Pongwe Islamic Girls
Pongwe Islamic Girls
  • 28
  • 24 319
English Speach - Saumu Mtabula || The 7th Graduation || 2024
Saumu Juma Mtabula, a form three student, delivering a special message to parents, teachers, and graduates, highlighting the responsibilities that parents and teachers have fulfilled for the graduates.
She also emphasizes the graduates' duty to uphold the teachings and upbringing they have received.
Переглядів: 82

Відео

Nasheed: Ni Kipi Swahibu || Mahafali ya 7 || Novemba 23 2024
Переглядів 96821 день тому
Nasheed: Ni Kipi Swahibu, utunzi wa Rayyun Msafiri na Rehema Rajabu wanafunzi wa kidato cha tatu. Mbali na umahiri wa wanafunzi hawa katika usomaji wa Qur'an wamedhihirisha pia kuwa wao ni watunzi na waimbaji wazuri wa nasheeds Maa shaa Allah.
|| Mahafali ya 7 || Umahiri wa Lugha ya Kiarabu wa Wanafunzi wa Pongwe Islamic
Переглядів 11721 день тому
Weledi wa Lugha ya Kiarabu ukioneshwa na wanafunzi wetu Yusrah Ali Juma muhitimu na Rayyun Msafir kidato cha tatu. Walifanya mdahalo kuonesha umuhimu wa baba na mama kwa mtazamo wa uislamu.
|| Mahafali ya 7 || Skauti wakionesha ukakamavu ndani ya vazi la hijabu
Переглядів 47828 днів тому
Mabinti wa Pongwe Islamic Girls Secondary School wameonyesha ukakamavu wa kipekee na uzalendo wa hali ya juu katika mazoezi ya gwaride la skauti na mapokezi ya mgeni rasmi, wakiwa wamejivika mashungi kwa heshima ya utamaduni wao wa Kiislamu. Pamoja na vazi la hijabu ambalo linaashiria heshima na utulivu, mabinti hawa wameonyesha kuwa hijabu si kizuizi kwa ukakamavu na nidhamu. Gwaride lao lilio...
Googbye Song Graduates - The 7th Graduation 2024
Переглядів 62628 днів тому
Googbye Song Graduates - The 7th Graduation 2024
|| Mahafali ya 7 || Bunge La Wanafunzi
Переглядів 628Місяць тому
Moja ya Kivutio katika mahafali ya 7 ilikuwa ni bunge la wanafunzi wa kidato cha kwanza waliloliita "Bunge lenye maslahi na raia wake" ambapo spika wa bunge hilo alikuwa Mheshimiwa Nkungu (Hasna Issa Nkungu) aliyeigiza sauti ya spika wa bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na raisi wa umoja wa mabunge duniani (IPU) daktari Tulia Akson. Wanafunzi walionesha weledi mzuri wa kujenga hoja na k...
Mahafali ya 7 || Mapokezi ya Mgeni Rasmi na Wahitimu Kuingia Uwanjani
Переглядів 420Місяць тому
Mahafali yamefanyika Novemba 23, 2024 shuleni Pongwe Islamic ambapo zaidi ya watu 600 walishiriki. Mabinti wa kidato cha kwanza walitia fora na graride lao la kumpokea mgeni rasmi wakiongozwa na dada yao wa kidato cha tatu Kauthar Hamadi. Katika video hii wanaonekana wahitimu wakiingia uwanjani kuchukua nafasi zao tayari kwa kusherehekea siku yao ya kihistoria.
Inspire School App
Переглядів 2157 місяців тому
Inspire School App
Muongozo wa Kushiriki Usomaji wa Qur'an Mtandaoni
Переглядів 185Рік тому
Muongozo wa Kushiriki Usomaji wa Qur'an Mtandaoni
Ziara ya Kimafunzo - Mapango ya Amboni. Agosti 8, 2023
Переглядів 238Рік тому
Pongwe Islamic Girls Secondary School ilifanya ziara iliyoandaliwa kwa ushirikiano wa pamoja na idara ya somo la Jiografia na Historia. Benefits of Visiting Amboni Caves 1. Unique Geological Formations 2. Spiritual and Religious Significance 3. Underground Adventure 4. Rich History and Culture 5. Scenic surroundings 6. Biodiversity
Hotuba ya Mgeni Rasmi
Переглядів 301Рік тому
Hotuba ya Mgeni Rasmi
Shairi Kwa Lugha ya Kiarabu
Переглядів 4,4 тис.2 роки тому
Shairi Kwa Lugha ya Kiarabu
Graduation Invitation
Переглядів 4623 роки тому
Graduation Invitation
Why break your Fast with Dates?
Переглядів 1313 роки тому
Why break your Fast with Dates?
Uses of Lemons
Переглядів 1933 роки тому
Uses of Lemons
Nasheed - Mfumo Mzuri Mmetuletea
Переглядів 3983 роки тому
Nasheed - Mfumo Mzuri Mmetuletea
Naanza Kumuhimidi
Переглядів 2,7 тис.3 роки тому
Naanza Kumuhimidi
Alcohol in the Quran
Переглядів 7593 роки тому
Alcohol in the Quran
Taarifa ya Habari
Переглядів 1,1 тис.3 роки тому
Taarifa ya Habari
Poem - Education Foundation of Life
Переглядів 664 роки тому
Poem - Education Foundation of Life
Fahamu Uislamu
Переглядів 2444 роки тому
Fahamu Uislamu
WAHITIMU WAKABIDHI ZAWADI - MCHANGO WA UJENZI WA MAABARA
Переглядів 5584 роки тому
WAHITIMU WAKABIDHI ZAWADI - MCHANGO WA UJENZI WA MAABARA
Poem - Education Foundation of Life
Переглядів 9444 роки тому
Poem - Education Foundation of Life
Mazungumzo Baina ya Aliyeelimika na asiyeelimika Kiarabu
Переглядів 6 тис.4 роки тому
Mazungumzo Baina ya Aliyeelimika na asiyeelimika Kiarabu
Jinsi ya Kujibu Google Quiz
Переглядів 1684 роки тому
Jinsi ya Kujibu Google Quiz
Jinsi ya Kujaza Dodoso (Google Form)
Переглядів 1054 роки тому
Jinsi ya Kujaza Dodoso (Google Form)
Pongwe Islamic Girls - 2nd Graduation Awards 2019
Переглядів 1 тис.5 років тому
Pongwe Islamic Girls - 2nd Graduation Awards 2019
Ziara ya Kitaaluma Zanzibar - Pongwe Islamic Girls
Переглядів 3905 років тому
Ziara ya Kitaaluma Zanzibar - Pongwe Islamic Girls

КОМЕНТАРІ