BACHU SDA CHOIR TABORA TZ
BACHU SDA CHOIR TABORA TZ
  • 45
  • 79 953
BACHU SDA CHOIR TABORA TZ JERUSALEM Official Video
Swali kwako, Je waweza ingia katika mji ule wa yerusalemu? jichunguze na utafakari nafasi yako
Переглядів: 989

Відео

WENYE HEKIMA....(Official video. album WENYE HEKIMA)
Переглядів 1,1 тис.9 місяців тому
WENYE HEKIMA, watanga'aa kama nyota iongozayo watu kwenye haki. OMBA HEKIMA Uwe nyota inga'aayo kwa watu, na watu wamuone Yesu kupitia kwako. Barikiwa unapo endelea kusikiliza 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
KISHINDO.. Official video (Album WENYE HEKIMA)
Переглядів 1,3 тис.10 місяців тому
Mbawani mwa Kristo ni salama zaidi, Walipo sikia kishindo walihofu walidhani ni Jeshi kubwa oooh kumbe ni Wakoma pamoja na Yesu. Pamoja naye tutavuka mengi. mbarikiwe
NABII ISAYA. official video. (Album WENYE HEKIMA)
Переглядів 67510 місяців тому
Kuzaliwa kwa Mwokozi kulitabiliwa tangu zaman. Yeye ndiye aliyekuja kuukomboa Ulimwengu, kupitia kifo chake pale msalabani basi sote tunapata wokovu. 🔥🔥🔥🔥MBARIKIWE 🙏🙏🙏🙏🔥🔥
OMBA SANA..(Official video) ALBUM WENYE HEKIMA.
Переглядів 2,1 тис.11 місяців тому
Tuwapo katika mfungo wa siku Kumi za Maombi, basi ujumbe wetu kupitia wimbo huu uendelee kukupa nguvu ya kuomba. Mungu awabariki. 🔥🔥🔥🔥 Endelea kutaza pia share kwa mwenzako 🔥🔥🔥. 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
NI HERI. Official video..!(ALBUM WENYE HEKIMA)
Переглядів 61111 місяців тому
Ni Heri kuwa na Yesu kuliko vyote, Ndugu, jamaa, Marafiki hawawezi kuwa Bora kuliko Yesu. Chagua leo kuwa naye kwani hapo ndio salama yetu ilipo. Barikiwa sana unapo endelea kutazama na kusikiliza wimbo huu.🔥🔥🙏🙏 🔥🔥🔥🔥 usisahau subscribe kwenye channel yetu. 🔥🔥🙏
ANENA KWA UPOLE..! Official video.(Album WENYE HEKIMA)
Переглядів 95711 місяців тому
ANENA kwa UPOLE, kila siku Bwana ANENA Moyoni mwako, Fungua Moyo wako anene nawe.
MSALABANI. Official video! (Album WENYE HEKIMA)
Переглядів 94111 місяців тому
Kupitia Msalaba wa Calvary ndipo Yesu alipo tulipia deni la dhambi zetu. Hakuna wokovu kamwe pasipo Msalaba. Barikiwa kwa ujumbe huu maridhawa.🙏🔥🙏🔥🙏💯
PAMOJA NA YESU. official video. Album WENYE HEKIMA.
Переглядів 1,1 тис.Рік тому
PAMOJA NA YESU. official video. Album WENYE HEKIMA.
Wenye Hekima..... Endelea kutembelea channel yetu na ku-subscribe, Soon will be out!!!!
Переглядів 406Рік тому
Wenye Hekima..... Endelea kutembelea channel yetu na ku-subscribe, Soon will be out!!!!
KILA JAMBO NA WAKATI WAKE.....live
Переглядів 423Рік тому
KILA JAMBO NA WAKATI WAKE.....live
Ni hakika....Live performance! kuelekea uzinduzi 26 Nov 2023.
Переглядів 348Рік тому
Ni hakika....Live performance! kuelekea uzinduzi 26 Nov 2023.
HERI NIENDE! Barikiwa na wimbo mzuri!!!?
Переглядів 615Рік тому
HERI NIENDE! Barikiwa na wimbo mzuri!!!?
BATIMAYO....New song! lyrics
Переглядів 778Рік тому
BATIMAYO....New song! lyrics
IMBENI SIFA ..
Переглядів 912Рік тому
IMBENI SIFA ..
FAMILIA-BACHU SDA CHOIR TABORA TZ(Official video)
Переглядів 1,3 тис.Рік тому
FAMILIA-BACHU SDA CHOIR TABORA TZ(Official video)
YESU RAFIKI MWAMINIFU-BACHU SDA CHOIR TABORA TZ(Official video)
Переглядів 612Рік тому
YESU RAFIKI MWAMINIFU-BACHU SDA CHOIR TABORA TZ(Official video)
NINATAMANI--BACHU SDA CHOIR TABORA TZ(official video)
Переглядів 964Рік тому
NINATAMANI BACHU SDA CHOIR TABORA TZ(official video)
ACHA DHAMBI-BACHU SDA CHOIR TABORA TZ(Official video)
Переглядів 377Рік тому
ACHA DHAMBI-BACHU SDA CHOIR TABORA TZ(Official video)
BACHU SDA CHOIR TABORA TZ VIDEO VOL.2
Переглядів 1,5 тис.Рік тому
BACHU SDA CHOIR TABORA TZ VIDEO VOL.2
WANA HERI
Переглядів 584Рік тому
WANA HERI
sooon will be out!!! keep in touch. subscribe kwenye channel yetu @bachu-muhubirisdachoir1340
Переглядів 3532 роки тому
sooon will be out!!! keep in touch. subscribe kwenye channel yetu @bachu-muhubirisdachoir1340
YELUSALEM, Soon full video.... endelea kutufuatilia kwa ukaribu.!
Переглядів 1792 роки тому
YELUSALEM, Soon full video.... endelea kutufuatilia kwa ukaribu.!
KISHINDO CHA WAKOMA.
Переглядів 48 тис.2 роки тому
KISHINDO CHA WAKOMA.
SIFA ZOTE
Переглядів 2812 роки тому
SIFA ZOTE
NITAIMBA PENDO. zoez kuelekea new video.
Переглядів 5723 роки тому
NITAIMBA PENDO. zoez kuelekea new video.
SAFARI YA YESU. Live performance.
Переглядів 5253 роки тому
SAFARI YA YESU. Live performance.
SONGAMBELE. Zoezi kanisani
Переглядів 7473 роки тому
SONGAMBELE. Zoezi kanisani
ZAKA NA SADAKA
Переглядів 5693 роки тому
ZAKA NA SADAKA
NABII ISAYA LIVE...NZEGA
Переглядів 2553 роки тому
NABII ISAYA LIVE...NZEGA

КОМЕНТАРІ