- 785
- 148 149
Bishop Kamanda Stefano
Приєднався 18 січ 2020
PATA TAARIFA NA MAOMBI / MAOMBEZI KUPITIA CHANNEL YETU MAWASILIANO NO +255 710 472 255
Pia changia Huduma Hii kwa sadaka yako tumia no hizo na +255 752 401 034. +255 620 423 039.
Pia changia Huduma Hii kwa sadaka yako tumia no hizo na +255 752 401 034. +255 620 423 039.
Відео
BILA WOGA TENA MCHUNGAJI AMLIPUA MCH ALIESILIMU KUWAMUISLAMU. (02)
Переглядів 8718 годин тому
BILA WOGA TENA MCHUNGAJI AMLIPUA MCH ALIESILIMU KUWAMUISLAMU. (02)
VITA INAENDELEA NA MCHUNGAJI ALIESILIMU
Переглядів 1642 години тому
VITA INAENDELEA NA MCHUNGAJI ALIESILIMU
SOMO: KUTOKUTAMBUA MAJIRA YAKUJILIWA KWAKO
Переглядів 879 годин тому
SOMO: KUTOKUTAMBUA MAJIRA YAKUJILIWA KWAKO
SEMINA SIKU YA 3 SOMO UKOMAVU WA KIAKILI (01)
Переглядів 539 годин тому
SEMINA SIKU YA 3 SOMO UKOMAVU WA KIAKILI (01)
MCHUNGAJI AMVAA BILA WOGA MCH ALIESILIMU NA KUWA MUISLAMU UMEPOTEA HUKUWA MCHUNGAJI
Переглядів 8 тис.9 годин тому
MCHUNGAJI AMVAA BILA WOGA MCH ALIESILIMU NA KUWA MUISLAMU UMEPOTEA HUKUWA MCHUNGAJI
IBADA YA KUSIFU KWENYE SEMINA SIKU YA KWANZA
Переглядів 9414 годин тому
IBADA YA KUSIFU KWENYE SEMINA SIKU YA KWANZA
SOMO: KUSHGULIKIA MIPAKA YA ASILI ILIYOFICHIKA. (02)
Переглядів 3014 годин тому
SOMO: KUSHGULIKIA MIPAKA YA ASILI ILIYOFICHIKA. (02)
SOMO KUSHUGHULIKIA MPAKA ISIYOONEKANA (01) SOMO ZURI SANA HILI ♥️
Переглядів 3514 годин тому
SOMO KUSHUGHULIKIA MPAKA ISIYOONEKANA (01) SOMO ZURI SANA HILI ♥️
WAMEVURUGWA NA SIFA JAMANI ANGALIA UTAPENDA
Переглядів 5814 годин тому
WAMEVURUGWA NA SIFA JAMANI ANGALIA UTAPENDA
HUYO MANABII WOTE . HII INASHANGAZA HEBU ANGALIA MWISHO MWISHO
Переглядів 5316 годин тому
HUYO MANABII WOTE . HII INASHANGAZA HEBU ANGALIA MWISHO MWISHO
KUONDOLEWA MAHALI ULIPOWEKWA. INJILI YA MOTO ANGALIA ITAKUSAIDIA
Переглядів 7619 годин тому
KUONDOLEWA MAHALI ULIPOWEKWA. INJILI YA MOTO ANGALIA ITAKUSAIDIA
WIMBO ULIOLIZA WENGI KWENYE MKUTANO KWA ROHO MTAKATIFU ANGALIA MPAKA MWISHO
Переглядів 78219 годин тому
WIMBO ULIOLIZA WENGI KWENYE MKUTANO KWA ROHO MTAKATIFU ANGALIA MPAKA MWISHO
UZINDUZI WA KANISA JIPYA ONA INAVYOKUA HITIMISHO LA MKUTANO MKURANGA (01)
Переглядів 7319 годин тому
UZINDUZI WA KANISA JIPYA ONA INAVYOKUA HITIMISHO LA MKUTANO MKURANGA (01)
Kuna hoja na kuna porojo
We muongozo mdagañga nya wakristo ubavuni maneno yako
Tutawabana mbavu mpaka mtatowa ukweli.nyote makadiri
Uliwah kumuona yesu anaingiya kwenye nyumba ya mungu na ubani mu kitezo anawasha moshi ktk kiteszo.. na kuimba kupiga mangoma na mafilimbi acheni uongo kupoteza wenzenu kwa ajili ya maslahi yenu. Mnazani hatujuwi tunajuwa kilakitu ndio mana tunawapiga vita.
Kwanza niwaulizeni?yesu gani aima roho gani mtakatif iliwahi kuingiya kanisani kupiga mangoma ? Iuliwah kuviona wapi?kama sio uongo wenu na uganga mko mnafanya apo kanisani
Acha uongo na kutafsiri usivyovijuwa.
Na sio yeye tu na wengine watakuja ktkt uislam.wakumzidi uyo wengi tu mtaona watakuja izi ni nyakati za mwisho izi. Lazima ukweli uonekane
Mungu hapendi watu waongo. Mwe semeni muache kishuona ukweli hata mseme nini habadiliki tena
MUNGU akutunze mtumishi ubarikiwe sana
Km aliwah kuwa mkirsto bas hajawah kujua ukirsto nn
wewe mchungaji kwanza ujasoma na wewe ni mtapeli twakujua
Kumuomba Mungu Kwa Kutumia Utukufu wa Mtu Mwingine ni KUKOSA Heshima, na Haitokubalika Kamwe.
Kwani mchungaji huyu tu alosilimu? mbona wengi sana duniani wamesilimu. Na walosilimu huwa wameamini ila wenzetu wakiritadi huwa ni tamaa ya maisha
Nyie bakini na manyimbo watu wanazidi kuiona haki
Ongea kwa sauti bas mbona kama unaogopa ongea kwa sauti kama Ex pastor Dominic ustadh wetu mtarajiwa...
Eti Muislamu alieokoka Yani alivyoanza kuongea tuuu inaonyesha ana maumivu makali juu ya uislamu....
Kama maokoto najeuriww,hujamshinda (fir auni)ykowap nambwembwezako,nawala humuonei aibuallah juuyaneemazote alizokupa?unawaitawajawake katikakufru,kisa kunaviumbe wenzio wakupa mpunga,na mauwa mengi,muogope allah popote ulipo
Mzeeee wa maokoto,achaa uongo madiliyanamwisho,kwa Allah tutarudww,natuulizwe mmnaww,"nani mwenye nguvuckuyaleo,utajibu vpww,namdiliyakohayo
Acha uongoww,hataww ulitafuta dili,na ulipoona hupati malengo,ukakimbilia ukristo,ila juwa kunamaisha baadayahaya,tutarudi kwa Allah kuamakini naww,Allah atupe mwisho mwema amiin
Mungu akubariki kwa ufafanuzi mzuri juu ya Roho wa Mungu ni nani.
Huyo mpumbavu anajibiwa na watu walio toka hukohuko😂😂😂
Hapo hamna mstari wa 14 wala wa 20 hayo yote ni mambo ya kutengeneza tu acheni upotofu na kuwapotosha wengine
Wewe unataka mwenzako aendelee kumkosea mungu wakati ameshaijua njia ya kweli
Amina baba!🥳👏
Amen 🙏
Walioko huko wanatamani neema tulio nayo Ila huyo kapotea kweliumemfata asiejua alikokwenda umemuacha aliekuagaanakwenda kwababa kamayeye alikufa akawambia muombeeni hajui anakokwenda nyie atawapeleka wapi?
Amemkataa yesu ngoja akakutane na majini wamnyonye damu take nawamutese mpakaajue nasijui naniatamkomboa maana yesu amemkataa
Amen 👏🙌
Acha kupotosha wewe njoo ufundishwe
Ubarikiwe
Safi sna
Mchungaji muongo wewe
Kama yesu aliahadi kuwaombea msaidizi atakayekuwa nanyi Swali je ukiacha kumfuata msaidiz kwa madai ya kutaka kumfuata yesu mwenyewe,huoni kama umekosa kumtii yesu
Mchungaji acha kuongopea watu
Pumbav ww
Ww mchungaji fala hujui chochote njaa inakusumbua, hakuna muislam asiyejielewa kama wewe
Mfuko kwenye kiza. Ndio Muhammad yupo milele kwasababu hakuna nabii mwingine baada yake. Roho mtakatifu pia hamjui. Roho mtakatifu ni malaika Jibril( Gabriel)
Shida ya makanisa yetu ndoii, wanampeleka mtu Bible School wakati hajajazwa roho mtakatifu maana roho mtakatifu angekuwa ndani yake hasingempinga
Yaani Waislamu hunibamba! Mohammad ndiye Roho mtakatifu 😂😂😂
Nani kasema mtume Muhammad s.a.w ni roho mtakatifu
Safi sana mtumishi nikue maua yako umeongea vizuri sana
Mchungaji nakupa big up!! Kwa ufafanuzi mzuri. Mungu azidi kukubariki.
Amen asante
Barikiwa
heee baba ang co ww tu uliyetoka huko hata ce wengine tulikuwa huko tukakimbia tulipockia habar za huyo YESU aaawee nilifanya chap kumfwata saiv akuuuu nmemkili YESU awe BWANA na MWOKOZ wa MAISHA yangu tena nampenda mno😍😍😍😍😍😍
Ameuliza maswali matatu yajibu ili asiwe muislam sio unaleta porojo tu.
Wewe unaepotosha ukristo ulaniwe na raana Yako iwe wazi Kwa jina la YESU kristo
Kuna wengine wanapotea kwa upumbavu. Huyo hakuwa Mchungaji ni mwongo tu. Yesu ni njia tena uzima
Tumuombee huyu
Wakristo bhana mnachekesha, Hata huyohuyo akisilimu mtamuambia hajui biblia alikuwa mjinga. Kuweni waadilifu katika mambo yenu. Acheni Roho mbaya mbona injili haiwaungi mkono na mambo yenu. Wanawake wenu wanavaaa vibaya mpka makanisani hata aibu hamna.
Hahahaaaaq
Fundisho zuri sana mtumishi wa Bwana
Hakik hakik barikiwa san nakubali