- 36
- 44 932
Millah kitchen
Приєднався 5 тра 2016
Mkate wa sembe( dona)
Unga wa sembe 6 cup
Nazi 8 cups
Sukari 2 cups
Chumzi pinch
Black pepper 1 tablespoons
Hiliki ya unga 1 tablespoon
Mdalasini wa unga 1 tablespoon
Unga wa sembe 3 cups
Nazi 4 cups
Sukari 1 cup
Unga wa sembe 6 cup
Nazi 8 cups
Sukari 2 cups
Chumzi pinch
Black pepper 1 tablespoons
Hiliki ya unga 1 tablespoon
Mdalasini wa unga 1 tablespoon
Unga wa sembe 3 cups
Nazi 4 cups
Sukari 1 cup
Відео
Wali wa Seafood (kamba, chaza, ngisi n.k.)
Переглядів 3092 місяці тому
Wali wa Seafood (kamba, chaza, ngisi n.k.)
Upishi wa Pizza
Переглядів 3353 місяці тому
Upishi wa Pizza Ingredients: Strong plain flour 750g 430 ml of warm water One tablespoon of sugar Two tablespoon of yeast spoon salt Cooking oil one cup
Upishi wa Mkate wa Dona
Переглядів 6773 місяці тому
Upishi wa Mkate wa Dona Unga wa sembe ( Dona ) 6 cups / 3cups Sukari 2 cups / 1 cup Nazi ya maji ( coconut milk) 8 / 4 cups Black pepper 1 tablespoons Hiliki 1 tablespoons Mdalasini 1 tablespoons Vanilla optional
Upishi wa Mkate wa Kituruki
Переглядів 5744 місяці тому
Upishi wa Mkate wa Kituruki Plan flour (Unga wa Ngano) vikombe 3 (360g) Hamira (Yeast) 2tbs Mafuta ya kupikia (Oil) Vijiko 3 vikubwa Asali (Honey) 2tbs Maji ya vugu vugu (Warm Water) Kikombe 1 (1 cup) Chumvi (Salt) kijiko kikubwa 1 na robo (1 1/4 tbs)
Jinsi ya kutengeneza mikate ya kusukuma ( chapati )
Переглядів 1,6 тис.4 роки тому
Jinsi ya kutengeneza mikate ya kusukuma ( chapati )
Ulitumia moto ngap kuchoma hii kipenz?
Mashallah ❤
Ma shaa Allaah
@@minnahhers7437 Mashallah
MashaAllah Dada Millah
Shukran
MashAllah MashAllah. Shukrn sn habbty wangu. Allah atufanyie sahal in shaa Allah
@@salmasalum7735 Amin
Amin
Allah akulipe kheri Unatuchelewesha sana wari wetu watachika
@@innatnassor Amin
@@innatnassor tutajitahidi but majukumu mengi sana
Mashaallah ❤❤❤❤
Shukran
MashAllah MashAllah. Shukrn sn habbty kwa mambo mazur.
Afuan kuna video nitaweka soon usikose
@millahkitchen OK habbty wangu naisubir kwa hamu in shaa Allah 😘.
Shukrn sn habbty wangu kwa mapishi mazur MashAllah. Allah akuhifadhi na akuzidishie ujuzi zaid na zaid in shaa Allah
Amin kwa sote
Wali huo tunakula na kitu ganiama hivyo hivyo
@@hajrakifile797 unachopenda iwe kuku, nyama au samaki vyote vinaenda
Mashaallah dada unaeleleza kwa utuo na upole zaidi ninekufahamu vzr mno na inshallah nitajaibu
@@tamimakhalfanikhani8403 asante
Naomba vipimo vya vikombe
Mimi sijawahi kutumia kipimo hicho but wewe jaribu kikombe kimoja sukari, maji kikombe na robo, na unga wa maziwa fanya kikombe viwili na nusu ila kwenye maziwa uwe na umakini weka kidogo kidogo ukiona umekuwa mzito❤basi stop na ukiona bado mwepezi utaengeza.
Maa Shaa Allah
Mashaallah mwanangubhuyu.Alhamdhulillah❤
Shukran
Chineese pambe
Asante
MashAllah MashAllah. Vinafutia MashAllah. Allah akuzidishie ujuzi zaid na zaid in shaa Allah
Amin❤
MashAllah MashAllah. Shukrn habbty
Afuan ❤❤
Masha Allaj ni mbunifu .nilikuwa na pika pudding na cake separate
Umetumia unga wa ngano
No sio unga wa ngano
MashaAllah😋
Mbona kimyakimya Millan ,hatujaona hayo mayai.
@@mamuamtoto sijaweka full video maana nilishapika huko nyuma na video ipo hapa UA-cam
@ ok,Samahani mimi nimesubscribe si zamani.
@@mamuamtotoor ok karibu sana kwenye channel yetu , pia nitalirudia hili pishi kwa ajili yako Shukran san
Mash allah upate na kahawa utamu Ndio woote ❤❤❤
Umeona eee , shukran
Nataka recept yake
In sha Allah kipenzi
Mashaallah, nikashata ?
Yer za Mayai habibty
@@millahkitchen nataka nijaribu na mie, nitumie recept.
Iyo si spatula ni wisk jmny😂
@@arafatahir5848 yer thanks , sometime ulimi huwa unateleza my sister.
❤❤Wow lovely,please how can I get the shaping container like the one you are using?, am in Kenya
If you’re in Europe eBay Amazon, term, or AliExpress
Mashaallah Mashaallah wabarakatuh Rahman ❤
Shukran kipenzi
Jee zikopoa waeza zipasha
@@AngerinSawe-bm5ic sijaelewa suala lako .
Nzuri Sana ❤️
Asante
MashaAllah tabarakAllah
Shukran
😋😋😋 yummy Mashallah ❤
Asante
Maa Shaa Allaah
Shukran
Yumyum😊
Ahsante
Yummy 😋
Shukran
Ma shaa Allaa
Mashalah
Thanks
Maa shaa Allah
Thanks
Mashallah shukran Kwa upendo habbty Allah akuzidishie ujuzi mara dufu Na pishi la biriani ya ukwaju millah tuletee
Soon in sha Allah, thanks so much ❤
@@millahkitchen okay 👍
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Asante kipenzi
😋❤ Yammy Mashallah
Thanks 🙏
Ma shaa Allaah
Shukran
Mashaallah ❤️
Ahsante
❤
Thanks
Mashallah
Shukran
MashaAllah Allahuma barik Thanks for sharing ❤❤
Afuan sis
Mashalla mwanangu Alla atakuhifadhi kWa kazı yako Yarabi
Amin Amin Shukran sana na one and only antee.
Maashaallah 🎉🎉🎉❤❤
Thanks
Ma shaa Allaah
Ma Shukran
MashaAllah ❤️❤️❤️❤️❤️
Shukran
Can you use corn starch?
Yer you can but is not going to be like mine.