Bongo TV Online
Bongo TV Online
  • 224
  • 415 201

Відео

MAX NZENGELI asifia MZIKI wa SIMBA.
Переглядів 50421 годину тому
#yanga #simba #max #soka #wananchi #mnyama
Ally KAMWE: Tunawataka MAMELODI SUNDOWNS
Переглядів 130День тому
#yanga #mamelodi #cafcl #wananchi
Angalia IBRAHIM BACCA alivyong'ang'ania kupiga PENALT | anataka UFUNGAJI BORA.
Переглядів 23414 днів тому
Angalia IBRAHIM BACCA alivyong'ang'ania kupiga PENALT | anataka UFUNGAJI BORA.
Tumalize UBISHI: Kati ya BOKA na ZIMBWE JR nani zaidi?!
Переглядів 73914 днів тому
#simba #yanga #boka #zimbwe #ligikuu #azam #mpenjatv #manaratv
UBORA wa viwango vya soka Afrika, SIMBA alama 30 YANGA alama 29.
Переглядів 93221 день тому
#yanga #simba #caf
YANGA kuwekwa POT NO 2 | Al Ahly, MAMELODY, TP Mazembe, hatua ya makundi.
Переглядів 1,5 тис.21 день тому
#makundi #cafcl #caf #yanga #mamelodi #alahly #tpmazembe #wananchi
Clement MZIZE to WYDAD | yajayo yanafurahisha.
Переглядів 67Місяць тому
#mzize #yanga #wananchi #usajili #wydad
Bendi ya MAQUIS DU ZAIRE ilivyowatesa WATANZANIA (02)
Переглядів 43Місяць тому
#muziki #drcongo #maquis
Bendi ya MAQUIS DU ZAIRE ilivyowatesa WATANZANIA (01)
Переглядів 125Місяць тому
#muziki #maktabayakale #maquis
MASAI aliyetrend kwa MANARA akicheza taarabu ni SHABIKI WA SIMBA.
Переглядів 139Місяць тому
#manara #kapalalai #masai #simba #yanga
Angalia huyu MCHAMBUZI akichambua KIKOSI HATARI cha SIMBA kiufundi.
Переглядів 3,2 тис.Місяць тому
#simba #mnyama #deborafernandez
DEBORA FERNANDEZ ni mwamba zaidi ya CHAMA, AZIZ KI na FEISAL.
Переглядів 172 місяці тому
#debora #fernandez #chama #azizki #feisal #yanga #simba
ALLY KAMWE ataja "VIONGOZI WA SIMBA" ambao ni YANGA lia lia.
Переглядів 1482 місяці тому
#yanga #simba #alikamwe #mwijaku
MZEE MAGOMA na MWAIPOPO wapewa kesi ya KUGHUSHI saini za VIGOGO.
Переглядів 6002 місяці тому
MZEE MAGOMA na MWAIPOPO wapewa kesi ya KUGHUSHI saini za VIGOGO.
MZEE MAGOMA na mwenzie WAKAMATWA.
Переглядів 612 місяці тому
MZEE MAGOMA na mwenzie WAKAMATWA.
YANGA yashinda kesi | MZEE MAGOMA kulipa zaidi ya MILIONI 100.
Переглядів 1452 місяці тому
YANGA yashinda kesi | MZEE MAGOMA kulipa zaidi ya MILIONI 100.
MWIJAKU amtishia Mbwa ALLY KAMWE.
Переглядів 7322 місяці тому
MWIJAKU amtishia Mbwa ALLY KAMWE.
MANARA afunguka kwanini ALLY KAMWE hakutambulishwa.
Переглядів 4572 місяці тому
MANARA afunguka kwanini ALLY KAMWE hakutambulishwa.
Hans Rafael: YANGA wakikoki "GIA" yao, SIMBA watakuwa na wakati mgumu.
Переглядів 1,2 тис.2 місяці тому
Hans Rafael: YANGA wakikoki "GIA" yao, SIMBA watakuwa na wakati mgumu.
KIBU yupo mazoezini SIMBA | Kocha amkubali.
Переглядів 1792 місяці тому
KIBU yupo mazoezini SIMBA | Kocha amkubali.
Breaking News: SNURA atangaza kuacha MUZIKI | aamua kumrudia MUNGU.
Переглядів 4822 місяці тому
Breaking News: SNURA atangaza kuacha MUZIKI | aamua kumrudia MUNGU.
Sababu ya ALLY KAMWE kujiuzuru YANGA | MANARA atajwa.
Переглядів 8092 місяці тому
Sababu ya ALLY KAMWE kujiuzuru YANGA | MANARA atajwa.
YANGA yashika nafasi ya 4 kwa UBORA AFRIKA JEMEDARI amwaga sifa kibao.
Переглядів 2,9 тис.2 місяці тому
YANGA yashika nafasi ya 4 kwa UBORA AFRIKA JEMEDARI amwaga sifa kibao.
KIBU amkana MENEJA wake | Simjui, Hanijui.
Переглядів 3742 місяці тому
KIBU amkana MENEJA wake | Simjui, Hanijui.
Kikosi kamili cha wachezaji wa YANGA na NAMBA ZA JEZI zao 2024/25.
Переглядів 2 тис.2 місяці тому
Kikosi kamili cha wachezaji wa YANGA na NAMBA ZA JEZI zao 2024/25.
Hii sasa BALAA: MAMA FATMA amchukulia hatua MZEE MAGOMA.
Переглядів 1,6 тис.2 місяці тому
Hii sasa BALAA: MAMA FATMA amchukulia hatua MZEE MAGOMA.
Kumekucha: Msikieni wenyewe MZEE MAGOMA anachoongea.
Переглядів 2453 місяці тому
Kumekucha: Msikieni wenyewe MZEE MAGOMA anachoongea.
Utacheka: GAMONDI atoa PENALT Avic Town | ajiridhisha kwenye VAR.
Переглядів 5823 місяці тому
Utacheka: GAMONDI atoa PENALT Avic Town | ajiridhisha kwenye VAR.
MOBETO ahusishwa kumfanya AZIZ KI abaki YANGA
Переглядів 7273 місяці тому
MOBETO ahusishwa kumfanya AZIZ KI abaki YANGA

КОМЕНТАРІ

  • @RajabuBabu-c9y
    @RajabuBabu-c9y 2 дні тому

    Mbona huu ndio ukweli mzee wangu

  • @billionpower-kc4sc
    @billionpower-kc4sc 3 дні тому

    🎉🎉🎉🎉

  • @HusseynSingano
    @HusseynSingano 4 дні тому

    Ilamtapata tabu mawahabi elimu hamnna maulidin tutasoma mpaka siku yakiama

  • @NasibuJuma-e6u
    @NasibuJuma-e6u 8 днів тому

    Niko buja bujumbura jazaka llahu khaira

  • @IbraFareed
    @IbraFareed 13 днів тому

    Je uliskiliza maneno ya sheikh kassimu mafuta baada ya niqash

  • @IbraFareed
    @IbraFareed 13 днів тому

    MUNAQASHA ulikua LIVE kalibia wote tumeuona, NATUSIWE WAZITO kwenye kuelewa, SWALI ulouliza kabla hatujakujibu cha kwanza tunakuuliza JE MUNAQASHA UMEUONA WOTE au umeangalia baadhi ya maeneo Maana kama ungeona munaqasha wote USINGEULIZA HILI SWALI ? Nakupa Highlight: Ustadhi bachu alikua wakwanza kuuliza swali lake lilosema kitabu cha barazanji kimeonyesha WANYAMA WALIONGEA JUU YA KUTUNGWA KWA MIMBA YA MTUME SAW, Je Kuna dalili Gani ya hadithi au Aya kuwa wanyama walizungumza? hapo hapo akaongezea kuwa najua hadith unayoitegemea ni MUNKAR (KATOA HUKUMU YA HADITH HAPO) Ustadh said akafanya تخريج kweli hiyo hadith ni munkar ninayoitegemea AKAAMBIWA ATOE HIYO HADITH WAKATI KASHAIFANYIA تخريج hapa kama una elimu ya hadith angalau kidogo utajua nani akaingia kwenye MAMBO ASIOKUA NA ELIMU NAYO na ndo tunaona ﻣُﺸﻜِﻠَﺔ. Sheikh kashafanya تخريج tena unamwambia atoe hiyo hadith, Brother lau ungejua تخريج ni nini usingesema atoe tena hadith HII IMEONYESHA UCHACHE WA ELIMU KWA UPANDE MWINGINE AU HAWAKUELEWA MAANA YA تخريج Ndo mana Ustadhi Saidi alikua anamfundisha maana ya تخريج ni nini? na Tija ya تخريج ni ipi? Akamwambia ushatoa Tija ya تخريج ungekua sheikh Bachu hujui تخريج ya hii hadith ungenyamaza Kilma ashakitaja sheikh bachu tena akamuuliza BAADA YA MALUMBANO, Ustadh said akaamua atoe hadithi ya wanyama kuongea katika riwaya ya أبـو نـعـيـم الأصـفـهـانـي kwenye دلائل النبوۃ inayothibitisha kuongea kwa wanyama, Ustadhi Bachu alijibu kuwa hio hadithi ni munkar Ustadh said akamuuliza je Hadith hii ni UONGO KUTOKANA IPO KWENYE KIGAWANYO CHA MUNKAR… na akasema kama ni UONGO JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa ‎مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO (HADITH) HUITWA NI UONGO ? swali lake lili gusa MTU au MUANDISHI au KITABU AU YALE MANENO YALOTOKA KWENYE HADITH DHAIF HUITWA NI UONGO maana NDUGU YETU VIDEO CLIP ZAKE ZOTE HUSEMA HAYA MANENO NI YA UONGO) Sheikh bachu akasema SIONGELEI SHEIKH JAFFARY BARAZANJI mi naongelea hadith Ostadh said akamwambia mbona swali lipo pale pale… JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa ‎مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO HUITWA NI UONGO ? mimi nimekuja kutetea maneno ya sheikh jaffary barazanji, kutetea maneno yake kuwa sio uongo na video zako zote (sheikh bachu) una muitaga sheikh jaffary barazanji ni muongo na kitabu unakiita uongo na unamuita mshirikina. Ndo mana nimekuja kumtetea… MAANA BACHU ALIKUA ANAKATAA BARAZANJI SIJAMUITA MUONGO 😂😂🙌🏾 HII HUKUMU YA KUITA HAYA MANENO UONGO UMETOA WAPI? SWALI HALIJAJIBIKA MPAKA LEO HII, na sheikh akaamua KUNYANYUKA NA KUONDOKA Kilichotakiwa hapo Ustadhi Saidi atoe hadith ya wanyama kutamka na katoa hadith na ameonyesha anajua isnad na matin mpaka kakubali ni MUNKAR. Sheikh bachu ALITAKIWA APINGE ILE HADITH ILOTOLEWA NI UONGO Kama anavosemaga KUWA HAYA MANENO NI UONGO sio kwa MANENO YAKE ila maneno ya WANAZUONI WA مصطلح الحديث akampa maneno ya WANAZUONI مصطلح الحديث tena akasema mmoja wapo ni ابن الصلاح katika علوم الحديث (مقدمة ابن الصلاح) wamesema wamesahihisha hadith DHAIF kutumika ispokua HADITH MAUDHUI na pia hawaijasahihisha HADITH DHAIFU Kwenye HUKUMI WAL AKHAIDI ILA wamesahihisha kutumia HADITH DHAIF kwenye sira na akamwambia tupo kwenye sira na HIKI KITABU CHA BARAZANJI NI SIRA ndo mana tunakitumia na tunatumia hadith DHAIFU. wewe SHEIKH BACHU UMESEMA hii hadith ni munkar na hadith munkar ni ipo kwenye kipengere cha HADITH DHAIFU akanyamaza kimya AKAAMBIWA SI ULISEMA HII HADITH SI DHAIF akamwambia hii uloleta ni hadith lazima turudi kwa wataalamu wa hadith, je itifaki gani ya wanazuoni wa hadith walosema haya maneno uongo sio maneno yako.. SASA UKITUAMBIA TUKUPE HADITH ISHATOLEWA LABDA HUKUANGALIA MUNAQASHA KILICHOBAKI SISI UTUAMBIE WANAZUONI WA ELIMU YA HADITH WAMEIONGELEAJE HIYO HADITH?? Sio maoni yako ila tunaangalia maoni ya wanazuoni wa ‎مصطلح الحديث MAKOSA YA BACHU YALIKUA kwenye NAHAU, KUELEWA MISAMIATI YA ELIMU YA HADITH NA TAFSIRI AZOKUA ANAZILETA NI POTOVU NDO MANA AKAWA ANAFUNDISHWA KILA NUKTA ANAYOKOSEA mfano alisema hadith غريب ni HADITH NGENI KABISA 😂😂😂🙌🏾 Watu wakacheka akaambiwa hadith غريب sio hadith ngeni na kama unabisha leta MWANAZUONI ALOSEMA HADITH غريب ni ngeni makosa mengine شديد ضعيف na mengine mengi NDO MANA AKAAMBIWA BAADA YA HAPA UTAENDA KUSOMA

  • @immanuellyimo6117
    @immanuellyimo6117 16 днів тому

    Zombe ni zaidi

  • @andrewmafuru4704
    @andrewmafuru4704 17 днів тому

    Zimbwe zaidi

  • @AidanNsasu
    @AidanNsasu 17 днів тому

    WOTE ni mashine baba

  • @NzeyimanaMariamu
    @NzeyimanaMariamu 24 дні тому

    Jamani

  • @mwkombosharif4500
    @mwkombosharif4500 24 дні тому

    Kwani na Muhammad Bachu ni Sheikh?

  • @ahmadmasoud1350
    @ahmadmasoud1350 Місяць тому

    Unajua cyo uchwara ww

  • @kapalatv888
    @kapalatv888 Місяць тому

    😂😂😂😂😂😂

  • @daltonmunguatosha1197
    @daltonmunguatosha1197 Місяць тому

    Umetisha mchambuzi

  • @AbdallahMnyiwe-he2zu
    @AbdallahMnyiwe-he2zu Місяць тому

    Maulidi yapo ila kipofu hata ona

  • @sadickmguruka
    @sadickmguruka 2 місяці тому

    Nenda kakae kwa mashekh wakusomeshe acha utopolo

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 2 місяці тому

    Walifikiria ni lele mama!

  • @VictorBugobola
    @VictorBugobola 2 місяці тому

    Punguza uchawa 😂😂 unalopoka Sana ad aibu ufike kipind ukue ata Kama n chawa

  • @RabiaSaid-sh1km
    @RabiaSaid-sh1km 2 місяці тому

    Huna lolote tupe mke wetu 😂😂😂

  • @NijimbereBeatrice-vi1ku
    @NijimbereBeatrice-vi1ku 2 місяці тому

    Lofa yamwanaume akili yako yiko kwenye matako

  • @HusseinHussein-f7n
    @HusseinHussein-f7n 2 місяці тому

    munamuuliza hansi wakti uyo hansi yeye ni yanga

  • @AllyFeruuz
    @AllyFeruuz 2 місяці тому

    HANA MSIMAMO KWA NINI ATUKANE WATU WAKATI SHIDA KATIBA KADHALILOSHA WATU WENGI MDA HUU NDIO ANAJIWEKA SAWA

  • @RukhaiyaNassir
    @RukhaiyaNassir 2 місяці тому

    Mashaallah Allah akuongoze inshallah

  • @JohnSilaja
    @JohnSilaja 2 місяці тому

    Mnyororo ulioutengeneza YANGA,kuanzia Raisi wa timu wanachama na wachezaji hakika tumeuona maua ni Haki yako.najua utakuwa ndani ya Wananchi zaidi kuonyesha uwezo wako.Bravo.umemfinya vya kutosha yule wa kule na polomondo lake.piga kazi .wanaokuja watuonyeshe mapya na ya Hali ya juu zaidi.YANGA Daima mbele nyuma Mwiko.YANGA Oyeeeeee.

  • @RoseKipimo
    @RoseKipimo 2 місяці тому

    Mkataba wake umeisha.

  • @Classicibraimu
    @Classicibraimu 2 місяці тому

    Kixa nn

  • @fatmaallyabdul1732
    @fatmaallyabdul1732 2 місяці тому

    Don't leave us wananchi Kamweee pliiiiiz!!😢😢

  • @vaxminja9053
    @vaxminja9053 2 місяці тому

    Kwa nini mashabiki wa Simba hawaamini Yanga ni timu bora kuliko Simba? Kinachowachanganya wapenzi wa Simba ni kuwa na points nyingi walizovuna miaka 5 iliyopita wakidhani ndio ubora wa sasa

  • @ALCADOJAMES
    @ALCADOJAMES 2 місяці тому

    SS hatusemi nyie mtasema2 SS tunapiga mzigo

  • @MkoiTvTz
    @MkoiTvTz 2 місяці тому

    Aluta Kontinuo Bongo Tv

  • @alphoncealmack9240
    @alphoncealmack9240 2 місяці тому

    Kibu d kibu dental rastafarian wakimbize mpaka wakohoe twatwatwa😂😂😂😂hio sasa ndio maana harisi ya 'ubaya ubwela"

  • @alphoncealmack9240
    @alphoncealmack9240 2 місяці тому

    Amkeni Amkeni Amkeni hukuuuuu Rashid amakanwa mchana kweupeeee hii😂😂😂😂😂😂😂

  • @clementjohn4213
    @clementjohn4213 2 місяці тому

    acha uongo dube anavaa namba 29 sio 9

    • @bongotvonline4883
      @bongotvonline4883 2 місяці тому

      jezi yake rasmi ni namba 9... hiyo namba 29 ni kwaajili ya pre-season tu

    • @bongotvonline4883
      @bongotvonline4883 2 місяці тому

      jezi yake rasmi ni namba 9... hiyo namba 29 ni kwaajili ya pre-season tu

  • @hidayaramadhani1833
    @hidayaramadhani1833 3 місяці тому

    Bidaa niwewe usiejielewa

  • @kulwampalashimpalashi7224
    @kulwampalashimpalashi7224 3 місяці тому

    Ni funzo hili kuwa sio Kila maamuzi ni sahihi

  • @abdulmauya4874
    @abdulmauya4874 3 місяці тому

    Mbinu zao nyingi za kipuuzi na ni za kubahatisha kwa wewe upigiapo uwe makini kisa chake.

  • @anithqpaul3923
    @anithqpaul3923 3 місяці тому

    Kwaiyo makolo mmeangukia pua😂😂😂😂

  • @MariamKalanda
    @MariamKalanda 3 місяці тому

    Kwan Sasa makolo mmefyata,

  • @bongotvonline4883
    @bongotvonline4883 3 місяці тому

    Mtazamaji Bongo TV Online. Ili kupata taarifa za michezo na burudani, exclusive kabisa... tafadhali SUBSCRIBE chaneli hii. Karibu...!!!

  • @DATIVACOSMAS
    @DATIVACOSMAS 3 місяці тому

    Hivyo hivyo Rais Heris jembe kama kambakiza K Aziz,haijalishi kasaini Leo au mwezi uliopita. Uongozi na wafadhili safiiiiii.

  • @PauloAlfayo-qi1gn
    @PauloAlfayo-qi1gn 3 місяці тому

    Nyenyenyenye,simba,shenzi kabisa yanga juuuuuuu sana

  • @SecyMdawa
    @SecyMdawa 3 місяці тому

    😮

  • @mosesmulashani5124
    @mosesmulashani5124 3 місяці тому

    Nakubaliana na uchambuzi huu!!

  • @khadejarajab844
    @khadejarajab844 3 місяці тому

    Sasa mbona mnasemaameenda simba?

  • @saidishamte635
    @saidishamte635 3 місяці тому

    Azizi ki anakwenda Simba aminini wapenzi wenzangu wa yanga

    • @robertzamani5612
      @robertzamani5612 3 місяці тому

      Simba ni klabu kubwa??

    • @mrishojuma4695
      @mrishojuma4695 3 місяці тому

      Hivi unaakili kweli wewe? Mtu aliisha Saini Yanga zamani

    • @Last403
      @Last403 3 місяці тому

      Labda Simba wa mwituni kutalii ila hawa mikia wakariakoo 😂

    • @YusuphJilala-r4e
      @YusuphJilala-r4e 3 місяці тому

      Punjuuuu😅😂

    • @YusuphJilala-r4e
      @YusuphJilala-r4e 3 місяці тому

      Chiziiiii😂😂

  • @elizabethkalinga0822
    @elizabethkalinga0822 3 місяці тому

    Mwandishi Angalau umenifariji