KKKT KANGE ONLINE TV
KKKT KANGE ONLINE TV
  • 8
  • 3 354
DAY 02 | MISINGI YA KUTAFUTA NA KUPATA | SEMINA YA NENO LA MUNGU
Karibu kuungana nasi katika ya Semina ya Neno la Mungu, Semina ikiongozwa na Mtumishi wa Mungu Mwl Mussa Mussa karibu kwa pamoja tujifunze na kuomba, semina inafanyika katika
Переглядів: 136

Відео

DAY 01 | MISINGI YA KUTAFUTA NA KUPATA | SEMINA YA NENO LA MUNGU
Переглядів 22814 днів тому
Karibu kuungana nasi katika ya Semina ya Neno la Mungu, Semina ikiongozwa na Mtumishi wa Mungu Mwl Mussa Mussa karibu kwa pamoja tujifunze na kuomba, semina inafanyika katika usharika wa Kange hapa Tanga mjini

КОМЕНТАРІ

  • @michaelMagoa-z1k
    @michaelMagoa-z1k 8 днів тому

    Mungu alibariki sana mtumishi kwa kutuanzishia account ya UA-cam ya usharika wetu wa Kange, naamini mahubiri na semina tutayapata(tutazipata) kupitia hapa kwenye account yetu ya usharika. Amen

  • @fadhilisecha4268
    @fadhilisecha4268 10 днів тому

    Hongereni sana Kange kwa hatua hii, huduma imepanuka

  • @roset7076
    @roset7076 10 днів тому

    Ibada ilikuwa njema, ahsante Yesu Kwa kutuhudunia

  • @emmanuelmogela5871
    @emmanuelmogela5871 14 днів тому

    Amen

  • @fadhilisecha4268
    @fadhilisecha4268 15 днів тому

    Hongera sana Mwl.Mussa Mussa kwa kutufikia