- 24
- 21 355
AE TV [Ayo Entertainment]
Tanzania
Приєднався 13 жов 2016
🎶 Musician
🎙 Tv&Radio Pressenter @habarimaalumtv
🫶 CEO [Nionyeshe Upendo Project] nionyesheupendoshowmelove@gmail.com
📞 +255 753 629 838
🎙 Tv&Radio Pressenter @habarimaalumtv
🫶 CEO [Nionyeshe Upendo Project] nionyesheupendoshowmelove@gmail.com
📞 +255 753 629 838
PREZOO AAMUA KUMGEUKIA YESU AJISALIMISHA ACC KWA : REV LUCCY NATASHA.
PREZOO AAMUA KUMGEUKIA YESU AJISALIMISHA ACC KWA : REV LUCCY NATASHA.
Переглядів: 652
Відео
BELLA NA ZORAVO WAPATA AJALI TUNDUMA.
Переглядів 20914 днів тому
Mungu ni mwaminifu kwa watumishi wake @officialbellakombo na @zoravo amewaepusha na ajali mbaya ya gari iliyo tokea leo wakati wakiwa wamemaliza huduma huko tunduma na walikua wanaelekea uwanja wa ndege wa Songwe kwa ajili ya safari kurejea jijini Dar es salaam. Hata hivyo @officialbellakombo kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema kwamba wote wako salama na hakuna aliyepata jeraha lolote wal...
PAST HAPPY ZINGA : KUOLEWA NA MTUMISHI SIO KAZI NYEPESI JIPANGE.
Переглядів 14621 день тому
PAST HAPPY ZINGA : KUOLEWA NA MTUMISHI SIO KAZI NYEPESI JIPANGE.
EXCLUSIVE INTERVIEW WITH WISE MAN : BISHOP ISAAK DAUKA AND PASTOR HAPPY ZINGA
Переглядів 2221 день тому
EXCLUSIVE INTERVIEW WITH WISE MAN : BISHOP ISAAK DAUKA AND PASTOR HAPPY ZINGA
HABARI MAALUM TV: WACHUNGAJI TUKUBALI KUKUA NA KASI YA TECHNOLOGY TUTUMIE VYEMA MEDIA.
Переглядів 3021 день тому
HABARI MAALUM TV: WACHUNGAJI TUKUBALI KUKUA NA KASI YA TECHNOLOGY TUTUMIE VYEMA MEDIA.
EXCLUSIVE INTERVIEW WITH BISHOP STEVIE MULENGA : MIAKA HAMSINI YA HABARI MAALUM MEDIA
Переглядів 2021 день тому
EXCLUSIVE INTERVIEW WITH BISHOP STEVIE MULENGA : MIAKA HAMSINI YA HABARI MAALUM MEDIA
DR IPYANA : WATU WANAHANGAIKA KUTENGENEZA WINGU WEWE UNAFANYA UCHAFU MADHABAHUNI.?
Переглядів 8 тис.21 день тому
DR IPYANA : WATU WANAHANGAIKA KUTENGENEZA WINGU WEWE UNAFANYA UCHAFU MADHABAHUNI.?
PASTOR ISAYA MGONJA : MAISHA YA UCHUMBA YENYE KULETA MATOKEO KUFIKIA NDOA.
Переглядів 532 місяці тому
PASTOR ISAYA MGONJA : MAISHA YA UCHUMBA YENYE KULETA MATOKEO KUFIKIA NDOA.
JE NI KWELI SIMU NI CHANZO CHA NDOA NYINGI KUVUNJIKA....? AYO PHD AMEZUNGUMZA NA PST KINDOLE.
Переглядів 592 місяці тому
Kwa ushauri wowote juu ya kipindi hiki tafadhali share nami kupitia simu no 0753 629838
ULIPATA KUJUA UMUHIMU WA KILIMO NA MCHANGO WA KILIMO KWENYE KUKUZA UCHUMI WA MTU MKOJA MMOJA...?
Переглядів 222 місяці тому
Dr Eliaza kutoka chuo kikuu cha Mzumbe Campas ya Morogoro ni mtaalamu wa Uchumi wa Kilimo ana Funguka hapa na Ayo kupitia Morning Shine ya Habari Maalumu Tv . • • • • • #success #finance #money #trusttheprocess #selflove #Love #nionyesheupendo #showmelove #focus2024 #ayoentertainment #ayophd
ARTIST : FRANKO TITUS AYO. SONG: NIKUMBUSHE KUMBUSHE
Переглядів 5402 роки тому
Napenda kumshukuru Mungu sanaa Leo tarehe 01/09/2022 ninakumbuka siku yangu yakuzaliwa tangu nlipoujua ulimwengu huu miaka kadhaa iliyopita ila pia Mungu amenipa ujumbe unaitwa #NIKUMBUSHE KUMBUSHE. Ni kwel unanihudumia Mm ila hataa ww naamini una Meng sanaa yakumshukuru Mungu, lkn pasipo KUKUMBUKA hatuwez KUMSHUKURU chukua muda wako ungana nami kuna kitu Mungu atazungumza na ww ubarikiwe sanaa...
ARTIST: FRANKO AYO SONG: R. I. P AMANI.
Переглядів 7443 роки тому
MUNGU wetu asifiwe wapendwa Ni kwel tunapita katika vipindi vigumu lakini Bado Mungu n mwema yeye Atabaki kuwa MUNGU tuu. Tumempoteza mtu Muhimu kwenye jamii na taifa kwa ujumla. Lakujifunza Zaid kwake ni kuishi na watu vizuri, hili linaweza likawa somo zuri kwetu na Mungu atuwezeshe sote. Daima kumbukumbu zake zitaishi mioyoni mwetu kwa jinsi alivyokua mtu mwema. Bwana ametoa na Bwana ametwaa ...
FRANKO FT JOYLIZZY: NITAREJESHEWA
Переглядів 1,7 тис.3 роки тому
Shalom Hongera kwa kuchaguliwa Teena kuingia 2021 Hakika Kuna kitu Mungu anataka kufanya ktk Maisha yako bhado. Ukiri mkubwa mwaka huu Ni maneno machache yaliyopo katika wimbo huu "NITAREJESHEWA TENA" Chukua muda wako kusikiliza had mwisho Kuna kitu Mungu anataka KUKUREJESHEA leo. Subscribe, Comment, Like kisha Share. Stay blessed 🙏🏼🙏🏼
GLORIOUS CHOIR FPCT NGYANI SONG: NYAKATI.
Переглядів 1,2 тис.4 роки тому
Shalom mtumishi wa Mungu kulingana na nyakati tulizonazo ni nyakati za hatari sanaa na Sasa yatupasa kumtazama Mungu pekee nakuweka imani yetu kwake pekee. Hvyo nakukaribisha kutazama wimbo huu kutoka glorious choir naamin utakujenga na kukuinua pia, plz usisahau ku subscribe ku share, like, comment, Mungu akakupe haja ya moyo wako ubarikiwe sanaaa.
Artist:FRANKO TITUS AYO Song: NI NEEMA YAKO TUU
Переглядів 2414 роки тому
Artist:FRANKO TITUS AYO Song: NI NEEMA YAKO TUU
FRANKO TITUS AYO ft ELIZABETH. Song : SITABAKI KAMA.
Переглядів 6444 роки тому
FRANKO TITUS AYO ft ELIZABETH. Song : SITABAKI KAMA.
FRANKO AYO ft NJERE MAUSA HAKUNA KAMA WEWE
Переглядів 7334 роки тому
FRANKO AYO ft NJERE MAUSA HAKUNA KAMA WEWE
FRANKO TITUS AYO Song: YESU KANIBAMBA1
Переглядів 2 тис.4 роки тому
FRANKO TITUS AYO Song: YESU KANIBAMBA1
Glory to God
Hongera kaka huo ni uamuzi mzuri ambao hutokuja kuujutia🎉🎉
🎉🎉Amani ya Kristo na itawale mioyoni mwenu, kwa kuwa ninyi kama viungo vya mwili mmoja mmeitiwa aman
@@gustavrwekaza802 ameeen ameeen barikiwa
Koma kabisa shetani na mba 2
Ashindwe kabisaaaaa shetaniii
Kweli kabisa Daktari....
Amefunguka makubwa mnoo🔥🔥🔥🔥
Hongera sana kijana
Shukrani mkuu💪💪💪🔥🔥🔥
hao watu ni zoravu na bella combo
Hapana hajamtaja yeyote yule
Praise To Jesus
Kila kinywa kitamkiri🙌🙌🙌🙌
Ameeeeeene
What a man of God says that is reality we need to stand faithful in God's eyes that is a msg before you go to the altar of God
Blessed man of God 🔥🔥🔥🔥🔥
@Ayoentertainment_Tv glory be to Jesus soon coming king
❤ my mentor dr ipyana
❤
❤
@@RachelMkumbo 🔥🔥🔥🫶🫶🫶
Viiiva Mwangosi,Boaz Danken,Ipyana,,Viiiiva marehem Sedekia hawa tunaowaona leo hawa ni ukakasi mtupu wasiposema kweli hawa wapuuzi waliovikwa roho ya yezebeli watalitukanisha kanisa
Heeee Mkuu unaimba ni maajabu kweli, sikutegemea kwa kweli na Mimi nikuulize ni neema gani iliko ndani yako😅
@@bujagajeremiah4308 😅😅😅😅😅😅🙌🙌🙌🙌Kaka ni huyu Mungu tuu Kwa kwl yeye ndiye anaye yafanya haya yote🙌🙌🙌🙌🙌
❤❤
@@Christianslukumay 🔥🔥🔥
Be blessed Dr Ipyana
@@deboradaniel5285 Ameen ameen🔥🔥🔥
❤❤❤❤❤❤
Huu wimbo siwez hacha kuhusikiliza ni mtamu sana
❤❤❤kazi nzuriii
Be blessed man of God
Mung akubark
Ohooo, I see, Be blessed
Hongera sana natazama nikiwa Nairobi Kenya
🔥 🔥 🔥 🔥
Hongera mdgo wako Mungu azd kukuinua zaid
Hongera san mtumish kazi nzuri Mungu akuinue zaid
Hongera sana Franko 🙏
Nice Voice, Calm Music, Very Interesting Message, Keep making efforts, I am praying for you to be more and more successful. May God's blessings be with you my brother. GOOD LUCK IN YOUR MUSIC JOURNEY
Barikiwa mtu wa Mungu
Congratulations Sana Mtumishi wa Bwana Melody ya hela kabisa hii tusua nasi tupate connection.👏👏
Hongera sana kaka Franko
Goo Franko goooo💪💪💪💪 God is with you my young broo.
Hongera san kazi nzur 👏👏👏
Woow woow woow.... Amazing amazing amazing hongera sana ba T, umefanya bonge la kaz Mungu akuinue kwa viwango vingne my linex 😇 no ip jmn nikutumie hta hela kdg upate moja moto moja barid....
God blessed you brother, keep it up
Congrats brother Mungu azid kukuinua
Hongera my friend Mungu azidi kukuinua hakika ww ni chaguo sahihi la Mungu
Barikiwa sanaa
Hongera dear. Mungu amekupigania Nyimbo nzuri. Mungu azidi kukupa zaidi na zaidi. Ubarikiwe sana
Congratulations Mtumishi kazi njema Sana. Mungu abariki usonge zaid
Good idea
Umeua rafk angu mzuriii
Kazi nzuri uncle wangu Mungu akulinde na kukutia nguvu usonge mbele keep it 💯
🔥 🔥 🔥
nimeipenda iyo asa sehemu ya chakula
🔥 🔥 🔥 🔥
So Powerful mch
Nabarikiwa sana ninapotafar yaliyopo ktk nyimbo zako mtumishi
😭😭😭😭woii
Huu wimbo huwa unanibariki sanaa
Huu wimbo huwa unanibariki sanaa
Nice song ❤️❤️🔥🔥🔥🔥 God bleess you