- 59
- 999 486
Total Gospel Ministry
Tanzania
Приєднався 18 кві 2016
JOHNN 4:23- 24 But the hour is coming, and now is, when the true worshipers will worship the Father in spirit and truth, for such the Father seeks to worship him. [24] God is spirit, and those who worship him must worship in spirit and truth.
Our greatest desire is found in John 4:23, that life eternal is only achieved by knowing the only true God and Jesus Christ whom He sent. We believe there is no other hope for generations apart from knowing and acknowledging Jesus Christ in their lives.
Our greatest desire is found in John 4:23, that life eternal is only achieved by knowing the only true God and Jesus Christ whom He sent. We believe there is no other hope for generations apart from knowing and acknowledging Jesus Christ in their lives.
Nimekombolewa na Yesu _Tenzi za Rohoni 2024
Nimekombolewa na Yesu
Aliyenirehemia;
Kwa bei ya mauti yake
Nimekuwa mtoto wake.
Kombolewa!
Nakombolewa na damu;
Kombolewa!
Mimi mwana wake kweli.
Kukombolewa nafurahi,
Kupita lugha kutamka;
Kulionyesha pendo lake,
Nimekuwa mtoto wake.
Nitamwona uzuri wake,
Mfalme wangu wa ajabu;
Na sasa najifurahisha,
Katika neema yake.
Najua taji imewekwa
Mbinguni tayari kwangu;
Muda kitambo atakuja,
Ili alipo, niwepo.
Total Gospel Ministry
Aliyenirehemia;
Kwa bei ya mauti yake
Nimekuwa mtoto wake.
Kombolewa!
Nakombolewa na damu;
Kombolewa!
Mimi mwana wake kweli.
Kukombolewa nafurahi,
Kupita lugha kutamka;
Kulionyesha pendo lake,
Nimekuwa mtoto wake.
Nitamwona uzuri wake,
Mfalme wangu wa ajabu;
Na sasa najifurahisha,
Katika neema yake.
Najua taji imewekwa
Mbinguni tayari kwangu;
Muda kitambo atakuja,
Ili alipo, niwepo.
Total Gospel Ministry
Переглядів: 185
Відео
Marriage & Relationships
Переглядів 188 місяців тому
At its core, marriage counseling is meant to help couples understand and resolve conflicts to improve their relationship. It's intended to give couples the tools to communicate with more compassion and less fear while learning how to problem-solve and deal with conflict in a healthy manner.
Tangu siku ile ~Tenzi za Rohoni 2022
Переглядів 1,4 тис.2 роки тому
Tangu siku ile ~Tenzi za Rohoni 2022
TENZI ZA ROHONI NIONAPO AMANI KAMA SHWARI
Переглядів 6 тис.3 роки тому
TENZI ZA ROHONI NIONAPO AMANI KAMA SHWARI
2021 Tenzi za Rohoni Swahili Mix Playlist (1Hour and 30 minutes) - Beats Instrumental
Переглядів 36 тис.3 роки тому
Karibu usikilize Beats instumental Za nyimbo za Tenzi za Rohoni Mpya 2021 1.Bwana Uliyewaita 2.Bwana Yesu Atakuja 3.Wamwendea Yesu 4.Yesu Kwetu Ni Rafiki 5.Tumesikia Mbiu 6.Naweka Dhambi 7.Twae Wangu 8.Mapenzi Ya Milele 9.Twamsifu Mungu 10.Yesu Zamani 11. Nionapo Amani 12.Yesu Kwa Imani
Bwana ni Nuru Yangu~ Jerusalem Choir
Переглядів 8 тис.4 роки тому
Bwana ni Nuru Yangu~ Jerusalem Choir
Jina Lake Yesu Tamu~Tenzi za Rohoni 2021
Переглядів 42 тис.4 роки тому
Hallelujah Endelea kusubsribe Like na share Kwa wengine ili Iwafikie Habari njema kila Leo. .#JinaLakeYesuTamu~Tenzi za Rohoni 2021 . New Bits 2021. •Cover Designed _Total Gospel Media Instruments/Music_Uwata (UAMSHO WA WAKRISTO TANZANIA) •Kwa Huduma wasiliana nasi! Tupigie 255 653 515 5553 TOTAL GOSPEL MEDIA We Believe in Jesus Christ
Mahali ni Pazuri ~Tenzi za Rohoni
Переглядів 130 тис.4 роки тому
Hallelujah Endelea kusubsribe Like na share Kwa wengine ili Iwafikie Habari njema kila Leo. .#MahaliniPazuri ~Tenzi za Rohoni 2021 . New Bits 2021. •Cover Designed _Total Gospel Media Instruments/Music_Uwata (UAMSHO WA WAKRISTO TANZANIA) •Kwa Huduma wasiliana nasi! Tupigie 255 653 515 5553 TOTAL GOSPEL MEDIA We Believe in Jesus Christ
Tenzi za Rohoni 07 _ Ni Tabibu wa Karibu
Переглядів 30 тис.4 роки тому
Hallelujah Endelea kusubsribe Like na share Kwa wengine ili Iwafikie Habari njema kila Leo. .#NITABIBU WAKARIBU 07 . New Bits 2020. •Cover Designed _Total Gospel Media Instruments/Music_Uwata (UAMSHO WA WAKRISTO TANZANIA) •Kwa Huduma wasiliana nasi! Tupigie 255 653 515 5553 TOTAL GOSPEL MEDIA We Believe in Jesus Christ ENDELEA KUBARIKIWA.
New Jerusalem Choir_Neema ya Mungu
Переглядів 15 тис.4 роки тому
Hallelujah! Endelea kusubsribe Like na share Kwa wengine ili Iwafikie Habari njema kila Leo. #NEW JERUSALEM CHOIR# #NEEMA YA MUNGU# Album: Aguli •Cover Designed _Total Gospel Media •Recorded at Uwata Glory Sound Studio •Song: NEEMA YA MUNGU •Kwa Huduma wasiliana nasi! •Kwa namba 255 653 515 5553 TOTAL GOSPEL MEDIA We Believe in Jesus ENDELEA KUBARIKIWA. Total Gospel Media
New Jerusalem Choir_Tumesikia Neno Lako
Переглядів 20 тис.4 роки тому
New Jerusalem Choir_Tumesikia Neno Lako
Tenzi za Rohoni 73_Yesu Zamani Bethlehem_ Instrument (Bit)2020
Переглядів 12 тис.4 роки тому
Tenzi za Rohoni 73_Yesu Zamani Bethlehem_ Instrument (Bit)2020
Tenzi za Rohoni 104/117 Twasoma ni Njema/Tufani inapovuma_New (Bit) instrument _2020
Переглядів 36 тис.4 роки тому
Tenzi za Rohoni 104/117 Twasoma ni Njema/Tufani inapovuma_New (Bit) instrument _2020
Tenzi za Rohoni 123_ Nimeketi Mimi Nilikipofu_New (Bit) Instrument
Переглядів 15 тис.4 роки тому
Tenzi za Rohoni 123_ Nimeketi Mimi Nilikipofu_New (Bit) Instrument
Tenzi za Rohoni Na 3_Hata Ndimi Elfu - Mwl. Gordian Newton
Переглядів 43 тис.4 роки тому
Tenzi za Rohoni Na 3_Hata Ndimi Elfu - Mwl. Gordian Newton
Tenzi za Rohoni 52_Yote Namtolea Yesu _ Mwl.Gordian Newton
Переглядів 83 тис.4 роки тому
Tenzi za Rohoni 52_Yote Namtolea Yesu _ Mwl.Gordian Newton
Tenzi za Rohoni 114_Bwana Mungu nashanga_Gordian Newton
Переглядів 36 тис.4 роки тому
Tenzi za Rohoni 114_Bwana Mungu nashanga_Gordian Newton
Tenzi za Rohoni 23_Kale Nilitembea _Mwl.Gordian Newton
Переглядів 32 тис.4 роки тому
Tenzi za Rohoni 23_Kale Nilitembea _Mwl.Gordian Newton
Dickson Maige _Le it be me sax (cover)
Переглядів 684 роки тому
Dickson Maige _Le it be me sax (cover)
Namna ya kushinda ROHO ya Hofu (Covid 19)_Mwl Amos Christopher Semba
Переглядів 2524 роки тому
Namna ya kushinda ROHO ya Hofu (Covid 19)_Mwl Amos Christopher Semba
Uwezo wa mkristo kufanikiwa kiuchumi (Ibaada ya 19April 2020 _Mwl. Amos Christopher Semba
Переглядів 1074 роки тому
Uwezo wa mkristo kufanikiwa kiuchumi (Ibaada ya 19April 2020 _Mwl. Amos Christopher Semba
•Tenzi za Rohoni 141 Pana jito lina maji mzuri ~Mwl.Godian Newton
Переглядів 96 тис.4 роки тому
•Tenzi za Rohoni 141 Pana jito lina maji mzuri ~Mwl.Godian Newton
kwanini nitembee peke yangu - Musa shabani
Переглядів 3 тис.5 років тому
kwanini nitembee peke yangu - Musa shabani
🙌🙌
Ewe kimbilio langu niokoe long live UWATA JERUSALEM
Mbarikiwe watu wa Mungu
Nashukuruni kwa yote appreciated 100%
Kwaya nzuri zilizo baki Duniani no chache na hii ikiwa moja wapo
I am also blessed by these beats ,may God help us and make us stand firm in faith so that we may finally reach into heaven where we may see Jesus Christ our Lord
Mungu awabariki watu wa Mungu
❤
Amen❤
❤❤
Amen 😊😅😅😅😅😅
Nice song mom❤
Hii tenzi huwa hainichoshi kuimba wala kuisikiliza♥️
Ujumbe Mzuri
Mungu awabariki Kwa ujumbe Mzuri
Hatari Sana utukufu ni kwa Mungu aliye haii❤❤❤❤❤
Amina
Amina
Mungu awakumbuke msichoke mnaponya wengi
Kweli wengine wanapotea kwa baali,wengi ambao hawajamsujudia Baali Mungu anawainua wakiwa na afya ya kiroho na kiu Ile Ile aliyekuwa nayo Bwana Yesu
Best song, ahimidiwe MUNGU wa UWATA
Amen
Kutoka hapa Mararo Rd Kilimani Nairobi Kenya, nabarikiwa kweli kweli.
Kwanza ule wimbo wa mfalme Aguli wanifurahisha sana.
Nabarikiwa sana kutoka hapa Mararo Rd Kilimani Nairobi Kenya.
Mimi Alphayo omwega mogunde kutoka hapa Mararo Rd Kilimani Nairobi Kenya nabarikiwa sana kwa nyimbo zote mnazoimba kwaya hii ya New Jerusalem.
Mungu ana watu 🙌
Amina dada kweli mungu atuongezee imana ulimwengu huu mgum sana
Amina hakika Atuongezee Imani
Hii SAUTI Ina MAFUTA Sio Mchezo
Acha Mungu aitwe Mungu❤❤
Enjoying the songs keep it up
Mungu wetu awape nguvu na upunivu zaidi. Amen 🙏🙏🙏.
Bwana atubariki wana wa mungu
Mbarikiwe jaman jerusalem mungu awabariki nafarijika sana nikisikiliza nyimbo hz💅💅
Mungu awabariki sana kila napowasikia nabarikiwa nakumbuka enzi izo wakati naimba nanyi Mungu anirehemu
Bwana Mungu nashangaa kabisa, Nikifikiri jinsi ulivyo, Nyota, ngurumo, vitu vyote pia, Viumbavyo kwa uwezo wako. Roho yangu na ikuimbie, Jinsi wewe ulivyo mkuu, Roho yangu na ikuimbie, Jinsi wewe ulivyo mkuu. Nikitembea pote duniani, Ndege huimba nawasikia, Milima hupendeza macho sana, Upepo nao nafurahia. Roho yangu na ikuimbie, Jinsi wewe ulivyo mkuu, Roho yangu na ikuimbie, Jinsi wewe ulivyo mkuu. Nikikumbuka vile wewe Mungu, Ulivyompeleka mwanao, Afe azichukue dhambi zetu, Kuyatambua ni vigumu mno. Roho yangu na ikuimbie, Jinsi wewe ulivyo mkuu, Roho yangu na ikuimbie, Jinsi wewe ulivyo mkuu. Yesu Mwokozi atakaporudi, Kunichukua kwenda mbinguni, Nitaimba sifa zako milele, Wote wajue jinsi ulivyo. Roho yangu na ikuimbie, Jinsi wewe ulivyo mkuu, Roho yangu na ikuimbie, Jinsi wewe ulivyo mkuu.
Kwahakika nyimbo hiiiii hunibariki sana napoisikiliza kuanzia maratatu huanza kuona malaika wakishuka nakupanda mahali nilipo ❤❤❤❤ mamba kwa roho kwakweli
Amennn
❤❤❤mzuri sanaaa
❤
Kwa kweli muda mwingi nilipotea, lakini nimepata rehema na neema bure ,msamaha pia nimepewa na nimepata kufunguliwa na huyu Mwokozi wangu, Yesu wangu.
Hii tenzi inanikumbusha sana kpindi nasoma wapi wale wa casfeta na ukwata wenzangu❤😊
Amen🙏
🥰🔥
Maji ya uzima utakao kwa yesu This song has a strong message
Familia wakae Kwa amani mama yangu Huwa anatusii xana kupitia huu wimbo wangu msigombane jaman
Neema ya Mungu iatamie kipawa hiki kwa utukufu wake 🌹🌹🌹
Amen
Baba mungu akubalik xana
Amen
Barikiwa
Amen
I love these songs so much. God bless the plalylist
Amen