Nurul Kitab Wa Sunnah
Nurul Kitab Wa Sunnah
  • 188
  • 32 964
UISLAMU KUSIMAMA
*📽 UISLAMU KUSIMAMA*
*🎙 Sheikh ABUU SUMAIYYAH YUSUF MAGWAGU حفظه الله*
FAIDA YA LEO
👇👇
ua-cam.com/video/bIynKIJ5aGc/v-deo.html
*LIKE👍 SUBSCRIBE🔔 SHARE🖇*
•┈┈••••○○❁🌷❁○○••••┈┈•
Sambaza na ungana na chaneli zetu:-
╭── ••⇣⇣🔴 *UA-cam* 🔴
╰┈➢ www.youtube.com/@Nurul_Kitab_Wa_Sunnah
╭── ••⇣⇣🪀 *WHATSAPP* 🪀
╰┈➢ whatsapp.com/channel/0029Va7tZ1x3gvWdMZi3cc2d
╭── ••⇣⇣🔵 *TELEGRAM* 🔵
╰┈➢ t.me/Nurul_Kitab_Wa_Sunnah
@Nurul_Kitab_Wa_SunnahTufuate
mindaoni kupitia Viunganishi Hivi hapa
01: NURUL KITAB WA SUNNAH
A WhatsApp
whatsapp.com/channel/0029Va7tZ1x3gvWdMZi3cc2d
B Telegram
t.me/Nurul_Kitab_Wa_Sunnah
C TikTok
www.tiktok.com/@nurul_kitab_wa_sunnah
D Instagram
nurul_kitab_wa_sunnah
E UA-cam
www.youtube.com/@Nurul_Kitab_Wa_Sunnah
F Facebook
profile.php?id=61559935071055
G NURUL KITABU WA SUNNAH MASWALI NA MAJIBU
i): Telegram
t.me/Nurul_Kitab_Wa_Sunnah_S_J
Переглядів: 25

Відео

USIANGALIE JUU JUU KATIKA KUTAKA KUOA
Переглядів 6121 годину тому
*🎬: USIANGALIE JUU JUU KATIKA KUTAKA KUOA* *🎙 Sheikh ABUL KHATWAAB ABDALLAH HUMEIYD حفظه الله* FAIDA YA LEO 👇👇 ua-cam.com/video/WqOtt1I6Eeo/v-deo.html *LIKE👍 SUBSCRIBE🔔 SHARE🖇* •┈┈••••○○❁🌷❁○○••••┈┈• Sambaza na ungana na chaneli zetu:- ╭── ••⇣⇣🔴 *UA-cam* 🔴 ╰┈➢ www.youtube.com/@Nurul_Kitab_Wa_Sunnah ╭── ••⇣⇣🪀 *WHATSAPP* 🪀 ╰┈➢ whatsapp.com/channel/0029Va7tZ1x3gvWdMZi3cc2d ╭── ••⇣⇣🔵 *TELEGRAM* 🔵 ╰┈...
LAZIMA UTATAKA MUME AU MKE
Переглядів 132День тому
*🎬: LAZIMA UTATAKA MUME AU MKE* *🎙 Sheikh HUSSEIN SEMBE حفظه الله* FAIDA YA LEO 👇👇 ua-cam.com/video/-dU27VUpHxM/v-deo.html *LIKE👍 SUBSCRIBE🔔 SHARE🖇* •┈┈••••○○❁🌷❁○○••••┈┈• Sambaza na ungana na chaneli zetu:- ╭── ••⇣⇣🔴 *UA-cam* 🔴 ╰┈➢ www.youtube.com/@Nurul_Kitab_Wa_Sunnah ╭── ••⇣⇣🪀 *WHATSAPP* 🪀 ╰┈➢ whatsapp.com/channel/0029Va7tZ1x3gvWdMZi3cc2d ╭── ••⇣⇣🔵 *TELEGRAM* 🔵 ╰┈➢ t.me/Nurul_Kitab_Wa_Sunnah...
MZAZI USIPOMFUNZA MWANAO DINI UTAKUJA KUJUTA
Переглядів 80День тому
*🎬: MZAZI USIPOMFUNZA MWANAO DINI UTAKUJA KUJUTA* *🎙 Sheikh ABUL KHATWAAB ABDALLAH HUMEIYD حفظه الله* FAIDA YA LEO 👇👇 ua-cam.com/video/Xyq6E2CqvyE/v-deo.html *LIKE👍 SUBSCRIBE🔔 SHARE🖇* •┈┈••••○○❁🌷❁○○••••┈┈• Sambaza na ungana na chaneli zetu:- ╭── ••⇣⇣🔴 *UA-cam* 🔴 ╰┈➢ www.youtube.com/@Nurul_Kitab_Wa_Sunnah ╭── ••⇣⇣🪀 *WHATSAPP* 🪀 ╰┈➢ whatsapp.com/channel/0029Va7tZ1x3gvWdMZi3cc2d ╭── ••⇣⇣🔵 *TELEGRA...
UKWELI KUHUSU PICHA YA SHEIKH ABUL FAADHIL QAASIM MAFUTA ALLAH AMHIFADHI
Переглядів 4,1 тис.14 днів тому
*🎬: UKWELI KUHUSU PICHA YA SHEIKH ABUL FAADHIL QAASIM MAFUTA ALLAH AMHIFADHI* *🎙 Sheikh ABUL KHATWAAB ABDALLAH HUMEIYD حفظه الله* FAIDA YA LEO 👇👇 ua-cam.com/video/xrTrCLsiQAE/v-deo.html *LIKE👍 SUBSCRIBE🔔 SHARE🖇* •┈┈••••○○❁🌷❁○○••••┈┈• Sambaza na ungana na chaneli zetu:- ╭── ••⇣⇣🔴 *UA-cam* 🔴 ╰┈➢ www.youtube.com/@Nurul_Kitab_Wa_Sunnah ╭── ••⇣⇣🪀 *WHATSAPP* 🪀 ╰┈➢ whatsapp.com/channel/0029Va7tZ1x3gvW...
MAKOSA YANAYOTENDEKA KATIKA KUENDEA NDOA NA HARUSINI | MAHALI KUWA GHALI
Переглядів 39014 днів тому
*🎬: MAKOSA YANAYOTENDEKA KATIKA KUENDEA NDOA NA HARUSINI | MAHALI KUWA GHALI* *🎙 Sheikh HUSSEIN SEMBE حفظه الله* FAIDA YA LEO 👇👇 ua-cam.com/video/h2-YaPZa9GY/v-deo.html *LIKE👍 SUBSCRIBE🔔 SHARE🖇* •┈┈••••○○❁🌷❁○○••••┈┈• Sambaza na ungana na chaneli zetu:- ╭── ••⇣⇣🔴 *UA-cam* 🔴 ╰┈➢ www.youtube.com/@Nurul_Kitab_Wa_Sunnah ╭── ••⇣⇣🪀 *WHATSAPP* 🪀 ╰┈➢ whatsapp.com/channel/0029Va7tZ1x3gvWdMZi3cc2d ╭── ••⇣...
20. DARSA 09 (B):
Переглядів 2714 днів тому
*📚LUGHA* *🎥DARSA LA TISA 0️⃣9️⃣* *♨️SEHEMU YA PILI* *MWALIMU: ABUU HUSFAT IBN IBRĀHIM حفظه الله* *Funzo la awali la Lugha ya Kiarabu kwa wale wasiofahamu kiarabu kabisa.* *🧰Kazi iliyoachwa hapo, ikusanywe kwa mwalimu ndani ya siku mbili kuanzia leo.* *💡Weka Fullscreen upate kuona vizuri.* *📚دروس اللغة العربية لغير الناطقين بها* *#طلب العلم فريضة على كل مسلم* Tufuate mindaoni kupitia Viunganishi...
18. DARSA 09 (A)
Переглядів 3214 днів тому
*📚LUGHA* *🎥DARSA LA TISA 0️⃣9️⃣* *♨️SEHEMU YA KWANZA* *MWALIMU: ABUU HUSFAT IBN IBRĀHIM حفظه الله* *Funzo la awali la Lugha ya Kiarabu kwa wale wasiofahamu kiarabu kabisa.* *🧰Kazi iliyoachwa hapo, ikusanywe kwa mwalimu ndani ya siku mbili kuanzia leo.* *💡Weka Fullscreen upate kuona vizuri.* *📚دروس اللغة العربية لغير الناطقين بها* *#طلب العلم فريضة على كل مسلم* Tufuate mindaoni kupitia Viunganis...
17. DARSA 08 (C): MAZOEZI
Переглядів 1414 днів тому
*📚LUGHA* *🎥DARSA LA NANE 0️⃣8️⃣* *♨️SEHEMU YA TATU: MAZOEZI* *MWALIMU: ABUU HUSFAT IBN IBRĀHIM حفظه الله* *Funzo la awali la Lugha ya Kiarabu kwa wale wasiofahamu kiarabu kabisa.* *🧰Kazi iliyoachwa hapo, ikusanywe kwa mwalimu ndani ya siku mbili kuanzia leo.* *💡Weka Fullscreen upate kuona vizuri.* *📚دروس اللغة العربية لغير الناطقين بها* *#طلب العلم فريضة على كل مسلم* Tufuate mindaoni kupitia Vi...
16. DARSA 08 (B): MAZOEZI
Переглядів 2814 днів тому
*📚LUGHA* *🎥DARSA LA NANE 0️⃣8️⃣* *♨️SEHEMU YA PILI: MAZOEZI* *MWALIMU: ABUU HUSFAT IBN IBRĀHIM حفظه الله* *Funzo la awali la Lugha ya Kiarabu kwa wale wasiofahamu kiarabu kabisa.* *🧰Kazi iliyoachwa hapo, ikusanywe kwa mwalimu ndani ya siku mbili kuanzia leo.* *💡Weka Fullscreen upate kuona vizuri.* *📚دروس اللغة العربية لغير الناطقين بها* *#طلب العلم فريضة على كل مسلم* Tufuate mindaoni kupitia Vi...
MAKOSA YANAYOTENDEKA KATIKA KUENDEA NDOA NA HARUSINI | KUWACHELEWESHA KUWAOZESHA MABINTI
Переглядів 21714 днів тому
*🎬: MAKOSA YANAYOTENDEKA KATIKA KUENDEA NDOA NA HARUSINI | KUWACHELEWESHA KUWAOZESHA MABINTI* *🎙 Sheikh HUSSEIN SEMBE حفظه الله* FAIDA YA LEO 👇👇 ua-cam.com/video/rKRrz8iZW4o/v-deo.html *LIKE👍 SUBSCRIBE🔔 SHARE🖇* •┈┈••••○○❁🌷❁○○••••┈┈• Sambaza na ungana na chaneli zetu:- ╭── ••⇣⇣🔴 *UA-cam* 🔴 ╰┈➢ www.youtube.com/@Nurul_Kitab_Wa_Sunnah ╭── ••⇣⇣🪀 *WHATSAPP* 🪀 ╰┈➢ whatsapp.com/channel/0029Va7tZ1x3gvWd...
MAKOSA YANAYOTENDEKA KATIKA KUENDEA NDOA NA HARUSINI | KUCHUKIA KUOA AU KUOLEWA
Переглядів 25914 днів тому
*🎬: MAKOSA YANAYOTENDEKA KATIKA KUENDEA NDOA NA HARUSINI | KUCHUKIA KUOA AU KUOLEWA* *🎙 Sheikh HUSSEIN SEMBE حفظه الله* FAIDA YA LEO 👇👇 ua-cam.com/video/bwBFPV3Y9YA/v-deo.html *LIKE👍 SUBSCRIBE🔔 SHARE🖇* •┈┈••••○○❁🌷❁○○••••┈┈• Sambaza na ungana na chaneli zetu:- ╭── ••⇣⇣🔴 *UA-cam* 🔴 ╰┈➢ www.youtube.com/@Nurul_Kitab_Wa_Sunnah ╭── ••⇣⇣🪀 *WHATSAPP* 🪀 ╰┈➢ whatsapp.com/channel/0029Va7tZ1x3gvWdMZi3cc2d ...
15. DARSA 08 (A): MIFANO YA SENTENSI
Переглядів 814 днів тому
*📚LUGHA* *🎥DARSA LA NANE 0️⃣8️⃣* *♨️SEHEMU YA KWANZA: MIFANO YA SENTENSI* *MWALIMU: ABUU HUSFAT IBN IBRĀHIM حفظه الله* *Funzo la awali la Lugha ya Kiarabu kwa wale wasiofahamu kiarabu kabisa.* *🧰Kazi iliyoachwa hapo, ikusanywe kwa mwalimu ndani ya siku mbili kuanzia leo.* *💡Weka Fullscreen upate kuona vizuri.* *📚دروس اللغة العربية لغير الناطقين بها* *#طلب العلم فريضة على كل مسلم* Tufuate mindao...
14. DARSA 07 (B): MAZOEZI
Переглядів 814 днів тому
14. DARSA 07 (B): MAZOEZI
13. DARSA 07 (A): : هذه، تلك، هذا، ذلك
Переглядів 2414 днів тому
13. DARSA 07 (A): : هذه، تلك، هذا، ذلك
12. DARSA 06 (C): MAZOEZI
Переглядів 614 днів тому
12. DARSA 06 (C): MAZOEZI
11. DARSA (B): MAZOEZI
Переглядів 814 днів тому
11. DARSA (B): MAZOEZI
10. DARSA 06 (A): هذه
Переглядів 614 днів тому
10. DARSA 06 (A): هذه
9. DARSA 05 (C) MAZOEZI
Переглядів 1014 днів тому
9. DARSA 05 (C) MAZOEZI
8. DARSA 05 (B); MAZOEZI
Переглядів 414 днів тому
8. DARSA 05 (B); MAZOEZI
7. DARSA 05 (A): الإضافة
Переглядів 514 днів тому
7. DARSA 05 (A): الإضافة
6. DARSA 04 (B) MAZOEZI
Переглядів 514 днів тому
6. DARSA 04 (B) MAZOEZI
5. DARSA 04 (A) : Matumizi ya herufi fiy ( في ) na 'Alaa ( على ) katika sentensi
Переглядів 414 днів тому
5. DARSA 04 (A) : Matumizi ya herufi fiy ( في ) na 'Alaa ( على ) katika sentensi
4. DARSA 03 (B) MAZOEZI
Переглядів 214 днів тому
4. DARSA 03 (B) MAZOEZI
3. DARSA 03 (A): إسم النكرة والمعرفة
Переглядів 2314 днів тому
3. DARSA 03 (A): إسم النكرة والمعرفة
19. DARSA 07: MUBTADA & KHABARI
Переглядів 1021 день тому
19. DARSA 07: MUBTADA & KHABARI
18. DARSA 06: KUSAWAZISHA BAINA YA MTENDAJI NA MTENDWA
Переглядів 421 день тому
18. DARSA 06: KUSAWAZISHA BAINA YA MTENDAJI NA MTENDWA
17. MAZOEZI DARSA 05 (D)
Переглядів 121 день тому
17. MAZOEZI DARSA 05 (D)
16. MAZOEZI DARSA 05 (C)
21 день тому
16. MAZOEZI DARSA 05 (C)
15. MAZOEZI DARSA 05 (B)
Переглядів 521 день тому
15. MAZOEZI DARSA 05 (B)

КОМЕНТАРІ

  • @shafisaggaf1889
    @shafisaggaf1889 4 дні тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @AmerAlamri-h7e
    @AmerAlamri-h7e 4 дні тому

    Jazzakallahu khair

  • @farhaanmanji6569
    @farhaanmanji6569 8 днів тому

    Acha unafki katika dini... Picha kapozi kweli bwana mkubwa.. Unatetea kitu ambacho hakiteteeki kiujanja ujanja...

  • @RahmaRahma-s3s
    @RahmaRahma-s3s 8 днів тому

    Allah akupe subra shehke wetu abulfaadhwil na akuhifadhi pia wala hawatoweza kuiangusha da'watu ssalafiyya haoo achana nao hawajui walitendalooo

  • @OmarSalum-y9c
    @OmarSalum-y9c 9 днів тому

    Sheikh mbora mh

  • @HassanSalim-hl8qs
    @HassanSalim-hl8qs 10 днів тому

    Shekh mbora ubora huo anaupata wapi?acheni hizo mwamtakasa mbele ya Allah

  • @IssaShomary-do3my
    @IssaShomary-do3my 10 днів тому

    Sahihi kabisa

  • @IsmailRashid-m8x
    @IsmailRashid-m8x 10 днів тому

    We jiteteee tu ila ukwel ndo umeonekana kwan hizo passport ni za nin au zenyewe sio picha

  • @IsmailRashid-m8x
    @IsmailRashid-m8x 10 днів тому

    Mbona hizo picha zipo tofaut km ni za passport, maana ya kwanza anaonekana anatabasamu na ya pili anaonekana anacheka

    • @abuahlaam
      @abuahlaam 9 днів тому

      Sio tabasam ya sh hio ime editiwa

    • @abuahlaam
      @abuahlaam 9 днів тому

      Hio ni editing sio kicheko cha sh hicho wala sh hana tabasam hilo kwa wale tunaomjua zimefanyiwa editing

    • @IsmailRashid-m8x
      @IsmailRashid-m8x 9 днів тому

      فهمتك يا اخي العزيز

  • @ShadyaraphaelNasmala
    @ShadyaraphaelNasmala 11 днів тому

    Allah awalinde na husda

  • @UmmulhabibaFaraj
    @UmmulhabibaFaraj 12 днів тому

    Allah azidi kumlinda shekh ktk daawa yake. Ushauri Wang shekh achana nao Jao wackupotezee mda

  • @ZagazagaTanga
    @ZagazagaTanga 12 днів тому

    Hizi picha ni mbili tofauti moja meno yanaonekana moja mdomo umefunga mwno hayaonekani inaonyesha moja niya paspot moja yakawaida ukweli ukidhihiri uongo hujitenga wblytwfk ndugu yenu mkumbushaji

  • @shaabanmrisho-ko5fg
    @shaabanmrisho-ko5fg 12 днів тому

    Hoja ni picha iwe paspoti au laa nyinyi mnamsimamo picha haifai je io paspoti sio picha ?

    • @Mohamedi.12
      @Mohamedi.12 11 днів тому

      😅😅😂😂😂😃picha ni picha haijalishi ni passport au laa .dini imefanywa kuwa ngumu na hawa majamaa.HazRāt Muhammad Mustafa S.a.w alisema kuwa "dini ya kiislamu ni nyepesi sana " .shida yao Hawa jamaa ni kuwaita wenzao ni makafiri

    • @abuahlaam
      @abuahlaam 9 днів тому

      ​@@Mohamedi.12picha za?dharura kama kitambulisho au usagir zaruhusiwa shida yebu mambumbumbu hamwelewi elim ya dini 😊

    • @Mohamedi.12
      @Mohamedi.12 9 днів тому

      @@abuahlaam kosome dini upya

    • @abuahlaam
      @abuahlaam 9 днів тому

      @@Mohamedi.12 sjui na wewe tukwambie nn kama mm nkasome upya

    • @abuahlaam
      @abuahlaam 9 днів тому

      @@Mohamedi.12 sjui na wewe tukwambie nn kama mm nkasome upya

  • @mohammadsaid6682
    @mohammadsaid6682 13 днів тому

    Yanii hajawah kuchka hvyoo hta ck moja ,,ni muongo mkubwa huyo ,,lasema uongo latafuta kutrend tu ji hizb hilo

  • @ibinmgeta2406
    @ibinmgeta2406 14 днів тому

    watu wameacha mambo muhim ya msingi wanazungumzia picha. upuuzi mtupu.

    • @AbubakariKiwayo-k3s
      @AbubakariKiwayo-k3s 13 днів тому

      Kama hoa wapuzi wanao gombana kwa ajil ya maulid baada ya kukemea zinaa na maaswi mengine kelele ni maulid hawana akil

    • @IsmailRashid-m8x
      @IsmailRashid-m8x 8 днів тому

      @@ibinmgeta2406 hata hilo ni ktk mambo muhimu kwani sheikh wenu anadai picha ni haramu, ndo ni kuulize passport ni picha au sio picha. Au ni robo picha, tambua hayo ni ktk dini.

  • @amoursalum8266
    @amoursalum8266 14 днів тому

    Nafahamu unasema nn lkn ukiacha background ya picha lkn pozi inaonekana sio paspoti size..lkn pia engo ya picha haiyonyeshi kua ni paspot size

  • @jumamustafa820
    @jumamustafa820 14 днів тому

    Sasa mbona moja yuacheka jamani kuna paspot mtu anapiga huku anacheka

    • @RahmaRahma-s3s
      @RahmaRahma-s3s 8 днів тому

      Ndo ujue wameedit kusoma hujui hata picha huoni

  • @NasriSaidi-s4h
    @NasriSaidi-s4h 14 днів тому

    Pole sana shekhe wetu inaonekana wanateseka sana

  • @ShaabanDaud
    @ShaabanDaud 14 днів тому

    Ni yako KASIMU futaa Hiyo uliyotabasamu je

    • @SalmanimranMsuka
      @SalmanimranMsuka 14 днів тому

      Kwan kutabasamu kweny passport size ni makosa???? Mbn unakuw mjinga mjinga

    • @AbubakariKiwayo-k3s
      @AbubakariKiwayo-k3s 13 днів тому

      Hawa wahuni wasituchanganye na shekh WAP wamchongo

    • @DR.SAIFILLAH.5363
      @DR.SAIFILLAH.5363 12 днів тому

      ​@@SalmanimranMsuka HIVI UNAJUA MAANA YA PICHA YA PASSPORT SIZE??

    • @farhaanmanji6569
      @farhaanmanji6569 8 днів тому

      ​@@SalmanimranMsuka passport size hupigwa kwa pembeni na kukenua namna hiyo? Embu acheni uongo au tafuteni uongo mzuri zaidi.

  • @AdamuBakari-fe6hf
    @AdamuBakari-fe6hf 14 днів тому

    Hakuna paspot ya upnde huyu humeid nifedhuli sana. Unakua fedhuli kwenye ukweli

    • @mashaurimvungi2232
      @mashaurimvungi2232 14 днів тому

      Nyie mnapata tabu sana na masheikh wa kisalafi hamli mkashiba hamlali mkapa usingizi msongo wa mawazo umewashika mnataka kifanya huo uyahudi wenu nawaambia msongo itawauwa mmoja Mmoja mpaka muishe

    • @NassorHassan-no1cr
      @NassorHassan-no1cr 14 днів тому

      ​@@mashaurimvungi2232 hakuna passport size iliyopinda kassim ikiwa amekosea tunasema sio daawa salafi itabakia kuwa salam mpka kiama hii ni dini ya Allah

    • @SalmanimranMsuka
      @SalmanimranMsuka 14 днів тому

      Fedhuli mwenyewe acha uhizbi wewe utakufa vibaya

  • @nsabimanasuleyman2008
    @nsabimanasuleyman2008 14 днів тому

    Jamaani ivi kweli kuna passport zaizi ya selfie kweli jamaani achani kumtetea kiasi hicho kama ni kosa kesha fanya kosa tu japo kuwa mtamkingia kifua kiasi amekosea tu. Ni yeye Qasimu Mafuta afanye Taraaju'u kwa Allaah huo ndio ushauri wangu kwake. Na ndio patapatikana usalama baina yake yeye na Mola wake. Ni ushauri tu nimempa na nyie mnaemkingia kifua hamumpendi hata kidogo kwa kuwa mnampeleka pabaya. Ni yeye tu afanya Taraaju'u kwa Ajili ya Usalama wake mbele Ya Mola wake

  • @BARISHASHIR
    @BARISHASHIR 15 днів тому

    ALLAH AWA HIFADHYY MASHEIKH WETU

  • @MpochiAhmadi
    @MpochiAhmadi 15 днів тому

    ujinga ukikutawala ni shida sana ninacho furahi mm ni kwamba inasibitika kweri ukishikamana na hakki lazima uwe na maadui wengi sana na kama ukijiona unapendwa na kila pote tia shakka manhaji yako lkn mtu mjinga hawezi kujua hiri

    • @NassorHassan-no1cr
      @NassorHassan-no1cr 14 днів тому

      Hakuna passport size iliyopinda musitete ujinga halaf kuinasibisha daawa ya salafi kwa mtu hii ni dini ya Allah kassim amekosea tu hizo picha ziko nyingi zitakuja soon

  • @AhmedNgereza
    @AhmedNgereza 15 днів тому

    Allah awalinde masheikh wetu kutokana na husda za watu

  • @kasimusalimu
    @kasimusalimu 15 днів тому

    Atakama NI paspot saiz sinipichaa iwe yoyote lkn nipicha

    • @UsalafiniKWETU01
      @UsalafiniKWETU01 15 днів тому

      Wewe ndo huelewi kabsaaaa!!!

    • @othmanmohd3721
      @othmanmohd3721 15 днів тому

      uchaogea uko nyumcomment ya mwnzo n yko lkn umepitzew umerejeatna kucommnt ile ile hhhhh ili tu uonekane na ww unajuw kuogea hgra

    • @BARISHASHIR
      @BARISHASHIR 15 днів тому

      Nguguyagu bado hujaelewa ALLAH atuongoze

    • @othmanmohd3721
      @othmanmohd3721 14 днів тому

      @BARISHASHIR schem izo tabia masufy

    • @NassorHassan-no1cr
      @NassorHassan-no1cr 14 днів тому

      ​@@UsalafiniKWETU01 nyiny kassim munamfanya kama mtume kabisa passport size gani imepinda? Mapicha kassim anayo mengi yatakuja tu soon sijui mutasema nin ten???

  • @amenakenya7993
    @amenakenya7993 15 днів тому

    Allah awaifadhi mashekh wetu amiyn

    • @NassorHassan-no1cr
      @NassorHassan-no1cr 14 днів тому

      Allah awahifadhi masalafi wote dunian sio kassim peke Allah amuongoze ktk haki na kuwa mkweli

  • @AllyAman
    @AllyAman 15 днів тому

    Aamyn آمين

  • @TiteinJaffar
    @TiteinJaffar 15 днів тому

    Allah awahifadhi masheikh zetu wabora,,

  • @amenakenya7993
    @amenakenya7993 19 днів тому

    Ma shaa Allah barakLLAH FIKUM

  • @amenakenya7993
    @amenakenya7993 20 днів тому

    Ma shaa Allah

  • @OMARABDALA-w1i
    @OMARABDALA-w1i 20 днів тому

    Mimi pia nahitaji kusoma

  • @OMARABDALA-w1i
    @OMARABDALA-w1i 20 днів тому

    Assalaamu Alaykum hiki kitabu kimefundishwa chote ama na jee mpangilio wa Darsa hizi unapatikana wapi

    • @Nurul_Kitab_Wa_Sunnah
      @Nurul_Kitab_Wa_Sunnah 20 днів тому

      @@OMARABDALA-w1i Assalaam alaikum warahmatullah wabarakaatuh Nashukuru kuwasiliana na wewe Mwenyezi Mungu Akupe Kila hitajio la moyo wako. Hakaika yangu Mimi ni mwenye kutarajia hifadhi kutoka Kwa Allah na afya yangu ni njema Allah mola mtukufu Amenihifadhi Alhamdulillah naendelea kuitumia pumzi aliyonijalia Vipi Hali yako wewe ndugu yangu mbora na Hali za watu wako wa karibu....?

    • @Nurul_Kitab_Wa_Sunnah
      @Nurul_Kitab_Wa_Sunnah 20 днів тому

      @@OMARABDALA-w1i telegram au WhatSapp +255625458414

    • @Nurul_Kitab_Wa_Sunnah
      @Nurul_Kitab_Wa_Sunnah 20 днів тому

      Kitabu kipo telegram channel yetu ya JAAMIU DURUUSUL ISLAMIYYAH au MAKTABA YA ABUU HAYFAA AL FAHADIY ALLAH AMHIFADHI tufuate WhatSapp kupewa muongozo WA MASOMO na kurejesha masomo

  • @BigboyBigboy-oy3lj
    @BigboyBigboy-oy3lj 20 днів тому

    Masha allah ❤❤❤❤❤

  • @amenakenya7993
    @amenakenya7993 21 день тому

    Ma shaa Allah

  • @Mashobe
    @Mashobe 21 день тому

    Jitaidi Sauti Mwalimu

    • @Nurul_Kitab_Wa_Sunnah
      @Nurul_Kitab_Wa_Sunnah 21 день тому

      ni kweli kabsa wakati zinarekodiwa ilikuwa bado vitaa kwa hiyo tuwe wavumilivu darasa za mbele in sha Allah ndio zinasauti ya kutosha

  • @Mashobe
    @Mashobe 21 день тому

    Maashaa Allah Allah Akuhifadh

  • @SAIDIMLAGWA
    @SAIDIMLAGWA 22 дні тому

    Mimi nikiweka namba ndo mwisho haiendelei mbele inabaki ina loading tu

    • @Nurul_Kitab_Wa_Sunnah
      @Nurul_Kitab_Wa_Sunnah 21 день тому

      TAZAMA VIDEO HII NDUGU BOFYA LINK ua-cam.com/video/JUDTvjacXf8/v-deo.htmlsi=q8CIMyjpAhoc1g2I

  • @AhmedAthuman-x9t
    @AhmedAthuman-x9t 23 дні тому

    Yeah Allah tujaalie mwisho ulio mwemaa..

  • @amenakenya7993
    @amenakenya7993 24 дні тому

    In shaa Allah poleni sana

  • @amenakenya7993
    @amenakenya7993 24 дні тому

    Subhnllah

  • @amenakenya7993
    @amenakenya7993 24 дні тому

    Amiyn

  • @amenakenya7993
    @amenakenya7993 24 дні тому

    JazakAllah kheri

  • @SijaliAlon
    @SijaliAlon 29 днів тому

    Yakwangu ina kataa kufunguka

    • @Nurul_Kitab_Wa_Sunnah
      @Nurul_Kitab_Wa_Sunnah 27 днів тому

      @@SijaliAlon TAZAMA VIDEO HII ua-cam.com/video/JUDTvjacXf8/v-deo.htmlsi=dWRUPgfiCr0M_jk-

  • @abbaspaziaog2188
    @abbaspaziaog2188 29 днів тому

    Baarakanllah fiykum wajazakumnllah khairay ikhwa

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 29 днів тому

      Swadaktah AL-AKHY kwakweli wazee wetu wamefeli. Saan. Kuwaozesha dada. Zetu kwa maghurafi. Kawaida ya masufi hayazingatiii. Mambo. Ya msingi. Na mambo. Aloyaamrisha ALLAH mtukufu. Mfano. Wa hiyo hijabs yakisheriya kwakweli inaniuma mke wangu. Yuwaisitiri kisaw sawa ila. Dada. Zangu. Walo olewa na masufi hawataki. Stara. Nimelingania. Mpaka. Nimechoka. . Kinachonishangaza. Mpaka leo baadhi ya nyumba. Za masalafi wanawaozesha. Mabinti zao. Kwa majitu majinga jinga tu. Masufi hayo. Maghurafi

  • @edwardmyinga3030
    @edwardmyinga3030 Місяць тому

    Unataka kusema nini?

  • @amenakenya7993
    @amenakenya7993 Місяць тому

    Ma shaa Allah barakAllah fiikum usadhi Amiyn

  • @SaidRashidi-u6w
    @SaidRashidi-u6w Місяць тому

    allahu akbar

  • @amenakenya7993
    @amenakenya7993 Місяць тому

    Ma shaa Allah