- 45
- 46 473
HIGH TOPTECH
Tanzania
Приєднався 6 жов 2019
HIGHTOPTECH ni kampuni ya teknolojia ya habari na mawasiliano iliopo Zanzibar na inafanya kazi zake kwa uweledi mkubwa katika teknologia. hususan katika fani ya kutoa huduma za utengezaji wa tovuti,kutengeza michoro mbali mbali(GRAPHICS DESIGNE) mfano nembo pamoja na kufunga mitambo ya kiusalama yaani (CCTV) .
Sambamba na hayo inatoa huduma za kusaidia wanafunzi wa teknolojia ya habari na mawasiliano kuwapa elimu mtandaoni bure ikiwemo kwa kuwasaidia kupata taarifa na kuwaletea vitini mbali mbali kwa ukaribu ikiwa ni moja ya kukuza uweledi wa taaluma hiyo nchini.
Pia HIGHTOPTECH inalengo la kuielimisha jamii katika upatikanaji wa taarifa za kiteknolojia kwa ukaribu Zaidi kwa kuwaletea taarifa hizo katika lugha ya Kiswahili na kutoa misaada ya kitaalamu kwa mataasisi na mashirika mbali mbali.

Handbrake Tutorial :Punguza ukubwa wa video bila kuathiri ubora #filecompression #technology 2025
katika video hii nitakuelekeza jinsi ya kupinguza ukubwa video yako kwa karibu asilimia 80% bila ya kupoteza ubora kupitia programu ya Handbreak.
Kwa kupata mafunzo ya matumizi ya teknologia ya habari na mawasiliano tafadhafali subribe hapa. ua-cam.com/channels/F6e3pAzh6GAEJjdpC6dLIA.html
EMAIL: hightoptech19@gmail.com
FACEBOOK: hightoptech19
CONTACT : 077888883/0717 O79445/0625883599
#HIGHTOPTECH #HIGHTOP TECH #HIGH TOP TECH #HIGH TOPTECH

Переглядів: 19
Відео
droidcam 2024: Fahamu mbinu rahisi kutumia simu kuwa Microscope #technology #droidcam #teknologia
Переглядів 29Місяць тому
Kwa kupata mafunzo ya matumizi ya teknologia ya habari na mawasiliano tafadhafali subribe hapa. ua-cam.com/channels/F6e3pAzh6GAEJjdpC6dLIA.html EMAIL: hightoptech19@gmail.com FACEBOOK: hightoptech19 CONTACT : 077888883/0717 O79445/0625883599 #HIGHTOPTECH #HIGHTOP TECH #HIGH TOP TECH #HIGH TOPTECH
UDOGO WA PICHA NA PIXEL SI TATIZO TENA #pixel #pixellabtutorial #PIXELUPGRADING
Переглядів 567 місяців тому
Ongeza ubora wa ukubwa wa picha yako pamoja na pixel bure kupitia programu ya upscallers. How to Achieve the Best Pixel Upscaling Results. ua-cam.com/channels/F6e3pAzh6GAEJjdpC6dLIA.html EMAIL: hightoptech19@gmail.com FACEBOOK: hightoptech19 CONTACT : 25577888883/ 255772663098 #HIGHTOPTECH #HIGHTOP TECH #HIGH TOP TECH #HIGH TOPTECH
Jinsi ya kuondoa "Grey/white screen" windows 10/11#whitescreeneffectbackgroundscreen
Переглядів 167 місяців тому
How to solve a grey/white screen display that stops to turns on Jinsi ya kuondoa screen ya ya kijivujivu au nyeupe inayozuwia computer kuwaka. usisahau kulike na ku Subscribe. #greyscreen #fix #whitescreeneffectbackgroundscreen
2024: USINUNUE MTANDAONI KAMA HUJUI HAYA || ALIEXPRESS, E-BAY, AMAZON, KIKUU
Переглядів 176Рік тому
tricks,tips jinsi ya kununua mtandaoni. EMAIL: hightoptech19@gmail.com FACEBOOK: hightoptech19 CONTACT : 077888883/0717 O79445/0625883599 #HIGHTOPTECH #HIGHTOP TECH #HIGH TOP TECH #HIGH TOPTECH
JINSI YA KUNUNU KATIKA MTANDAO WA KIKUU -2023
Переглядів 56Рік тому
Kwa kupata mafunzo ya matumizi ya teknologia ya habari na mawasiliano tafadhafali subribe hapa. ua-cam.com/channels/F6e3pAzh6GAEJjdpC6dLIA.html EMAIL: hightoptech19@gmail.com FACEBOOK: hightoptech19 CONTACT : 07788888378 #HIGHTOPTECH #HIGHTOP TECH #HIGH TOP TECH #HIGH TOPTECH
windows 11 haiamki/ haiwaki tena baada ya " ku sleep" mpaka uwashe upya
Переглядів 352 роки тому
windows 11can not wakeup after sleeping- solved EMAIL: hightoptech19@gmail.com FACEBOOK: hightoptech19 CONTACT : 077888883/0717 O79445/0625883599 #HIGHTOPTECH #HIGHTOP TECH #HIGH TOP TECH #HIGH TOPTECH
Jinsi ya kuona password zako ulizo "save" kwenye simu ya Android
Переглядів 4802 роки тому
How to see your all saved passwords on any android phone EMAIL: hightoptech19@gmail.com FACEBOOK: hightoptech19 CONTACT : 077888883/0717 O79445/0625883599 #HIGHTOPTECH #HIGHTOP TECH #HIGH TOP TECH #HIGH TOPTECH
WHY PHONE PROCESSOR MATTER? (SWAHILI VERSION)
Переглядів 1814 роки тому
Kwa kupata mafunzo ya matumizi ya teknologia ya habari na mawasiliano tafadhafali subribe hapa. ua-cam.com/channels/F6e3pAzh6GAEJjdpC6dLIA.html EMAIL: hightoptech19@gmail.com FACEBOOK: hightoptech19 CONTACT : 077888883/0717 O79445/0625883599 #HIGHTOPTECH #HIGHTOP TECH #HIGH TOP TECH #HIGH TOPTECH
BASIC TUTORIAL CCTV BULB INSTALLATION/CONFIGURATION (SWAHILI VERSION) #cctvcamera #BULBCAMERA
Переглядів 1,4 тис.4 роки тому
Kwa kupata mafunzo ya matumizi ya teknologia ya habari na mawasiliano tafadhafali subribe hapa. ua-cam.com/channels/F6e3pAzh6GAEJjdpC6dLIA.html EMAIL: hightoptech19@gmail.com FACEBOOK: hightoptech19 CONTACT : 077888883/0717 O79445/0625883599 #HIGHTOPTECH #HIGHTOP TECH #HIGH TOP TECH #HIGH TOPTECH
JINSI YA KUFUNGUA ACCOUNT EBAY (SHIPPING ADDRESS,PAYMENT INFO)
Переглядів 5884 роки тому
Kwa kupata mafunzo ya matumizi ya teknologia ya habari na mawasiliano tafadhafali subribe hapa. ua-cam.com/channels/F6e3pAzh6GAEJjdpC6dLIA.html EMAIL: hightoptech19@gmail.com FACEBOOK: hightoptech19 CONTACT : 077888883/0717 O79445/0625883599 #HIGHTOPTECH #HIGHTOP TECH #HIGH TOP TECH #HIGH TOPTECH
JE NINI MAANA YA CORE KATIKA COMPUTER?
Переглядів 6 тис.4 роки тому
Kwa kupata mafunzo ya matumizi ya teknologia ya habari na mawasiliano tafadhafali subribe hapa. ua-cam.com/channels/F6e3pAzh6GAEJjdpC6dLIA.html EMAIL: hightoptech19@gmail.com FACEBOOK: hightoptech19 CONTACT : 077888883/0717 O79445/0625883599 #HIGHTOPTECH #HIGHTOP TECH #HIGH TOP TECH #HIGH TOPTECH
JINSI YA KURUDISHIWA PESA ZAKO ALIEXPRESS KAMA MZIGO HAUJAFIKA
Переглядів 4664 роки тому
Kwa kupata mafunzo ya matumizi ya teknologia ya habari na mawasiliano tafadhafali subribe hapa. ua-cam.com/channels/F6e3pAzh6GAEJjdpC6dLIA.html EMAIL: hightoptech19@gmail.com FACEBOOK: hightoptech19 CONTACT : 077888883/0717 O79445/0625883599 #HIGHTOPTECH #HIGHTOP TECH #HIGH TOP TECH #HIGH TOPTECH
JIFUNZE KUNUNUA BIDHAA MTANDAO WA ALIEXPRESS/HOW TO BUY ON ALIEXPRESS COUPON,BUYING,TRACKING
Переглядів 6 тис.4 роки тому
Kwa kupata mafunzo ya matumizi ya teknologia ya habari na mawasiliano tafadhafali subribe hapa. ua-cam.com/channels/F6e3pAzh6GAEJjdpC6dLIA.html EMAIL: hightoptech19@gmail.com FACEBOOK: hightoptech19 CONTACT : 077888883/0717 O79445/0625883599 #HIGHTOPTECH #HIGHTOP TECH #HIGH TOP TECH #HIGH TOPTECH
JIFUNZE KUTENGENEZA ACCOUNT YA ALIEXPRESS/HOW TO MAKE REGISTRATION AND ACCOUNT ON ALIEXPRESS
Переглядів 2,2 тис.4 роки тому
This video intends to help our viewers to know the procedures of registration on Aliexpress and what is needed in registration before being ready for purchases. ua-cam.com/channels/F6e3pAzh6GAEJjdpC6dLIA.html EMAIL: hightoptech19@gmail.com FACEBOOK: hightoptech19 CONTACT : 077888883/0717 O79445/0625883599 #HIGHTOPTECH #HIGHTOP TECH #HIGH TOP TECH #HIGH TOPTECH
JIFUNZE#FAST AND EASY#FILES AND LOCATION SEARCH YOU MAY NEVER KNOW
Переглядів 1785 років тому
JIFUNZE#FAST AND EASY#FILES AND LOCATION SEARCH YOU MAY NEVER KNOW
(JINFUNZE)#EASY#ROUTER CONTROLS AND SECURITY CONFIGURATION-ENGLISH/SWAHILI
Переглядів 5075 років тому
(JINFUNZE)#EASY#ROUTER CONTROLS AND SECURITY CONFIGURATION-ENGLISH/SWAHILI
JIFUNZE MAFUNZO YA MSINGI YA KUSET ROUTER (BASIC ROUTER SETTINGS)
Переглядів 3,1 тис.5 років тому
JIFUNZE MAFUNZO YA MSINGI YA KUSET ROUTER (BASIC ROUTER SETTINGS)
JINSI YA KUFANYA COMPUTER MBILI ZIWASILIANE KUPITIA UTP CABLE
Переглядів 1,9 тис.5 років тому
JINSI YA KUFANYA COMPUTER MBILI ZIWASILIANE KUPITIA UTP CABLE
JIFUNZE JINSI YA KUTENGENEZA PARTITION BILA YA SOFTWARE
Переглядів 2805 років тому
JIFUNZE JINSI YA KUTENGENEZA PARTITION BILA YA SOFTWARE
JE KIKUU WANAKULETEA KWELI BIDHAA?, VIPI UNATUMIA COUPON ?NA NINI KPAY?
Переглядів 6 тис.5 років тому
JE KIKUU WANAKULETEA KWELI BIDHAA?, VIPI UNATUMIA COUPON ?NA NINI KPAY?
NETWORKING JINFUNZE KUTENGEZA UTP NETWORK CABLE
Переглядів 2715 років тому
NETWORKING JINFUNZE KUTENGEZA UTP NETWORK CABLE
ACTIVATE WINDOWS FOR FREE(WINDOWS NOT GENUINE) JUST A MINUTE
Переглядів 1555 років тому
ACTIVATE WINDOWS FOR FREE(WINDOWS NOT GENUINE) JUST A MINUTE
JIFUNZE KUPATA SIMU NA SMS ZA MTU MWENGINE NI RAHISI
Переглядів 4035 років тому
JIFUNZE KUPATA SIMU NA SMS ZA MTU MWENGINE NI RAHISI
TURN OFF OTHER COMPUTERS ZIMA COMPUTER NYENGINE KTK NETWOR
Переглядів 2175 років тому
TURN OFF OTHER COMPUTERS ZIMA COMPUTER NYENGINE KTK NETWOR
JIFUNZE KUDOWNLOAD VIDEO ZA YOUTUBE BILA YA SOFTWARE DAKIKA DAKIKA MOJA TU
Переглядів 3675 років тому
JIFUNZE KUDOWNLOAD VIDEO ZA UA-cam BILA YA SOFTWARE DAKIKA DAKIKA MOJA TU
FAHAMU JINSI YA KUIFUNGA DRIVE YA COMPUTER
Переглядів 2225 років тому
FAHAMU JINSI YA KUIFUNGA DRIVE YA COMPUTER
JIFUNZE KUTUMIA WASAP KTK COMPUTER NDANI YA DAKIKA MOJA TU
Переглядів 1365 років тому
JIFUNZE KUTUMIA WASAP KTK COMPUTER NDANI YA DAKIKA MOJA TU
Mm ni siku ya 17 sasa sijapata wala kuona hata namba za mawasiliano hadi nahisi kama nimeshapigwa nilikuwa nipokee ndani ya siku 15 ila tayari zimepitiliza
Imefahamika vzr. asante.
kazi nzuri sana.
nzuri
vp kaka
Great
Mambo vp kaka?
Core i 7 inatakiwa owe ya generation ya ngap
Je? Unaweza kubadi processor kwenye computer
Sauti inaganda mbn
Good
What about Tanzania customs fees?
Namna ya kutoa pesa kwenye k-pad ya kikuu kwenda akaunti ya simu
hamna io option. chendacho kwa mganga.
unaweza kununua kitu changine lakini huwezi kurudisha pesa kwa matumizi ya nje ya mtandao@@hightoptech3219
Ukitaka kuchagua kitu icho icho ila rangi tofaut unafanyaje?
unachagua rangi moja halaf unachagua "add to cart" badala ya "Buy" halaf utarudi tena kuchagua nyengine na ukimaliza una Buy vyote kwa pamoja
@@hightoptech3219 asante sana
Ulipokea baada ya muda gani?
wiki tatu.
Good
Naweza pata namba yako
0778888378
Pamoja sana. Umepata like na Subscriber yangu.
Nisaidie tafathali kwasababu hiezi fanya kazi bila hio password ama hio scanner
weka 1-9
Yangu nimesahao password na qr naeza saidikaje
reset ingiza pini kwenye kitundu iliyoandikwa "reset" itakuwa km mpya.
Iko vizuri
Asante, ila nawezajekujua kuwa ni i7 ina core mbili na processor's 4 au zaidi
Hakuna sauti
Vip naweza kujua ni ipi apple oriji ya aliexpress
How do I check the tracking when it's already in Tanzania but did not yet receive it
Me nikitak kuagiza kun sehm inaandik card number sas sijajua niandike namba gn
Je nikinunua wanaleta mpaka nilipo au hawaleti
Naomba kujua apo kwenye anuani ya mtaan unaandika nn maan ndo pamenishinda
Kiongozi mi naomba kujua Kama unataka kuchukua mzigo wa jumla inakuaje maana Kuna jeans kwetu Zina 25 ila wao wanauza Hadi 50 elf hapo napo vipi maana mi mwenyewe mtumiaji wa mnada huu ila Hilo linanichanganya kwani nataka za biashara sio za kuvaa mimi hebu nisaidie Kwa hilo
tafuta store nyengine yenye bei rahisi zaidi lakini bei zao hazina mapatano kwa sababu ni system ndio inakuhudumia. labda wawe wameset bei tofauti nkwa mujibu wa idadi .
@@ZanzibarOrchestra hi
Umefanya jambo zuli sana kwenye hii video
Kaka naomba namba yako mimi sija elewa vizuri
Wanachelewesha baadhi ya bidhaa hadi mwezi mzima
Pesa yangu wamenirejeshea ila nashangaa KPay haitaki kununua kingine nawapigia wahusika wanazingua tu
unaweza kununua tena kwa K-pay inakubidi wakati wa malipo uchague K-pay badala ya kuchagua namba yako kama ulivyofanya mwanzo.
Namba yako tafadhari chief
Tupe somo kamili la processor mkuu
Safi sana bro ni somo nililokuwa nalitafuta sana
good better and best
nashukuru kaka kwa hii video clip
Ukinunua kitu kikawa kibovu unarudisha nawana pokes vzuri Ila app yao inakitu kinaita k pay ambapo hela hurejeshwa humo mye saivi mwezi umekatika nikiwa nafatilia
Kikuu huwa hawarudish hela kpay Yao hakuna namna ya kutoa pesa wanasumbua sana
Unaweza kununua kitu chengine sio kutoa
Sas km huna iyo poster
ni vyema ufungue sanduku la poster inakuwa rahisi hasa kwa bei ya usafirishaji. vyenginevyo unaweza kujikuta unalazimika kutumia kampuni za usafiri wa gharama kubwa kama DHL.
like brother
Na kwa mfano ukisitisha muamala je pesa itarud au
inarudi k-pay utaweza kununua kitu chengine lakini sio kuitoa tena kwaiyo kuwa makini kabla ya kuziruhusu pesa zako.
Sasa mbona mim kwangu hakuna truck nifanyaj
Mfano inachukua mida gani hadi kimfikia mlengwa
wastani ni wiki mbili mpaka tatu.
Kwenye k pay unweza kuipat ela yako??
Sas ukitaka kuwapigia unawapigia kwa namba gani
kuna ma agent wao katika kila mkoa kama issue yako ni ya kuchukuwa au usafirishaji wa mzigo kama ni kuhusiana na mzigo wenyewe unachat na seller moja kwa moja kwenye app
Nakukubali bro
back again
Huwezi kulipa kwa m-pesa au tigo pesa
Unaweza kutoa pesa kutoka k pay
Huwezi unachoweza kufanya ni kuzitumia kununua tu. kwaiyo kama huna uhakika km pesa zako zote unataka kununua usizitie humo maana hazirudi tena in cash.