- 97
- 25 863
Iringa Talk Show
Приєднався 14 вер 2023
Kuwa na jamii yenye maarifa, taarifa na utayari wa kujitolea kwa ajili ya wengine. Kupitia mahojiano na matukio (events) tofautitofauti tunalenga kutambulisha vipaji, kuendeleza, na kusimamia talanta au vipaji vya watu katika jamii.
DUUU! HUYU MTOTO NI KIBOKO, ANASHANGAZA WATU
DUUU! HUYU MTOTO NI KIBOKO, ANASHANGAZA WATU
Переглядів: 504
Відео
FURAHIA UTALII NA BATELEUR SAFARIS & TOURS, KAMPUNI BORA ZAIDI YA KUTAMBA NAYO MBUGANI.
Переглядів 332 місяці тому
Shiriki katika mashindano ya usomaji wa vitabu ili ujishindie safari ya kutembelea mbuga ya wanyama ya Ruaha (Ruaha National Park) Bateleur safaris & Tours, ni kampuni bora zaidi ya kiutamba nayo wakati wote uwapo mbugani @bateleursafaricamp5920 @UTALIITV1 @Utalii_Super_Channel.. @tourism456 @theworldadventureshindi @Tzyetu @ITVTanzaniaTz @Iringatalkshow @iringagang @iringasunsethotel8064 @roya...
FEDHA INA MASIKIO, INA MIGUU, UKIITUNZA INAKUTUNZA - HARRIS KAPIGA
Переглядів 4,9 тис.3 місяці тому
FEDHA INA MASIKIO, INA MIGUU, UKIITUNZA INAKUTUNZA - HARRIS KAPIGA
HOTELI BORA ZAIDI MKOANI IRINGA & MOROGORO, UTAPENDA HUDUMA ZAO!
Переглядів 423 місяці тому
@iringasunsethotel1857 @iringasunsethotel8064 ni hoteli bora zaidi unapokuwa mkoani Iringa au Morogoro. Huduma zao ni za viwango vya juu sana vya ubora. Utapenda huduma zao!
COMPOUND INTEREST / FAIDA JUMUISHI - AJABU LA NANE LA DUNIA
Переглядів 1293 місяці тому
Ajabu la nane la dunia kwa mujibu wa Albert Eistein ni compound interest / Faida jumuishi. Jifunze namna inavyofanya kazi
UTT AMIS - JINSI YA KUWEKEZA NA MAAJABU YA FAIDA ZAKE
Переглядів 3 тис.3 місяці тому
Mkurugenzi wa masoko wa UTT AMIS Bwana Daudi Mbaga aweka bayana jinsi ya kuwekeza na maajabu ya faida kupitia uwekezaji huu.
JINSI YA KUWEKA MALENGO YA KIFEDHA - EZEKIEL LIBADU
Переглядів 2163 місяці тому
''Njia rahisi ya kumla tembo ni kumkatakata katika vipande vidogovidogo'' Ezekiel Libadu katika semina ya Akiba, Uwekezaji na Utalii kusini Somo: Jinsi ya kuweka malengo ya kifedha
PART 2 - USIYOYAJUA KUHUSU HARRIS KAPIGA
Переглядів 824 місяці тому
PART 2 - USIYOYAJUA KUHUSU HARRIS KAPIGA
MAKUBWA USIYOYAJUA KUHUSU HARRIS KAPIGA - PART 1
Переглядів 1824 місяці тому
MAKUBWA USIYOYAJUA KUHUSU HARRIS KAPIGA - PART 1
NILIKATALIWA NA BABA YANGU MZAZI - PROMO
Переглядів 394 місяці тому
FULL SHOW NI KESHO TAREHE 04 MEI SAA 1 USIKU #motivationalvideo
ZAWADI NJE NJE, KUSOMA VITABU KUNALIPA!
Переглядів 474 місяці тому
ZAWADI NJE NJE, KUSOMA VITABU KUNALIPA!
NONDO KALI "WATU WA IRINGA WANAPENDWA SANA"
Переглядів 254 місяці тому
NONDO KALI "WATU WA IRINGA WANAPENDWA SANA"
JINSI YA KUFANYA FEDHA ZAKO ZIKUFANYIE KAZI?
Переглядів 344 місяці тому
JINSI YA KUFANYA FEDHA ZAKO ZIKUFANYIE KAZI?
KILA MWEZI NAVUNJA KIBUBU CHANGU - MWANAFUNZI WA CHUO AANIKA
Переглядів 724 місяці тому
KILA MWEZI NAVUNJA KIBUBU CHANGU - MWANAFUNZI WA CHUO AANIKA
EXCLUSIVE: MAKUBWA YATAJWA KUHUSU IRINGA, TABIA ZA WANAFUNZI, AKIBA, UWEKEZAJI, & VIVUTIO VYA AJABU
Переглядів 804 місяці тому
EXCLUSIVE: MAKUBWA YATAJWA KUHUSU IRINGA, TABIA ZA WANAFUNZI, AKIBA, UWEKEZAJI, & VIVUTIO VYA AJABU
SIRI YAFICHUKA, JINSI MICHEZO YA UPATU INAVYOWEZA KUINUA WANAWAKE KIUCHUMI
Переглядів 274 місяці тому
SIRI YAFICHUKA, JINSI MICHEZO YA UPATU INAVYOWEZA KUINUA WANAWAKE KIUCHUMI
MKOMBOZI WA WAKULIMA - ALPHA AGROVET SUPPLIES LIMITED
Переглядів 1844 місяці тому
MKOMBOZI WA WAKULIMA - ALPHA AGROVET SUPPLIES LIMITED
ANGALIA JINSI MAMA HUYU ALIVYOONYESHA UMUHIMU WA AKIBA KIFAMILIA - IPOGOLO
Переглядів 694 місяці тому
ANGALIA JINSI MAMA HUYU ALIVYOONYESHA UMUHIMU WA AKIBA KIFAMILIA - IPOGOLO
WASOMI WA CHUO CHA MKWAWA WAZUNGUMZIA AKIBA NA UWEKEZAJI
Переглядів 504 місяці тому
WASOMI WA CHUO CHA MKWAWA WAZUNGUMZIA AKIBA NA UWEKEZAJI
UTAPENDA, WAFANYABIASHARA WA MASHINE TATU IRINGA WALIVYOZUNGUMZIA AKIBA NA UWEKEZAJI
Переглядів 325 місяців тому
UTAPENDA, WAFANYABIASHARA WA MASHINE TATU IRINGA WALIVYOZUNGUMZIA AKIBA NA UWEKEZAJI
JINSI YA KUWEKA AKIBA KWA MALENGO YA MUDA MREFU - AMIRAN CHINA BUSINESS IPOGOLO
Переглядів 815 місяців тому
JINSI YA KUWEKA AKIBA KWA MALENGO YA MUDA MREFU - AMIRAN CHINA BUSINESS IPOGOLO
JINSI YA KUFURAHIA MAISHA KUPITIA MASHINDANO YA USOMAJI WA VITABU
Переглядів 495 місяців тому
JINSI YA KUFURAHIA MAISHA KUPITIA MASHINDANO YA USOMAJI WA VITABU
MWANAFUNZI WA CHUO CHA RUCU ATOA NONDO
Переглядів 1285 місяців тому
MWANAFUNZI WA CHUO CHA RUCU ATOA NONDO
JINSI YA KUTUMA EMAIL KATIKA MASHINDANO YA USOMAJI WA VITABU
Переглядів 995 місяців тому
JINSI YA KUTUMA EMAIL KATIKA MASHINDANO YA USOMAJI WA VITABU
CHAI YA PAMOJA, IRINGA SUNSET HOTEL NA MSHINDI WA KWANZA WA MASHINDANO YA USOMAJI WA VITABU
Переглядів 845 місяців тому
CHAI YA PAMOJA, IRINGA SUNSET HOTEL NA MSHINDI WA KWANZA WA MASHINDANO YA USOMAJI WA VITABU
Nakubali 🤔
❤❤
Kwa kweli
Mungu tufungue macho tuyafanyie kazi maarifa haya muhimu kwa ustawi wa uchumi wetu
Dogo😂💥💥💥💥✍️✍️
Mr Daudi ni kichwa saaana huyu jamaa,nishamsilikilza zaidi ya mara 5 ...and am not get tired to listen him
Tulizo nguwene, ede pewiduva lagilage akashep
Nilikua najihisi mimi bahili ila mwamba kanishinda
Kaka. Mm namshukulu kwa mafunzo Yako mungu akubari tupate. Vizuri zaidi
Ni kwel kabisa fedha inamaskio
ninapenda utt kwa akili zangu zoteeee.
Amusing vijana tuwekeze kwa hali ya juuuu
Safii sana bro
Mtu wa maana saaana
Apo inatakiwa ungezungumzia kua ukiweka 10k kwa miez labda 5 utapata percent flan
Duuuu 10k???
Mkwanja, salari mpunga na shekhri
Five miliion faida 70 onkuwa iak mingapi
Mmmmmh .. nzuri sana.
Hii imeenda
👍
Tourism is movement from iringa talk show to ruaha national park 🏞️
Nkaku kumensa😂
Agnes, your brilliant girl keep up
Inspiring
Safi sana 👍🏿
Woow kipindi kizuri
keep on going nothing comes easy bro
Thank you kaka mkubwa!
Brother hongera sana kupambana mpaka kufikia hapo ulipo
Hongeraaa
Hongera sana ndugu
Asante sana ndugu
Kazi Nzuri
Asante sana rafiki
🎉🎉🎉🎉
"Kukubeba baadaye" very key
interesting show
Heee ivi kusoma afya eeeeh
Kabisaaa...unapata afya ya fikra
Inapendeza sana!!
🎉🎉🎉🎉
🎉🎉
🎉
Utaniona mimi!! apo at the top baada ya NUSHAI.
Karibu sana mkuu!
🙏
Mwendelezo mzuri!
Karibu sana katika mashindano haya
Wooow
Woooow
🎉🎉🎉🎉🎉
Nipo hapa na enjoy 🎉🎉🎉
Jamaa anakitu atafika mbali❤
Iringa talk show ni moja tu ❤❤
Iringa talk show 🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝
Hongera sana kwa kuwa na nidhamu ya fedha