- 71
- 30 868
RGC-TOANGOMA
Приєднався 2 сер 2017
Religious channel for spreading the word of living God in various ways.
OVERCOMNG DEVIL'S LIES _ENGLISH SERVICE_BY BISHOP AMON LUKAMA
OVERCOMNG DEVIL'S LIES _ENGLISH SERVICE_BY BISHOP AMON LUKAMA
Переглядів: 83
Відео
KATAA KUJIHURUMIA UTIMIZE NDOTO ZAKO_BY BISHOP AMON LUKAMA
Переглядів 1133 місяці тому
KATAA KUJIHURUMIA UTIMIZE NDOTO ZAKO_BY BISHOP AMON LUKAMA
Highlight 14:20 - 19:17 from RGC-TOANGOMA is Live
Переглядів 845 місяців тому
Highlight 14:20 - 19:17 from RGC-TOANGOMA is Live
HATUA ZA KUZINGATIA WAKATI WA KUFANYA MAAMUZI
Переглядів 1275 місяців тому
HATUA ZA KUZINGATIA WAKATI WA KUFANYA MAAMUZI
NAMNA YA KUFANYIKA WA BARAKA KANISANI
Переглядів 2027 місяців тому
NAMNA YA KUFANYIKA WA BARAKA KANISANI
KONGAMANO LA MAJIRA MAPYA 2020: TAMBUA SIRI KATIKA KUMALIZA VIZURI JAMBO ULILOANZA (SIKU YA KWANZA)
Переглядів 3024 роки тому
KONGAMANO LA MAJIRA MAPYA 2020: TAMBUA SIRI KATIKA KUMALIZA VIZURI JAMBO ULILOANZA (SIKU YA KWANZA)
KUPIGANIA MUUJIZA WAKO (FIGHTING FOR YOUR MIRACLE) - SEHEMU YA 4 NA ASKOFU AMON LUKAMA
Переглядів 1274 роки тому
KUPIGANIA MUUJIZA WAKO (FIGHTING FOR YOUR MIRACLE) - SEHEMU YA 4 NA ASKOFU AMON LUKAMA
KUISHINDA ROHO YA AIBU (SEHEMU YA 4) - ASKOFU AMON LUKAMA
Переглядів 2844 роки тому
KUISHINDA ROHO YA AIBU (SEHEMU YA 4) - ASKOFU AMON LUKAMA
HOW TO OVERCOME LIFE CHALLENGES (JINSI YA KUZISHINDA CHANGAMOTO) - BISHOP AMON LUKAMA
Переглядів 1374 роки тому
HOW TO OVERCOME LIFE CHALLENGES (JINSI YA KUZISHINDA CHANGAMOTO) - BISHOP AMON LUKAMA
KUPIGANIA MUUJIZA WAKO (FIGHTING FOR YOUR MIRACLE) - SEHEMU YA 3 NA ASKOFU AMON LUKAMA
Переглядів 724 роки тому
KUPIGANIA MUUJIZA WAKO (FIGHTING FOR YOUR MIRACLE) - SEHEMU YA 3 NA ASKOFU AMON LUKAMA
KUISHINDA ROHO YA AIBU (SEHEMU YA 3) - ASKOFU AMON LUKAMA
Переглядів 2344 роки тому
KUISHINDA ROHO YA AIBU (SEHEMU YA 3) - ASKOFU AMON LUKAMA
YESU ALIKUFA MSALABANI KWAAJILI YA DHAMBI ZANGU - ASKOFU AMON LUKAMA
Переглядів 1754 роки тому
YESU ALIKUFA MSALABANI KWAAJILI YA DHAMBI ZANGU - ASKOFU AMON LUKAMA
KUPIGANIA MUUJIZA WAKO (FIGHTING FOR YOUR MIRACLE) - SEHEMU YA 2 NA ASKOFU AMON LUKAMA
Переглядів 774 роки тому
KUPIGANIA MUUJIZA WAKO (FIGHTING FOR YOUR MIRACLE) - SEHEMU YA 2 NA ASKOFU AMON LUKAMA
KUISHINDA ROHO YA AIBU (SEHEMU YA 2) - ASKOFU AMON LUKAMA
Переглядів 1654 роки тому
KUISHINDA ROHO YA AIBU (SEHEMU YA 2) - ASKOFU AMON LUKAMA
KUPIGANIA MUUJIZA WAKO (FIGHTING FOR YOUR MIRACLE) - SEHEMU YA 1 NA ASKOFU AMON LUKAMA
Переглядів 2264 роки тому
KUPIGANIA MUUJIZA WAKO (FIGHTING FOR YOUR MIRACLE) - SEHEMU YA 1 NA ASKOFU AMON LUKAMA
Kumjua Mungu (knowing God) sehemu ya nne - Askofu Amon Lukama
Переглядів 864 роки тому
Kumjua Mungu (knowing God) sehemu ya nne - Askofu Amon Lukama
IBADA YA JUMAPILI (SUNDAY SERVICE) - BISHOP AMON LUKAMA
Переглядів 2124 роки тому
IBADA YA JUMAPILI (SUNDAY SERVICE) - BISHOP AMON LUKAMA
NGUVU YA TUMAINI (the power of hope) sehemu ya nne - Askofu Amon Lukama
Переглядів 1614 роки тому
NGUVU YA TUMAINI (the power of hope) sehemu ya nne - Askofu Amon Lukama
HESHIMA KWA WAZAZI (RESPECT TO PARENTS) - MARY PRISCA MABUMBA
Переглядів 1124 роки тому
HESHIMA KWA WAZAZI (RESPECT TO PARENTS) - MARY PRISCA MABUMBA
UPONYAJI NI CHAKULA CHA WATOTO - ASKOFU AMON LUKAMA
Переглядів 1414 роки тому
UPONYAJI NI CHAKULA CHA WATOTO - ASKOFU AMON LUKAMA
Kumjua Mungu (knowing God) sehemu ya tatu - Askofu Amon Lukama
Переглядів 1414 роки тому
Kumjua Mungu (knowing God) sehemu ya tatu - Askofu Amon Lukama
NGUVU YA TUMAINI (the power of hope) sehemu ya tatu - Askofu Amon Lukama
Переглядів 1194 роки тому
NGUVU YA TUMAINI (the power of hope) sehemu ya tatu - Askofu Amon Lukama
Adabu na heshima kwa Mungu (respect for God) - Rachael Baraka
Переглядів 854 роки тому
Adabu na heshima kwa Mungu (respect for God) - Rachael Baraka
Maandalizi kwajili ya kutawala (Preparation to reign) - Askofu Amon Lukama
Переглядів 614 роки тому
Maandalizi kwajili ya kutawala (Preparation to reign) - Askofu Amon Lukama
Kumjua Mungu (knowing God) sehemu ya pili - Askofu Amon Lukama
Переглядів 4674 роки тому
Kumjua Mungu (knowing God) sehemu ya pili - Askofu Amon Lukama
Tafakari ya Jumapili (Sunday service mesage) - Askofu Amon Lukama
Переглядів 574 роки тому
Tafakari ya Jumapili (Sunday service mesage) - Askofu Amon Lukama
NGUVU YA TUMAINI (the power of hope) sehemu ya pili - Askofu Amon Lukama
Переглядів 1834 роки тому
NGUVU YA TUMAINI (the power of hope) sehemu ya pili - Askofu Amon Lukama
Ameni
POWERFULLY❤❤
Hallelujah 🙌
poweful💯
Ameen
Glory be to God
Asantee Baba ,ubarikiwe zaid
Amen and amen 🙏🙏
Fungu la kumi hutolewa pale Mungu alipokuelekeza
❤
🙏
Amina Baba 🙏🙏
Barikiwa
@@rgctoangoma Amen 🙏
Amina bshop
Amen
BARIKIWA
Nice my father
BARIKIWA
Ameeen
BARIKIWA
Ameen Bishop
BARIKIWA
The mentor, father and intersessor Keep going papaaa najivunia wewe Kwa ajili ya mwili wa Kristo na duniana hii ndiyo Habari njema
Huu ujumbe una kasoro,kwa sababu mitume,Yesu,hawakutoza au kutoa fungi la kumi.😢 Walipewa walawi sababu hawakua na mashamba au kazi nyingine,Leo wachungaji anamiliki magari,maduka,manyumba,ndege…. 😅 Unaniombea nipate hela wewe unashindwa kujiombea uzipate! Tunaishi nyakati nguma za mwisho mapato na maisha magumu haviwiani, unapewa miezi mitanu bila kulipa loan(deni) kwa sababu ya corona au vita za ukrain utapata fungu la kumi lini? Mungu Alijua hali ambavyo ingekua Leo. Ingekua ni ujumbe unaowahusu hawahawa wachungaji ungesikia hii kutoboka mifuko na kuharibikiwa katika hali halisi ,mara simu :WANGESEMA NI KATIKA HARI YA KIROHO,mbona sabato ipo agano jipya na Yesu aliihudhuria,iko katika amri,lakini wanaipuuza wakazana na 10%? Mchungaji afanye kazi ,makanisa mengine yasiofundisha hivi ,hauwezi kua mchungaji ukiwa mvivu ,usiwe na kazi yako.
Hongera mtu wamungu
Amina
So wonderful amaizing and blessings 😇 Barikiwa sanaaaaa
Mungu awabariki sana
Great work done watu wa Mungu.. God bless you
Amina
KARIBUNI hapa kanisani kwa wewe uliye Dar es salaam
Majira ya nguvu kabisaaa.
Wagalatia 3:13 Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya torati maana yeye alifanyika laana kwa ajili yetu maana imeandikwa amelaaniwa yeye aangikwaye juu ya mti.Pia kumbuka torati ilkuja kwa mkono wa Musa Neema na kweli ilikuja kwa mkono wa Yesu Kristo.Pia 1Petro inasema tumekombolewa si kwa vitu viharibikavyo si kwa fedha au dhahabu bali ni kwa damu ya thamani ya Yesu Kristo.Katika agano jipya tunatoa kwa moyo wa shukrani hatutoi kwa kufuata masheria ya torati.Maana wana laana wote waifuatayo torati na masheria yake
Mm sijawahi kuona ktk Agano jipya kanisa linahangaika na Fungu la 10. Halafu Kama lilikuwa ni moja ya Shera ya Taifa la Israel, Mbona tumechagua kwenda na sheria hyo tu, Je Mbona tumeacha sheria zingine, Hv ukiacha sheria moja ktk agano si tunakuwa tumekosea ktk yote
Amina baba
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
Ubarikiwe mtumishi wa mungu kwa neno la mungu juu ya sadaka
Amen more grace bishop Wavhing from kenya 🇰🇪
Inanguvu sana hii
Ubarikiwe mtumishi ila nina swali ni sahihi kutowa sehemu ya kuhani ambaye kanisani kwake hawali meza ya Bwana?
Fungua la kumi limenifunza mambo mengi Asante Mungu 🙏🏼 moyo wangu🙏🏼 haukunungunika kwa kutoa fungu lako
Nabarikiwa sana nikisikia sauti ya dada yang atu kwakel RGC FIREY FIREY
Amen baba
Uwaoooooooooo nice
Fundisha kwanini agano la kale waliambiwa watoe fungu la kumi? na tumia agano jipya wapi Mungu amesema tutoe fungu la kumi? katika agano jipya hatujalimitiwa kumtolea Mungu usiwafunge watu wa Mungu
Wachungaji msifundishe masomo ambayo hayapo ni kwaajili ya matumbo yenu mmekuwa wachungaji wa mishahara siku ya mwisho mtahukumiwa na ukifatilia hizo fedha haziendi kwenye maendeleo ya kanisa utakuta yote yanaenda kwa mchungaji hii ni hatari sana
Hatuko chini ya sheria tena kama tutatoa fungu la kumi haina maana ya Yesu kufa msalabani ila katika agano jipya Mungu anasema sisi pamoja na tulivyonavyo ni mali ya Mungu hivyo tunatakiwa kutoa zaidi ya fungu la kumi
nashukuru kwa ujumbe bishop
Ameeeeeen
Samahani mtumishi unawafunndisha wazungu au watanzania usichanganye lugha
Good!
Mwaka huu 2021 September itakua hatari sana sana sana!!!! Waiting for this....
Powerful
Inanguvu sana hii
Amen Amen I will fight for miracle!thanks dad