MWAMBELA TV
MWAMBELA TV
  • 1 444
  • 448 010
AJLI YA LORI YAUA 10 HANDENI , MASHUHUDA WASIMULIA.....
Mwenyekiti wa kamati na ulinzi na usalama mkoa wa Tanga Balozi Dk. Batilda Buriani amesema jeshi la Polisi Mkoni humo linamsaka dereva anayejulikana kwa jina la Baraka Merkizedek (Urio) aliyekuwa akiendesha gari lenye namba T.782 BTU aina ya Volvo, kutokana na kugonga watu waliokuwa pembeni mwa barabara wakiangalia ajali iliyokuwa imetokea katika eneo la Chang’ombe, Kata ya Segera, Wilaya ya Handeni, ambapo gari namba T.720 EJP aina ya TATA basi lilikuwa limeteleza na kuacha barabara bila kusababisha madhara yoyote .
Dereva huyo aliwagonga watu hao mnamo tarehe 13 Januari 2025, majira ya saa 3:30 usiku, na kusababisha vifo vya watu kumi (10) na majeruhi kumi na wawili (12).
Waliofariki na kutambuliwa katika ajali hiyo ni; Hamisi @Saa Mbovu, Mkazi wa Maili Kumi, Bugaja Rashid, Mkazi wa Maili Kumi, Adam Maneno @Mkweguto, Mkazi wa Maili Kumi, Sawebu Juma @Kashaija, Mkazi wa Dar es Salaam.
Wengine saba (7) bado hawajatambuliwa.
Majeruhi 12 wamepelekwa Hospitali ya Magunga, Wilaya ya Korogwe, kwa ajili ya matibabu.
Kwa upande wake kamanda wa polisi mkoa wa Tanga Almachius Mchunguzi amesema jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga litaendelea kuchukua hatua kali dhidi ya madereva wote wanaokiuka sheria za usalama barabarani, na tunatoa wito kwa wananchi kutoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa kwa dereva huyu aliyetoroka.
Переглядів: 47

Відео

FAINI MIL 20 UKISAFIRISHA WAHAMIAJI HARAMU
Переглядів 152 години тому
Maafisa usafirishaji maarufu kama boda boda wametakiwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama kuondoa vitendo vya uhalifu ikiwemo usafirishaji wa wahamiaji haramu nchini. Hayo yameelezwa na Afisa uhamiaji wilaya ya Mkinga Mrakibu Mwandamizi Nasoro Mganga Katika sherehe za boda boda zilizofanyika kata ya Duga wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga , ambapo Afisa uhamiaji amesisitiza suala la uamini...
MADUKA YATEKETEA KWA MOTO HANDENI / MASHUHUDA WASIMULIA KWA MASIKITIKO.....
Переглядів 15712 годин тому
Maduka mawili ya bidhaa za vyombo na mikate yameteketea kwa moto usiku wa Januari nane wilayani Handeni mkoani Tanga,huku wananchi wakilalamikia Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kushindwa kuwasaidia. Wakizungumza kwa nyakati tofauti wafanyabiashara wa maeneo hayo ya Chanika wilayani Handeni leo Jumatano Januari 8,2025 wamesema moto huo ulitokea majira ya saa 8 usiku,huku chanzo chake kikiwa hakijul...
ALIYECHOMA NYUMBA MOTO HANDENI AKAMATWA MWANZA
Переглядів 24016 годин тому
ALIYECHOMA NYUMBA MOTO HANDENI AKAMATWA MWANZA
UMMY MWALIMU ATOA MIL 10 KWA BODA BODA
Переглядів 84День тому
UMMY MWALIMU ATOA MIL 10 KWA BODA BODA
RC TANGA AONGOZA WANANCHI KULIOMBEA TAIFA
Переглядів 4914 днів тому
RC TANGA AONGOZA WANANCHI KULIOMBEA TAIFA
HIVI NDIVYO VAZI LA KANGA LINAVYOTAMBA TANGA
Переглядів 7814 днів тому
HIVI NDIVYO VAZI LA KANGA LINAVYOTAMBA TANGA
WADAU WAMIMINIKA TANGA URITHI FESTIVAL
Переглядів 19014 днів тому
WADAU WAMIMINIKA TANGA URITHI FESTIVAL
HIZI NDIZO FURSA ZA TANGA URITHI FESTIVAL
Переглядів 15114 днів тому
HIZI NDIZO FURSA ZA TANGA URITHI FESTIVAL
AWESO ATOA TAMKO ZITO CHANGAMOTO YA MAJI KWAMSISI
Переглядів 3021 день тому
Waziri wa maji Jumaa Aweso ametoa siku Saba kwa Meneja wa RUWASA wilaya ya Handeni Hosea Mwigiza kuhakikisha maji yanafika katika Kitongoji Cha Komungu wilayani Handeni mkoani Tanga . Hatua hiyo imekuja siku Moja ya ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa agizo la Rais Samia Suluhu la kumtaka Waziri wa maji kufika katika Kitongoji hicho kumaliza changamoto ya maji iliyokuwa ikiwakabili wananchi hao ....
BANDARI YA TANGA YAANDIKA REKODI MPYA, MBARAWA APONGEZA UWEKEZAJI
Переглядів 93821 день тому
Serikali Ina Mpango wa kuendelea kufanya maboresho zaidi kwenye bandari ya Tanga jambo ambalo linatarajiwa kuongeza mapato zaidi. Hayo yamesemwa na waziri wa uchukuzi Prof. Makame Mbarawa alipotembelea bandari hiyo na kusema kuwa Serikali itaongeza ujenzi wa Gati nyingine yenye urefu wa mita 350 zaidi ambazo zitakamilisha mita 750 pamoja na Miata 400 za uboreshwaji wa awali .
TRA TANGA YAWAPONGEZA WALIPA KODI
Переглядів 4321 день тому
TRA TANGA YAWAPONGEZA WALIPA KODI
WASAFIRISHA MIRUNGI NA WEZI WA MITANDAO WAKAMATWA TANGA
Переглядів 18221 день тому
WASAFIRISHA MIRUNGI NA WEZI WA MITANDAO WAKAMATWA TANGA
CHEKI BALAA LA RATCO TANGA , ASHUSHA GARI MBILI MPYA ... AFUNGUKA HAYA KWA WAPINZANI.....
Переглядів 37621 день тому
CHEKI BALAA LA RATCO TANGA , ASHUSHA GARI MBILI MPYA ... AFUNGUKA HAYA KWA WAPINZANI.....
KATIBU TAWALA MKOA TANGA ATAKA NGUVU IONGEZEKE KUPINGA UKATILI
Переглядів 4728 днів тому
Katibu tawala mkoa wa Tanga Pilly Mnyema amesema wataendelea kuunga mkono mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia ili kuondoa kasi ya kukua kwa vitendo hivyo mkoani hapo ambapo takwimu zinaonyesha kuwa kwa mwaka 2023 jumla ya watoto 15301 wameripotiwa kuathirika na vitendo vya ukatili wa kijinsia,hii ikiwa sawa na asilimia 25 ukilinganisha na mwaka 2022,ambapo vitendo hivyo vilikua asilimia 22.5...
WANAUME JITOKEZENI MNAPOFANYIWA VITENDO VYA UKATILI
Переглядів 25Місяць тому
WANAUME JITOKEZENI MNAPOFANYIWA VITENDO VYA UKATILI
UWANJA WA MKWAKWANI TANGA KUTUMIKA JANUARY 2025
Переглядів 817Місяць тому
UWANJA WA MKWAKWANI TANGA KUTUMIKA JANUARY 2025
DC KUBECHA AWAPIGA MSASA CHAKUHAWATA TANGA
Переглядів 65Місяць тому
DC KUBECHA AWAPIGA MSASA CHAKUHAWATA TANGA
WANNE WAKAMATWA TANGA KWA FUJO NA KUCHANA NYARAKA ZA UCHAGUZI
Переглядів 149Місяць тому
WANNE WAKAMATWA TANGA KWA FUJO NA KUCHANA NYARAKA ZA UCHAGUZI
RPC TANGA AFUNGUKA HALI YA USALAMA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
Переглядів 61Місяць тому
RPC TANGA AFUNGUKA HALI YA USALAMA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
RC BATILDA AWAONGOZA WANANCHI TANGA KUPIGA KURA
Переглядів 24Місяць тому
RC BATILDA AWAONGOZA WANANCHI TANGA KUPIGA KURA
LUSHOTO YAONGEZA VITUO VYA KUPIGA KURA
Переглядів 32Місяць тому
LUSHOTO YAONGEZA VITUO VYA KUPIGA KURA
RC BATILDA AMPONGEZA BALOZI WA MAZINGIRA - MSECHU
Переглядів 59Місяць тому
RC BATILDA AMPONGEZA BALOZI WA MAZINGIRA - MSECHU
M/KITI CCM TANGA ACHARUKA MABATI YA HOSPITALI YA PANGANI KUKOSA VIWANGO
Переглядів 46Місяць тому
M/KITI CCM TANGA ACHARUKA MABATI YA HOSPITALI YA PANGANI KUKOSA VIWANGO
KATIBU MKUU UWT ATAKA WILAYA ZIJIIMARISHE KIUCHUMI
Переглядів 12Місяць тому
KATIBU MKUU UWT ATAKA WILAYA ZIJIIMARISHE KIUCHUMI
SERIKALI IMEJIPANGA KUWASAIDIA WAKULIMA WA MKONGE
Переглядів 29Місяць тому
SERIKALI IMEJIPANGA KUWASAIDIA WAKULIMA WA MKONGE
TAMBO ZA MANDONGA na MABONDIA WA MAFIA BOXING KUELEKEA NGUMI YA TANGA
Переглядів 1512 місяці тому
TAMBO ZA MANDONGA na MABONDIA WA MAFIA BOXING KUELEKEA NGUMI YA TANGA
BIL.280 ZANUNUA VITENDEA KAZI JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI NCHINI
Переглядів 612 місяці тому
BIL.280 ZANUNUA VITENDEA KAZI JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI NCHINI
MRADI WA BIL 2.5 KUMALIZA TATIZO LA MAJI HANDENI
Переглядів 772 місяці тому
MRADI WA BIL 2.5 KUMALIZA TATIZO LA MAJI HANDENI
CHEKI DAME WA TANGA ALIVYOMKALISHA ZUBERI , USIKU WA GUMI LA DHAHABU
Переглядів 3232 місяці тому
CHEKI DAME WA TANGA ALIVYOMKALISHA ZUBERI , USIKU WA GUMI LA DHAHABU

КОМЕНТАРІ

  • @samorasilayo1268
    @samorasilayo1268 18 годин тому

    mangari yanayo ingia tanzania ni masikirepa sheria ibadilishwe yaingiswe mapyaa kama Kenya tutanusuru watu wetu

  • @EmmanuelMlowe-u1v
    @EmmanuelMlowe-u1v 6 днів тому

    Alifikir mwanza nimbali sanaaaaaa!

  • @EmmanuelMlowe-u1v
    @EmmanuelMlowe-u1v 6 днів тому

    Kweli serikali inamkono mrefu sana

  • @fadhilisecha4268
    @fadhilisecha4268 22 дні тому

    Bado ipo chini, hii tuwape DP world. Bado flow ya meli ni ndogo sna. Bandari inakua iddle sana

  • @fredrickkagwa8853
    @fredrickkagwa8853 23 дні тому

    Hongera sana kama mmepata pesa zote hizo na DP World haijaja kuendesha bandari ya Tanga.

  • @saidmassoud856
    @saidmassoud856 23 дні тому

    Hapo je mushatoa cost kwenye TPA

  • @Optionxll_Playz1
    @Optionxll_Playz1 23 дні тому

    Wataramu wetu mnasinzia sana panueni iwe iwe kubwa sana mapato yaongezeke hiyo Ni kidogo sana.

  • @hamisisheshe9519
    @hamisisheshe9519 24 дні тому

    wekeni bus ya usiku.

  • @AbuuRamadhani-o7k
    @AbuuRamadhani-o7k 24 дні тому

    Wapen wawekezaji hyo Bandar na mfungue bandar ya pangan ,mbweni, na bagamoyo

  • @AbuuRamadhani-o7k
    @AbuuRamadhani-o7k 24 дні тому

    Pesa ndogo San hyo kwa bandar hyo Ni pesa ya matumiz kwa Tajir mmoja wa Tanga

  • @AbuuRamadhani-o7k
    @AbuuRamadhani-o7k 24 дні тому

    Bili 37: kwa bandar Ni pesa ndogobsan

  • @January-g8h
    @January-g8h 24 дні тому

    DP world hawapo hapo kwani

  • @KISAMBALE
    @KISAMBALE 27 днів тому

    Good Ratco

  • @azizabakari6012
    @azizabakari6012 27 днів тому

    Hongera sana RATCO

  • @FundiFk
    @FundiFk Місяць тому

    Tangaikonyuma miaka nenda miaka rudi zulma ndio ime tawala

  • @FundiFk
    @FundiFk Місяць тому

    Mmeshindwa kuwalipa watu hakizao watu wanakufa pakukaa hawana nyie mnata watalii wapite muingizepesa wazawa wafe mtalipahili munguyupo

  • @FrolidaNelson
    @FrolidaNelson Місяць тому

    Chalii coy kalumanzira baba yetu

  • @AK-us8zk
    @AK-us8zk Місяць тому

    Wametia kambi Tena dar es salaam wamemuita na mdogo wangu nimemkataza, wapo maeneo ya mbezi. Wanaendelea na hizo kambi zao za kipuuzi, mbaya ni wanakusanya vijana kutoka mikoani ili wawalaghai vizuri.

  • @mack_vita_onyango8409
    @mack_vita_onyango8409 2 місяці тому

    Ubabaishaji

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk 2 місяці тому

    Aenziwe huyu mzee

  • @fatumamselem6066
    @fatumamselem6066 2 місяці тому

    Wizi na kazi yao kubwa kunyonya wananchi

  • @atupegemwakahesya
    @atupegemwakahesya 2 місяці тому

    Watanganyika wangapi wanaongoza Zanzibar?

  • @jamesukombozi5216
    @jamesukombozi5216 2 місяці тому

    Hii ndiyo TANGA TANZANIA ya sasa ❤🎉🎉🎉🎉

  • @ShesheKaoneka
    @ShesheKaoneka 2 місяці тому

    Wewe mursaljuma ondoka huko chadema sakos

  • @hamisisheshe9519
    @hamisisheshe9519 2 місяці тому

    sasa hao tulio wachagua tukajua wataindeleza tanga mbona bado hatuoni mafanikio yao tanga bado masoko mabovu tanga bado stendi imepoa tanga miradi mikubwa yenye kuleta ajira kwa vijana hakuna barabara ya magomeni vumbi

  • @NDEWARA
    @NDEWARA 2 місяці тому

    Ukweli mtupu. CHADOMO ni wababaishaji wakubwa. Malalamiko jazz band 😂😂

  • @EsterKalinga-c3y
    @EsterKalinga-c3y 2 місяці тому

    njaa mbaya

  • @fauzseif7344
    @fauzseif7344 2 місяці тому

    Hongera umejua ulikua sacos sasa umekuja sehemu sahihi

  • @JeremiahKaliwa-h1w
    @JeremiahKaliwa-h1w 2 місяці тому

    Hama,chadema iko palepale wala haitikiski.

  • @IsayaKamomonga
    @IsayaKamomonga 2 місяці тому

    Pumbafu mmoja

  • @MembiLema
    @MembiLema 2 місяці тому

    Ww tambua ccm wanasema kulikoni mtu anatoka upinzani anapewa nafasi ccm. Sisi tumezaliwa ccm tunafia ccm bila hata kupata ubalozi wa nyumba 10. Ww Mroo wa madaraka. Upati kitu ccm. Unajisumbua. Weka hakiba ya maneno

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 2 місяці тому

    Uhuru haki ya kila mtu

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips 2 місяці тому

    HAhahaha 0:29

  • @benardbwakitare5237
    @benardbwakitare5237 3 місяці тому

    Mjinga sana wewe kula ongo

  • @MkudeSimba-p3f
    @MkudeSimba-p3f 3 місяці тому

    Dunia kigeu geu walimwengu shujaa

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u 3 місяці тому

    Wewe ni njaa tu na uonga wa tupotezwa umeshindwa kutetea wananchi wako chadema haina pesa ni kazi tu na kutetea wanaotekwa na kuuawa bila hatia umeisha ndugu labda wakupe vipesa.

  • @MursalJuma
    @MursalJuma 3 місяці тому

    Kamwambie mamayako hAyo maneno

    • @fauzseif7344
      @fauzseif7344 2 місяці тому

      Mama yako wewe yupo wapi acha kutukana wazazi wawenzako

  • @MursalJuma
    @MursalJuma 3 місяці тому

    umenunuliwa wewe we bwege tyu hama wewe sisi sio wanawake ukapigwe mzg

  • @simonlabia3877
    @simonlabia3877 3 місяці тому

    Hofu imetanda watu wanaogopa kutekwa

  • @SuolFat
    @SuolFat 3 місяці тому

    Njaa mbaya

  • @Eugene-r6y
    @Eugene-r6y 3 місяці тому

    CHADEMA Wana Kadi za KIDIGITALI sio hizo. CCM mmeoigwa changa la macho!!

  • @jacktonetiibuza9970
    @jacktonetiibuza9970 3 місяці тому

    Kadi za mwaka gani?????

  • @Frank-b2d6u
    @Frank-b2d6u 3 місяці тому

    Hamna usaniii ccm mnaweza

  • @ccmtanga2023
    @ccmtanga2023 3 місяці тому

    Hakika CCM Mkoa wa Tanga wamepata Mwenyekiti wa Mkoa bora sana. Kwa ushirikiano wake na Kamati ya siasa Mkoa wanafanya mambo makubwa sana. Ameweza kuendeleza mazuri ya watangulizi wake, ameacha na kuondoa mengi ya mabaya ya watangulizi wake na pia ameanzisha yake mapya mengi sana. KATIKA KIPINDI CHAKE CHA MIAKA MIWILI TU NI ZAIDI YA VIONGOZI WAKUU ZAIDI YA 190 WA KIMKOA,KIWILAYA NA KIKATA NA MAELEFU YA WANACHAMA WENGINE WA VYAMA VYA UPINZANI WAMEHAMIA CCM

  • @johnbkimaro
    @johnbkimaro 3 місяці тому

    Ubabaishaji hakun kitu hapo

  • @josekinyamagoa-sv4jh
    @josekinyamagoa-sv4jh 3 місяці тому

    ningekua mimi rais ningejenga jehanamu ya kuchinjia watu wenye makosa ya kimaksudi. Kuua wenzao bila hatia.

  • @josekinyamagoa-sv4jh
    @josekinyamagoa-sv4jh 3 місяці тому

    Wakulima nao wasenge kweli. Sasa kwani jamaa aliwaingilia kwenye kilimo chao. Au walikodiwa. Au walikua na njaa ya kula watu.

  • @Habiba-f9m
    @Habiba-f9m 3 місяці тому

    Yaani nililia kama na wajua hawa watu na wao wachomwe moto

  • @Habiba-f9m
    @Habiba-f9m 3 місяці тому

    Kama wamekamatwa kwa ukatiri walioufanya na wao wachomwe waliwakosea nini jamani

  • @prosperidinya5864
    @prosperidinya5864 3 місяці тому

    Mnaviwanja vingi sana lakini havihudumiwi, vinazidi kuchakaaa, haviendani na wakati na ubora wa ligi yetu. Ingieni ubia na serkali au watu binafsi ili viwsnja hivi viboreshwe kwa kuweka majukwaa mazuri yenye viti, taa, pitch nzuri na mifumo mizuri ya utoaji maji viwanjani. Hii naomba kwa viwanja vyote vya CCM nikianzia na Tabora, Mbeya na vingine vingi mnabijua