AsiliGrowers
AsiliGrowers
  • 75
  • 36 599
Mahafali ya 41 SUA Jionee Wahitimu wakitunukiwa Shahada zao na Mkuu wa Chuo Mhe Jaji (Mst) Warioba
Marafiki wa Muda mrefu Josephat Ryoba Mwanzilishi na Mkurugenzi wa Kampuni ya AsiliGrowers na brand ya Mr protective gears na Aron Katosho Mwanzilishi na Mkurugenzi wa kampuni ya Katosho bright partners company ( KBP) na Shirika la Dream nature Landscaping Organization ( DLO) wametunukiwa shahada zao za sayansi ya kilimo ( Ryoba ) na Misitu ( Katosho ) ya Chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo SUA kwenye mahafari ya 41 ya katikati ya mwaka yaliyofanyika 25/05/2023 kampusi kuu ya SUA ( Edward Moringe Campus )
Wakulima wa AsiliGrowers tunawatakia kila la kheri kwenye kulitumikia taifa
Переглядів: 192

Відео

Tazama Machungwa yanakamuliwa Juice na Teddy Juice Mnyororo wa thamani katika zao la Chungwa
Переглядів 246Рік тому
Juice ni moja wapo ya bidhaa zitokanazo na matunda , kampuni yetu imejikita kutoa elimu ya uzalishaji wa Matunda wenye tija ikijuimuisha na Mnyororo wake mzima wa thamani tangia kuandaa miche , kupanda , kutunza , kuvuna , kusindika au kuuza Hii hufanyika kupitia kampeni yetu ya We Make Agri Attractive , mwaka huu tukiwa na kaulimbiu ya "Welcome Meet your , farmer , celebrity and expert learn a...
Headmaster alitupa matofali 2000 , Miche inanilipa - Yobo Rain kwenye We make Agri Attractive
Переглядів 96Рік тому
Mchekeshaji maarufu yobo rain mdudu , kwenye show ya kwanza ya we make agri attractive to grow crops and talents mwaka 2023 amewavunja mbavu wakulima , kwa kudai alishawahi kupewa matofali 2000 na Headmaster na kufukuzwa shule akajiingiza kwenye biashara ya miche sikiliza stori yote Team Content Creator Director : Bwana Shamba Ryoba Photographer & Chief Editor : Thomasgrafx Sound producer : Dop...
Francoviolinst , Number one - Rayvanny & Upo nyonyo - Phina Violin Cover On We make Agri Attractive
Переглядів 129Рік тому
Atribution ' Number one -Rayvanny ', ' Upo Nyonyo - Phina ' Best violin player ever Franco violinst peforming violin cover of Number one by Rayvanny & Upo nyonyo by Phina live on We make Agri Attractive to make , Reality show Sound producer : Elly Director : Zesecand Location : Bwana shamba Ryoba Outfit : Mr protective gears
Abdul wa mpingo garden akionesha uwezo wake wa kutambua aina za embe kutua majani
Переглядів 145Рік тому
Tunatambua hii miche kwa kutumia majani hata kama imechanganyika pamoja kwa wingi Team Sound producer : Dope beats Executive producer : Thomasgrafx Photographer : Thomasgrafx Content creator & director : Bwana shamba Ryoba
Washiri wa Mr and miss Agriculture wakiwa kwenye vazi la ufukweni , tunafanya kilimo kivutie
Переглядів 37Рік тому
Washiri wa Mr and miss Agriculture wakiwa kwenye vazi la ufukweni , tunafanya kilimo kivutie
Halima Mashindi wa Miss Agriculture 2023 kwenye vazi la usiku , tunafanya kivutie kwa vijana
Переглядів 61Рік тому
Halima Mashindi wa Miss Agriculture 2023 kwenye vazi la usiku , tunafanya kivutie kwa vijana
Vazi la ubunifu Mr and miss Agriculture Awards 2023 Mambo ni Moto , Tunakuza mazao na vipaji
Переглядів 43Рік тому
Vazi la ubunifu Mr and miss Agriculture Awards 2023 Mambo ni Moto , Tunakuza mazao na vipaji
Usiku wa tuzo za Mr and miss Agriculture Awards 2023
Переглядів 66Рік тому
Usiku wa tuzo za Mr and miss Agriculture Awards 2023
Rafiki Catering Service Waongea haya mbele ya Uniqgal
Переглядів 19Рік тому
Rafiki Catering Service Waongea haya mbele ya Uniqgal
Waziri Mshiriki wa Mr Agriculture aonesha unyama mbele ya Uniqgal
Переглядів 27Рік тому
Waziri Mshiriki wa Mr Agriculture aonesha unyama mbele ya Uniqgal
Mwamba huyu hapa Mdau wa Mr and miss Agriculture Awards anena haya kwa Uniqgal
Переглядів 28Рік тому
Mwamba huyu hapa Mdau wa Mr and miss Agriculture Awards anena haya kwa Uniqgal
Huyu ndie Teddy Mshiriki wa Mr and miss Agriculture Awards 2023 aongea alivyojiandaa
Переглядів 60Рік тому
Huyu ndie Teddy Mshiriki wa Mr and miss Agriculture Awards 2023 aongea alivyojiandaa
Lilenga Mshiriki wa Mr Agriculture aongea alivyojiandaa Unyama kama wote mbele ya Uniqgal
Переглядів 7Рік тому
Lilenga Mshiriki wa Mr Agriculture aongea alivyojiandaa Unyama kama wote mbele ya Uniqgal
Bwana Shamba Ryoba aongea tena haya mbele ya Uniqgal
Переглядів 12Рік тому
Bwana Shamba Ryoba aongea tena haya mbele ya Uniqgal
Huyu hapa Edina Mshiriki wa category ya Miss Agriculture Awards aongea haya mbele ya #Uniqgal
Переглядів 14Рік тому
Huyu hapa Edina Mshiriki wa category ya Miss Agriculture Awards aongea haya mbele ya #Uniqgal
Michael Jonson ajiandaa vilivyo na Mr and miss Agriculture amwaga mtama wote kwa Uniqgal
Переглядів 5Рік тому
Michael Jonson ajiandaa vilivyo na Mr and miss Agriculture amwaga mtama wote kwa Uniqgal
Huyu ndie Morice Mwapili Mshiriki wa Mr Agriculture Awards 2023
Переглядів 15Рік тому
Huyu ndie Morice Mwapili Mshiriki wa Mr Agriculture Awards 2023
Wakulima na wadau tumebadilishana uzoefu-Ryoba , tunatumia burudani kuhamasisha kilimo -Teddy
Переглядів 18Рік тому
Wakulima na wadau tumebadilishana uzoefu-Ryoba , tunatumia burudani kuhamasisha kilimo -Teddy
Mwanafunzi wa SUA aelimika na kuhamasika kufanya kilimo Baada ya kufika kwenye Shamba darasa
Переглядів 20Рік тому
Mwanafunzi wa SUA aelimika na kuhamasika kufanya kilimo Baada ya kufika kwenye Shamba darasa
Mwl Rwezaula (SUA) Anafundisha mafunzo kwa vitendo awapongeza wanafunzi wake kwa kufanya kilimo
Переглядів 32Рік тому
Mwl Rwezaula (SUA) Anafundisha mafunzo kwa vitendo awapongeza wanafunzi wake kwa kufanya kilimo
Mwl Kazosi - Kutoka SUA awapongeza wanafunzi wake kwa kuandaa shamba darasa mbele ya Uniqgal
Переглядів 24Рік тому
Mwl Kazosi - Kutoka SUA awapongeza wanafunzi wake kwa kuandaa shamba darasa mbele ya Uniqgal
Picha zake zilipositiwa Ukurasa wa wizara ya elimu , SUA , Mo dewij foundation Ryoba
Переглядів 91Рік тому
Picha zake zilipositiwa Ukurasa wa wizara ya elimu , SUA , Mo dewij foundation Ryoba
Tutatalii Mlima Uluguru - Funa the Wild mbele ya Uniqgal
Переглядів 19Рік тому
Tutatalii Mlima Uluguru - Funa the Wild mbele ya Uniqgal
Ninaweza kushiriki , nilishashiriki Miss SUA nikawa Second run up Ney mbele ya Uniqgal
Переглядів 115Рік тому
Ninaweza kushiriki , nilishashiriki Miss SUA nikawa Second run up Ney mbele ya Uniqgal
Mhitimu wa SUA mtengengeneza cake aongea jinsi biashara ya cake inavyompa faida Mbele ya Uniqgal
Переглядів 19Рік тому
Mhitimu wa SUA mtengengeneza cake aongea jinsi biashara ya cake inavyompa faida Mbele ya Uniqgal
Tazama bwana shamba Ryoba alivyomtokea Mdada mrembo Teddy mbele ya Uniqgal #Cinehood #Thomasgraphx
Переглядів 93Рік тому
Tazama bwana shamba Ryoba alivyomtokea Mdada mrembo Teddy mbele ya Uniqgal #Cinehood #Thomasgraphx
Mjasiriamali Teddy Juice point amejipanga na Mr and miss Agriculture awards
Переглядів 15Рік тому
Mjasiriamali Teddy Juice point amejipanga na Mr and miss Agriculture awards
Washiriki Kwenda kutalii Mlima Uluguru , Mkurugenzi wa Pic of Africa tours aeleza
Переглядів 37Рік тому
Washiriki Kwenda kutalii Mlima Uluguru , Mkurugenzi wa Pic of Africa tours aeleza
Michoro inaelimisha na kuhamasisha kilimo na Uhifadhi wa Mazingira - Kasambala Next level artist
Переглядів 15Рік тому
Michoro inaelimisha na kuhamasisha kilimo na Uhifadhi wa Mazingira - Kasambala Next level artist