- 18
- 1 708 937
SKC RIRUTA
Приєднався 6 гру 2021
Welcome to our UA-cam channel and enjoy some sweet Catholic songs, listen and watch our songs and be blessed
St Kizito Choir Riruta- NYOTA YA MATUMAINI(Live performance)
karibuni nyote tumwimbie Mama yetu aliye nyota yetu ya matumaini.
Переглядів: 1 035
Відео
St Kizito Choir Riruta- Ee Mungu Baba(Live performance)
Переглядів 8625 місяців тому
Karibuni tutafakari sadaka aliyoitoa Bwana wetu Yesu Kristo. sadaka kuu sana iliyotuletea wokovu. katika tafakari hiyo nasi tuyatoe maisha Yetu kama Sadaka kila saa tunapoishi. Ee Yesu tujalie nguvu na neema tele tuweze kuyaishi maisha yetu kikristo. #SKC RIRUTA#
St. Kizito Choir Riruta - MBIU YA UMOJA(Official music video)
Переглядів 11 тис.Рік тому
KWAYA YA MT. KIZITO RIRUTA PAROKIA YA MTAKATIFU YOHANE MBATIZAJI JIMBO KUU KATOLIKI - NAIROBI AUDIO BY: HOLY TRINITY STUDIOS VIDEO BY: KHAKSTUDIO MTUNZI : BERNARD MUKASA KINANDA: RICHARD WABOMBA #Mbiuyaumoja#Holytrinitystudios #Bernardmukasa#Khakstudio #Stkizitochoirriruta#Nyotayamatumaini
St. Kizito Choir Riruta-TULIA(Official music video)
Переглядів 9 тис.Рік тому
KWAYA YA MT. KIZITO RIRUTA PAROKIA YA MTAKATIFU YOHANE MBATIZAJI JIMBO KUU KATOLIKI - NAIROBI AUDIO BY: HOLY TRINITY STUDIOS VIDEO BY: KHAKSTUDIO MTUNZI : HENDRY POLYCARP KIMARIO KINANDA: RICHARD WABOMBA #Nyotayamatumaini#Holytrinitystudios #H.P Kimario#Khakstudio #Stkizitochoirriruta
St. Kizito Choir Riruta- MAARIFA( Official music video)
Переглядів 11 тис.Рік тому
KWAYA YA MT. KIZITO RIRUTA PAROKIA YA MTAKATIFU YOHANE MBATIZAJI JIMBO KUU KATOLIKI - NAIROBI AUDIO BY: HOLY TRINITY STUDIOS VIDEO BY: KHAKSTUDIO MTUNZI : THOMAS JOSEPH KINANDA: RICHARD WABOMBA #maarifa#Holytrinitystudios #Thomasjoseph#Khakstudio #Stkizitochoirriruta
St. Kizito Choir Riruta-TUMSHUKURU MUNGU ( Official video) 4K
Переглядів 82 тис.Рік тому
KWAYA YA MT. KIZITO RIRUTA PAROKIA YA MTAKATIFU YOHANE MBATIZAJI JIMBO KUU KATOLIKI - NAIROBI AUDIO BY: HOLY TRINITY STUDIOS VIDEO BY: KHAKSTUDIO MTUNZI : BERNARD MUKASA KINANDA: RICHARD WABOMBA #TumshukuruMungu#Holytrinitystudios #Bernardmukasa#Khakstudio #Stkizitochoirriruta
St Kizito Choir Riruta- NIMEKUJA(Live performance)
Переглядів 2,1 тис.Рік тому
karibuni tutafakari maneno ya zaburi Kuitikizana ya jumapili ya pili mwaka wa kawaida.please watch, comment, subscribe like and don't forget to share
St. Kizito Choir Riruta-KAZALIWA HORINI( Official video)
Переглядів 10 тис.2 роки тому
KWAYA YA MT. KIZITO RIRUTA PAROKIA YA YOHANE MBATIZAJI JIMBO KUU KATOLIKI - NAIROBI AUDIO BY: SAUTI TAMU VIDEO BY: SAUTI TAMU MTUNZI : PAUL MIKE MSOKA KINANDA: RICHARD WABOMBA #sautitamurecordlabel #Funguamoyo#BernardMukasa#Stkizitochoirriruta
St. Kizito Choir Riruta-FUNGUA MOYO.(OFFICIAL VIDEO)
Переглядів 47 тис.2 роки тому
KWAYA YA MT. KIZITO RIRUTA PAROKIA YA MTAKATIFU YOHANE MBATIZAJI JIMBO KUU KATOLIKI - NAIROBI AUDIO BY: HOLY TRINITY STUDIOS VIDEO BY: HOLY TRINITY STUDIOS MTUNZI : BERNARD MUKASA KINANDA: RICHARD WABOMBA #Funguamoyo #Holytrinitystudios #Bernardmukasa #Stkizitochoirriruta
St. Kizito Choir Riruta-WANAMEREMETA
Переглядів 13 тис.2 роки тому
KWAYA YA MT. KIZITO RIRUTA PAROKIA YA YOHANE MBATIZAJI JIMBO KUU KATOLIKI - NAIROBI AUDIO BY: HOLY TRINITY STUDIOS VIDEO BY: HOLY TRINITY STUDIOS VOCAL TRAINER: THOMAS JOSEPH MTUNZI : RAMSON SWAGI KINANDA: RICHARD WABOMBA #Holytrinitystudios#Funguamoyo#BernardMukasa#Stkizitoriruta.#Ramsonswagi
St. Kizito Choir Riruta-AMEPAA JUU (Official video)
Переглядів 9 тис.2 роки тому
KWAYA YA MT. KIZITO RIRUTA PAROKIA YA YOHANE MBATIZAJI JIMBO KUU KATOLIKI - NAIROBI AUDIO BY: HOLY TRINITY STUDIOS VIDEO BY: HOLY TRINITY STUDIOS VOCAL TRAINER: THOMAS JOSEPH MTUNZI : NICHOLAS KITOO KINANDA: RICHARD WABOMBA
St. Kizito Choir Riruta-NYOTA YA MATUMAINI (Official music video)
Переглядів 1,4 млн2 роки тому
KWAYA YA MT. KIZITO RIRUTA PAROKIA YA YOHANE MBATIZAJI JIMBO KUU KATOLIKI - NAIROBI AUDIO BY: HOLY TRINITY STUDIOS VIDEO BY: HOLY TRINITY STUDIOS MTUNZI :PASCAL NESTORY KINANDA: RICHARD WABOMBA #holytrinitystudios #Funguamoyo#BernardMukasa#Stkizitochoirriruta
St. Kizito Choir Riruta-NIONGOZE BWANA (Official video)
Переглядів 8 тис.2 роки тому
KWAYA YA MT. KIZITO RIRUTA PAROKIA YA YOHANE MBATIZAJI JIMBO KUU KATOLIKI - NAIROBI AUDIO BY: HOLY TRINITY STUDIOS VIDEO BY: HOLY TRINITY STUDIOS MTUNZI :JOSEPH KABULA KINANDA: RICHARD WABOMBA
St. Kizito Choir Riruta-AMRI KUU (Official Music Video)
Переглядів 13 тис.2 роки тому
KWAYA YA MT. KIZITO RIRUTA, PAROKIA YA MTAKATIFU YOHANE MBATIZAJI JIMBO KUU KATOLIKI - NAIROBI AUDIO BY: HOLY TRINITY STUDIOS VIDEO BY: HOLY TRINITY STUDIOS MTUNZI : VICTOR OKUTE KINANDA: RICHARD WABOMBA #AmriKuu #Funguamoyo #Holytrinitystudios #OkuteVictor #Stkizitochoirriruta
St. Kizito Choir Riruta-KARIBUNI KWENYE MEZA (Official music video)
Переглядів 10 тис.2 роки тому
KWAYA YA MT. KIZITO RIRUTA PAROKIA YA YOHANE MBATIZAJI JIMBO KUU KATOLIKI - NAIROBI AUDIO BY: HOLY TRINITY STUDIOS VIDEO BY: HOLY TRINITY STUDIOS MTUNZI : MUHATI A MUHATI KINANDA: RICHARD WABOMBA #stkizitochoirriruta #Funguamoyo #Holytrinitystudios
St. Kizito Choir Riruta-ENENDENI KWA ROHO
Переглядів 6 тис.2 роки тому
St. Kizito Choir Riruta-ENENDENI KWA ROHO
St. Kizito Choir Riruta-MPENI MUNGU SIFA (Official Music Video)
Переглядів 19 тис.2 роки тому
St. Kizito Choir Riruta-MPENI MUNGU SIFA (Official Music Video)
St. Kizito Choir Riruta-MVUA YA BARAKA (Official music video)
Переглядів 11 тис.3 роки тому
St. Kizito Choir Riruta-MVUA YA BARAKA (Official music video)
i like it very best song
nice one
Wimbo mzuri.
Mko vizuri mid mtz sikujua kama from kenya
❤❤❤❤😂😂😂
Midi kubarikiwa
Mama yetu Maria ni nyota ya matumani stay blessed 🙏🙏🙏.
Very nice 👍
Hongereni Wana Mt Kizito Riruta,I feel the love, I miss home🥰🙏🏼
Huu wimbo umekua tulizo kwangu for the last one month❤
Furaha na upendo kila mahali. Wimbo zuri pokea nyota kwa jina la yesu kristo.
Ilove this song 🎉hongera wana choir wetu 👏👏
Can't have enough of this song
Catholic forever❤❤❤❤❤
watu tuliskia hii this year weka tick
The best song ever......1 st Dec 2024🎉
Wimbo umejaa Baraka
Keep up❤
❤❤❤
Heavenly......
Jamani nawapenda Sana kwa nyimbo za kumsifu mama maria
💯
I can see Wabomba
Asanten wana kizito mnanibarki kwl
Wow nimependa wimbo congratulations mungu amuogezee talata
Nilikuja kuona baada ya kuona kwaya moja wanacheza anguka nayo step kwa wimbo huu
Nyota kweli❤
Love it
Sound Engineer Kazi mufti saNa HONGERA👏👏
❤❤
Mapendo mimi kama nwana viwawa mpakanatamani nijiunge na kwayayenu
A nice I like it. Congrats Riruta
Wow,,so nice 🎉
Wonderful
AMRI KUU Mpende Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yote na kwa akili zako zote.*2. Mpende jirani yako, kama nafsi yako, kama Bwana Yesu Kristu alivyotuamuru. Amri hizi mbili ndizo msingi wa sheria zote (Mpende Mungu wako, mpende jirani yako, kama wewe uipendavyo nafsi yako mwenyewe) *2 Nakuomba Mungu Baba unifundishe kuzitii amri hizi kwa kuwa wewe; Ni Mungu mkuu, (wewe ndiwe) Mungu wa amani, (wewe ndiwe) Mungu wa upendo,ni Mungu wa huruma, (ndiwe Mungu wetu) wa haki, (ndiwe Mungu wetu) wa amani, (ndiwe Mungu wetu) Mungu wa upendo, (kwa) waťu wenye mapenzi (mapenži) mema Uwe mwongozo wangu (uuh) ongoza njia zangu, hatua zangu zielekeze kwenye mwangaza wako, nitende kulingana na mapenzi yako Bwana nikupendeze, Yesu wangu mwokozi, Haki na idumu duniani milele (na milele) Amani (na) idumu kwa wote wenye mapenzi mema Ee Bwana Mungu wetu tuepushe na chuki na ugomvi na hasira, Upendo, msamaha viwe mwongozo tukifuata amri zako. Mpende Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yote na kwa akili zako zote. Mpende jirani yako, kama nafsi yako, kama Bwana Yesu Kristu alivyotuamuru. Mpende Mungu wako, mpende jirani yako, kama wewe uipendavyo nafsi yako mwenyewe. nafsi yako mwenyewe, Kama wewe unavyoipenda nasfi yako mwenyewe
A good nice song
Very nice Marian song
I can listen to this song time without number and without having enough of it. Congrats St. Kizito, you guys cracked it !
Naupenda sana huu wimbo na sichoki kurudi hapa.nimeuskia mara ya kwanza huko Othaya Nyeri tukimuaga mwanakaya wa Assumption of Mary umoja Nairobi.madam Andrine Agnes Wangui Kabona.Apumzike kwa amani🙏
Yota kweli❤
Naipenda sana hii nyimbo nzito kwa sana, Hongera Wana Kizito ❤
Wimbo wangu nasikia kila siku,
As a choir member in Murang'a l always feel so close to Mama Maria whenever we sing this song. Blessing to St kizito❤🎉🎉🎉
Am happy with our brothers singing for our mother Mary
Congrats my choir, well done
Coming soon
Mbarikiwe mbinguni ata dunian
Hii nayo mumejaribu. Hongera
Asante sana
I ❤the song
Good job.Our 3rd mass choir we are blessed to have you.
The song wow just a blessing