- 48
- 185 920
Swahili 360
Приєднався 6 вер 2021
Old-school Music/Flash back /kitambo/zilipendwa/Nyimbo/Oldies/Bongo Fleva/Swahili Songs. ?Sub_confirmation=1
Joslin~Niite basi
joslin,wakali kwanza,Niite basi,makamua,war,bongo fleva,Tanzania,kitambo,oldschool music
Переглядів: 552
Відео
Mb Dog ft Madee-Latifah
Переглядів 1,1 тис.2 роки тому
Latifa, Mb dog, Latifah, Madii, madee, Tip Top connection, siuliniambia, masai, kili Paul
Mack D ft Mr. Poul - Nilikupenda sana
Переглядів 5172 роки тому
Mr. poul, mista poo, mac d, mack D, nilikupenda sana, bongo fleva, kill poul
Sina Raha- Sam waukweli
Переглядів 1062 роки тому
sam waukweli, sina Raha, hata kwetu wapo, zanzibar, bongo fleva, kilimanjaro
Daz nundaz - Jahazi la Daz
Переглядів 9 тис.3 роки тому
Daznundaz/jahazi la daz/barua/kamanda/feruzi, Daz baba/ sajo/ bongo flava, bongo fleva
Daznundaz- Barua
Переглядів 603 роки тому
Daznundaz, feruzi, critic, daz mwalimu, Daz baba, starehe, bongo fleva, bongo flava
Daz baba ft Fid q - Umbo namba nane
Переглядів 6503 роки тому
Daz baba, Fid q, Feruzi, Dez nunda, Umbo namba nane, bongo glove, bongo flava.
H Baba - Poteza
Переглядів 423 роки тому
h baba, poteza. poteza, mwanza, mtoto wa dandu, bongo flevabongo flava
Gangwe Mobb ft Nasma hamis- Vidonge vyao
Переглядів 4923 роки тому
inspector haruni, ispekta haruni, Nasma hamisi, Gangwe Mobb, kitambo, zilipendwa, Bongo fleva, Temeke
Mabaga Fresh ft Juma nture- Mtulize
Переглядів 1,5 тис.3 роки тому
Juma necha, mabaga freshi, Temeke, Juma nature, Bongo fleva
Mabaga fresh ft Manzese crew ft Mack D- Hakuna noma
Переглядів 3383 роки тому
Mabaga fresh ft Manzese crew ft Mack D- Hakuna noma
Mandojo x Domokaya X Squeezer -Nenda
Переглядів 2,6 тис.3 роки тому
Mandojo x Domokaya X Squeezer -Nenda
😂😂😂❤
Noma sana dah kweli muda uko kasi
2024 December 23🔥🔥🔥🔥
I'm here in Entebbe Uganda, listening to song again and again.
Dah dude kali kinoma nakumbuka nikiwa form 2 usiku wa mkesha wa Mwenge uwanja wa Mukendo Musoma mjini 2004
Enzo zile hakukuwa Na boxer ilikuwa ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
kitambo sana
Hatari sanaaaaa...
Asante kwa kuiweka hii ngoma
Bongo flava
Kr mullar kaua kinoma hapo mwisho wa nyimbo
Bendera ya Bati mlingoti chuma kamba nyororo😂
Wananiita KR Jibaba mziki mkubwa CD 700 njoo kichwa kichwa uchukue za uso Vaba😂😂😂😂
Still November 7 2024 ❤
>>>2024🔥🔥🔥🔥
Kibraaaa
Classic hiphop
Kibla
HUU wimbo,naupenda sana leo ni 2024/31/10 naamini ni kumbukumbu muhimu sana Leo nikiwa na umri wa 30
🎉🎉🎉
Nileteee na mshike mshike ndege 2nduni😂😂😂
Man Jr😂😂😂😂😂😂😂😂
Signature noma sana
toka 2006 till 12th Oct 2024.. bado nnabugia hili bonge la beat!🎵 👋🏽shout out! toka eldoret
EATV Pamoja Tunawakilisha I can't forget that. Big up TMK wanaume from KE
Usanii uliokua bora kabla hujaingia dosari
Jaman ilikua balaa kipindi icho yani atari
Hoyo.ninomsana.kiara.ankamuakichiz
Alie chana verse ya pili ni nani?
D chief
Kr aliumiza sana humu East coast wakafyata wenyewe 😂😂😂 wajinga waliliotea sana hili goma nature kwenye ubora wake
Humu eastcoast team walipigwa knockout
walipgwa knockout hili goma.Sasahivi tunamisi magoma classic kama haya
Long time daah
👊
Classic 🔥
2024 Rich plumbing
Niko standard five 2003 aloo nishazeeka ila bado nakamua
Huu ndio mziki sio hayo makopo yao siki hapo mwisho mzee Alipo maliza outro ya kibabe wee uwogopi
N noma balaa n ktu.
Hii ngoma ilikuwa ni majibu kwa ngoma ya ECT, "Hii Leo", baada Amiri Jeshi Mkuu Crayz GK kutangaza Vita Kuu ya Tatu ya Dunia katika wimbo huo aliposema; "..Na sasa nakata na fuse, Wale machizi wamesizi. We kigugumizi kaka, Wakati wa pumba ndio umekwisha, Temeke Life Style sasa mwisho kuwakilisha, ni wakati wetu Machizi, Upanga East tunatisha, Majibaba yenye uwezo kwenye kuRap na hata kifedha, kama ikiwa hupendi, Chukua kamba jinyonge, Crayz GK mi sitojali kitu, Kwani yote ni shega tuu, shega tuu..." Ndio maana ktk wimbo huu, Jaymoo hapo kwenye outro anasema "...Umeskia hiyo?, Najua umesikia, kwamba TMK sio mwisho kuwakilisha, TMK inadatisha" Mwishoni kabisa Nature anasema "walijaribù wale, walijaribu"... Kisha baadae wasanii wa Temeke wakiwa kwenye ziara ya kimuziki (tour) maeneo mbalimbali nchini, wakati huo goma hili likiwa moto sana. Pia wasanii wengi wa Temeke wakitamba na ngoma zao nyingi, kama Luten Kalama, Wachuja Nafaka, Mhe. Temba, Chege, YP na Y-Dash nk, wakiwa Mwanza ndipo lilipokuja wazo la kuanzisha kundila "TMK Wanaume" kundi lilikuja kutamba kwa takriban nusu muongo na lililosumbua sana. Kwa Muhtasari; Ushindani kati ya wasanii wa Temeke na East Coast Team (ECT) na mistar michache ya GK ktk ngoma ya "Hii Leo (ua-cam.com/video/YnAP8aDYDOU/v-deo.htmlsi=f0bw5xGuaMc7NVRH)" ndio vilikuwa chachu ya kuamsha hasira za wasanii moto wa Temeke na kuja na kundi la TMK Wanaume. Na hapo ndipo ikawa mwanzo wa safari ndefu ya mafanikio kwa kundi la TMK Wanaume.
Mika Mwamba🙌
2024 mwezi wa 8 bado ngoma bora ya mahaba😅❤
Acha tuu😂
Hizi nyimbo ukizisikiliza zinakupa burudani na zinakufundisha pia
Safi sana
Chakula kwa masangati, mish cafe hapo temeke.ilikuwa ni balaa kipindi hiko show temeke zinapigwa ukumbi wa imasco (taifa), tcc(chang'ombe), ikweta grill(mtoni)..watoto wa 2000 wasiguse hii coment.
Masangati muuzq Chips maarufu TEMEKE 😅
Mamaeeee umetoa na angalizo kbs kwa vitoto vya juzi
Mie wa1987
@@Uwezohussein-me2gpsasajèeee😂😂😂😂😂😂😂
Sir Kibra nature kiroboto
East Coast waliufyata😂😂😂😂
Hilo BASE GUITAR hapo mwanzo aisee ni Noma 🔥🔥🔥🔥. Bongo Records ©️
Unajua😂😂😂
2024 kama upo gusa kitufe apo. Ila Composer wa hiyo biti alitisha Sana...
🔥🔥🔥2024
🔥🔥🔥🔥
Mwanga mkubwa weee
niko congo Drc nakumbuka mengi sana ❤❤
Ilikuaje Congo muda ilivotoka hii muziki