AmbyNews
AmbyNews
  • 77
  • 73 975
ASKOFU SHOO RAIS SAMIA MITANO TENA, AKEMEA WALE WANAOTAKA ASIGOMBEE KWA MUHULA WA PILI
Askofu Mkuu Mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Fredrick Shoo, amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan hahitaji kupigiwa debe kwa njia zisizofaa kwani Mungu amemweka kuwa Rais wa Tanzania, si kwa kipindi kimoja tu.
Askofu Shoo amefafanua kuwa alipokuwa akianza uongozi wake, watu wengine waliona ni jambo la kushangaza kwa mwanamke kuwa Rais.
"Nilionyeshwa na nilisema mwanzoni kwamba huyu ndiye Rais wetu, Mungu ametaka iwe hivyo na tutamuheshimu," amesema Dk. Shoo.
Baba Askofu Shoo amesema Kwa wale wanaotamani Rais Samia amalize kipindi chake cha kwanza na asiendelee, amewakumbusha kuhusu Katiba, ambayo inatoa nafasi ya vipindi viwili kwa Rais. akienda mbali zaidi akihoji"Kwa kuwa ni mwanamke, mnataka akae kipindi kimoja? Acheni hiyo," amesema, akisisitiza kuwa Rais Samia amepewa nafasi hii kwa neema ya Mungu na ataendelea hadi muhula wa pili.
Переглядів: 500

Відео

MOROGORO YASIMAMA KWA MUDA, MAELFU WAMLAKI RAIS SAMIA, ASHINDWA KUJIZUIA AJITWANGA SELFIE
Переглядів 64 місяці тому
Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Morogoro, akiahidi dhamira yake ni kuwaletea maendeleo ya haraka Watanzania na kuimarisha maisha ya wananchi. Kwa upande wa Elimu Rais Samia ameelezea nia yake ya kuondoa gharama za wazazi kusomesha watoto ni kuwapa nafasi watoto kupata elimu wakiwemo wa Kilombero kusoma bila vikwazo. Amesema shule za msingi 184 sasa zinaendeshw...
"KIWANDA HIKI KIKIFA NAWE UFE" RAIS SAMIA
Переглядів 74 місяці тому
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt,Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi kwenye uzinduzi wa kiwanda cha Sukari cha Mkulazi kilichopo Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro akihitimisha Ziara yake Mkoani humo leo August 07,2024. #RaisSamiaZiaraMoro
DADA WA KAZI MIKONONI MWA POLISI, NI YULE ALIYEMCHINJA MTOTO GOBA, SACP MULIRO AFUNGUKA
Переглядів 304 місяці тому
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Muliro Jumanne amesema tayari jeshi la polisi limekwisha mkamata binti wa kazi Clemencia Milembe ambaye amehusishwa na sakata la kumchinja na kumjeruhi vibaya shingoni mtoto wa bosi wake Maliki Hashim, katika eneo la Kinzudi Goba wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam
MKESHA HUU HAUTASAHAULIKA
Переглядів 125 місяців тому
MKESHA HUU HAUTASAHAULIKA
MAPYA YAIBUKA SAKATA LA MPINA, AJITOKEZA HADHARANI BAADA YA KUTIMULIWA BUNGENI, AJIBU MAPIGO
Переглядів 645 місяців тому
Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina amejitokeza hadharani na kueleza kuwa adhabu yake ya vikao 15 njie ya Bunge havikuzingatia haki, kinga na madara ya Bunge kwani anadhani viambatanisho vyakevya ushahidi havikufanyiwa kazi
PROFESA NAGU AFUNGUKA MAZITO, "MSIPENDE FEDHA"
Переглядів 195 місяців тому
Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu ametoa wito kwa wananchi kujenga tabia ya kupima afya zao mara kwa mara, ametoa wito huo akiwa jijini Arusha katika kambi maalumu ya madaktari bingwa iliyoandaliwa na ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo Paul Makonda.
"NITAKANYAGA KLACHI" RC CHALAMILA APIGILIA MSUMARI KAMATA KAMATA YA MADADA
Переглядів 295 місяців тому
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amesema zoezi la kuwasaka madada poa lililoanzishwa na DC Bomboko ni Endelevu na litatekelezwa na Wakuu Wote wa wilaya za DSM!
RC CHALAMILA AWATEGA WAFANYABIASHARA KARIAKOO "WALIOFUNGUA WASIBUGHUDHIWE"
Переглядів 25 місяців тому
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Juni 24,2024 amefika eneo la Kariakoo maarufu kwa shughuli mbalimbali za kibiashara jijini humo kwa lengo la kujionea hali halisi kufuatia mgomo wa wafanyabiashara ambapo amejionea baadhi ya maduka yakiwa yamefungwa na mengine yamefunguliwa
MBUNGE AIPA MAKAVU SERIKALI, AICHAMBUA KAMA KARANGA
Переглядів 2435 місяців тому
Mbunge atema cheche bungeni, afunguka
MDEE ALIAMSHA BUNGENI, ATAKA SHERIA YA KUWALINDA WATUMISHI WA UMMA NA BINAFSI (KIKOKOTOO)
Переглядів 1955 місяців тому
Mbunge wa Vitimaalumu Chadema Halima Mdee amesema ipo haja kwa Serikali kuja na sheria ya kuwalinda watumishi wa umma na wale wa taasisi binafsi pindi wanapostaafu maslahi yao kulindwa, amesema asilimia 40 ya kwenye kikokotoo haitoshi
MANENO KONKI YA PRF KABUDI BUNGENI, ATAKA UWEKEZAJI MKUBWA KWENYE TAFITI
Переглядів 185 місяців тому
MANENO KONKI YA PRF KABUDI BUNGENI, ATAKA UWEKEZAJI MKUBWA KWENYE TAFITI
SUALA LA MPINA NA BASHE LAZIDI KUTIKISA TANZANIA, WAKILI MSOMI MWABUKUSI AINGILIA KATI
Переглядів 2,3 тис.6 місяців тому
SUALA LA MPINA NA BASHE LAZIDI KUTIKISA TANZANIA, WAKILI MSOMI MWABUKUSI AINGILIA KATI
WAZIRI MKUU ATAKA STAHA, HESHIMA NA UNYENYEKEVU KWA WATUMISHI WA UMMA.
Переглядів 9626 місяців тому
WAZIRI MKUU ATAKA STAHA, HESHIMA NA UNYENYEKEVU KWA WATUMISHI WA UMMA.
RC CHALAMILA AJA KIVINGINE, USIKUBALI WAKINUKISHE KUTIKISA DAR
Переглядів 866 місяців тому
RC CHALAMILA AJA KIVINGINE, USIKUBALI WAKINUKISHE KUTIKISA DAR
MCH. MSIGWA AKERWA NA UJINGA
Переглядів 3,5 тис.6 місяців тому
MCH. MSIGWA AKERWA NA UJINGA
WAZIRI NAPE AKIUNGURUMA BUNGENI , ATAJA SULUHISHO MAKOSA YA KIMTANDAO, BAJETI YAPITA KWA KISHINDO
Переглядів 1717 місяців тому
WAZIRI NAPE AKIUNGURUMA BUNGENI , ATAJA SULUHISHO MAKOSA YA KIMTANDAO, BAJETI YAPITA KWA KISHINDO
WATAKAO KAIDI KUKIONA, NEMC YAZITAHADHARISHA ZAHANATI, VITUO VYA AFYA NA HOSPITALI
Переглядів 127 місяців тому
WATAKAO KAIDI KUKIONA, NEMC YAZITAHADHARISHA ZAHANATI, VITUO VYA AFYA NA HOSPITALI
CHATANDA WA UWT AFUNGUKA MAZITO, ULAWITI SASA BASI, WANAWAKE TUPAZE SAUTI TUWAKOMBOE WATOTO
Переглядів 107 місяців тому
CHATANDA WA UWT AFUNGUKA MAZITO, ULAWITI SASA BASI, WANAWAKE TUPAZE SAUTI TUWAKOMBOE WATOTO
MVUA ZAKATA BARABARA, MAJI YAINGIA NYUMBA ZA WATU, RC CHALAMILA ASEMA DAR IKO SALAMA
Переглядів 13 тис.7 місяців тому
MVUA ZAKATA BARABARA, MAJI YAINGIA NYUMBA ZA WATU, RC CHALAMILA ASEMA DAR IKO SALAMA
VIONGOZI WA DINI WASHUSHA MAOMBI MAZITO, DKT MPANGO ATAKA KUDUMISHWA KWA MUUNGANO
Переглядів 5217 місяців тому
VIONGOZI WA DINI WASHUSHA MAOMBI MAZITO, DKT MPANGO ATAKA KUDUMISHWA KWA MUUNGANO
MBOWE ALIA NA UGUMU WA MAISHA, ASEMA CHADEMA WATAENDELEA NA MAANDAMANO
Переглядів 4,1 тис.7 місяців тому
MBOWE ALIA NA UGUMU WA MAISHA, ASEMA CHADEMA WATAENDELEA NA MAANDAMANO
SHIGONGO AMUUMA SIKIO NAPE, AIBUA URASIMU DATA ZA AIRTEL KUTOGAIWA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Переглядів 2410 місяців тому
SHIGONGO AMUUMA SIKIO NAPE, AIBUA URASIMU DATA ZA AIRTEL KUTOGAIWA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
MBOWE MSIBANI KWA LOWASSA, ASEMA HISTORIA YA MZEE LOWASSA HAIWEZI KUANDIKA BILA KUITAJA CHADEMA
Переглядів 45910 місяців тому
MBOWE MSIBANI KWA LOWASSA, ASEMA HISTORIA YA MZEE LOWASSA HAIWEZI KUANDIKA BILA KUITAJA CHADEMA
NYUMA YA PAZIA KINACHOENDELEA KWA WATOTO WETU MWAKA 1-16 HIKI HAPA
Переглядів 332 роки тому
NYUMA YA PAZIA KINACHOENDELEA KWA WATOTO WETU MWAKA 1-16 HIKI HAPA
Cheki jinsi Rais Samia alivyo hutubia kwa vifungu vya biblia huku akitabasamu
Переглядів 572 роки тому
Cheki jinsi Rais Samia alivyo hutubia kwa vifungu vya biblia huku akitabasamu
"Mtasubiri sana Ng'ooo hatuachani" , Mch Masanja, asema hata angemkuta akiwa anazini asiinge muacha
Переглядів 1232 роки тому
"Mtasubiri sana Ng'ooo hatuachani" , Mch Masanja, asema hata angemkuta akiwa anazini asiinge muacha
Wapika miziki tamasha la Rejoice Tanzania watua nchini waahidi usikivu
Переглядів 162 роки тому
Wapika miziki tamasha la Rejoice Tanzania watua nchini waahidi usikivu
"Watu wako Serious na Mungu wao" uwekaji wa viti Kanisala Wasabato Nyamongo
Переглядів 1,3 тис.2 роки тому
"Watu wako Serious na Mungu wao" uwekaji wa viti Kanisala Wasabato Nyamongo
Askofu Malasusa akerwa na utitiri wa Kamari Tanzania, "hatutakuwa na taifa la kesho"
Переглядів 2102 роки тому
Askofu Malasusa akerwa na utitiri wa Kamari Tanzania, "hatutakuwa na taifa la kesho"

КОМЕНТАРІ

  • @AmosMihayo-p2s
    @AmosMihayo-p2s Місяць тому

    Amina hakika ni vyema sana kuomba usiku wa manane

  • @Stellastella-yi5vu
    @Stellastella-yi5vu Місяць тому

    Heshimu madhabahu askofu wangu siasa tena

  • @KudraWanguvu-em1xw
    @KudraWanguvu-em1xw Місяць тому

    Askofu uko sawa hata vitatu

  • @DaimonMwapelele-g1d
    @DaimonMwapelele-g1d Місяць тому

    Mbona unatuonyesha alama ya 666 vip wewe askofu

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u Місяць тому

    Mzee umejisahau yale ambayo yanaendelee kumpe na maskofu na nyie mnajumia matumbo kumpe na wewe ni chawa yaani na uwaaskofu huo woooote leo unabaki kuwa mpaga debe wa ccm kumpe hata dini yako na wewe ni makada wa ccm polen sana kura ndizo zitaamua wewe endelea kumpigia kampen maana umeanza mapema sana watu kuuwawa hauon watu kupotezwa hauon vyama vyingine kunyanayazwa wewe umezinzia kupiga kampen ya 2025 vyombo vya mahakama kuvyavyaza watu polisi kuonea watanzania wewe unaendelea kuota ccm nimeamini kuwa watakuwa na macho lakin hawataona na watakuwa na maskio hawataskia sasa ni wewe achana kupotosha uuma na watanzania kwa kutumiwa na siasa chafu kama hizo wewe shoo muda wa kula bado alafu mnapopewa nyinyi tu mnakula na watoto wenu piga kampen kwa watoto wenu na matumbo yenu wengine tuna njaa hatujapata bado vya hao unaowapigia kampen alafu wewe.mzee wengine hatujapata subilia tupate woote riziki hatuli maneno makavu.

  • @benolduka
    @benolduka Місяць тому

    Askofu vipi, achana na hilo debe

  • @BigMan-f1v
    @BigMan-f1v 3 місяці тому

    Amen ubarikiwe

  • @joycndimbo
    @joycndimbo 4 місяці тому

    Amen

  • @mosesfrancois752
    @mosesfrancois752 5 місяців тому

    😂😂😂😂 eheeeee usiempenda kaja ...kakaaaa nakukubali kwa tafsiri za kisheria ...tutaelewana tu. Mpina ana hoja ya ukweli ila anapindishwa ... naomba tutafutie kifungu cha kumng'oa Spika kama taarifa ya mpina itakua na vielelezo vya maandishi halali ,tafsiri yake spika kaifunga hoja ya wananchi kupitia Mbunge Mpina, hivyo apigiwe kula ya maoni au vipi ili atupishe spika na waziri wa kilimo na Mungu akubariki

  • @Shabani-uz1sb
    @Shabani-uz1sb 5 місяців тому

    Nendamahakamani, Ulimudanganya, Unajuakanuni, zabunge

  • @binseif2216
    @binseif2216 5 місяців тому

    We mwanasheria gani unachuki halafu wakat wa uchaguzi mnatuacha kwenye mataa tunaumia sisi,hatuwataki tena

  • @infodigtechforcommunityemp4103
    @infodigtechforcommunityemp4103 5 місяців тому

    TUMEUMIA SANA

  • @mrishombwembwe3451
    @mrishombwembwe3451 5 місяців тому

    Mpina akapimwe AKILI 😂😂

  • @froma3732
    @froma3732 6 місяців тому

    Wewe kama Mwanasheria Unajuwa Sheria za Bunge ukiambiwa ulete Ushahidi kwa Spika hlf Unaenda unavotaka wewe Wala Spika hajasema Akamatwe

  • @happysanka
    @happysanka 6 місяців тому

    Anaakili Sana huyu mama

  • @johanneskallya364
    @johanneskallya364 6 місяців тому

    Hii nchi inaweza kukupa kichaa

  • @edwinmungonya1312
    @edwinmungonya1312 6 місяців тому

    Sema Majaliwa ni waziri mkuu makini sana. Namkubali.

  • @emmanuelmayuma3466
    @emmanuelmayuma3466 6 місяців тому

    Huwa nakuelewa 2:59 sana mchungaji.

  • @hamudshabani7801
    @hamudshabani7801 6 місяців тому

    Huyu naye amepoa sana wakati wa magufuli alikuwa mkali lkn Leo duh hana amsha amshaa

  • @MikidadiMahumbi
    @MikidadiMahumbi 6 місяців тому

    Duu ulibiwa kura

  • @SamweliMshana
    @SamweliMshana 6 місяців тому

    Mchungaji endelea kuwaelimisha watanzanis wenye maono na wasiyonayo ili taifa lipone

  • @christinabenjamin6082
    @christinabenjamin6082 6 місяців тому

    Amen napenda kuomba usiku

  • @milicenttangale
    @milicenttangale 6 місяців тому

    Amen Amen 🙏 barikiwe sana mtumishi

  • @victoramnonivictoramnoni1241
    @victoramnonivictoramnoni1241 6 місяців тому

    Mimi ni muombaji wa usiku ila mungu uwa namwona kwa viwango sana maan kuna mda adi majini naona mchawi akingia namwona na inafika kipindi namshwa paspo kutambua ananiamsha nani na akiniambia omba

  • @sindabahabwoyaanacret660
    @sindabahabwoyaanacret660 7 місяців тому

    Kuwa serious ni kuweka viti

  • @mrpoulmidia7516
    @mrpoulmidia7516 7 місяців тому

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @miriummbisse2278
    @miriummbisse2278 7 місяців тому

    Nimeota ndoto mbaya juzi na Leo nkashtuka Sasa nipo tayari kuomba na wewe usiku huu

  • @KelendoLaizer-yf8jy
    @KelendoLaizer-yf8jy 7 місяців тому

    Ameen, 🙏

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 7 місяців тому

    Petroleum matbab jiuleze hapo anae umia n raia

  • @evelinambewe2835
    @evelinambewe2835 7 місяців тому

    Si alisema watu waondoke kwenye sehemu za maji kwamba watu wamefata maji atayaona mapigo ya mungu maana unatakiwa sio kuwaponda watu

  • @FaridaKessy
    @FaridaKessy 7 місяців тому

    Ameni nataseka mm mungu nisaidie🤲😥🙏🙏🙏

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 7 місяців тому

    Mkuu wa Mkoa naomba kutoa ushauri kwamba kuanzia sasa asionekane mtu kujenga bondeni. Tuna Watendaji wa kata na Madiwani ni lazima wawe wa kwanza kuzuia kwenye maeneo yao na wanaposhindwa kuwajibika wawajibishwe wao. Naamini mvua ya msimu huu ni kipimo tosha kuwajulisha Wananchi hatari iliyopo kujenga bondeni.

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 7 місяців тому

    Mbona mvua kama za Dubai..ili mpate kura?

  • @muhammadalibhaz1390
    @muhammadalibhaz1390 7 місяців тому

    miundimbinu mibovu inawafaidisha watu wachache ikiwa itatengenezwa ya kudumu watu watakula wapi

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 7 місяців тому

    Sio mjenge tu muweke mitaro

  • @hidayasaidi7872
    @hidayasaidi7872 8 місяців тому

    Mbonambezimumihamuangalii msumimlitutupa

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 8 місяців тому

    Lkn dunia yt ni mvua tusilaumu viongozi

    • @corrolesscps
      @corrolesscps 8 місяців тому

      Backwards country, just corrupt leardes is difficult to progress and too much tolkative

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 7 місяців тому

      Unajua hatulaumu viongozi Kwa sababu ya mvua, Bali tunalaumu viongozi Kwa kutokujenga miundo mbinu Ili kuepusha athari zaidi....kama miundombinu ingekua angalau mizuri basi ni Maeneo machache yangeathirika, lkn Leo karibu miji yote ya Tanzania ipo mashakani , vijiji ndio usiseme ,yaani VINAZAMA kabisaaa,

    • @SaumuSaidi-z2v
      @SaumuSaidi-z2v 7 місяців тому

      @@ismailmasoud6001 huku tuliko nje miundo mbinu kibao bara za juu chini yn hakuna shida yyt lkn mungu hashindwi na chchte kile alichokitengeneza binadamu yy ndo mwny dunia na vilivyomo. Kwa hiyo ngoja Mungu afanye kz yake mn huenda tumemkosea, dunia yt mvua mafuriko hasa nchi za kiarabu yn bc wiki mbili sasa hakuna kz wl shule

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 8 місяців тому

    ❤❤❤ mung akubalik

  • @MorrisSimwanza-xg2rg
    @MorrisSimwanza-xg2rg Рік тому

    Amen

  • @leticiakibona7055
    @leticiakibona7055 Рік тому

    Amen

  • @danielmwita1989
    @danielmwita1989 Рік тому

    Kazi nzuri

  • @edwineamtabi448
    @edwineamtabi448 Рік тому

    Hello ni Edwin usiku nimeota ni me kuja kanisani kwako Niko tahari kuomba pamoja na wewe nitumie number zako za simu za kenya

  • @laurenciaboaz33
    @laurenciaboaz33 2 роки тому

    😊Never happen like Him 🙌🙌🙇

  • @paulzacharia2985
    @paulzacharia2985 2 роки тому

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💥💥

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 2 роки тому

    Amen

  • @feisalfaraj44
    @feisalfaraj44 2 роки тому

    ndio shidaa natowadamu nyigii ikitowa damuu huwa ni shidaa

  • @geliajohn163
    @geliajohn163 4 роки тому

    Mubarikiwe

  • @samwelimuele5480
    @samwelimuele5480 6 років тому

    Komaa sana utusaindie

  • @bhudagala8746
    @bhudagala8746 6 років тому

    Mbunge wa Serengeti unazungumzia mawasiliano porini wakati wakazi wa kata ya rigicha hatuna barabara kwa nini msianze na watu ndo muende kwa wanyama wenu

  • @gastonmborow5305
    @gastonmborow5305 6 років тому

    kaka peter edson nnashida naww asee em ntafute kwenye 0657531349