- 48
- 92 169
Japhet Michael
Germany
Приєднався 17 сер 2018
This Chanel is about sharing the gospel of our Lord Jesus Christ .
Mambo 3 yakuzingatia ili uweze kutimiza malengo yako 2025
Kabla hatujavuka mwaka 2025, kuna mambo matatu muhimu ambayo kila mtu anapaswa kuyajua ili kujiandaa vizuri kwa mwaka mpya. Katika video hii, nitazungumza kwa kina kuhusu mambo haya. Video hii itakusaidia kupanga vizuri, na kuwa tayari kwa changamoto na baraka za mwaka ujao
Bonus ya maandiko yanayoweza kukusaidia katika maandalizi ya mwaka mpya.
Mistari ya Biblia:
1. Yeremia 29:11 - “Maana nayajua mawazo ninayowawazia, asema Bwana, mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa tumaini siku zenu za mwisho.”
2. Mithali 3:5-6 - “Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote, wala usizitegemee akili zako mwenyewe. Katika njia zako zote mkiri yeye, naye atayanyosha mapito yako.”
3. Mathayo 6:33 - “Lakini utafuteni kwanza ufalme wake na haki yake, na hayo yote mtazidishiwa.”
.
#Mwaka2025 #MaishaYaKiRoho #Biblia #Tumaini #NenoLaMungu #KujipangaKiroho #KablaYa2025
Bonus ya maandiko yanayoweza kukusaidia katika maandalizi ya mwaka mpya.
Mistari ya Biblia:
1. Yeremia 29:11 - “Maana nayajua mawazo ninayowawazia, asema Bwana, mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa tumaini siku zenu za mwisho.”
2. Mithali 3:5-6 - “Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote, wala usizitegemee akili zako mwenyewe. Katika njia zako zote mkiri yeye, naye atayanyosha mapito yako.”
3. Mathayo 6:33 - “Lakini utafuteni kwanza ufalme wake na haki yake, na hayo yote mtazidishiwa.”
.
#Mwaka2025 #MaishaYaKiRoho #Biblia #Tumaini #NenoLaMungu #KujipangaKiroho #KablaYa2025
Переглядів: 124
Відео
Japhet Michael Afichua Siri ili uweze kufanikiwa mwaka 2025
Переглядів 19114 днів тому
Katika fundisho hili ni kipande kidogo cha mafundisho yanayoendelea mtandaoni kwa watu wachache (zoom meeting) imempendeza Mungu nawe unufaike katika yale Machache yatakayo ongelewa. Share like na subscribe kwenye Chanel hii kwa mafundisho mengi Kama haya. #injiliyakristo #kanisa #sifu
Hallelujah - Japhet Michael | Official Lyric Video
Переглядів 188Місяць тому
Official Lyric Video "Hallelujah" from Japhet Michael Available at all common streaming plattforms as Spotify, Amazon Music or Apple Music.
Teknolojia ya AI na Maandalizi ya mpinga kristo
Переглядів 305 місяців тому
Je wajua nini kinaweza fanyika kupitia teknolojia mpya ya AI kama kanisa halijashituka mapema? tazama video hii kisha share kwa ndugu jamaa na marafiki ili sote tupate kujiandaa vyema katika nyakati hizi za mwisho. #kanisa #teknoloji #yesu
Mambo haya yapo kanisani Ila kanisa halijashutuka#kanisa
Переглядів 626 місяців тому
Mambo haya yapo kanisani Ila kanisa halijashutuka#kanisa
Sababu inayofanya uamsho kuchelewa duniani#kanisa
Переглядів 636 місяців тому
Kama Mkristo, unajua umuhimu wa uamsho katika maisha yetu ya kiroho na jinsi tunavyosubiri kwa hamu kuona nguvu za Mungu zikifanya kazi duniani kote. Katika video hii, tutajadili mambo muhimu ambayo yanaweza kuwa kikwazo kwa uamsho kuja haraka kama tunavyotarajia. #kanisakatoliki #mchungaji #tanzania #wokovu
Chanzo cha wengi kuangamia wakiwa ndani ya Kristo
Переглядів 1177 місяців тому
Je unafahamu kuwa unaweza kuwa umeokoka na unampenda Yesu lakini maisha yako hayafanani na kile unachokiamini? kweny haya mafundisho utakutana na siri ambayo Mungu alinisemesha ambayo wana wa Mungu wanaendelea kuteseka kwa sababu hawajajua hii siri. tafadhali share ujumbe huu kwa ndugu jamaa na marafiki zako ili upate kuwa mmoja ya wapelekao habari njema kwa watu wote. pia usiache kusubscribe k...
siri iliyojificha nyuma ya mpira#simbanayanga
Переглядів 787 місяців тому
siri iliyojificha nyuma ya mpira#simbanayanga
Tafuta Daima Utakatifu by Japhet Michael
Переглядів 1547 місяців тому
Tenzi za Rohoni No. 13 Basi, wapenzi wangu, kwa kuwa tuna ahadi hizo, na tujitakase nafsi zetu na uchafu wote wa mwili na roho, huku tukitimiza utakatifu katika kumcha Mungu. (2 Kor 7:1) Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote, na huo utakatifu, ambao hapana mtu atakayemwona Bwana asipokuwa nao. (Ebr 12:14)
Someone needs to hear this-(My story )
Переглядів 308 місяців тому
Someone needs to hear this-(My story )
This is the most expensive thing in the world many don’t know
Переглядів 3110 місяців тому
This is the most expensive thing in the world many don’t know
Qualification of a Minister of the Gospel
Переглядів 37Рік тому
Qualification of a Minister of the Gospel
Aina ya sadaka ambayo Mungu huikubali/huipokea,
Переглядів 652 роки тому
Aina ya sadaka ambayo Mungu huikubali/huipokea,
Jinsi Sadaka Zilivyofunga maisha ya wengi Part 2
Переглядів 812 роки тому
Jinsi Sadaka Zilivyofunga maisha ya wengi Part 2
Jinsi sadaka ziliyofunga maisha ya watu wengi
Переглядів 1282 роки тому
Jinsi sadaka ziliyofunga maisha ya watu wengi
I have decided - Japhet Mkondya (Swahili Version with English Translation)
Переглядів 3092 роки тому
I have decided - Japhet Mkondya (Swahili Version with English Translation)
Japhet Mkondya - Moto wa Roho mtakatifu (Official Music Video)
Переглядів 1,2 тис.4 роки тому
Japhet Mkondya - Moto wa Roho mtakatifu (Official Music Video)
JAPHET MKONDYA USINYAMAZE BWANA (OFFICIAL VIDEO)
Переглядів 2,2 тис.6 років тому
JAPHET MKONDYA USINYAMAZE BWANA (OFFICIAL VIDEO)
Nashukuru kwa somo zuri Japheth Mungu akubariki Mtumishi ❤
Amina ubarikiwe sana
My brother. This is another level Am super proud of who your becoming. The song is soo powerful
Halelujah we thank The Lord Jesus for his mercy
Wunderschön berührend
Hallelujah Gott ist gut
Wunderschön ❤
Hongera sana Mtumishi wa Mungu JM2 NIMEKUKUMBUKA SANA DAMU YANGU YESU AMETUOKOA SISI ✍️😢 NI MUDA WA KUMUINUA YEYE HONGERA SANA KAZI YAKO NJEMA SANA
Hakika Yesu kristo ni mwema
❤
Nice one
Thanks for watching
Kweli hapana rafiki kama yesu hata kama upo ugenini yeye ndiye rafiki wakweli
Kama unauskiliza 2024 gonga likes
Thanks brother
Mungu atusaidie
Amina amina
Hallelujah Yesu ni mwema sana
Amen, asante kwa ujumbe.
Amina Humphrey
Amina Kaka. Ubarikiwe
Ubarikiwe pia Humphrey
Ukweli watu wengi hawapendi kusikia kweli Kama hii,lakini kweli ndiyo ituwekayo huru,Mungu akubariki Sana Mtumishi wa BWANA
Amina mtumishi wa Mungu Yesu atusaidie sana
Amen Mtumishi, Mungu akubariki sana kwa ujumbe muhimu
Maisha matakatifu 🙏
UBARIKIWE MTUMISHI KWAHI TENZI INANIFARIJI SANA
What a Beautiful rendition... Hallelujah and Amen! Forever.
Praise be to the Lord Jesus
😚 'promo sm'
Amen and Amen 🙏🏽 🙌 👏 ❤️
May the Lord help us. May this message open our eyes of understanding in the name of Jesus Christ 🙌 🙏🏽
For sure we need Gods help🤝
Halleluja
Thanks be blessed nice one
I BLESS THE LORD FOR THIS SONG...ITS MY FAVOURITE...GOD BLESS YOU.
God bless you too , I pray that God may strengthen you and give you peace in Jesus name.
Alleluia,, yupekeee
😠 Promo>SM
🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽❤
Yu pekee Amen
Amen
Aaaamen man of God
Allow me to translate. ‘Don’t go get an unbiased opinion, just buy what I’m selling.’
Still it’s a choice to buy or not to, I have learned to come to the point of understanding why people they believe what they believe. When you take time and hear the story from the another side it’s easy to help each other and find our selves living in peace and harmony. On my side I know that God is real if you have any Dought about his existence I can be a good person to explain to you because I have experienced him
Nimebarikiwa na wimbo huu
Amina mwana wa Mungu
Amen 🙏
Amen
Keep continuing Japhet! 😊
Thanks brother for your support I will by the grace of God
barikiwa mtumishi wa Mungu
God bless you more than more
You too
Amenn amen yuko karibu sana kurudii
Mwenye kanisa anarudi
emeni emeni YESU wambinguni atukuzwe saana 🙏🙏🙏
Amina kamanda wa Mungu
Amina mtumishi wa Mungu Alie hai hakika somo hili linanihusu %100 Mungu akubariki Sanaa
Utukufu kwa Bwana Yesu Litendee kazi Mtu wa Mungu Kuna mahali utamtukuza Mungu
YESU wambinguni akupe mafunuo zaidi tupate kupona masihi wa bwana ubarikiwe mno kamanda 🙏🙏🙏🙏
Amen kamanda wa Mungu
Amen kamanda wa Mungu
Amen kamanda wa Mungu
Amen kamanda wa Mungu
Amen kamanda wa Mungu
Motoooo waloho mtakatifu shuka kwangu saana ili niwe kiumbe chaabu katika wewe YESU wambinguni 😭😭😭😭😭
Hakika nime amua kwenda Kwa Jehova uzinzi kibuli jeuli vyoote nime acha Asante saana YESU wambinguni Mungu mbaliki jafeti Kwa wimbo huu waneema saana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
haleluya haleluya Yesu awe Juu sana sana
Amina🙏🙏🙏🙏
Niukeli.kabisa.kilakitu.in.cha.mungu.hakuna.kitu.binadamu.ànweza.bila ,mungu God.bless,tena.sana.saudi👏👏👏🌹
Ameen hakika
👏👏👏👏
Kabisa.mimi.moenye.thamubi..lakini.mungu.nimuenye.rehema.God.bless.you.pst.