: Christian Mwabukusi
Переглядів 6652 роки тому
Ukombozi kupitia Maji na Fruto By Mwl: Christian Mwabukusi
Ukombozi kupitia aridhi ya kwenu Mwl: Christian Mwabukusi.
Переглядів 1,1 тис.2 роки тому
Ukombozi kupitia aridhi ya kwenu Mwl: Christian Mwabukusi.
Je unajua maana ya Diamond , Platnum na madini mengine fatilia ujue Mwl: Christian Mwabukusi.
Переглядів 1,6 тис.2 роки тому
Je unajua maana ya Diamond , Platnum na madini mengine fatilia ujue Mwl: Christian Mwabukusi.
Ah nakukumbuka kassim MUNGU akubariki
Bwana Yesu asifiwe! Naomba kuelekezwa kwenye link ya huu wimbo ambao umechezwa wakati wa maombi. Nina hamu ya kuujua huu wimbo kwa lugha ya Kiswahili. Kwa Kiingereza unaitwa ' I hear thy welcome voice'. Sikujua kuna tafsiri ya Kiswahili. Ahsante.
kwanini kwenye ushuhuda lazima mtu aseme uongo wa kusisimua? Story za vijiweni hizi.
Mtumish umependezea na hii shati ua-cam.com/video/uG__xhndt9g/v-deo.htmlsi=iFeeRXLYsIqwAW_d Ubarikiwe sana
Hii madhabahu itakujalikana tu hata iweje ua-cam.com/video/uG__xhndt9g/v-deo.htmlsi=iFeeRXLYsIqwAW_d
Mwabukusi ua-cam.com/video/uG__xhndt9g/v-deo.htmlsi=iFeeRXLYsIqwAW_d
Hai kingereka tunataman uje
Wow Ukimpokea yesu dunia inakukataa. So tusitafute dunia kutupenda. Wow
Mpigie kwenye simu zake mtumishi no zipo halo mwanzo wa somo na mwisho wa somo
Mtumishi shalom, nauliza hivi tukimwomba Mungu ahadi zake bila ya vitendo vya Imani hatuwezi kupata matokeo??
Ndio maana mlokolè wa kweli hapaki lipustck
Amen katika Jina la Yesu. Asante Mtumishi wa Mungu, Ubarikiwe.
Amen mwalimu
Kweli Mwalimu umezungumza ukweli
Touching so much
Very powerful message, uzidi kutupa mafundisho mtumishi wa Mungu..
Mtumishi nilikuwa nakufuatilia sana wakati naishi Arusha. Nitaendelea kukufuatilia hapa you tube Barikiwa sana
Nimebarikiwa sana na hili somo.
Sio kuzimu ulikoenda ni baharini kuzimu ni giza
Mmewafanya watu kutegemea vitu badala ya jina la Yesu Kristo, achaneni na hivyo vitu mtakataliwa na Bwana Yesu na watu wote wanaotumia hivyo wanajinajisi Bwana Yesu atawakataa, Hata kama Bwana Yesu alikupeleka kuzimu anaweza kukutupa huko usipoacha kutumia hivyo vitu na kuwafundisha watu, Yakobo 2:10 [10]Maana mtu awaye yote atakayeishika sheria yote, ila akajikwaa katika neno moja, amekosa juu ya yote.
Mtumishi nakukumbuka ulipokuwa Safina radio, na nilijua ulitika uliachana na maji na fruto na mafuta ya upako, kumbe unaendeleza kupotosha na kudanganya watu kuhusu fruto na maji, nakushauri fundisha Neno achana na hivyo vitu wewe ni mtumishi mzuri sana na Mungu amekuita ila usipo achana na hiyo Injili utaishia Jehanamu, Tuambie kweny Bibilia ni wapi Bwana wetu Yesu Kristo aliombea maji akawapa makutano au wanafunzi wake..? Kati ya mitume walio tuletea Petro, Yohana, Yakobo na Paulo mwenyewe aliyeandika vitabu vingi kwenye Bibilia ni wapi aliombea kitu chochote akawapa watu wakatumie, acha mahubiri ya Kuzimu Christian hubiri Injili ya kweli jina la Yesu Kristo halihitaji visaidizi, na Paulo aliwalaani watumishi kama nyie, Wagalatia 1:8 [8]Lakini ijapokuwa sisi au malaika wa mbinguni atawahubiri ninyi injili yo yote isipokuwa hiyo tuliyowahubiri, na alaaniwe. Tubu Mtumishi achana na hivyo vitu, usipoachana, utaishia Jehanamu pamoja na kufanya kazi kubwa kwenye Ufalme wa Mungu.
YESU KRISTO tufundishe unyenyekevu na utii, tufanyike kuwa Wana wa BABA Yako.
Vipindi viwe endelevuuuuu
Amina mtumishi wa MUNGU umenipa maarifa haya
Mtumishi shalom, tunabarikiwa sana na kazi zako tunaomba uendelee kutuwekea mafundisho kwenye hii page Yako..na Mungu azidi kukubarikia.
Ushuhuda mzur sn
Mchungaji nimependa haya maongezi ya baraka mcungaji unajawa na furaha unacheka alafu inaleta raha
Tunabarikiwa sana Mtumishi
Ameni sana
Amen
Mtumishi shalom, unajua sababu ya kuomba tuweze kudownload ni kupunguza gharama za kujiunga na bando kusikiliza mara Kwa mara na kudownload ni mara Moja inapunguza gharama.
Mungu akujalie upost mahubiri mengi
Barikiwa Mwalimu
Asante kwa kufatilia masomo haya Mwalimu Tosha Nyiti
Ameni sana mtumishi
tumia viedorder downloader
Mtumishi Bwana Yesu asifiwe, tunazidi kubarikiwa Kwa mafundisho ila mbona hatuwezi kudownload?
Tunazidi kubarikiwa Kwa mafundisho unayotupa.
Amen, Amen, Amen. Utukufu kwa Bwana Yesu
Amina mtumishi wa Mungu
Mtumishi tunabarikiwa sana na huduma Yako, ila kipengele Cha kudownload ndio imekuwa changamoto.
Asante mtumishi, siku moja niliota nafua nguo zangu niliota mara mbili kubiblia manake nini
Ufunuo 7:13-17
13 Akajibu mmoja wa wale wazee akiniambia, Je! Watu hawa waliovikwa mavazi meupe ni akina nani? Na wametoka wapi? 14 Nikamwambia, Bwana wangu, wajua wewe. Akaniambia, Hao ndio wanatoka katika dhiki ile iliyo kuu, nao wamefua mavazi yao, na kuyafanya meupe katika damu ya Mwana-Kondoo. 15 Kwa hiyo wako mbele ya kiti cha enzi cha Mungu, nao wanamtumikia mchana na usiku katika hekalu lake, na yeye aketiye katika kiti cha enzi atatanda hema yake juu yao. 16 Hawataona njaa tena, wala hawataona kiu tena, wala jua halitawapiga, wala hari iliyo yote. 17 Kwa maana huyo Mwana-Kondoo, aliye katikati ya kiti cha enzi, atawachunga, naye atawaongoza kwenye chemchemi za maji yenye uhai, na Mungu atayafuta machozi yote katika macho yao.
Ni kweli kabisa, Mungu atusaidie
Amen, 🙏🙏🙏 Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu.
Amen! Utukufu kwa Bwana Yesu
Hongera mtumishi wa Mungu nafuatilia masomo Yako . Ubarikiwe sana
Amina, utukufu kwa Bwana Yesu
Amen Amen Glory to God ❤
Mtumishi tunabarikiwa sana na huduma ila mbona hatuwezi kudownload?
Narekebisha hilo
@@christianmwabukusi8132 Tumia videorder kudownload.
Mungu azidi kukuinua Mwl...
Be blessed Mtumishi
Amen 🙏🏿
UKICHUNGUZA KWA MAKINI NDIO KATOA STORY YA KUFUNDISHA LAKINI WATUMISHI WENGI WANAOTOA STORY KAMA HIZI SIJUI KWANINI HUWA WANA SEMA WALIKUWA WAISLAM SASA NI ILI DINI YA UISLAM IONEKANE VIBAYA ?? LAKINI DINI HAINA SHIDA ILA YEYE NDIO ALIKUWA NA MATATIZO
MUONGO MKUBWA SANA HUYO JAMAA MBONA MNALETA FASIHI SIMULIZI KWENYE DINI
Matumizi ya sadaka hasa ni yapi mbali na fungu la kumi, nakushukuru kwa kutufungua macho kweli mungu anatupenda apendi tupoteeee