- 154
- 500 073
MAIMUNA ERREY'S KITCHEN
Приєднався 2 лис 2019
TAMARIND CHICKEN/KUKU WA UKWAJU MTAMU SANAA
Ingredients:
1 whole chicken
¼ a cup cooking oil
1 grated onion
1tsp garlic crushed
1 grated capsicum
1tspcumin seed powder
2 tsp curry powder
1 tsp salt
1tsp black pepper
½ cup tamarind juice
1 whole chicken
¼ a cup cooking oil
1 grated onion
1tsp garlic crushed
1 grated capsicum
1tspcumin seed powder
2 tsp curry powder
1 tsp salt
1tsp black pepper
½ cup tamarind juice
Переглядів: 228
Відео
Juice ya mbirimbi
Переглядів 997Рік тому
mahitaji: mbirimbi mbichi 5 sukari kikombe 1 (robo kilo) maji Lita moja na nusu
Viazi vya nazi vya nyama
Переглядів 382Рік тому
mahitaji: viazi mbatata kilo moja kitunguu maji 1 tomato 1 kitunguu thomo 1 pilipili boga 1 chumvi kijiko 1 curry powder paketi 1 dhania ya unga kijiko 1 tui jepesi vikombe 2 na nusu tui zito kikombe 1 nyama robo kilo ilochemshwa na tangawizi
Mkate wa tambi mtamu Sanaa Ramadhan Special Recipe
Переглядів 436Рік тому
Mahitaji: tambi za mafungu nusu paketi(robo kilo) sukari nusu kikombe iliki ya unga kijiko Cha chai tui zito kikombe 1 Tui jepesi vikombe 3 zabibu kavu ukipenda
Custard ya tambi(dessert)Ramadhan Special Recipe
Переглядів 885Рік тому
Mahitaji: maziwa 1packet (500mls) sukari robo kikombe iliki ya unga kijiko Cha chai custard powder vijiko 5 vya chai (teaspoons) tambi roasted vermicilli kiasi lozi na zabibu kiasi
Jicho la mke mwenza((egg chops)
Переглядів 796Рік тому
mahitaji nyama ya kusaga nusu kilo mayai 15 yalochemshwa mayai 2 yakuchomea Dania 1 kitunguu maji 1 limau kipande kitunguu thomo 1 kilichopondwa chumvi kijiko 1 garam masala kijiko 1 paprika kijiko 1 dhania ya unga kijiko 1 pilipilimanga ya unga nusu kijiko chenga za mkate nusu ya robo kikombe
Ndizi za mkono wa tembo za custard(coconuted plantains)Ramadhan Special Recipe
Переглядів 826Рік тому
Mahitaji: Ndizi za mkono wa tembo 3 sukari nusu kikombe Iliki ya unga nusu kijiko Cha chai maji vikombe 2 tui la Azam packet (100mls) custard powder kijiko 1 Cha supu
Viazi tamu (sweet potatoes)vya custard
Переглядів 439Рік тому
Created by InShot:inshotapp.page.link/YTShare mahitaji: viazi tamu kilo moja sukari nusu kikombe Nazi ya packet (100mls) custard powder 1 tablespoon na maji 1 litre ya kuchemshia
dessert tamu sanaa chocolate faluda.Ramadhan special recipe
Переглядів 157Рік тому
Created by InShot:inshotapp.page.link/YTShareI
Tambi (Vermicelli)za kukaanga na zabibu..Ramadhan Special Recipe
Переглядів 410Рік тому
Created by InShot:inshotapp.page.link/YTShare
Juice ya ukwaju (tamarind) na cucumber ..Ramadhan Special Recipe
Переглядів 504Рік тому
Created by InShot:inshotapp.page.link/YTShare
Juice ya ukwaju ya pep rose tamu sanaa..Ramadhan Special recipe
Переглядів 655Рік тому
Created by InShot:inshotapp.page.link/YTShare
JINSI YA KUPIKA CABBAGE TAMU SANA KWA NJIA RAHISI/CABBAGE FRY
Переглядів 7 тис.3 роки тому
Ingredients: half a cabbage finely chopped(half kilo) 1 big onion 1 capsicum 1 grated carrot crushed garlic 2 tspn salt 1 tspn oil quarter cup 2 tomatoes 2 tspn tomato paste
JINSI YA KUPIKA VISHETE VYA CHUMVI BILA KUTUMIA SUKARI/SPECIAL SNACK FOR DIABETIC PEOPLE
Переглядів 5723 роки тому
Ingredients: 3/4kg wheat flour blueband 125grms baking powder 1 tspn grounded black pepper 2 tspn fennel seeds 2 tspn 1 egg 1 cup water 1 litre oil for deep frying
Spicy masala peanuts/evening snack/njugu masala
Переглядів 7193 роки тому
Ingredient peanuts 1 cup (250grms) gram flour 1 cup rice flour half a cup salt 1 tspn chili powder 1 tspn paprika 1 tspn garam masala 1 tspn black pepper half a teaspoon 1 egg 1 litre oil for deep frying 2 tablespoons of water
SUKUMA WIKI YA NAZI/COCONUTED KALE LEAVES
Переглядів 2,2 тис.3 роки тому
SUKUMA WIKI YA NAZI/COCONUTED KALE LEAVES
JINSI YA KUPIKA MAHINDI YA BISI KWA NJIA RAHISI/ SALTY POPCONS
Переглядів 1,5 тис.3 роки тому
JINSI YA KUPIKA MAHINDI YA BISI KWA NJIA RAHISI/ SALTY POPCONS
VIAZI VYA NAZI VYA NYAMA/POTATOES WITH MEAT IN COCONUT SAUCE
Переглядів 1,2 тис.3 роки тому
VIAZI VYA NAZI VYA NYAMA/POTATOES WITH MEAT IN COCONUT SAUCE
SAMAKI WA KUPAAKA WAKUDONDOSHA MATE/GRILLED FISH IN THICK COCONUT SAUCE
Переглядів 1,7 тис.3 роки тому
SAMAKI WA KUPAAKA WAKUDONDOSHA MATE/GRILLED FISH IN THICK COCONUT SAUCE
JINSI YA KUPIKA TAMBI ZA MAPAPAYU/COCONUT PAWPAW VERMICILLI
Переглядів 1 тис.3 роки тому
JINSI YA KUPIKA TAMBI ZA MAPAPAYU/COCONUT PAWPAW VERMICILLI
MKATE WA TAMBI MTAMU SANAA NIMETUMIA TAMBI ZA PASTA/COCONUTED VERMICILLI BREAD
Переглядів 14 тис.3 роки тому
MKATE WA TAMBI MTAMU SANAA NIMETUMIA TAMBI ZA PASTA/COCONUTED VERMICILLI BREAD
JINSI YA KUPIKA KACHORI TAMU/HOT SPICY KACHORI'S
Переглядів 6913 роки тому
JINSI YA KUPIKA KACHORI TAMU/HOT SPICY KACHORI'S
KATLESI ZA NYAMA TAMU SANA/ BEEF CUTLETS
Переглядів 7443 роки тому
KATLESI ZA NYAMA TAMU SANA/ BEEF CUTLETS
NDIZI ZA CUSTARD ZA NAZI/PLANTAINS IN COCONUT SAUCE
Переглядів 4873 роки тому
NDIZI ZA CUSTARD ZA NAZI/PLANTAINS IN COCONUT SAUCE
JINSI YA KUPIKA MABOGA YA KUCHANGANYA/MIXED VEGGIES
Переглядів 2,7 тис.3 роки тому
JINSI YA KUPIKA MABOGA YA KUCHANGANYA/MIXED VEGGIES
KABABU ZA NYAMA ZA HARAKA HAZICHUKUI MUDA/SPICY BEEF KEBABS
Переглядів 6733 роки тому
KABABU ZA NYAMA ZA HARAKA HAZICHUKUI MUDA/SPICY BEEF KEBABS
JINSI YA KUPIKA UJI WA DAWA/SPICED PORRIDGE/RAMADHAN SPECIAL RECIPE
Переглядів 2,4 тис.3 роки тому
JINSI YA KUPIKA UJI WA DAWA/SPICED PORRIDGE/RAMADHAN SPECIAL RECIPE
KAIMATI TAMU AJABU IJARIBU HII RECIPE/SWEET DUMPLINGS
Переглядів 1,1 тис.3 роки тому
KAIMATI TAMU AJABU IJARIBU HII RECIPE/SWEET DUMPLINGS
JINSI YA KUMPIKA KUKU MTAMU WA UKWAJU BILA KUTUMIA MAFUTA/TAMARIND CHICKEN
Переглядів 1,5 тис.3 роки тому
JINSI YA KUMPIKA KUKU MTAMU WA UKWAJU BILA KUTUMIA MAFUTA/TAMARIND CHICKEN
JINSI YA KUPIKA SHURBA YA KUKU TAMU SANA/CHICKEN SHURBA
Переглядів 6083 роки тому
JINSI YA KUPIKA SHURBA YA KUKU TAMU SANA/CHICKEN SHURBA
Maimuna asante kwa kutuelimisha jinzi ya kupika nyirnyir
Mashalah
Nice recipe food looks so delicious 😋 ❤
Mchuzi mtamu huu umepikwa vizuri ❤
♥️♥️
Thank You
Nice
Mashallah
Umetumia unga gani azam ppf au azania
czy możesz napisać listę składników? i czas gotowania?
Wew umeweka nini kama ukueka kahawa yenyewe
Dada wewe ubarikiwe
Assalam aleykum naje kama mtu hana maziwa ya unga uwaeza kutumia maziwa ya maji
Kwani huwez karanga na tomatoes
@@ZainabMae unaeza but hii ni pilipili ya mbirimbi na sio achari
Mashallah
Wow mashallah
Naenda kupika sahi
MashaAllah,Alhamdullillah nimeelewa nitajitahidi zangu zinakuwa 'fuji'😂😂😂
Hiyo Chumvi uliyochanganisha na sukari ina umuhimu gani kwenye bingo?
@@emmanuellameck3128 inasaidia usipate gesi au kiungulia.alafu sukari ikiwa nyingi Kwa juice chumvi inasaidia kusawazisha
Nimesoma mengi Sana kwa upishi since nianze kukufwatilia
Mashaallah
Sukari tennaaaaaa
@@minduchudi9121 yes sukari inavunja ule uchachu wa mbirimbi na muwasho wa pilipili
Paprica ndo kiungo gani naona kinatumika sana kwenye mapishi
Nisha pata menu ya supper sasa
MashaAllah very nice
@@Ms_Siti thank you
na ikiwa tayar ishaiva achar unaweza kuisaga kwa blender ikawa rojo yote au itaharibika au haina tatizo
Je naweza kusaga?
@@lesthermulagha8854 huezi kusaga itakua borohowa la mbirimbi sio achari tena
Haha sawa kabisa.
Asante
Ahmedkhamis
Lazima tukaushe kwa jua?
Kma pilipimbuz je haifai
@@BiubwaMuhammed-un3dt unaeza kueka ela huo muasho sasa
Mimi huharibu nikiongeza maji
Mashaallah
Salam jamani zungumzeni lugha yetu ya Kiswahili musitie kizungu munaharibu sana kutia half half yes yes Big Big Bog Bog
Nimependa❤❤
Asante kwa mapishi mazuri
Yaani sukari robo lkn kwa vikombe viwili vyamaji we mzima kweli
Kumbe ni rahisi hivi ...and we buy 50bob fuko 😂😂nitapika mwenyewe 😅
Waeza kufanya kama hivyo ila na vithoria??
@@mussaali8846 yes unaweza
Yavutia ila icho kitunguu kibich kilichoivishwa na jua asee
@@zuhurasidihatibu4774 hichi kitunguu hakina shida yoyote ni wewe tu una wasiwasi dadangu
Uko poa nitajaribu my
Napenda unavyoongea masha'Allah, very loving voice.
I will try this. Asante!
@@nicolamorrell3723 karibu
Maziwa mala ndo ainagani au ndo mtindi
Asante kwa recipe
Mashallah
Mbona Mimi nimefanya ila haukai kwenye chuma chake nikigeuza unadondoka
MashaAllah easy recipe❤
Uko sawa