- 387
- 225 753
Makutano TV
Tanzania
Приєднався 17 гру 2019
VISION
We aspire to play a vital role in Tanzania and Africa by offering our community awareness of responsible parenting and child care through professional media platforms.
MISSION
To educate, inform, entertain, and inspire the community through the power of online content.
CORE VALUE
Diversity, engagement Trust, Innovation, Excellence Integrity, High Quality Documentation, Transparency upholding human rights

WADAU WAMIMINA MSAADA KWA WATOTO YATIMA MGERA - MAFANIKIO
WADAU WAMIMINA MSAADA KWA WATOTO YATIMA MGERA - MAFANIKIO
Hali ilivyo hivi sasa katika familia ya bibi mjane mwenye wajukuu 6 ambao wote ni yatima hapa katika kijiji cha Mgera.
Baada ya kuruka kwa simulizi ya FAMILIA HII MNAMO MWEZI Juni Mwaka huu kupitia Makutano TV kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Iringa dray a maendleo ya jamii wadau mbalimbali wamejitoeza kuchangia familia hii..
Hawa ni baadhi ya wadau wakileza msukumo wao kusaidia familia hii, bibi huyu ana mtoto mmojatu ambaye amesalia baada ya watoto wake wot kufarii, naye ametoa nguvukazi kumnusuru mama yake
Grace Simalenga ni Afisa Maendeleo ya jamii Mkoa wa Iringa apa anatoa kauli ya Serikali
UNAWEZA KUCHANGIA WATOTO HAWA KUPITIA OFISI YA USTAWI WA JAMII HALMASHAURI YA IRINGA - MAWASILIANO 0763-448986 AU MAENDELEO YA JAMII MKOA WA IRINGA - MAWASILIANO - 0756 900024 AU MWALIMU MKUU - 0755 816356 #malezi #ChuoKikuuIringa#IringaDC#LiLiTotoShop#WizaraMandloyaJamii

Переглядів: 80
Відео
DAY THREE IRINGA TRANSORMER`S CHILDREN CAMP
Переглядів 1012 годин тому
Mwaka huu makutano Tv imetimiza Miaka 5 Katika kutambua thamani ya wazazi na watoto Makutano Tv kwa kushirikiana na Shule yenye uwezo wenye upekee katika kukuza, na kulea watoto tuliandaa kambi ya siku 3. Kambi hii yenye utofauti yaani Transformers Children/s camp imewaleta pamoja watoto wa shule mbalimbali kutoka Iringa na baadhi waitokea Dodoma Kupitia kambi hii kwanza watoto walipata Ziara f...
DAY TWO IRINGA TRANSORMER`S CHILDREN CAMP
Переглядів 37День тому
Mwaka huu makutano Tv imetimiza Miaka 5 Katika kutambua thamani ya wazazi na watoto Makutano Tv kwa kushirikiana na Shule yenye uwezo wenye upekee katika kukuza, na kulea watoto tuliandaa kambi ya siku 3. Kambi hii yenye utofauti yaani Transformers Children/s camp imewaleta pamoja watoto wa shule mbalimbali kutoka Iringa na baadhi waitokea Dodoma Kupitia kambi hii kwanza watoto walipata Ziara f...
IRINGA TRANSORMER`S CHILDREN CAMP DAY ONE
Переглядів 4014 днів тому
Mwaka huu makutano Tv imetimiza Miaka 5 Katika kutambua thamani ya wazazi na watoto Makutano Tv kwa kushirikiana na Shule yenye uwezo wenye upekee katika kukuza, na kulea watoto tuliandaa kambi ya siku 3. Kambi hii yenye utofauti yaani Transformers Children/s camp imewaleta pamoja watoto wa shule mbalimbali kutoka Iringa na baadhi waitokea Dodoma Kupitia kambi hii kwanza watoto walipata Ziara f...
MAFURIKO WANAWAKE UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
Переглядів 157Місяць тому
Hii leo watanzania wanapiga kura kuchagua viongozi wao katika ngazi ya vijiji, vitongoji na mitaa. Hapa mitaa ya Manispaa ya Iringa shughuli za kijamii na uchumi zinaendelea, vituo vya kipigia kura vimefunguliwa asubuhi na mapema, na wananchi wamejitokeza wakiwemo viongozi mbalimbali Uchaguzi huu wa Serikali za mitaa ni wa 7 kufanyika hapa Nchini, Kwa mujibu wa Afisa Uchaguzi Manispaa ya Iringa...
AFYA YA UZAZI NA VIJANA
Переглядів 53Місяць тому
IRINGA AFYA YA UZAZI NA VIJANA Wadau wa afya ya uzazi DSW wamezindua mradi wa miaka 3 unaolenga kuwafikia wanawake na wasichana walioko ngazi ya chuo ili kuwapatia stadi za maisha na afya ya uzazi wa mpango. Huyu ni mratibu wa wa mradi huo wa REST Bi. Serina Protas Mradi huo unatekelezwa mkoani Iringa kwa ushirikiano wa wadau na Serikali katika kata 9 .
MRADI WA SAUTI YA VIJANA ULIVYO FANIKIWA KWA VIJANA WENYE ULEMAVU IRINGA
Переглядів 114Місяць тому
#wgnrr_africa #Umatitanzania #amplifychange
UCHAGUZI NA WANAWAKE
Переглядів 112Місяць тому
Jukwaa la Wanawake Wenye Ulemavu Mkoa wa Iringa uchaguzi Serikali za Mtaa
KWA NINI MLO KAMILI ?
Переглядів 193Місяць тому
MCHONGO NI AFYA ZINGATIA MLO KAMILI KWA MTOTO Leo kutoka pembezoni ya Manispaa ya Iringa, Makutano TV tunafanya ufuatiliaji wa hali ya mabadiliko ya tabia katika jamii na utekelezaji wa mikataba ya lishe ngazi ya Mtaa. Tupo hapa Isakalilo Mtaa wa Kitasengwa, kiashiria nambari 3 cha Mkataba wa lishe kinatekelezwa na Halmashauri ya Manispaa ya Iringa. Maadhimisho ya siku ya afya na lishe hufanyik...
WAANDISHI WAPIKWA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
Переглядів 127Місяць тому
WAANDISHI WAPIKWA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA Hawa ni waandishi wa habari Mkoa wa Iringa, wanataaluma hawa wamepata nafasi ya kupigwa msasa kuhusu majukumu na wajibu wakati huu wa uchaguzi wa Serikali za mitaa. Uzoefu wa mwaandishi Irene kuhusu ushiriki wa wanawake kwenye chaguzi upoje? Waandishi wana maoni gani kuhusu jukumu la vyombo vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii ? vyama vya siasa vit...
MIAKA 30 KITUO CHA DIAKONIA CHA HURUMA - IRINGA TANZANIA
Переглядів 1552 місяці тому
MIAKA 30 KITUO CHA DIAKONIA CHA HURUMA - IRINGA TANZANIA Hiki ni kituo cha diakonia cha Huruma Kituo hiki kipo Halmashauri ya Mansipaa ya Iringa, Mwaka huu ni Miaka 30 tangu kunzishwa kwake Miaka 30 iliyopita watoto 08, wote wa kiume, walianza kulelewa hapa Kituo cha Huruma kilianza na wafanyakazi watatu. Dainess siyo miongoni mwa watoto wenye mazingira hatarishi, …..lakini yupo katika kituo hi...
SAUTI ZA VIJANA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
Переглядів 1112 місяці тому
MBAO YA VIJANA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA Vijana ni kundi kubwa lenye nguvu ya kisiasa, kwa mujibu wa takwimu za tume ya Taifa ya uchaguzi mwaka 2020, vijana wenye umri wa Miaka 18 hadi 35 waliwakilisha zaidi ya asilimia 56 ya wapiga kura wote waliosajiriwa Nchini Orodha ya wapiga kura na ukaguzi wa orodha ya wapiga kura unaendelea katika vituo vya uandikishwaji katika mitaa hapa Iringa, nataka...
DADA WA KAZI AHITIMU KIDATO CHA NNE/MTERA SEKONDARI
Переглядів 2,6 тис.2 місяці тому
Viatu vyetu na simulizi yetu juu ya msichana Rapia ( Apia) inakujia kwa mara nyingine tena , awamu hii ni habari ya mafanikio. Huu ni mwaka wa nne tunafuatilia maendeleo ya Rapia hapa Mtera Sekondari baada ya wahisani waliotusaidia kumlipia binti huyu hadi kuhitimu masomo yake. Habari ya huzuni ni kwamba licha ya binti huyu kudhihirisha nia yake ya kusoma na kuwa muuguzi au mhasibu, wazazi wake...
WATOTO WAJITOSA UTUNZAJI MAZINGIRA AMANI NILO - MUHEZA
Переглядів 502 місяці тому
Bado nimesalia hapa Ushoroba wa Amani Nilo, ili kuhakikisha watoto wanalindwa na madhara yatokanayo na uharibifu wa mazingira, mchakato jumuishi wa uhifadhi na utunzaji wa mazingira kwa vizazi vijavyo unafanyika, Serikali, wazazi na waalimu wameunda klabu za mazingira katika shule za msingi. Hebu tusikie toka kwa watoto wakieleza mafanikio ya kuundwa kwa klabu hizo Upendo Sangoda ni mwanafunzi ...
SIMULIZI ZA KILIMO MSETO KINAVYORUTUBISHA ARDHI AMANI NILO
Переглядів 662 місяці тому
Wanawake hapa Amani wanasema kufika kwa mpango wa matumizi bora ya Ardhi kumeweza kuinua kiimo na kurejesha uoto wa asili, wanasma wanamiliki hisa na wana akiba kwa kilimo cha msimu huu na ujao. insert: ( mama mkulima1) na kile kilimo mseto kinaimarisha……………..pia hivyo Afisa mtendaji Bi Esther David Kilua anathibitisha uwepo wa mabadiliko makubwa katika vijiji vilivyopo kwenye huu ushoroba anas...
FURSA YA MAZAO YA VIUNGO KATIKA USHOROBA WA AMANI - NILO
Переглядів 792 місяці тому
FURSA YA MAZAO YA VIUNGO KATIKA USHOROBA WA AMANI - NILO
SIASA ISITUMIKE KUVUNJA MAADILI/MALEZI YA WATOTO
Переглядів 692 місяці тому
SIASA ISITUMIKE KUVUNJA MAADILI/MALEZI YA WATOTO
KUELEKEA UCHAGUZI JAMII FOR GOOD NA WAANDISHI WANAWAKE
Переглядів 1063 місяці тому
KUELEKEA UCHAGUZI JAMII FOR GOOD NA WAANDISHI WANAWAKE
"TENDO LA NDOA NI UBUNIFU NA BAILOJIA" -ZAWADI MSIGALA
Переглядів 11 тис.3 місяці тому
"TENDO LA NDOA NI UBUNIFU NA BAILOJIA" -ZAWADI MSIGALA
SOMO LA HESABU NA MBINU YA MONTESSORI / MAFUNZO
Переглядів 2273 місяці тому
SOMO LA HESABU NA MBINU YA MONTESSORI / MAFUNZO
REACHING CHILDREN'S POTENTIAL IN UKWEGA WARDS - English Version
Переглядів 1213 місяці тому
REACHING CHILDREN'S POTENTIAL IN UKWEGA WARDS - English Version
WATOTO 8,904 MKOA WA IRINGA WAFIKIWA NA PJT-MMMAM/MALEZI STAHIKI
Переглядів 1294 місяці тому
WATOTO 8,904 MKOA WA IRINGA WAFIKIWA NA PJT-MMMAM/MALEZI STAHIKI
NGUVU YA DIWANI NA MAENDELEO YA MTOTO
Переглядів 1504 місяці тому
NGUVU YA DIWANI NA MAENDELEO YA MTOTO
MWANZO BORA na Prof Owdenberg Mdegela - S01: E03
Переглядів 1985 місяців тому
MWANZO BORA na Prof Owdenberg Mdegela - S01: E03
SIKU 1000 ZA WATOTO 3 IRINGA /MAFANIKIO
Переглядів 2335 місяців тому
SIKU 1000 ZA WATOTO 3 IRINGA /MAFANIKIO
USIKU WA MTAA WA SEMTEMA - MAFANIKIO MSAKO WATOTO
Переглядів 1446 місяців тому
USIKU WA MTAA WA SEMTEMA - MAFANIKIO MSAKO WATOTO
MAHARAGE KWA UZITO ULIOZIDI NA KIRIBATUMBO NA VITAMINI NAMADINI
Переглядів 766 місяців тому
MAHARAGE KWA UZITO ULIOZIDI NA KIRIBATUMBO NA VITAMINI NAMADINI
WAANDISHI WA HABARI - RADIO JAMII WAJENGEWA UWEZO KUFANYA UCHECHEMUZI WA WATOTO.
Переглядів 586 місяців тому
WAANDISHI WA HABARI - RADIO JAMII WAJENGEWA UWEZO KUFANYA UCHECHEMUZI WA WATOTO.
Hongera Sana brother Lilawola
Uchifu ulishapoteza maana kwasababu umeshachanganya na tamatuni za kigeni
Dada ajari tu maisha yake asisikilize watu
Mungu awajaalie watoto ktk ndoa yenu Amina
Safi sana Makutano.
Wekeni mawasiliano yenu watu wapate huduma kilahisi
0759917917
Mimi pia na mwanangu ana miaka 4 sasa alipata ulemav tangu alipozaliwa mpaka sasa ni WA kulala tu na watoto 3 mwanaume alinitelekeza naombeni msaad wenu
Naitwa epifania niko mpanda katavi nina mtoto anachangamoto nawapataje au mnapatikana wapi
✅
Mimi ninae mtoto mlemavu nawapataje
Kazi nzuri kwakwel
Kazi nzuriii, lazima sauti isikikee
👏
Kazi kubwa saana. 👏🏽👏🏽
👏👏👏👏👏
Mkowa wa mara naweza kulima
HONGERA SANA KWA KUPATA ELIMU,HIYO MUITUMIE PASIPO WOGA, MUNGU AWASIMAMIE
Safi sana
Asante sana kutazama Raphael
Tuwakumbuke saana watoto wenye mahitaji wanapitia magumu saana hongera Makutano Tv makala nzuri na yenye kutafakarisha
Asante
Nmependa kaz zenu
Nmeipenda kaz yako mama
🙏🙏🙏
Wahisani walosimama kwa ajili ya huyu mrembo wabarikiwe mmmmmno 👌👌👌👌👌. Halafu hivi kweli mzazi uliye na uchungu na mwanao unashindwa kushiriki hata katika mahafali ya mtoto wako 💔💔💔💔💔!!!!!!! Halafu akifaulu maishani utamtafuta? It is so disheartening. All the best good girl.
Mungu akubariki uliyemwezesha huyo binti mrembo
Yaani kuna watu wana roho zao
INAWEZEKANA
Hongera sana mwanawake kwa kilimo cha viazi
🙏
So delicious 🎉I liked it I'm proud of that yeah since I saw it first day 😊
ua-cam.com/video/WnJ-1PnZLjw/v-deo.htmlsi=DFqcp7DywsFZVDUL
@Mama Doctor Samia suruhu.... Zawadi anauwezo sana kwenye kazi muungalie kwajicho la tatu🙏🏼
Mungu awape watoto wa kuwatunza,hongera sana dada,mungu akutunze kwa kumuheshimisha huyu jamaa
Hongela
Yes... Upendo huzaa hisia njema, na hisia huzaa thamani ya mtu na Ubunifu hujitokeza wenyewe baada upendo kutamalaki
Ndoa hii ni zawadi kutoka kwa mungu... wabarikiwe sana. Kupitia ndoa hii nitaandaa kipindi cha mahusiano na malezi hivi karibuni
Tupo pamoja mkuu
MUNGU awalinde na kuwatunza
Kwa kweli Mungu mkubwa ukuu wake hautambulikani.
Hongeren sana jamn, Mungu awatunze sana
MUNGU AWAJALIE KATIKA NDOA YENU YENYE UPENDO KUTOKA KWA MUNGU
Nimekuona dady its me jacky
Year mungu akupe maisha marefu kila hatua akulinde
❤❤❤waoo mungu akulinde kila hatua dady
M. Mungu awajaalie vizazi. Vyema hongereni
Atupenda MUNGU Akuinueeeeee❤❤❤🎉🎉🎉🎉, wewe niwatofaut saaaanaaaa, nimekupenda nurse KWA hilliiWawoooo
🎉🎉🎉 mbarikiwe mno
Huyu Kaka anaakili Sanaa japokua mlemavu anaongea vizur MUNGU hawezi kukunyima vyotee
Nyie mnao sema kafata pesa kwanini msiseme kafata shoo. Mbona hao jamaa hawana kazi mbovu kunako ndoani. Mimi ninamuombea Sana huyu mwamba. Na ninafikilia tuendelee kumsaport huyu dada na mume wake. Tukuswiga swahiba wangu Mungu akubariki hata kumfanyia interview na hawa watu. Huu mioyo wakipekee Sana watu wanapenda kufanya interview sehemu ambayo wanapata chochote. MUNGU akubariki swahiba.
Good