- 22
- 1 404
The Kazinjas
Приєднався 2 сер 2016
Sisi ni Violeth na Daudi Kazinja tunapata umaana na thamani ya maisha yetu Kwa kuwashirikisha wengine mambo tuliyo na tunayojifunza kuhusu Maono, maamuzi, kumcha Mungu, Kazi, Upendo, familia, ugomvi, marafiki nk. Join us
Mambo ya ajabu watu hufanya mwisho wa mwaka
Mwisho wa mwaka is too valuable to be wasted on meaningless things
Переглядів: 5
Відео
Jinsi ya kuweka malengo 2025
Переглядів 854 години тому
Msaada Kwa makosa ambayo wengi hufanya washindwe kufikia malengo Yao, wengine huishia njiani na wengine wameamua kabisa hawataweka malengo tena kwakuwa walifanya hivyo awali na wakawa disappointed
Usichokijua kuhusu sisi | Changamoto za kazi na Familia
Переглядів 8021 годину тому
Usichokijua kuhusu sisi | Changamoto za kazi na Familia
Familia yenu mmekuwa na tamaduni gani wakati wa Christmas
Переглядів 77День тому
Familia yenu mmekuwa na tamaduni gani wakati wa Christmas
Unafanyaje pale ambapo mwaka ndo umeisha na malengo hayajatimia?
Переглядів 10914 днів тому
Unafanyaje pale ambapo mwaka ndo umeisha na malengo hayajatimia?
Holiday Manenos na The Kazinjas
Переглядів 12414 днів тому
Violeth na Mimi tumefikiria kuanza kushare some things kutoka katika maisha yetu Kwa ajili ya kuwa baraka na kuwatia moyo wengine Karibu kwenye safari hii
The story behind 3 minutes December prayers
Переглядів 1921 день тому
The story behind 3 minutes December prayers
Resilience: Leadership lesson for teenagers from Butale the leadership Bee from Tabora
Переглядів 121 день тому
Resilience: Leadership lesson for teenagers from Butale the leadership Bee from Tabora
How teenagers can learn leadership from Butale, A leadership Bee from Tabora
Переглядів 428 днів тому
Wow!’ Butale thought. ‘Even small jobs make a big difference!’ He decided to try teamwork himself. When a worker bee needed help carrying nectar, Butale flew right over to help. Together, they brought the nectar back to the hive. ‘Good job, Butale!’ said the queen. ‘See how teamwork makes everything easier?’ Butale smiled. He was learning how to be a great team player."
Leadership lessons for Teenagers from Butale(The leadership Bee from Tabora)
Переглядів 20Місяць тому
Meet Butale, the extraordinary bee buzzing with wisdom and leadership lessons! Born in the golden sunflower fields of Tabora, Butale grew up in a hive known for its discipline, teamwork, and unshakable unity. From a young age, Butale was fascinated by the intricate dance of the hive-how each bee had a role, and how collective effort turned tiny droplets of nectar into sweet success. But Butale ...
What can you do when you don't have enough resources? here is the leadership wisdom
Переглядів 3Рік тому
What can you do when you don't have enough resources? here is the leadership wisdom
Kuna hatari ya kufa kwa biashara au taasisi kama kiongozi hata fanya mambo haya manne..
Переглядів 6Рік тому
Kuna hatari ya kufa kwa biashara au taasisi kama kiongozi hata fanya mambo haya manne..
Hizi ni sababu kwanini Tabora kuna watoto vibaka
Переглядів 12Рік тому
Hizi ni sababu kwanini Tabora kuna watoto vibaka
Global peace chain Daudi Kazinja Tanzania
Переглядів 305 років тому
Global peace chain Daudi Kazinja Tanzania
LAUNCHING- EXCELLENCE IN HOME ECONOMY PROJECT
Переглядів 76 років тому
LAUNCHING- EXCELLENCE IN HOME ECONOMY PROJECT
THE PARADOX OF TIME (BY whole life coach Daudi Kazinja)
Переглядів 137 років тому
THE PARADOX OF TIME (BY whole life coach Daudi Kazinja)
THIS IS MY LIFE PURPOSE (By whole life coach Daudi Kazinja)
Переглядів 207 років тому
THIS IS MY LIFE PURPOSE (By whole life coach Daudi Kazinja)
This is amazing Mr&Mrs Kazinja. Mungu awabariki sana watu wangu😍
Asante sana Windraaa
Mada nzuri Sana mbarikiwe
Ameeee ,,,, Asante Mary
Malengoooo😂😂😂
Hahahaha,,,, bwana Kocha atakucheck
😃ofa isinipite kwakweli hii elimu ni nzuri sana Mungu awabariki 🙏
Asante sana Sara, Noted Kocha atakucheck Kwa maelekezo zaidi
thank you 🙏
Very interesting message, God bless you guys 🎉😊
Thank you so much 🙏 ~Daudi
Very well said, mbarikiwe sana
Ameeen , Asante sana Doreen ~Vio
Unapika chapati ngumu kama zile za Yesu alizowalisha wanafunzi wake 😂😂😂😂😂
Hahahaha ukikata zinalia KOH, 😂😂😂😂
Hahahaaa..Nawaelewa
Asante sana Dada 😊
Wonderful
Thanks brother
I like it
Thank you 🎉
Nimefurahi kumuona Dada yangu vai..
Na Mimi nimefurahi sana kusikia kutoka kwako ~Vai
Mkuu kazinja mimi ni kale kahalufu kapaja na kakuku tu.
Hahaha.... Ukitumwa dukani hauchelewi kurudi mapema umesharudi,
Kazinja,mnunulie nguo ya Christmass mama Bella
Amesema anataka kama lile lililopo kwenye hii video, hapa ndo nafanya utaratibu wa kuagiza china 😂
Mmekuwa wachekeshaji 😂😂😂😂😂😂😂
Hahahahahhahaaa tumekumbuka mbali
😂😂😂😂😂😂😂😂
Mariaaaaa
Umekaona ka mtu kalivyopendeza na gauni yake 😂😂😂
Basi nimepata moja na kile nilichopata mwaka huu..ngoja niongeeze nguvu zote❤❤😂
Mwaka 2025 Kwa nguvu zote kabisaaa
Mwaka huu ulikua mwaka wa kufosi😂😂🔥 anyway, tutaforce tena mwakani
Na ilibaki kidogo kwenye background music niweke, U mwaka eeeh ni mwaka wa kufosi 🎶🎶.
Kweli bwana tutafosi tena mwakani
@@daudinavioleth 😂😂😂😂weeh! Wananzengo waanze kusema watumish wamerud nyuma.
😂😂😂😂@@Princess_WJ
👍
❤
A review mipango yake, aangalie yalikuwa n malengo ya muda gani je katika hayo ameanza wapi na amefikia wapi.
Aaaah this is super helpful Rose, 1. kureview na 2. Kuangalia muda wa malengo yake na amefikia wapi Thanks for sharing
Jumatatu muiache tuu Heheheee
Hahaha Jumatatu ya maelekezo mengi
Mai pipoooo #Dawudi and Vio
Yeeeeeeey our person😊
Jumatatu ni siku ya hekaheka na mtafutano tunaiita fungua wiki 😂😂😂😂😂
Jumatatu ndo siku ya kupendezaaa
🙏 nice manenos nimependa kila mmoja anavomuangalia mwenzie akiwa anaongea😁😍
Asanteeeee Sara
#Rest😂 neno gumu sana hili
Ndugu yangu ni hatari sana
@ Resting is spiritual. Even God rested. I remember some time back I was in the middle of a storm and God was telling me to rest. Sent like 5 people including my pastor kuniambia #Rest. Mungu anaona simuelewi na mimi naona haelewi, if ungekua mimi ungerest?😂😂💔
That's very true, ni vile tu huwa tunawaza for things to happen we need to work , work, work, and Rest doesn't contribute anything to the results we want , wakati results ili zitokee Kwa ubora zinahitaji tu rest .
Powerful
FormulaForWorldPeace.com ✌️ cheers!