- 295
- 13 546
Kilele Language Hub
Приєднався 8 січ 2022
Hello 👋🏾. My name is Stella, and I share practical lessons to help us on our English and Kiswahili language learning journeys. Once in a while I do some French language learning content too.
Call/WhatsApp me on +254 795351782 or Email stellamusoke5@gmail.com for further online classes.
Call/WhatsApp me on +254 795351782 or Email stellamusoke5@gmail.com for further online classes.
How to speak using the word "HATA" in Kiswahili.
#learnkiswahili #speakkiswahili #languagelearning #learnlanguagesonline #swahili #learnswahili
Переглядів: 0
Відео
How to pass on a message in Kiswahili.(Practice Dialogue)
Переглядів 449 годин тому
#learnlanguagesonline #languagelearning #learnkiswahili #speakkiswahili #swahili #learnswahili #capcut
KISWAHILI VERB FORM SIMILARITIES (Part 2) have to..... must....let....
Переглядів 39День тому
#learnkiswahili #languagelearning #learnlanguagesonline #speakkiswahili #learnswahili #swahili
VERB FORM SIMILARITIES BETWEEN....have to... and let.....in Kiswahili.
Переглядів 38День тому
#learnkiswahili #languagelearning #learnlanguagesonline #speakkiswahili #learnswahili #swahili #capcut
KISWAHILI kitchen vocabulary.
Переглядів 7314 днів тому
#learnkiswahili #languagelearning #speakkiswahili #learnlanguagesonline #swahili #learnswahili #capcut
SAY....In....At....To ...On ..in Kiswahili
Переглядів 5714 днів тому
#languagelearning #learnlanguagesonline #learnkiswahili #speakkiswahili #swahili #capcut
KISWAHILI BASIC CONVERSATION-Future Tense
Переглядів 3921 день тому
#learnkiswahili #languagelearning #learnlanguagesonline #speakkiswahili #learnswahili #swahili #tense #futuretense
Basic Past Tense Kiswahili Conversation.
Переглядів 7821 день тому
#languagelearning #learnlanguagesonline #learnkiswahili #speakkiswahili #learnswahili #swahili #capcut
Basic Kiswahili Dialogue -(Present Tense)
Переглядів 19128 днів тому
Basic Kiswahili Dialogue -(Present Tense)
Kiswahili Story in a minute.(Future tense practice)
Переглядів 6728 днів тому
Kiswahili Story in a minute.(Future tense practice)
Kiswahili Story in a minute. (Past tense Practice)
Переглядів 102Місяць тому
Kiswahili Story in a minute. (Past tense Practice)
Kiswahili Story in a minute. (Present Tense Practice)
Переглядів 86Місяць тому
Kiswahili Story in a minute. (Present Tense Practice)
Ask for and give directions in Kiswahili.
Переглядів 75Місяць тому
Ask for and give directions in Kiswahili.
Kiswahili verbs related to eating food.
Переглядів 147Місяць тому
Kiswahili verbs related to eating food.
Express possession in Kiswahili using -ENYE(With)
Переглядів 135Місяць тому
Express possession in Kiswahili using -ENYE(With)
Let's talk about the weather in Kiswahili
Переглядів 1562 місяці тому
Let's talk about the weather in Kiswahili
STOP .....LET......in Kiswahili (WACHA)
Переглядів 942 місяці тому
STOP .....LET......in Kiswahili (WACHA)
Talking about obligations in Kiswahili.
Переглядів 1502 місяці тому
Talking about obligations in Kiswahili.
Talking about the future in Kiswahili. (Negation Tips)
Переглядів 873 місяці тому
Talking about the future in Kiswahili. (Negation Tips)
Kiswahili past tense conversations. (Negation Tips)
Переглядів 2003 місяці тому
Kiswahili past tense conversations. (Negation Tips)
Asante sana kwa somo la leo! 1. Basi lazima niharakishe. 2. Ndiyo, lazima nile siku kila. 3. Basi lazima niende ofisini sasa hivi. 4. Hapana, sihitaji kufanya kazi leo.
👏🏾👏🏾👏🏾👍🏾 *Ndio *Kila siku
1. Wacha kufanya kazi sasa. 2. Wacha kukasirika. 3. Wacha kubadilisha mazungumzo. Asante sana kwa mazoezi! So, if I understand well, the use of "wacha": 1. stop doing sg = wacha + ku-(verb root), 2. let sy do sg = wacha + (object) + subject prefix + verb root with -e ending (in case of bantu origin). Do I have to use "mimi" when I say "let me do sg" or is it okay without it? Wacha mimi nisome kitabu = Wacha nisome kitabu.
👏🏾👏🏾👏🏾👍🏾💯 Both WACHA NISOME & WACHA MIMI NISOME are correct. You can use either.
1. Nenda kwenye/katika kazi./Nenda kazini. 2. Kazini kuna kitabu./Kuna kitabu kwenye/katika kazi.3. Ofisini kwenye/katika meza./Kwenye/Katika ofisi kwenye/katika meza. Asante sana!
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👍🏾
1. Nilimaliza. 2. Sikumaliza. 3. Nilikuwa na. 4. Sikuwa na. Nashukuru!
👏🏾👏🏾👏🏾👍🏾
1. Nitakuona. 2. Sitakuona. 2. Nitakuwa na mkutano. 3. Sitakuwa na mkutano. Asante sana kwa mazoezi!
👏🏾👏🏾👏🏾👍🏾
4. sihakika
3. Uliza Maria, ni weze.
2. Una swali?
1. Kwa nini huondoki? 2. Je, una swali? 3. Uliza Maria, inawezekana. 4. Sina uhakika. Nashukuru kwa mazoezi za leo.
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👍🏾💯 *Mazoezi YA leo
Uneshikuru 🙏🏿
*Nimeshukuru/Shukran/Asante
Ku yenda/enda kufanana na ondoki? Or ondoka
KUONDOKA-To leave/To depart KUENDA//KWENDA-To go
1. Kwanini ninga ondoki. 2. Nina uliza? 3. Uliza Maria, iwezekani 4. Akuna uhakika
*1. .....haundoki/huondoki *3. ......inawezekana *4. Sina .......
1. Kesho nitasafiri kwenda kumuona rafiki yangu. 2. Nitakuwa na rafiki yangu kwa muda wa siku mbili. Asante sana!
Sentensi sahihi lakini hazijibu maswali..... 👇🏾 *Utasafiri,.....rafiki YAKO...... *Utakuwa na rafiki YAKO....
@@kilelelanguagehub Asante sana kwa maelezo yako!
@@latralla4577 Karibu
1. Mimi hunawa mikono baada ya kurudi nyumbani. 2. Kila siku ninahitaji kufagia sakafu katika chumba changu. 3. Kesho nitapanguza kiti kichafu chetu. 4. Kwa nini nahitaji kufua blanketi hii? Shukrani!
👏🏾👏🏾👏🏾👍🏾💯
1. Usichafue nyumba. 2. Safisha kila kitu. 3. Kuna uchafu kila mahali. 4. Usafi ni muhimu. Asante sana kwa somo!
👏🏾👏🏾👏🏾👍🏾💯
1. Niko hapa kwa sababu ningependa kusoma Kiswahili. 2. Hapana, mimi si mwanafunzi. Asante sana kwa somo.
👏🏾👏🏾👏🏾👍🏾💯
1. Ni Sema swahili sasa. 2. Ni najifunza uzungumza kiSwahili. 3. Ni ta soma ku Sema. 4. Kesho nita soma.
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👍🏾 *1.Nina.... *2.Nime.... *3.Nili....
1. Ambia mimi ukweli 2. Ambia wathu ukweli 3. Patia yeye maji 4. Patia wathu chakula
*1. Niambie ukweli *2. TUambie ukweli *3. Mpatie maji *4.WApatie chakula
@@kilelelanguagehub Asante Sana 🙏🏿
Pigia 2 nipigie nani 3 pigia Maria 4 sawa wacha nimpigie
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👍🏾 *1. Piga simu
Usiseme kila kitu 2 usiongee 3 usimwambie
👏🏾👏🏾👏🏾👍🏾💯
1. Usionje chakula 2. Uramba nini? 3. Tafuna chakula Sawa 4. Usiteme, meza
👏🏾👏🏾👏🏾👍🏾 *2. UNAramba nini ?
@@kilelelanguagehubAsante
Shika mtoto 2 usimkuuze 3 okota kalamu
👏🏾👏🏾👏🏾👍🏾 *2. Usimguse
Usionje chakula 2 una lambwa nini ? 3 kufuna chakula vizuri 4 usiteme, meza
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👍🏾 *2. Unalamba Nini? *3. Tafuna
Inawezakana sahii 2 haijulikani ako wapi 3 inaonekana kama ako mjini
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👍🏾 *3. Inaonekana Yuko/AKO mjini
kwanza kuandika jina kisha nambari ya simu mwisho andika mjini
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👍🏾 *Kwanza andika jina *Mwisho andika mji
Kwanza andika jina 2 halafu nambari ya simu 3 mwisho andika mji
👏🏾👏🏾👏🏾👍🏾💯
Nimeshaa anza lakini wewe hujaanza bado 2 yeye ni karibu ya kufika hapa lakini hujamaliza bado 3 sijaanza kwa sababu hujalipa bado
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👍🏾 *2. Yuko karibu/Ako karibu kufika hapa lakini hujamaliza
Ni upepo uvumi nahisi baridi 2 jua linawaka nahisi joto 3 uniletea mwavuli mvua inanyesha
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👍🏾 *Upepo unavuma
Acha kupiga 2 wacha nimalize kwanza 3 mruhusu kuacha kuuliza kwa fedha 4 mruhusu kumaliza kazi kwanza
👏🏾👏🏾👏🏾👍🏾 *3.Awache kuomba pesa *4. Wacha amalize kazi kwanza
Very good , congratulation
@@norivaneribeirodeoliveira5380 Thank you
God bless you
Hakuna kazi hapa 2 zaidi ya hiyo kuna kazi 3 ni kuzuri hapa 4 si kuzuri huko
*2. Huko kuna kazi *3. PAzuri haPA
Leta maziwa ya Amina 2 napenda mjumbe wa mama 3 najua uwezo wa watoto wangu 4 tumia kalamu ya mwalimu
@@user-ux4gs4vh5h 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👍🏾 *Ujumbe wa
Ongera🎉
Asante
Ili nizungumze watu wa tofauti nchi 2 ili wapate fedha ya kuishi maisha yao
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👍🏾 *nchi tofauti
Maria usilengeze mwendo 2 Maria na Anna tusilengeze mwendo
👏🏾👏🏾👏🏾👍🏾 *Maria na Anna MSilegeze mwendo
Anamanisha nini 2 shida hii inaonyesha nini
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👍🏾
Unatakiwa kulipa 2 ninatakiwa kufanya kazi kila siku 3 anatakiwa kwa kuja leo 4 Tutakiwa kusaidia watu
👏🏾👏🏾👏🏾👍🏾💯
*TuNAtakiwa
1 hutafanya kazi kesho 2 rafiki yako hatakuja kazini 3 hamtamaliza kazi yote 4 wateja hawatapiga simu kesho
*Sitafanya kazi kesho *Rafiki yangu hatakuja * Hatutamaliza kazi yote
Madam in these case instead of i won't if i said iwill not is it correct
Yes it is correct.
1 hakusoma jana 2 hakupata chochote 3 hakumaliza 4 hawakupiga simu jana
👍🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾 *1. Sikusoma Jana *2. Hatukumaliza
1 hujasoma leo 2 hajapata chochote 3 hamjamaliza 4 hawajapiga simu leo
👏🏾👏🏾👏🏾👍🏾 *1.Sijasoma leo *3. Hatujamaliza
Lazima umalaze kwa haraka 2 anza sahii na kuwa makini
👏🏾👏🏾👏🏾👍🏾 *Lazima umalizE
Niko hapa kwa ajili ya wazazi wangu 2 ndio mimi ni mwanafunzi wa chuo kuu
👏🏾👏🏾👍🏾👍🏾 *Chuo kikuu
Nilikuwa nilifanya kazi kwa soko 2 mimi na marafiki zangu 3 sahii niko nyumbani kupumzika 4 mimi na madugu zangu
👏🏾👏🏾 Nimekuwa ninafanya kazi sokoni Niko nyumbani ninapumzika *Ndugu zangu
Kesho ni ijumaa najitayarisha kuenda msikiti mapema 2 kesho shughuli nyingi kuliko siku zingine 3 nitakuwa na familia yangu kusherehea ijumaa 4 nitakuwa nyumbani ni siku yangu ya kupumzika kwa wiki
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👍🏾
Ndio kabisa sana napenda UA-cam yako unaweza nipea numbari yako kwa whatsapp 2 sawa hakuna shida sina haraka 3 ndio lakini izisidi dakika thelathini 4 sina shughuli nikusaidiaje 5 hakuna shida kila kitu ni salama
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👍🏾 +254 795351782
Nipigie. nitakuwa hapa 2 usimpigie hatakuwa hapa 3 pigia sahii usipigie kesho 4 nitakupigia asubuhi
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👍🏾 3.Piga ......usipige
Good madam please repeat 2 or 3 times thank u
Usikuwe na hofu .tutashinda 2 Ninafuraha umekuja 3 nimekasirika kwa sababu umechelewa 4 nina matumaini kwamba tutafanikiwa 5 usikufe moyo utafanikiwa
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👍🏾💯