- 344
- 76 157
UJUMBE WA DINI TV
Приєднався 15 бер 2022
Bonyeza neno SUBSCRIBE kisha bonyeza alama ya kengele ili uwe wa kwanza kupata video zetu mpya.
Відео
MAFUNZO YA SWALA - UDHU- (KUOSHA MIKONO MIWILI).
Переглядів 12216 годин тому
MAFUNZO YA SWALA - UDHU- (KUOSHA MIKONO MIWILI).
MAZINGE AICHAMBUWA Christmas (X-mas) Awatahadharisha watu na dhambi hii.
Переглядів 356День тому
MAZINGE AICHAMBUWA Christmas (X-mas) Awatahadharisha watu na dhambi hii.
IFAHAMU MIPAKA YA USO KATIKA KUTIA UDHU (SHEIKH THUWEIN SEIF AL-ISMAILIY)
Переглядів 2514 днів тому
IFAHAMU MIPAKA YA USO KATIKA KUTIA UDHU (SHEIKH THUWEIN SEIF AL-ISMAILIY)
ELIMU KIGANJANI MWAKO NA UDHURU UMETOWEKA MBELE YA ALLAH.
Переглядів 714 днів тому
ELIMU KIGANJANI MWAKO NA UDHURU UMETOWEKA MBELE YA ALLAH.
KHUTBA YA IJUMAA-SABABU ZA KUZITAKASA NAFSI ZETU.
Переглядів 13114 днів тому
KHUTBA YA IJUMAA-SABABU ZA KUZITAKASA NAFSI ZETU.
FIQHU YA SWALA ( FARADHI ZA UDHU- KUOSHA USO) DARSA YA 9.
Переглядів 8621 день тому
FIQHU YA SWALA ( FARADHI ZA UDHU- KUOSHA USO) DARSA YA 9.
HUKUMU YA KUNYANYUWA NA KUFUNGA MIKONO KATIKA SWALA- SEHEM (1). SHEIKH ALLY AL-RASWAD
Переглядів 20221 день тому
HUKUMU YA KUNYANYUWA NA KUFUNGA MIKONO KATIKA SWALA- SEHEM (1). SHEIKH ALLY AL-RASWAD
FARADHI ZA UDHU (SHEIKH THUWEIN AL-ISMAAILIY)
Переглядів 14128 днів тому
FARADHI ZA UDHU (SHEIKH THUWEIN AL-ISMAAILIY)
KHUTBA YA IJUMAA ( KIFO CHA KIPENZI CHETU MUHAMMAD S.A.W).
Переглядів 91Місяць тому
KHUTBA YA IJUMAA ( KIFO CHA KIPENZI CHETU MUHAMMAD S.A.W).
WAZEE WAMEZAMA KUTAFUTA ADA ZA SHULE NA KULIPA WALIMU WA HESABATI. JE NANI ATAIBEBA DINI?!!
Переглядів 183Місяць тому
WAZEE WAMEZAMA KUTAFUTA ADA ZA SHULE NA KULIPA WALIMU WA HESABATI. JE NANI ATAIBEBA DINI?!!
DARSA YA FIQHI (NAJSI NYENGINE ZITOKAZO KATIKA MWILI)
Переглядів 80Місяць тому
DARSA YA FIQHI (NAJSI NYENGINE ZITOKAZO KATIKA MWILI)
DARSA YA FIQHI (NAJSI ZINAZOTOKA KATIKA NJIA MBILI)
Переглядів 105Місяць тому
DARSA YA FIQHI (NAJSI ZINAZOTOKA KATIKA NJIA MBILI)
ADABU ZA KUTEKELEZA HAJA (SEHEMU YA PILI).
Переглядів 113Місяць тому
ADABU ZA KUTEKELEZA HAJA (SEHEMU YA PILI).
ADABU ZA KUTEKELEZA HAJA (DARSA YA 3) MWALIMU THUWEIN AL-ISMAAILIY.
Переглядів 143Місяць тому
ADABU ZA KUTEKELEZA HAJA (DARSA YA 3) MWALIMU THUWEIN AL-ISMAAILIY.
KHUTBA YA IJUMAA (KUWAHESHIMU WAZEE KATIKA JAMII).
Переглядів 96Місяць тому
KHUTBA YA IJUMAA (KUWAHESHIMU WAZEE KATIKA JAMII).
MAFUNZO YA SWALA (TOHARA SEHEMU YA PILI)
Переглядів 1232 місяці тому
MAFUNZO YA SWALA (TOHARA SEHEMU YA PILI)
ANAETAKIWA KHERI NA ALLAH HUELIMISHWA DINI (THUWEIN AL-ISMAAILIY) TOHARA SEH (1).
Переглядів 1692 місяці тому
ANAETAKIWA KHERI NA ALLAH HUELIMISHWA DINI (THUWEIN AL-ISMAAILIY) TOHARA SEH (1).
KHUTBA YA IJUMAA ( MJUWE SWAHABA OTHMAAN BIN AFF'AN)
Переглядів 1112 місяці тому
KHUTBA YA IJUMAA ( MJUWE SWAHABA OTHMAAN BIN AFF'AN)
KHUTBA YA IJUMAA (NANI ALIE FILISIKA)?
Переглядів 1242 місяці тому
KHUTBA YA IJUMAA (NANI ALIE FILISIKA)?
KHUTBA YA IJUMAA (MAPENZI YA MTUME KWA UMMA WAKE)
Переглядів 1243 місяці тому
KHUTBA YA IJUMAA (MAPENZI YA MTUME KWA UMMA WAKE)
Ust.Shafi (Ushawishi mkubwa wa Mali unaofanywa na wasio waislamu kuusambaratisha Uislamu).
Переглядів 1983 місяці тому
Ust.Shafi (Ushawishi mkubwa wa Mali unaofanywa na wasio waislamu kuusambaratisha Uislamu).
Ufingishaji ndoa kwa kutumia mitandao ya kijamii.
Переглядів 1413 місяці тому
Ufingishaji ndoa kwa kutumia mitandao ya kijamii.
Usivitumbulie macho yako vitu tulivyo waneemesha makundi fulani kati yao.
Переглядів 1163 місяці тому
Usivitumbulie macho yako vitu tulivyo waneemesha makundi fulani kati yao.
Nini hukumu ya ndoa kwa binti asie na walii na Mjomba ndio alofungisha ndoa.
Переглядів 1743 місяці тому
Nini hukumu ya ndoa kwa binti asie na walii na Mjomba ndio alofungisha ndoa.
NDACHA NA DANIEL SHEIKH SHAFI AMALIZA UTATA
Переглядів 2053 місяці тому
NDACHA NA DANIEL SHEIKH SHAFI AMALIZA UTATA
ALLAH(S.W) atujaalie tuwe ni miongoni mwa waja wema wenye kuujua UISLAM,, ALLAHUMMA AMIIN AMIIN
جزاك الله خيرا يا أستاذي
Suali langu talaqa tatu kwa pamoja jr eda lake ni vile vile talaka moja moja
Wew ni ibaadhwi. Na kwa kuwa niny ni wajinga Ndo mana Hamueki mikono ktk kufunga sala. Hakuna hadith inayosema Mtume hakufunga Sala.
@@أبوفيصل-د3ش مَّا يَلْفِظُ مِن قَوْلٍ إِلَّا لَدَيْهِ رَقِيبٌ عَتِيدٌ (18) ( ما يلفظ ) أي : ابن آدم ( من قول ) أي : ما يتكلم بكلمة ( إلا لديه رقيب عتيد ) أي : إلا ولها من يراقبها معتد لذلك يكتبها ، لا يترك كلمة ولا حركة ، كما قال تعالى : ( وإن عليكم لحافظين كراما كاتبين يعلمون ما تفعلون ) [ الانفطار : 10 - 12 ] .
@Ujumbewadini Unapaswa ujibu hojja. Sisi hatuna shaka kuwa nyiny mna maimam wenu wa hadith ambao sio hawa wa Ahli sunna waljamaa pia Mna maimam wenu wa Fiqih ambao sio ktk wale Maimam wa 4. Unatakiwa Une ujib Hojja hizi kielimu sio kuleta Aya ambazo hazihusian na nilichozungumza Kwanz Hii Aya Ni Hojja dhid Yenu.Mcheni Allah enyi Maibadhw.
Hayo mnayosema Juu ya Uislam yanadhibitiwa na mtakuja kuulizwa.
Shukurani. Kwa darasa. Mungu atakulipa. Kheri inshaallah❤
@@SharifaOman-bf1bn ameen Ameen kwa sote
Shukran kwa kutufundisha mafunzo mazuri Alla akujaalie 🙏
Mashaalla
Allah akufanyie wepec
Allah akuzidishie elimu yenye manufaa.
Ameen kwa sote
Mungu akujaz
Zanzibar ukisema mtume muhammad sio mtume wa mungu kitakuramba kwa kweli
Asante shafii kama hawakuekewa hawaelewitena
❤mashaLLAH SHEIKH WANGU HUYO BAKOZI
😂😂😂😂ni kitabu cha wapi😅😅😅😅😅
Shukurni kwatu juza
Mashaallh ❤
Mungu akulipe na akupe mwisho mwema
أحسنت
Yes
Sasa kwa hio dawa ni halal na kama no halal naomba kujua hapa ni jinsi gani nitajua hii dawa itaruhusu maji yaingie kwa kichwa changu baada ya kueka
Naomba Dalili sheikh
Mashalaah
Walaykum msalam warahamatullah wabarakatuh shukran shrkhe kutujuza. Mungu akulipe
Na jee kama hakutoa kitu ila ulimfichia aibu ukasema alilipa ili ndoa ipite...jee hapo pana ndoa sheikh
shukran Allah atufanyie wepes
Mmh!kuna viraa hatukatai lakini hiyo hati iliyoandikiwa hiyo mas haf ni kati ya hati zipi katika hivo viraa? Muitazame vizuri hiyo mas haf, kosa ya hiyo mashaf imeandikwa kwa hati ya lahaja ya kimoroco na wala si kwa hati ya warsh. Niwaombe t na nyie mukarejee vizuri aina za viraa na khatwi zake halafu muje mutuelimishe tena.
Talaka Sio TAMKO - Talaka Haiwi Kwa TAMKO Sawa Ukitamtamkia Mara Moja au Mara Mia
Someniacheniujanjakwenyedinimsioyajuayaacheni
Dadahuyoakasomeasikurupukeasivamiemamboyawatudinisiyompiraasomemamboyaviraaelimusioujanja
Wekeni msahafu uliozoeleka
Kama alkua anafahamu auamepoteza fahamu
Maswahaba walisoma Quran iliyoandikwa kwa hatyi ya wapi? na kwa nini tusifuate hiyo?, mnatuchanganya na usomi wenu, maana ukijiuliza maswali mengi hauingii akilini
Tatizo elimu..mtu akielimika basi hawi na mshangao kama huu.
Shukran
Wew soma dini mbona misahafu hiyo ipo kibao nchi tofauti ,imeandikwa kwa kiraa cha Arshi.Tatizo tz tunasoma misahafu ya aina 1 tu
Ni bora iondolewe kuliko kuwepo
Bora waweke. Ilio zoeleka
@@hawakiza6067 kabisa maneno yako
Inayo makosa Kwa sababu misahafu yote ina juzuu 30 mbona huo una juzuu 60
Soma dini acha kukurupuka.Hamna kosa 60 ni hizb na wala si juzuu.Juzuu 1 ina hizbu 2.
Ikiwa unajuzuu sitini hebu twambie ni juzuu ipi na ipi imeongezeka na sura zipi zimeongezeka ndani ya hizo juzuu 30 nyengine??
@@Ujumbewadini tuwa ulize wao walio sema ina juzuu 60
Maalim hio lengo kubwa ni kizazi kijacho ili kianze kujikonfuse wenyewe kwa wenyewe ili lengo Lau la kuchafua lifanikiwe. Jiulize mbona lugha Yao haina vitu kama hivo?
Kukomfyuz vipi wakati hivyo visomo vipo tangu enzi za mtume saw
Kwani kuna kizazi hawaruhusiwi kusoma ?
Shukuran
Shukran sheh ubarikiwe
Masha allah
Masha Allah Allah akuhifadhi
ua-cam.com/users/shorts4ernUyYydaY?si=BupQ_9Z3WrkhYjRt
Mm nataka nikukumbushe mtume alimtuma MUADH Yemen peke yake (AHAD) kwenda kufundisha tawhid swala na zakaat, nyinyi khawariji riwaya AHAD hamzikubali ktk mas'ala ya tawhid na swala vp apo?
Muadh alikuwa kiongozi wa msafara hakuwa peke yake.
Shukrani kwa ilim
Shk nimekufam natuko pamoja
We mpumbavu? unafundisha na unatafsiri hizo khadithi unavyotaka wewe na masheikh wako
Hatamki neno ila karibu yake yupo mwangalizi tayari. (Qaaf:18)
Muislam anatakiwa kuwa na adabu wewe unamuita mpumbavu adabu huna wewe na adabu ni chombo cha kuweka elimu kama huna adabu kila siku utasoma na elimu yako haitokaa kwasababu chombo chako kinavuja
Mashallah Allah akulipe kheri
Takbir
Allahu akbar
Shukran nmeelew
Maashaallah shekhe pokea zawadi yako🌹