Swafhatul Iymaan
Swafhatul Iymaan
  • 155
  • 65 992

Відео

Tumeghurika mno na DUNIA na Kuisahau AKHERA yetu.!
Переглядів 15Місяць тому
Tumeghurika mno na DUNIA na Kuisahau AKHERA yetu.!
Itikadi chafu ya baadhi ya WAISLAMU.
Переглядів 1352 місяці тому
Itikadi chafu ya baadhi ya WAISLAMU.
Katika mambo ambayo yaliwafanya WEMA waliotangulia wafanikiwe.
Переглядів 1662 місяці тому
Katika mambo ambayo yaliwafanya WEMA waliotangulia wafanikiwe.
8- #ZIARA ya MASJIDI NNABAWI na ADABU zake.
Переглядів 132 місяці тому
Jifunze Ibada ya HIJJA na UMRA kutoka katika KITABU (QUR-AN) na mafundisho sahihi ya MTUME Sala na salamu ziwe juu yake.
7- #TWAWAAFUL Ifaadhwa na Twawaaful Wadaa.
Переглядів 662 місяці тому
Jifunze Ibada ya HIJJA na UMRA kutoka katika KITABU (QUR-AN) na mafundisho sahihi ya MTUME Sala na salamu ziwe juu yake.
6 - #Matendo ya siku ya KUMI ya Dhulhijja.
Переглядів 932 місяці тому
Jifunze Ibada ya HIJJA na UMRA kutoka katika KITABU (QUR-AN) na mafundisho sahihi ya MTUME Sala na salamu ziwe juu yake.
5 - #NAMNA ya kutekeleza ibada ya HIJJA
Переглядів 873 місяці тому
Jifunze Ibada ya HIJJA na UMRA kutoka katika KITABU (QUR-AN) na mafundisho sahihi ya MTUME Sala na salamu ziwe juu yake.
4 - #NAMNA ya kufanya ibada ya UMRA.
Переглядів 503 місяці тому
Jifunze Ibada ya HIJJA na UMRA kutoka katika KITABU (QUR-AN) na mafundisho sahihi ya MTUME Sala na salamu ziwe juu yake.
3 - #Mambo ambayo SI MAKOSA kuyafanya, na yale yaliyokuwa ni MAKOSA kwa aliyehirimia kuyafanya.
Переглядів 383 місяці тому
Jifunze Ibada ya HIJJA na UMRA kutoka katika KITABU (QUR-AN) na mafundisho sahihi ya MTUME Sala na salamu ziwe juu yake.
2- #MIYQAAT na yanayotakiwa kufanyika kwenye MIYQAAT
Переглядів 423 місяці тому
Jifunze Ibada ya HIJJA na UMRA kutoka katika KITABU (QUR-AN) na mafundisho sahihi ya MTUME Sala na salamu ziwe juu yake.
1- #HIJJA ni nini na ni ipi HUKMU yake.
Переглядів 773 місяці тому
Jifunze Ibada ya HIJJA na UMRA kutoka katika KITABU (QUR-AN) na mafundisho sahihi ya MTUME Sala na salamu ziwe juu yake.
Elimu Haipatikani kwa Kustarehe Kiwiliwili
Переглядів 1143 місяці тому
Elimu Haipatikani kwa Kustarehe Kiwiliwili
Kushikamana na DINI mpaka sehemu za KAZI
Переглядів 603 місяці тому
Kushikamana na DINI mpaka sehemu za KAZI
Tabia mbaya mno ya KUOMBA OMBA
Переглядів 1303 місяці тому
Tabia mbaya mno ya KUOMBA OMBA
Itikadi chafu ya baadhi ya WAISLAMU
Переглядів 923 місяці тому
Itikadi chafu ya baadhi ya WAISLAMU
IDHNI (Ruhusa) ya mwanamke (akishaolewa) inatoka kwa MUME wake sio wazazi wake.
Переглядів 283 місяці тому
IDHNI (Ruhusa) ya mwanamke (akishaolewa) inatoka kwa MUME wake sio wazazi wake.
Elimu Haitazamwi wala Kupimwa Kwa Wingi wa Shahada
Переглядів 1013 місяці тому
Elimu Haitazamwi wala Kupimwa Kwa Wingi wa Shahada
Mmong'onyoko wa maadili kwa watoto wa KIKE
Переглядів 983 місяці тому
Mmong'onyoko wa maadili kwa watoto wa KIKE
Mmong'onyoko wa maadili kwa watoto wa KIUME
Переглядів 983 місяці тому
Mmong'onyoko wa maadili kwa watoto wa KIUME
Uharamu wa KAMARI za kubeti na nyenginezo.
Переглядів 1813 місяці тому
Uharamu wa KAMARI za kubeti na nyenginezo.
#NASAHA kwa wanawake wanaokwenda kutekeleza ibada ya HIJJA.
Переглядів 1793 місяці тому
#NASAHA kwa wanawake wanaokwenda kutekeleza ibada ya HIJJA.
Alama za Ujinga
Переглядів 1873 місяці тому
Alama za Ujinga
Biashara ya mnada
Переглядів 2563 місяці тому
Biashara ya mnada
SALAFY ASIWE KIKWAZO KWA WATU WENGINE KUIKUBALI DA'AWA
Переглядів 3073 місяці тому
SALAFY ASIWE KIKWAZO KWA WATU WENGINE KUIKUBALI DA'AWA
CHUNGA SANA KAULI YA KUSEMA "ALLAH HATOMSAMEHE MTU FULANI"!!
Переглядів 1193 місяці тому
CHUNGA SANA KAULI YA KUSEMA "ALLAH HATOMSAMEHE MTU FULANI"!!
KHUTBA YA IJUMAA - MASALAFI NA KUWATII VIONGOZI
Переглядів 423 місяці тому
KHUTBA YA IJUMAA - MASALAFI NA KUWATII VIONGOZI
13 Sifa za Mke Mwema
Переглядів 204 місяці тому
13 Sifa za Mke Mwema
12 Sifa za Mke Mwema
Переглядів 144 місяці тому
12 Sifa za Mke Mwema
11 Sifa za Mke Mwema
Переглядів 124 місяці тому
11 Sifa za Mke Mwema

КОМЕНТАРІ

  • @AbuuDharry
    @AbuuDharry 2 місяці тому

    مؤثر والله ، ما شاء الله

  • @AbuuDharry
    @AbuuDharry 3 місяці тому

    جزاكم الله خيرا

  • @mohdaliothman174
    @mohdaliothman174 3 місяці тому

    Subhaana llah

  • @SuleimanYakoub
    @SuleimanYakoub 3 місяці тому

    Allah atuhifadhi

  • @Abuusamhasalum
    @Abuusamhasalum 3 місяці тому

    الله المستعان

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 3 місяці тому

    Kwakweli Allaah akulipe kila lakheri

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 3 місяці тому

    Kwa kukosekana Inswaaf kama hii kwa masalafi wengi, nimoja ktk sbb kubwa zinazo fanya usalafi usieleweke kwenye miji

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 3 місяці тому

    Kiukweli Shekh Sembe swahibu yangu, hii hatua ya maneno ulio yasema munge ifanyia umuhimu ifanyiwe kazi na wale masalafi wengine ingekua bora zaidi kwakweli

  • @AbuuDharry
    @AbuuDharry 3 місяці тому

    جزاكم الله خيرا

  • @HakizimanaSurayimani
    @HakizimanaSurayimani 4 місяці тому

    Allah akubariki

  • @swalehmohamed4849
    @swalehmohamed4849 5 місяців тому

    Alafu misikiti yote ina Maimamu ukimchukua mtu na hajui kuswali muhusishe Imaamu wa msikiti mujifunze nyote ndivyo wanazofundishwa

    • @Swafhatul_Iymaan
      @Swafhatul_Iymaan 5 місяців тому

      Tablighi Haijaanza Jana Twaijua zaidi ya Miaka 20 Sidhani kama Kuna Jipya Utakaloliongea ambalo halijulikani!

  • @swalehmohamed4849
    @swalehmohamed4849 5 місяців тому

    Khatwiib mmoja Alukuja msikitini akakuta mtu auza magazeti ya uchi nje ya msikiti khatwiib akabadilisha khutba akazungumzia madhara ya kuangalia uchi Bil kitaab wa sunnah Ijumaa ijayo yule bwana akarudi Ijumaa iliyofuata na magazeti mingi zaidi alipoulizwa akasema regelea khutba ile ile magazeti yangu yaliisha yote waliokhutibiwa wakitoka walinunua wakaenda kuangalia nyumbani kwa siri waliokhutubiwa wote walikuwa wagonjwa wa Imaan

  • @swalehmohamed4849
    @swalehmohamed4849 5 місяців тому

    Mimi ni mmoja katika Tabligh na msikiti wangu nimeweka ukuta kutofautisha baina ya ukuta na kaburi pili tuko na halaqaat za kiilimu tatu kila mwezi twaenda vijiji jirani kwa daawa kisha lengo la kutoka ni tahriikul Imaan ili kile utakichokissoma ukilete kivitendo ucha mungu na Ilmu ni vitu viwili tofauti leo kina wasomi walevi, wazinifu, waizi n.k kwa hivyo kusoma si kila kitu kwa mazoezi ya kimazingira ya msikiti kukaa mda mrefu kuskiza Ilmul fadhwail na Ilmul Haal

    • @Swafhatul_Iymaan
      @Swafhatul_Iymaan 5 місяців тому

      Kwa Maana yako Mtu aweza Kuwa Mchamungu Bila Elimu??

  • @swalehmohamed4849
    @swalehmohamed4849 5 місяців тому

    Sasa moshi sokoni kuna mitihani mingi sana ya kiiman na hujawahawi kutembelea wala wanafunzi hawaendi

  • @swalehmohamed4849
    @swalehmohamed4849 5 місяців тому

    Malizia aya je Hamzingatii n Aya nyengine wanapoulizwa nani Ameumba mbigu na ... wasema ni Allah Allah hayo ni mazingatio kwa wanao Amini mwisho wa Ayah si makafikiri hawana mazingatio Ibn Baaz asema kuamrisha mema ni kw Aam kama hajui kutawadha waambiwa mpeleke kwa Imaam musome nyote

  • @swalehmohamed4849
    @swalehmohamed4849 5 місяців тому

    Huku kenya vijiji vyingi tumewaongoza katika shirk tukawatia katika‍Tawhiid na mimi binasfsi Nimekuwa sababu ya kuozesha ndoa zaidi ya Ishirini na walikuwa wakizini

  • @swalehmohamed4849
    @swalehmohamed4849 5 місяців тому

    Moshi uliingizia maneno ambayo hayapo kwenye muntakhab kwamba kuna mambo ya kaburi na hayo hayakuandikwa na wasomi wapo wengi kwa daawa mimi mmoja nasomesha usuulu thathala, Ahkamuu tajweed n.k katika msikiti wangu na wote wanaokaa ni Tabligh

  • @swalehmohamed4849
    @swalehmohamed4849 5 місяців тому

    Utaratibu wote uko kwenye kitabu na sunnah kasome hayaatu swahaba ya muhamad yusuf iliyofanyiwa Tahqiiq na Albaany soma mujaladaat zote tatu sio juu juu

  • @theCashmanier
    @theCashmanier 5 місяців тому

    Allahu Akbar hii Audio niliisikia kitambo na ndo ilinipelekea kuachana na Jamaat Tabligh. Na kuanza kuijua Dawat Salafiyah.

  • @somosomo4860
    @somosomo4860 5 місяців тому

    Heri wamarekani kuliko wasaudia Hawa wasaudia ndie walimkimbiza Mtume S.A.W.

  • @somosomo4860
    @somosomo4860 5 місяців тому

    Tablik ni kazi wa ambiaa na mitume woote walipotumwa na Allah.na zinaenea duniani licha za kuzuiliwa na wasomi wa elimu wa juu.naeleme za mashekhe zinabaki kwa mimbra. Wasomi wa elemu endeleeni kukaa kwa mimbr na kuwatukana watu wa mwalidi na watu daawa na bida.tablig na mwalidi zitaendelea licha vileumedai hawana elimu.

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 6 місяців тому

    sheikh Allah akupe afya siha

  • @MshaSalum
    @MshaSalum 6 місяців тому

    Allah awabarik

  • @user-ls3yu3oz4whgfxzzz
    @user-ls3yu3oz4whgfxzzz 6 місяців тому

    Allah akuhifadhi hata kwa kiumri yaa shaikhanal fadhil

  • @JumaabedNzota
    @JumaabedNzota 6 місяців тому

    ALLAH akuhifadhi shekhe wetu JazaakaNLLAH khayrah

  • @hamzahhassan6474
    @hamzahhassan6474 6 місяців тому

    Jazaakallahu Khairan fiiy Dunia wal aakhira

  • @user-wr5zi4wc4z
    @user-wr5zi4wc4z 6 місяців тому

    Namuomba Allah akuhifadh sheikh..

  • @SameerMdumbemalongo
    @SameerMdumbemalongo 6 місяців тому

    Pia nakupenda ya sheikh.....allah akubarik

  • @SameerMdumbemalongo
    @SameerMdumbemalongo 6 місяців тому

    Ewe Allah....mbariki huyu sheikh....mkinge huyu shaikh....anaongea ukwel......tunanufaika san alhamdulillah

  • @user-ep7jw8gt5i
    @user-ep7jw8gt5i 6 місяців тому

    Allah akuhifadh shekhe Abuu fadhil

  • @ExcitedChefHat-ef5jt
    @ExcitedChefHat-ef5jt 7 місяців тому

    Shekh Abdallah humeid sema ukweli japo uchungu maneno ya kweli kabisa. Allah akuhifadh .

  • @user-qp5ct1it9e
    @user-qp5ct1it9e 7 місяців тому

    Baraka Allahu fikum wa Jazakumu Allah Kheir!Huku ndiko kuwa na Yakini na Mola wako.Allah atupe Thabat katika Haki na atufishe tukiwa katika hali hio!

  • @AbuSwabirAlkharous-rt3tg
    @AbuSwabirAlkharous-rt3tg 7 місяців тому

    Alwa ndio nini?

  • @AbuSwabirAlkharous-rt3tg
    @AbuSwabirAlkharous-rt3tg 7 місяців тому

    Juá kuandika kwanza

  • @binaamour318
    @binaamour318 7 місяців тому

    Ewe abdalah humed usalafiyun n vitendo cio jina Kama ndio ukishaitwa salafi ndio pepo n yako ? Hayo maneno yko unayojiona Bora au kujioneni Bora mbele y waislamu wenzenu jiandaeni na majibu mbele ya alwah

    • @Swafhatul_Iymaan
      @Swafhatul_Iymaan 7 місяців тому

      Ungelijifunza kumtamka vizuri Mola wako ingekuwa aula zaidi kwako kuliko haya mengine. Ni ALLAH sio alwah

    • @blueband0012
      @blueband0012 7 місяців тому

      ​@@Swafhatul_IymaanTandike yeye kisawa sawa

  • @husseinonacha4111
    @husseinonacha4111 9 місяців тому

    mashaalah faida tela

  • @abuusuleyman8008
    @abuusuleyman8008 2 роки тому

    wallah Abuul khatwab namwelewa sana Allah Amzidishie swiha na Elim na amdumishe katika manhaj salaf,,na azidi kufikisha kile ambacho Allah amemuwezesha kukifaham

  • @mengihashimu1081
    @mengihashimu1081 2 роки тому

    جزاك الله خيرا

  • @minaziparasu3352
    @minaziparasu3352 2 роки тому

    Sawa tumekuelewa kesho jitahd kusoma utuambie hakuna israawalmirajj

    • @Swafhatul_Iymaan
      @Swafhatul_Iymaan 2 роки тому

      Kwani Nani Aliesema Kuwa Hakuna Israa Wal Miraaj ?!

    • @Swafhatul_Iymaan
      @Swafhatul_Iymaan 2 роки тому

      Katika Qur'aan Kuna Sura Inaitwa Suratul Israa , na haitofika Kusema kuwa Hakuna Israa Wal Miraaj Abadan

  • @akthammuhammad7844
    @akthammuhammad7844 2 роки тому

    Hajawahi fundisha.kitu muhimu imetokea ama haututokea.

    • @Swafhatul_Iymaan
      @Swafhatul_Iymaan 2 роки тому

      01. ua-cam.com/play/PLjjoP2EP8CIB0giVrJTV9Nfg5iTmYZ81F.html

    • @Swafhatul_Iymaan
      @Swafhatul_Iymaan 2 роки тому

      2. بواعث الخلاص من الذنوب وهو فصل من كتاب (عدة الصابرين): ua-cam.com/play/PLjjoP2EP8CICcvj5-Jth2wzq2ihW_uPSq.html

    • @Swafhatul_Iymaan
      @Swafhatul_Iymaan 2 роки тому

      3. ua-cam.com/play/PLjjoP2EP8CIAQkwdyT-2vneRYzS3oQd1h.html

    • @Swafhatul_Iymaan
      @Swafhatul_Iymaan 2 роки тому

      4. ua-cam.com/play/PLjjoP2EP8CIAann1tUU_C1Fbd5Zqp6FYw.html

    • @Swafhatul_Iymaan
      @Swafhatul_Iymaan 2 роки тому

      1. الحور بعد الكور: ua-cam.com/play/PLjjoP2EP8CICq8OfcTQXjSX3VVmgEzWmp.html

  • @mushimadege
    @mushimadege 2 роки тому

    Nimefuatilia Clips Zako Nyingi, Naona kila clip unakosoa tu ufundishi

    • @Swafhatul_Iymaan
      @Swafhatul_Iymaan 2 роки тому

      1. الحور بعد الكور: ua-cam.com/play/PLjjoP2EP8CICq8OfcTQXjSX3VVmgEzWmp.html

    • @Swafhatul_Iymaan
      @Swafhatul_Iymaan 2 роки тому

      2. بواعث الخلاص من الذنوب وهو فصل من كتاب (عدة الصابرين): ua-cam.com/play/PLjjoP2EP8CICcvj5-Jth2wzq2ihW_uPSq.html

    • @Swafhatul_Iymaan
      @Swafhatul_Iymaan 2 роки тому

      3. ua-cam.com/play/PLjjoP2EP8CIAQkwdyT-2vneRYzS3oQd1h.html

    • @Swafhatul_Iymaan
      @Swafhatul_Iymaan 2 роки тому

      4. ua-cam.com/play/PLjjoP2EP8CIAann1tUU_C1Fbd5Zqp6FYw.html

    • @Swafhatul_Iymaan
      @Swafhatul_Iymaan 2 роки тому

      5. ua-cam.com/play/PLjjoP2EP8CIC5_315DZrMpc0MupdaOQ44.html

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 2 роки тому

    Sheikh wetu Allah akubariki na akuhifadhi Kwa kweli una jitahidi kuelimusha umma

  • @jafaryyusufu2993
    @jafaryyusufu2993 2 роки тому

    Mashaallah ni kweli shekh umesema

    • @hajribnhajar7870
      @hajribnhajar7870 2 роки тому

      Masha allah..allah akuzidishie saudi ni chimbuko ya ahlusunnah..yeyote anae chukia saudia anachukia sunnah wal iyaadhu billah..

  • @aboudjihaadmoussa7680
    @aboudjihaadmoussa7680 2 роки тому

    صحیح

  • @alikhamis6326
    @alikhamis6326 2 роки тому

    Shukran sheikh Abuu fadhwil Qassim mafuta Allah akuhifadhi