MAPS SDA Choir
MAPS SDA Choir
  • 8
  • 5 520
MAPS SDA CHOIR JUBILEI 2024
Karibu utazame wimbo huu wa sherehe za jubilei ya miaka mia na hamsini ya utume ulimwenguni iliyofanyika katika viwanja vya shule ya msingi MAPS . Katika jimbo la nyanda za juu kusini mwa Tanzania mwaka 2024, Bwana akubariki unapotazama na kusikiliza wimbo huu.
Переглядів: 46

Відео

Maps SDA Choir  SabatoMaps SDA Choir  Sabato
Maps SDA Choir Sabato
Переглядів 75414 днів тому
Sabato ni siku ya pumziko na kutafakari mambo makuu anayo tutendea Mungu Ungana nasi kusikiliza ujumbe huu makini
Maps SDA Choir  YerusalemuMaps SDA Choir  Yerusalemu
Maps SDA Choir Yerusalemu
Переглядів 553Місяць тому
Yerusalemu ni mji ulioandaliwa kwa ajili ya washindi wa dhambi.Ni tumain letu mimi na wewe tuwepo katika mji ule karibu kusikiliza na kutazama ujumbe ulio ndani ya wimbo huu.
Maps SDA Choir  UwakiliMaps SDA Choir  Uwakili
Maps SDA Choir Uwakili
2 місяці тому
Bwana ametupatia kusimamia vitu vyote duniani na tambua kwamba mali fedha dhahabu muda wanyama wadudu ndege hata mwanadam ni mali ya bwana hivyo lolote ulifanyalo jua wewe ni wakili wa bwana na utatoa hesabau siku ya hukumu.karibu kusikiliza ujumbe wa wimbo huu hakika utabarikiwa nao.
Maps SDA Choir  Ameniweka huruMaps SDA Choir  Ameniweka huru
Maps SDA Choir Ameniweka huru
Переглядів 1,3 тис.2 місяці тому
karibu kusikiliza wimbo huu unaozungumzia jinsi ambavyo yesu anabeba mizigo yetu na pia tunapaswa kuachana na mambo ya dunia hii ili tuwe salama
MWIMBIENI BWANAMWIMBIENI BWANA
MWIMBIENI BWANA
Переглядів 96111 місяців тому
Karibu sana ndugu mtazamaji, kusikiliza wimbo huu unaotutaka tumwimbie Bwana.
NITAFURAHINITAFURAHI
NITAFURAHI
Переглядів 1,6 тис.11 місяців тому
wimbo huu utakubariki sana ndugu mtazamaji kwani unaelezea jinsi ambavyo kuja kwa Yesu, kutakavyokuwa kwa watu wote. Pia unaelezea furaha kuu kwa wenye haki na kilio kwa waovu,.
mji mkuu by maps sda choir live performancemji mkuu by maps sda choir live performance
mji mkuu by maps sda choir live performance
Переглядів 35111 місяців тому
Tunatazamia kwenda mbinguni

КОМЕНТАРІ