- 7
- 2 327
Body of Christ Church / Kanisa Mwili wa Kristo
United States
Приєднався 27 тра 2022
Body of Christ church Is a Swahili Congregation,vibrant and multi-ethnic church of hope in located in Sioux Falls, South Dakota.
Kanisa la Mwili wa Kristo Ni kanisa la matumaini lililo hai na la makabila mengi lililo katika mji ya Sioux Falls, jimbo la South Dakota, USA.
Kwa mawasiliano tafadhali wasiliana nasi kwa e-mail: bodyofchristchurch7@yahoo.com
Kanisa la Mwili wa Kristo Ni kanisa la matumaini lililo hai na la makabila mengi lililo katika mji ya Sioux Falls, jimbo la South Dakota, USA.
Kwa mawasiliano tafadhali wasiliana nasi kwa e-mail: bodyofchristchurch7@yahoo.com
Відео
December 12, 2024
Переглядів 146Місяць тому
Ubarikiwe sana mwana wa Mungu kwa kutenga mda wako kwa kusikiliza ujumbe wa neno la Mungu uliomo ndani ya wimbo huu. Ingawa bado tuna changamoto za kiufundi na uhaba wa vitendea kazi, ila tunazidi kujiboresha siku baada ya siku. Wimbo huu wa Yohana Kutoka kundi letu pendwa la Glory Choir, unataka kututia moyo kwamba, pamoja na kwamba bado tumo ulimwenguni ambamo mna dhiki, udhia na kila aina ya...
NAFASI YA KWANZA
Переглядів 307Місяць тому
Wimbo huu unazungumia umuhimu wa kumtanguliza Mungu katika kila sekta ya utendaji wa maisha yetu ya kila siku. Hivyo tunapo mpa Mungu nafasi ya kwanza tuna kila sababu za kufikia mafanikio ya kiroho na yale ya kimwili. ni matumaini yetu kuwa utabarikiwa sana na ujumbe wa neno la Mungu lililo ndani ya wimbo huu kutoka kundi la Glory Choir hapa Kanisa Mwili wa Kristo, lipatikanalo hapa Sioux Fall...
Welcome to the Live Gospel Music Concert
Переглядів 2612 роки тому
Waimbaji toka Body of Christ Church/Kanisa la Mwili wa Kristo, wanakualika kwenye tamasha la nyimbo za Injili, karibu nyote mpate baraka za Bwana wetu Yesu Kristo. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwenye bodyofchristchurch@yahoo.com
Nc🎉🎉🎉
Asante sana, unapendeza.....
Let praise the Lord!!🎉
❤❤❤❤❤
Rahajamani kudunda nayesu ni raha sana❤
❤❤❤❤
Amen ❤
❤❤❤❤❤❤
🎉🎉
Let’s continue praise the Lord!!!
Amen❤️🔥❤️🔥🥰❤️🔥
Amen❤❤❤
Mubarikiwe na Bwana Mungu Muumba wa mbingu na nchi
Stay blessed my peoples
Thanks so much bless bless
AMEN AMEN 🙏Asante sana tutakuwepo
Amen
🙏🏽🙌🏽🙌🏽