- 197
- 203 968
Koreshi Daycare and Nursery School
Tanzania
Приєднався 26 жов 2021
KORESHI DAYCARE AND NURSERY SCHOOL
Tunapokea Watoto Kwanzia Miaka Miwili ( 2 ) Mpaka Miaka Sita ( 6 )
Tunawakaribisha Wote
Koreshi Daycare and Nursery School
____________________________________________________________
Tunapatikana | Airport Karakata Dar es Salaam
Mitandao Ya Kijamii
Facebook : @ Koreshi Daycare and Nursery School
Instagram : @ Koreshi Daycare and Nursery School
UA-cam : @ Koreshi Daycare and Nursery School
Email : buhurusospeter89@gmail.com
Phone Number. : +255 753515321
_________________________________________________________________________
Welcome Koreshi Daycare and Nursery School
Education is Liberation
_____________________________________

Wanafunzi wa Top Class wakishangilia ushindi wa matokea ya mtihani wa kujiunga na darasa la kwanza
Wanafunzi wa Top Class wakishangilia ushindi wa matokea ya mtihani wa kujiunga na darasa la kwanza
Переглядів: 171
Відео
Scholastica akiwafundisha kwa vitendo wanafu majina yaMadame wanyama. Part 2
Переглядів 2062 місяці тому
Scholastica akiwafundisha kwa vitendo wanafu majina yaMadame wanyama. Part 2
Wanafunzi wa BABY CLASS wakishiriki vyema mchezo wa kuruda maduara .#hekima #watoto #michezo
Переглядів 2582 місяці тому
Wanafunzi wa BABY CLASS wakishiriki vyema mchezo wa kuruda maduara .#hekima #watoto #michezo
Madame Scholastica akiwafundisha kwa vitendo wanafu majina ya wanyama.#elimubora
Переглядів 1642 місяці тому
Madame Scholastica akiwafundisha kwa vitendo wanafu majina ya wanyama.#elimubora
Wanafunzi wa Koreshi wakishiriki mchezo wa Maputo.
Переглядів 1592 місяці тому
Wanafunzi wa Koreshi wakishiriki mchezo wa Maputo.
Wanafunzi wa Koreshi Daycare wakishiriki mchezo wa kutembea na maputo.#elimubora #malezi
Переглядів 1762 місяці тому
Wanafunzi wa Koreshi Daycare wakishiriki mchezo wa kutembea na maputo.#elimubora #malezi
Walimu wa Koreshi Daycare Wakishiriki mchezo wa kuvutana kwa kutumia kamba.#elimubora
Переглядів 1472 місяці тому
Walimu wa Koreshi Daycare Wakishiriki mchezo wa kuvutana kwa kutumia kamba.#elimubora
Wanafunzi wa Koreshi Daycare wakishiriki mchezo wa kuvutana kwa kamba. Part 2
Переглядів 3412 місяці тому
Wanafunzi wa Koreshi Daycare wakishiriki mchezo wa kuvutana kwa kamba. Part 2
Wanafunzi wakishiriki mchezo kuvutana kwa kutumia kamba.#elimubora #hekima
Переглядів 1392 місяці тому
Wanafunzi wakishiriki mchezo kuvutana kwa kutumia kamba.#elimubora #hekima
wanafunzi wa Koreshi Daycare wakishiriki katika michezo siku ya ijumaa #elimubora #hekima
Переглядів 9713 місяці тому
wanafunzi wa Koreshi Daycare wakishiriki katika michezo siku ya ijumaa #elimubora #hekima
Wanafunzi wa Koreshi Daycare wakishiriki mchezo wa kupuliza mpira #elimubora #hekima #michezo #funny
Переглядів 5573 місяці тому
Wanafunzi wa Koreshi Daycare wakishiriki mchezo wa kupuliza mpira #elimubora #hekima #michezo #funny
Wanafunzi wa Koreshi Daycare wakishiriki michezo siku ya ijumaa. #hekima #elimubora #michezo #funny
Переглядів 1873 місяці тому
Wanafunzi wa Koreshi Daycare wakishiriki michezo siku ya ijumaa. #hekima #elimubora #michezo #funny
Wanafunzi wa Koreshi Daycare, Baby class wakishiriki mchezo wa kufunika mpira kwa kutumia vikombe.
Переглядів 5993 місяці тому
Wanafunzi wa Koreshi Daycare, Baby class wakishiriki mchezo wa kufunika mpira kwa kutumia vikombe.
Wanafunzi wa Koreshi Daycare, Baby Class wakishiriki mchezo wa kupanga mipira #elimubora
Переглядів 5993 місяці тому
Wanafunzi wa Koreshi Daycare, Baby Class wakishiriki mchezo wa kupanga mipira #elimubora
Walimu wa Koreshi Daycare wakishiriki michezo na wanafunzi siku ya Ijumaa
Переглядів 4343 місяці тому
Walimu wa Koreshi Daycare wakishiriki michezo na wanafunzi siku ya Ijumaa
Majadiliano yaliyofanyika na Uongozi wa Koreshi Daycare yanayohusu Malezi Bora kwa watoto
Переглядів 1613 місяці тому
Majadiliano yaliyofanyika na Uongozi wa Koreshi Daycare yanayohusu Malezi Bora kwa watoto
Sporty Day, Wanafunzi wa Koreshi Daycare wakishiriki mchezo wa Kupanga glass. #elimubora #michezo
Переглядів 5153 місяці тому
Sporty Day, Wanafunzi wa Koreshi Daycare wakishiriki mchezo wa Kupanga glass. #elimubora #michezo
Wanafunzi wa Koreshi Daycare ,Baby Class wakishiki mchezo wa kupita chini ya viti.#elimubora
Переглядів 3223 місяці тому
Wanafunzi wa Koreshi Daycare ,Baby Class wakishiki mchezo wa kupita chini ya viti.#elimubora
Walimu na wazazi wa Koreshi Daycare wakijali jinsi ya kuboresha na kuimalisha maendeleo ya mtoto
Переглядів 1684 місяці тому
Walimu na wazazi wa Koreshi Daycare wakijali jinsi ya kuboresha na kuimalisha maendeleo ya mtoto
KIKAO CHA WALIMU NA WAZAZI KILICHOFANYIKA SIKU YA LEO 7 SEPT, 2024 PART 2
Переглядів 1064 місяці тому
KIKAO CHA WALIMU NA WAZAZI KILICHOFANYIKA SIKU YA LEO 7 SEPT, 2024 PART 2
Mwanafunzi wa Koreshi Daycare TANASHA akiongoza mornie speech wakiwa asembelly
Переглядів 3254 місяці тому
Mwanafunzi wa Koreshi Daycare TANASHA akiongoza mornie speech wakiwa asembelly
Wanafunzi wa Koreshi Daycare wakishiriki mchezo wa kuzunguka duala uku wakiimba nyimbo nzuri
Переглядів 2694 місяці тому
Wanafunzi wa Koreshi Daycare wakishiriki mchezo wa kuzunguka duala uku wakiimba nyimbo nzuri
Walimu na wanafunzi wa Koreshi Daycare wakishiki vyema Mchezo wa kutembea na mpira wakiwa wawili.
Переглядів 7374 місяці тому
Walimu na wanafunzi wa Koreshi Daycare wakishiki vyema Mchezo wa kutembea na mpira wakiwa wawili.
Wanafunzi wa Baby Class wakishiriki kwa ufanisi Mchezo wa kupanga mipira. Koreshi Daycare#elimubora
Переглядів 1,7 тис.4 місяці тому
Wanafunzi wa Baby Class wakishiriki kwa ufanisi Mchezo wa kupanga mipira. Koreshi Daycare#elimubora
Mwl wa Koreshi Daycare akiwa kwenye hafla ya kumpongeza Mh Joel Nanauka kwenye Tunzo ya uhamasishaj
Переглядів 144 місяці тому
Mwl wa Koreshi Daycare akiwa kwenye hafla ya kumpongeza Mh Joel Nanauka kwenye Tunzo ya uhamasishaj
Wanafunzi wa Koreshi Daycare walivyopata nafasi ya kujifunza na kutalii mbugani. SADANI PARK TOUR
Переглядів 1994 місяці тому
Wanafunzi wa Koreshi Daycare walivyopata nafasi ya kujifunza na kutalii mbugani. SADANI PARK TOUR
wanafunzi wa Koreshi Daycare wakindaa mwili kabla ya safari ya kwenda Sadani Park siku ya jumamosi
Переглядів 6974 місяці тому
wanafunzi wa Koreshi Daycare wakindaa mwili kabla ya safari ya kwenda Sadani Park siku ya jumamosi
Walimu wa Koreshi Daycare wakishiriki michezo pamoja na wanafunzi. #elimubora #nidhamu #upendo
Переглядів 1144 місяці тому
Walimu wa Koreshi Daycare wakishiriki michezo pamoja na wanafunzi. #elimubora #nidhamu #upendo
Michezo ni sehemu ya kujenga Afya, Upendo na Ushirikiano #elimubora
Переглядів 1194 місяці тому
Michezo ni sehemu ya kujenga Afya, Upendo na Ushirikiano #elimubora
Wanafunzi wakishikiri kwa uchamfu mchezo wa kutembea na kijiko mdomoni #elimubora #Hekima
Переглядів 1315 місяців тому
Wanafunzi wakishikiri kwa uchamfu mchezo wa kutembea na kijiko mdomoni #elimubora #Hekima
😂😂😂😂
God bless you
Hongereni nimependa mi mwalimu
Asante sana
Samahani iyo shule ni day tyu ama
Ndiyo
Ni Day care tu
Shule ipo dar sehemu gani
Airport
Nimeielewa sana na kujua vitu vingi kuhusu maisha ya koreshi
Mnapatikana wapi
Tunapatikana Dar es Salaam , uwanja wa ndege
Jamn nina mtoto wangu namtafutia shule mpo wapi naomba kama kuna anaejua shule ya boarding anisaidie
Koreshi inapatikana Uwanja wa ndege Dar es Salaam
Naomba nisaidie mawasiliano yenu
Ada yake inakuaj na muda wa kuibgia na kutoka sangapi
@@WinnieDickson-r9u Kwa maelezo zaidi Tafadhali wasiliana na Uongozi wa Koreshi Daycare kwa namba 0753515321
Ada yake inakuaj na mm sina mtu wa kumwachia mtoto nikiwa kazini kwani hakuna boarding?
Gharama iko chini sana ila hatuna boarding
Hongereni sana wanakoreshi
@@MarthaVW asante sana🙏
Hahaaa daah inapendeza sana
Asante sana🙏
Jmn watoto hao ni day ama
woww nimewamis sana watoto wa Korean
@@latifalewis-g6s tumekumiss pia, Asantee
Yaani namtafutia mtoto wangu video za watoto wakiimba kwa kiswailina kucheza ili ajifunze kuongea nakutana na wabongo wakiimba kiingereza. Dah aisee
Woooow hongereni sana day care kwa kazi njema na nzuri sana, mm nasema mungu azidu kuwabaliki na kuwainua..
Asante sana kaka yangu
Keep it up koresh day care, may God bless this school.
Asante sana kaka yangu
Kereshi day care nawapenda na nawakubali niwatie moyo mwendelee ivoivo na mungu atawafanikisha hiyo shule ya msingi mkawe nayo na msiishie apo mfike secondary na mpaka mfungue chuo kabisa. Mungu akubaliki kaka angu peter na mungu akusimamie...
Ameeen kaka yangu, endelea sana kutoombea
Unaweza sana ❤❤❤❤
Asante
Dada unaweza
Asante sana
Kaz yenu ninjema aiseeh
Asante sana mkuu
Niya bweni ama
Ni ya Day tupo karakata Airport DSM
Good
Thanks
Asante sana mwalimu Mungu awabariki sana
Asante na muendelee kutuombea
😅😅😅 waoooow
Asante shemeji, muendelee kutuombea
Kama ni bweni naomba namba ples
Sisi tunapatikana Dar maeneo ya uwanja wa ndege
Vip ni ya bweni
Apana ni ya kutwa
Ni ya bweni ama
Hapana ni day
Hakika naona mbele yenu kuna ushindi mkubwa sana.koreshi day care mko vizuri mno.Mungu awabariki
Ameeen shemeji , Mbarikiwe sana Familia ya mr&mrs Metusela maana mmekuwa msaada mkubwa sana kwetu
Well done
Ameen madam
Good job
Ameeen
Jaman hadi raha mpo wap jmn natafuta kazi ya kufundisha nursery
Tuko airport, Dar es Salaam
Mwanza pia tupo
Hapo kuna boarding?nina mwanganu wa miaka 4 anataka kuanza shule vipi ada yake pia
Wooooow😂😂😂😂😂😂
Wooooow nawapenda saaaana walimu maana Jordan na Shawn wangu hua wanaimba Ila hua sielewi wanaimbaga nini Sasa ndio naelewa😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤
Ameen dada yangu. Tunakuahidi kuwalea vizuri watoto wetu
Manimbaje apo kuna maneno mengine siyasikii vzur
Nyimbo hio mnaimbaje eti??
Wow so nice every day I remember my school
Just wellcome madam
Nice
Koreshi mkoa gani?
Tupo Dar es Salaam Airport mtaa wa Karakata karibu sana
Tupigie +255 753515321
Safi sna
Amen karibu sana
Nimepend
Karibu sana
Safi sanaa
Amen Amen 🙏
Safari ijayo haachwi mtu Mguu kwa mguu mpaka Fun city
Kaka yangu usijali hatutakuacha
Pia naomba wazazi tuwe tunapewa picha au video kwenye flash ili iwe kumbukumbu kwetu na kwa wanafunzi husika
Ushauri wako tutaufanyia kazi kaka yangu
Hongerani sana Mna ubunifu mzuri ambao utawajenga watoto psychologically Sijutii kuichagua @koreshidaycare
Karibu sana amen 🙏
Akubariki Mungu katika kazi za mikono yako🎉🎉
Amen 🙏
Ka Shawn kangu mwe hongereni sna
Karibu sana Barikiwa Amen 🙏
Hongera Sana Kaka yangu, MUNGU AZIDI KUKUSHIKA MKONO KUPITIA SADAKA HII❤
Amen Amen Ahsante sana Dada yangu
Good tour congratulations and God bless.
Barikiwa Sana Amen 🙏
Inapendeza sana
Together Madam ❤
Hongereni Sana watumishi wa Mungu . kazi yenu ni njema Sana.
Amen Amen 🙏 barikiwa sana