KITUNDA TV Online
KITUNDA TV Online
  • 194
  • 66 494

Відео

UWT SIKONGE WALIVYOADHIMISHA MIAKA 48 YA CCM, WAMUUNGA MKONO DKT SAMIA NA NCHIMBI.
Переглядів 1157 годин тому
UWT SIKONGE WALIVYOADHIMISHA MIAKA 48 YA CCM, WAMUUNGA MKONO DKT SAMIA NA NCHIMBI.
WADAU WA USAFIRISHAJI WAWAFUNDA MADEREVA BODABODA...
Переглядів 12821 день тому
Sikonge Tabora Wadau wa usafirishaji mkoani Tabora wakiwemo RSA Tanzania,Jeshi la Polisi,TARURA,Latra,jeshi la Uhamiaji na wadau wengine wamekutana na kutoa elimu ya usalama barabarani kwa madereva bodaboda zaidi ya 60 wa vituo mbalimbali vya Sikonge na kuwataka kuzingatia Sheria za Usalama barabarani ili kuepusha ajali. ASANTE KWA KUENDELEA KUTUFUATILIA KUPITIA CHANEL YA KITUNDA ONLINE TV
KIMENUKA!!!! MADEREVA WAZEMBE KUKIONA CHA MOTO
Переглядів 35721 день тому
Sikonge Tabora Mabalozi wa Usalama Barabarani Mkoa wa Tabora RSA Tanzania wakishirikiana na wadau wa usafirishaji, Jeshi la polisi,Latra,TARURA,Jeshi la Uhamiaji,Zimamoto wamefika stendi ya mabasi Sikonge na kutoa elimu ya usalama barabarani ili kuondoa ajali ambazo zimekua zikiondoa uhai wa raia na kuwasababishia ulemavu. Wakiongea kwa wakati tofauti wamekemea vitendo viovu vinavyofanywa na ma...
BODA BODA WALIA NA BEI KUBWA YA VIATU...MABALOZI WA RSA WAKAZI UVAAJI VIATU...
Переглядів 441Місяць тому
Kaliua Tabora Mabalozi wa Usalama RSA Mkoa wa Tabora wameshangazwa na baadhi ya Madereva bodaboda kudai hawavai viatu wakati wa kuendesha pikipiki wakidai vina bei kubwa dukani. Mwenyekiti wa Mabalozi wa Usalama Barabarani Mkoa wa Tabora Bi. Stela Zumba ameelezwa na Madereva hao wakati akitoa Elimu ya Usalama barabarani Wilayani Kaliua na kuwasisitiza kuwa ni lazima kuvaa viatu,kuvaa kofia ngum...
MABALOZI WA USALAMA BARABARANI WATOA ELIMU KWA WATUMIAJI WA BARABARA KATIKA STENDI YA MABASI KALIUA
Переглядів 138Місяць тому
Katika stendi ya mabasi wilaya ya Kaliua ambapo Mwenyekiti wa RSA Tanzania Mkoa wa Tabora Bi. Stela Zumba akiambatana na mabalozi wengine wa Usalama barabarani Mkoa wa Tabora, ametoa elimu ya usalama barabarani huku akiwasisitiza madereva kufuata kanuni,taratibu na Sheria za Udereva pindi wawapo barabarani,na kuwaomba abiria kutoa taarifa pale wanapoona uvunjifu wa Sheria hizo ukifanyika Kitund...
MHE. NKUMBA AFUNGA KWA KISHINDO KAMPENI ZA CCM MKOA WA TABORA...
Переглядів 2112 місяці тому
Kitunda online TV
DKT. SAMIA AMREJESHA CCM MWANACHAMA WA CHADEMA...
Переглядів 3512 місяці тому
Kitunda online TV
CCM WAPIGA MKUTANO WA KAMPENI NA MVUA IKINYESHA,MWANNE MCHEMBA AUPIGA MWINGI
Переглядів 1772 місяці тому
Kitunda online Tv
CCM YAPAMBA MOTO SIKONGE KAMPENI ZA SERIKALI ZA MITAA 2024,
Переглядів 1992 місяці тому
Kitunda Online Tv
DC SIKONGE MAGEMBE AFUNGA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA AWAACHIA UJUMBE HUU...!
Переглядів 1242 місяці тому
Kitunda online TV
WATUHUMIWA WIZI WA MBOLEA MIFUKO 600 KUFIKISHWA MAHAKAMANI
Переглядів 3082 місяці тому
Kitunda online Tv
SHUHUDIA VIPAJI VYA WATOTO KATIKA MAONESHO YA QURAN TUKUFU ISTIQAAMA
Переглядів 1552 місяці тому
Kitunda online Tv
MHE.DOTTO BITEKO:- MSICHUKUE MUDA MWINGI KULINDA CHEO....TUNATAKA MATOKEO
Переглядів 2652 місяці тому
Kitunda online Tv
MWENYEKITI WAZAZI ACHUKIZWA NA UTORO WA WANAFUNZI MASHULENI
Переглядів 833 місяці тому
Kitunda online TV
U.W.T SIKONGE WAAPA KULINDA HESHIMA YA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN
Переглядів 4173 місяці тому
U.W.T SIKONGE WAAPA KULINDA HESHIMA YA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN
TAZAMA MHE GASTOR RWAMBANO HIKI ALICHOWAFANYIA VIONGOZI WAKE KILOLELI...
Переглядів 1904 місяці тому
TAZAMA MHE GASTOR RWAMBANO HIKI ALICHOWAFANYIA VIONGOZI WAKE KILOLELI...
ZIARA YA M/KITI WAZAZI TAIFA NDG. FADHIR R. MAGANYA MKOANI TABORA
Переглядів 1354 місяці тому
ZIARA YA M/KITI WAZAZI TAIFA NDG. FADHIR R. MAGANYA MKOANI TABORA
RAIS DKT SAMIA NI KIONGOZI BORA...TUMUUNGE MKONO...
Переглядів 714 місяці тому
RAIS DKT SAMIA NI KIONGOZI BORA...TUMUUNGE MKONO...
SIKONGE YA JANA SI YA LEO NA SIKONGE YA KESHO HAITAKUA YA LEO...MHE. KAKUNDA AIMARISHA MIRADI JIMBON
Переглядів 1675 місяців тому
SIKONGE YA JANA SI YA LEO NA SIKONGE YA KESHO HAITAKUA YA LEO...MHE. KAKUNDA AIMARISHA MIRADI JIMBON
MBUNGE KAKUNDA AWASHIKA MKONO BODABODA,AFUNGUA TAWI LAO LA CCM UKONDAMOYO...
Переглядів 2165 місяців тому
MBUNGE KAKUNDA AWASHIKA MKONO BODABODA,AFUNGUA TAWI LAO LA CCM UKONDAMOYO...
TAZAMA ALICHOFANYIWA MHE.ASKOFU J.GWAJIMA JIMBONI KAWE...UTASHANGAA...
Переглядів 2466 місяців тому
TAZAMA ALICHOFANYIWA MHE.ASKOFU J.GWAJIMA JIMBONI KAWE...UTASHANGAA...
ASEE! SHUHUDIA RAIS DKT. SAMIA ALIVYOSAFIRI NA TRENI YA SGR...
Переглядів 2696 місяців тому
ASEE! SHUHUDIA RAIS DKT. SAMIA ALIVYOSAFIRI NA TRENI YA SGR...
DUUUH! TAZAMA DIWANI HUYU....MBUNGE ATIA NENO...
Переглядів 1956 місяців тому
DUUUH! TAZAMA DIWANI HUYU....MBUNGE ATIA NENO...
ZIARA YA MHE. MBUNGE YASHIKA KASI...WANANCHI WAJAWA MATUMAINI MAKUBWA
Переглядів 1786 місяців тому
ZIARA YA MHE. MBUNGE YASHIKA KASI...WANANCHI WAJAWA MATUMAINI MAKUBWA
TANESCO WAPIGIWA SIMU KUTOKA MKUTANO WA HADHARA...SIKIA WALICHOJIBU
Переглядів 896 місяців тому
TANESCO WAPIGIWA SIMU KUTOKA MKUTANO WA HADHARA...SIKIA WALICHOJIBU
MBUNGE AKASIRISHWA NA WANAOCHELEWESHA MAENDELEO JIMBONI...
Переглядів 956 місяців тому
MBUNGE AKASIRISHWA NA WANAOCHELEWESHA MAENDELEO JIMBONI...
MSIOPENDA MAENDELEO TULIENI WAWEKEZAJI WAINUE UCHUMI WETU...MCHUNGAJI MANG'OMBE
Переглядів 886 місяців тому
MSIOPENDA MAENDELEO TULIENI WAWEKEZAJI WAINUE UCHUMI WETU...MCHUNGAJI MANG'OMBE
MWENYEKITI WAZAZI WILAYA PETER MTUNDA AFANIKISHA CHANGIZO LA CHAKULA KWA AJILI YA WANAFUNZI
Переглядів 1626 місяців тому
MWENYEKITI WAZAZI WILAYA PETER MTUNDA AFANIKISHA CHANGIZO LA CHAKULA KWA AJILI YA WANAFUNZI
UFALME WA OMANI WARIDHISHWA NA AMANI ILIYOPO TANZANIA, SHEKHE AHMED BIN SOUD AFUNGUA MSIKITI WA ISTI
Переглядів 7916 місяців тому
UFALME WA OMANI WARIDHISHWA NA AMANI ILIYOPO TANZANIA, SHEKHE AHMED BIN SOUD AFUNGUA MSIKITI WA ISTI

КОМЕНТАРІ

  • @yasiniSwedi-qg5oc
    @yasiniSwedi-qg5oc 22 дні тому

    Shida kubwa yawatumishi wa sektanyingi zauma wnafanyakazi kwa vpaumbele vya maslahibnafsi badalayataifa

  • @AbdulRamazani-nz8od
    @AbdulRamazani-nz8od 7 місяців тому

    P

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 7 місяців тому

    Chawa hoyeeee

  • @iFly-t9b
    @iFly-t9b 7 місяців тому

    kazi ipo.. hawajamaa mtaji wao mkubwa ni kuwalaghai na kuwapotosha vijana wa kizanzibari wasijitambue.. but siku vijana wote wakiamka CCM imekwisha na ndo siku zanzibar itakua na maendeleo ya kweli sio haya ya kudanganywa kwa barabara, umeme na maji miaka 60 sasa

  • @mohamedrajabu9055
    @mohamedrajabu9055 7 місяців тому

    Nacheka ki England kwa kwa kwa

  • @simonphabiano9050
    @simonphabiano9050 7 місяців тому

    ...."sangwe' ...."kisalia"

  • @kitundatvonline
    @kitundatvonline 9 місяців тому

    Watoto hawa wenye mahitaji maalumu wapo Sikonge Misheni wadau mnapopata nafasi karibu sana muweze kuwasaidia hakika na Mungu atawabariki!

  • @castoryrenatus
    @castoryrenatus Рік тому

    Pamoja sana

  • @castoryrenatus
    @castoryrenatus Рік тому

    Jumuiya inakwenda vizuri,tutafika tu!

  • @JacobWilson-q9c
    @JacobWilson-q9c Рік тому

    Duuu saf sana namkumbuka j.p.m

  • @richardmasenga2737
    @richardmasenga2737 Рік тому

    Mungu kamnyanyua Joshua sasa tutafika kanani❤❤

  • @KipajiMgalula1
    @KipajiMgalula1 Рік тому

    Mama yetu Samia viongozi wako wangekua Kama huyu vyama vingi vya nn huyu makonda ni sabuni ya walio kata tamaa mungu amlinde anatukumbusha enzi za hayati John pombe viongozi jitieni nira mkajifunze kwake uzalendo

  • @Qau669
    @Qau669 Рік тому

    ua-cam.com/video/YmUE0ayvTVk/v-deo.htmlsi=uQ--Sg2kwd8SHQQn

  • @machoguhameri7757
    @machoguhameri7757 Рік тому

    Ndiyo mjue kuwa Magufuri bado yu hai japo amekufa.

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 Рік тому

    MAMA SAMIA UMETUMWA NA MUNGU ILI UMCHAGUE MAKONDA NI MCHAPA KAZI SANA

  • @joshuaolekiyongo8879
    @joshuaolekiyongo8879 Рік тому

    Bure kabisa CCM hamna lolote vitina tu

  • @aronmvembezi4375
    @aronmvembezi4375 Рік тому

    Najivunia sana hii TV kwa tarifa mpya kabisa Mungu awatangulie ndugu zangu

  • @aronmvembezi4375
    @aronmvembezi4375 Рік тому

    Najivunia sana hii TV kwa tarifa mpya kabisa Mungu awatangulie ndugu zangu

  • @msafirimahenge729
    @msafirimahenge729 Рік тому

    Makonda vijijini barabara hazijeengwi wakati ushulu unachukuliwa tatizo Nini?

  • @RamadhaniMwandambo-fx9sb
    @RamadhaniMwandambo-fx9sb Рік тому

    Br. Makonda njoo na huku kigoma manispaa tunacheleweshwa kulipwa fidia zetu. Hatujui kwa nn labda ukija tutajua lini tunalipwa fidia zetu kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege kigoma. Ccm oyeee!!

  • @SaidCannal
    @SaidCannal Рік тому

    Hii ndio ccm inayotakiwa na sisi , na huyu ndio Makonda anayetakiwa na sisi, ccm oyeee. Kidumu chama cha Mapinduzi

  • @alimohammedomar3412
    @alimohammedomar3412 Рік тому

    Hii commedy itaisha tu

  • @lovesallu5292
    @lovesallu5292 Рік тому

    Kibalii

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 Рік тому

    Naona barabara za lami mlizojengewa na uongozi wa CCM hoyee .Upinzani walituchelewesha sana nchi hii

  • @betuelnyandala4018
    @betuelnyandala4018 Рік тому

    mmmnh 🤐

  • @kibwetere1418
    @kibwetere1418 Рік тому

    Hadi raha jamani

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 Рік тому

    Makonda amekubalika

  • @aronmvembezi4375
    @aronmvembezi4375 Рік тому

    Hongera sana kwa MHESHIMIWA MBUNGE J KAKUNDA kwa mchango mzuri

  • @RamadhaniSaidi-w6h
    @RamadhaniSaidi-w6h Рік тому

    Namkubali sana majaliwa anafanya kazi vizuri

  • @agathakissasi1741
    @agathakissasi1741 Рік тому

    Sema baba, tuko nyuma yako.

  • @MujomaAzania
    @MujomaAzania Рік тому

    Ch

  • @NeelyIsmaili-zc3ib
    @NeelyIsmaili-zc3ib Рік тому

    Utaipenda ujinga ukandamizaji

  • @nyandamisana3630
    @nyandamisana3630 Рік тому

    Hivi wito wa mahakama ilikuaje

  • @SantaKadenge-yq5fz
    @SantaKadenge-yq5fz Рік тому

    Huo n babalao

  • @yuenwilington835
    @yuenwilington835 Рік тому

    Kasimu yuposawasawa mdawote

  • @SelijusiMalambo-pm9kf
    @SelijusiMalambo-pm9kf Рік тому

    Makonda katuletee ushindi ccm ikiwezekana mjimbo iwe ni ccm

  • @eliaskitundu7377
    @eliaskitundu7377 Рік тому

    Nilifikiri amekuja na umeme na maji kumbe kaja kamaalivyo Haina faida hiyo

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 Рік тому

    Kazi ipo si kibarua

  • @aronmvembezi4375
    @aronmvembezi4375 Рік тому

    Hongereni sana kitunda online TV kwa tarifa nzuri.

  • @kelvinnyamba4782
    @kelvinnyamba4782 Рік тому

    Kazi nzuri

  • @mwanazahoromagomba5982
    @mwanazahoromagomba5982 2 роки тому

    Safi saana

  • @mwanazahoromagomba5982
    @mwanazahoromagomba5982 2 роки тому

    🥰🥰🥰

  • @alexbenedict5378
    @alexbenedict5378 2 роки тому

    Yes

  • @rosemgita7519
    @rosemgita7519 2 роки тому

    Kazi nzurii

  • @shemsamsellem5640
    @shemsamsellem5640 2 роки тому

    Masha Allah

  • @TheNativeAfricans
    @TheNativeAfricans 2 роки тому

    Namuona Yussuph Suleiman Nassoro, Mzungu wa Roho. Mashallah

  • @Jumamaduka240
    @Jumamaduka240 2 роки тому

    Ndugu Mtangazaji Kazi nzuri sana mnaifanya katika kuikuza Kitunda online TV , but tafadhali uwe nawe unajitambulisha jina lako. Nimeona clip kadhaa umepost bila kujitambulisha wewe badala yake ni wale unaowahoji pekee ndiyo wanajitambulisha kazi zao na mahali wanapoishi au kufanyia kazi. Maoni yangu hapa panapaswa kufanyiwa marekebisho kwa sababu, katika kuikuza TV yetu iende sambamba na ukuaji wa majina ya watangazaji pia. Maudhui bora, watangazaji bora wenye ubunifu NADHANI TV ITAKUWA

  • @TheNativeAfricans
    @TheNativeAfricans 2 роки тому

    Kazi nzuri sana...namuona lugusha mzee wa Kuku wa Kuchoma.

  • @adolfbelenado8648
    @adolfbelenado8648 2 роки тому

    Nakubare saaan. Mama piga kazi

  • @salumsaid8368
    @salumsaid8368 2 роки тому

    Mh yuko Vizuri sana,nimemuelewa sana, tatizo ni Vijana kuchangamkia fursa na kuachana na yale mazoea ya kuchagua kazi