MAJMAUL BAHRAIN Tv
MAJMAUL BAHRAIN Tv
  • 19
  • 25 446
24 July 2023
24 July 2023
Переглядів: 512

Відео

22 July 2023
Переглядів 610Рік тому
22 July 2023
2 July 2023
Переглядів 720Рік тому
2 July 2023
Imam Shafii ra alivyoenda kusoma kwa Imam Malik ra
Переглядів 1,7 тис.Рік тому
Imam Shafii ra alivyoenda kusoma kwa Imam Malik ra
khalifa Mussa Issa Alqadiriy Ashaafiy
Переглядів 6 тис.Рік тому
Kisa cha askofu aliyekutwa na imam Shafii ra akitufu alkaabah by Khalifa Mussa Issa
MAZISHI YA IMAM IBNUL JAUZIY KUSOMEWA KWAKE KHITMA MWEZI MZIMA BY KHALIFA MUSA ISSA
Переглядів 842Рік тому
MAZISHI YA IMAM IBNUL JAUZIY KUSOMEWA KWAKE KHITMA MWEZI MZIMA BY KHALIFA MUSA ISSA
March 9, 2023
Переглядів 430Рік тому
March 9, 2023
Khalifa mussa ISSA,akimzungumza omary mihdhwary na karama zake,
Переглядів 1,5 тис.Рік тому
#khalifa #mussa #issa @majmaulbahraintv5535
MAZISHI YA SHEIKH AHMAD IBNU TAYMIYA SEHEM YA SITA KUSINDIKIZWA JENEZA LAKE KWA TAHLIL BY KH MUSSA
Переглядів 1,2 тис.Рік тому
MAZISHI YA SHEIKH AHMAD IBNU TAYMIYA SEHEM YA SITA KUSINDIKIZWA JENEZA LAKE KWA TAHLIL BY KH MUSSA
MAZISHI YA SHEIKH AHMAD IBNU TAYMIYA SEHEM YA TANO BY KHALIFA MUSA ISSA
Переглядів 1 тис.Рік тому
MAZISHI YA SHEIKH AHMAD IBNU TAYMIYA SEHEM YA TANO BY KHALIFA MUSA ISSA
Mazishi Ya Ahmad Bin Taimiya Sehem Ya Nne “ Tofauti yetu sisi na watu wa bidaa ipo katika mazish”
Переглядів 1,5 тис.Рік тому
Mazishi Ya Ahmad Bin Taimiya Sehem Ya Nne “ Tofauti yetu sisi na watu wa bidaa ipo katika mazish”
MAZISHI YA SHEIKH AHMAD IBNU TAYMIYA SEHEM YA TATU BY KHALIFA MUSA ISSA
Переглядів 2,7 тис.Рік тому
MAZISHI YA SHEIKH AHMAD IBNU TAYMIYA SEHEM YA TATU BY KHALIFA MUSA ISSA
Mazishi ya sheikh Ahmad bin Taimiya Sehem Ya Pili (Kusomewa khitma)
Переглядів 1,1 тис.Рік тому
Mazishi ya sheikh Ahmad bin Taimiya Sehem Ya Pili (Kusomewa khitma)
MAZISHI YA SHEIKH AHMAD IBNU TAIMIYA SEHEM YA KWANZA ( Kusomewa khitma ).
Переглядів 1,8 тис.Рік тому
MAZISHI YA SHEIKH AHMAD IBNU TAIMIYA SEHEM YA KWANZA ( Kusomewa khitma ).
MKIZIHESABU NEEMA ZA MWENYEZIMUNGU HAMZIWEZI. BY KH MUSA ISSA
Переглядів 1,3 тис.Рік тому
MKIZIHESABU NEEMA ZA MWENYEZIMUNGU HAMZIWEZI. BY KH MUSA ISSA
UZINDUZI WA CHANEL YETU YA MAJMAUL BAHRAIN TV
Переглядів 763Рік тому
UZINDUZI WA CHANEL YETU YA MAJMAUL BAHRAIN TV
30 December 2022
Переглядів 769Рік тому
30 December 2022
15 January 2022
Переглядів 8792 роки тому
15 January 2022

КОМЕНТАРІ

  • @SayyidiMtumbi
    @SayyidiMtumbi 4 місяці тому

    Mashaallah

  • @YusuphRashidi-b1j
    @YusuphRashidi-b1j 6 місяців тому

    Kwa hiyo tuamini hutupa ya jini au qur_aan

  • @MusaYusuphu-y2l
    @MusaYusuphu-y2l 7 місяців тому

    Huna akili

  • @RamadhanAli-l2h
    @RamadhanAli-l2h 10 місяців тому

    Mashaallah Allah akuhifadhi mwalimu wangu

  • @RamadhanAli-l2h
    @RamadhanAli-l2h 10 місяців тому

    Mashaallah

  • @RamadhanAli-l2h
    @RamadhanAli-l2h 10 місяців тому

    Mashaallah

  • @yusuphahmedymngombe3706
    @yusuphahmedymngombe3706 11 місяців тому

    Jazakallahul-khaira Jazakallahul-khaira Jazakallahul-khaira

  • @bongobikelife295
    @bongobikelife295 Рік тому

    Jazakallahu kheir Alsina Abdul

  • @hamisisalimu6908
    @hamisisalimu6908 Рік тому

    Mashallah shukran sana sheik wangu, huo uradi wa ufunguzi ni mkubwa sana, mashallah

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 Рік тому

    MAJINA MAZURI SHIDA KUMBE NI WATU WA BID'A!!

  • @mwinyijumamwinyi4656
    @mwinyijumamwinyi4656 Рік тому

    Mashallah

  • @saidmadai2828
    @saidmadai2828 Рік тому

    Shukran alhabib mashaallah jazakallahu khayr

  • @AbdulmajidHyder
    @AbdulmajidHyder Рік тому

    In Sha Allah

  • @yusuphahmedymngombe3706
    @yusuphahmedymngombe3706 Рік тому

    Jazakallahul kheira Allah akujaalie umri mrefu tuweze kupata elimu nyingi ya dini hii ya kiislamu Inshaa-Allah

  • @hamadali3231
    @hamadali3231 Рік тому

    Twambie tuwafaham na sisi

  • @feisalseif-j4w
    @feisalseif-j4w Рік тому

    Khalifa naomba no yako ya wasap

  • @feisalseif-j4w
    @feisalseif-j4w Рік тому

    A aleykum

  • @gmai446
    @gmai446 Рік тому

    Masha, Allah khalifa

  • @ramadhanothman3311
    @ramadhanothman3311 Рік тому

    Maashaallah

  • @chaillahhassan225
    @chaillahhassan225 Рік тому

    A.aleykum,shekhe samahani,mi ni mja mwenye mitihani mingi isiyo eleweka,napgwa vita sana,wananichafua,wananizulia majambo Yani ikitokea jambo ni mji mzima navuma Mimi Tena nashambuliwa kwa umoja nasali sana kuomba hayo yaondoke lkn hakuna msaada nimechoka shehe naomba Dua,

  • @bongobikelife295
    @bongobikelife295 Рік тому

    Ameen Ya Rabb Ameen

  • @bongobikelife295
    @bongobikelife295 Рік тому

    Ma Shaa Allah

  • @bongobikelife295
    @bongobikelife295 Рік тому

    Ma Shaa Allah.Super

  • @bongobikelife295
    @bongobikelife295 Рік тому

    Jazakallahu kheir Allah akuongezee

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 Рік тому

    Mm hua nikitaka vichekesho huwaeka hawa jamaa visa vyao ni comedy za kutosha mara atakwambia wamemkuta juu ya kaburi lake amekaa na mtume

  • @MuhammadHamza-zp9lt
    @MuhammadHamza-zp9lt Рік тому

    Mashaallah mungu akuzidishie umri wenye baraka na afya

  • @Hussein-ol4wn
    @Hussein-ol4wn Рік тому

    جزاك الله خيرا وأحسن أجزاء يا خليفتنا نسئل الله أن ينفعنا بعلومك🤲

  • @ShufaaNuru-kr7ne
    @ShufaaNuru-kr7ne Рік тому

    Masha'Allah

  • @hamzayondu2772
    @hamzayondu2772 Рік тому

    Mashaallah Mwalim wetu MUNGU akuhifadhi na mabaya yote

  • @abdulazizikirosho7434
    @abdulazizikirosho7434 Рік тому

    Mungu alikulinde nakila baya unalolijua na usiloliju

  • @hamisikweja5361
    @hamisikweja5361 Рік тому

    Alhamdulillaah kwa Elimu Mwalimu Khalifa Musa ibn Issa Al Qaadiriyya

  • @ismailmsangule1380
    @ismailmsangule1380 Рік тому

    Maashaallah maashaallah maashaallah maashaallah

  • @AbduliOmar-q5o
    @AbduliOmar-q5o Рік тому

    ❤mashallah❤

  • @ramadhanothman3311
    @ramadhanothman3311 Рік тому

    ""Maashaallah""

    • @majmaulbahraintv5535
      @majmaulbahraintv5535 Рік тому

      karibu usisahau ku subscribe

    • @hamisisekidende5365
      @hamisisekidende5365 Рік тому

      Twashukuru sana mwalimu wetu kwa kutuelimisha Allah akulipe duniani na akhera

    • @LumolaSteven
      @LumolaSteven Рік тому

      Allah akujaze kheri mzee wangu

    • @musaamini401
      @musaamini401 Рік тому

      Mungu atunufaishe nawewe fiydunia walakhera kwa Baraka za waliokufundisha

  • @allyvuai6203
    @allyvuai6203 Рік тому

    Naomba jina la kitabu

  • @allyvuai6203
    @allyvuai6203 Рік тому

    Kitabu gani icho sheikh wangu

  • @Hussein-ol4wn
    @Hussein-ol4wn Рік тому

    جزاك الله خيرا يا خليفتنا

  • @salimjumanne7331
    @salimjumanne7331 Рік тому

    Baarakallahu fiyka wabika Khaliyfatanaa khalifatul Qaadiriyy Uwaysiyy(R.a)

  • @ikabako2454
    @ikabako2454 Рік тому

    Mtu azikwe halafu afufuke? Jamani hebu anzeni kutumia akili 😅.

    • @majmaulbahraintv5535
      @majmaulbahraintv5535 Рік тому

      Soma Kwanza kabla hujapinga

    • @mussaissa6796
      @mussaissa6796 Рік тому

      NI LIPI LILILO BORA BAINA YA MTU KUTUMIA AKILI NA KUTUMIA ELIMU?? WEWE UNAONGELEA KUTUMIA AKILI WAKATI WAO WANATUMIA ELIMU, KWANI WALE WATU ALIYOKUWA AKIWAFUFUA NABII ISSA A.S. WALIKUWA NINI CHA AJABU?? NA WANACHUONI WANAKUBALI KUWA KILA ULIYOKUWA MUUJIZA KWA MITUME HUWA UNAKUWA NI KARAMA KWA MAWALII. NENDA SHULE AKHIY KISHA USOME NA UELEWE.

    • @khadiaally9192
      @khadiaally9192 Рік тому

      Sizani hata Kama unaijua madurasa Ila wapinga jahil wewe qurian yakubali wema hawafi na Allah asema huwawana ruzikiwa kama kaw kawaida so hawafi huhama sehem moja kwenda sehem nyingine so kuja ukamuona c ajabu

    • @adamjutto5849
      @adamjutto5849 7 місяців тому

      Asoomee ninii😂,huo uongoo?!!​@@majmaulbahraintv5535

  • @KHALIFAMPYA-TV
    @KHALIFAMPYA-TV Рік тому

    MaashaaAllah. Allah hamjaze Kheri mwalimu wetu

  • @is-hakajumamakame
    @is-hakajumamakame Рік тому

    Sheikh Tunaomba ufafanuzi wa uvaaji wa nguo yani suruwali au kanzu mwisho ni wapi maana mawahabi wanatutia mashaka ( tunatarajia Ufafanuzi mzuri)inshaa Allah

  • @is-hakajumamakame
    @is-hakajumamakame Рік тому

    Sheikh Tunaomba ufafanuzi wa uvaaji wa nguo yani suruwali au kanzu mwisho ni wapi maana mawahabi wanatutia mashaka ( tunatarajia Ufafanuzi mzuri)inshaa Allah

  • @sheikhyusufdiwan2489
    @sheikhyusufdiwan2489 Рік тому

    بارک اللہ فيک الف الف خير

  • @salimabddala3758
    @salimabddala3758 Рік тому

    BIDGHAA KUBWA KUPELEKA MAITI NAMNA HIYO MUSIFANYE HIVYO MPELEKENI KIMYA KIMYA KAMA ALIVYOSEMA MTUME

  • @musaramadhani2383
    @musaramadhani2383 Рік тому

    Huyu selhehk amebeba elimu kubwa sana sana anaelimu kubwa kubwa sana sana

  • @LumolaSteven
    @LumolaSteven Рік тому

    Allah akujaalie umri mrefu na afya njema

  • @LumolaSteven
    @LumolaSteven Рік тому

    MaashaAllah

  • @LumolaSteven
    @LumolaSteven Рік тому

    Allah akujaalie kheri Sheikh Mussa unatupa Faida kubwa sana

  • @eng.saalim8646
    @eng.saalim8646 Рік тому

    Makarama ya kutunga ya masufi

    • @Hussein-ol4wn
      @Hussein-ol4wn Рік тому

      Wewe unaumia nini?

    • @ikabako2454
      @ikabako2454 Рік тому

      Ndio zao masufi wasiwasi. Wanapenda mambo ya karama kuliko hata ibada 😅🤣😂

  • @makamehaji9335
    @makamehaji9335 Рік тому

    Jamani kwa nn clip nyingi za Khalifa mnazirekodi vibaya zinakua sauti yake sio nzuri, nn tatizo