kwaya ya Mt.verena Mlimba
kwaya ya Mt.verena Mlimba
  • 7
  • 9 246
@AMEFUFUKA (official video) Kwaya ya Mt.Verena, Parokia ya Mt Verena Mlimba-Jimbo la Ifakara.🔥
AMEFUFUKA (official video) Kwaya ya Mt.Verena, Parokia ya Mt Verena Mlimba-Jimbo la Ifakara.🔥🔥🔥
KARIBU UTAZAME NA USIKILIZE WIMBO WA KUFUFUKA ULIOIMBWA NA KWAYA YA MT.VERENA-MLIMBA-JIMBO LA IFAKARA.
📌WIMBO: Amefufuka
📌MTUNZI: Iman A. Haonga
📌WAIMBAJI: Kwaya ya Mt.Verena,Mlimba-Jimbo la Ifakara.
📌ORGANIST: Iman A.Haonga
📌DIRECTOR:John Mwanakatwe.
📌AUDIO: Cos sound
📌VIDEO:Ndege production
-Tafadhali usisahau Ku-like,Share, Ku-subscribe na Ku-comment ili tuihubiri injili kwa pamoja na Mungu atakubariki daima.
Переглядів: 922

Відео

ENYI WAPENZI WA MUNGU -MT Verena MLIMBA. wimbo wa Ufufuko ulioimbwa na kwaya ya Mt Verena 2022ENYI WAPENZI WA MUNGU -MT Verena MLIMBA. wimbo wa Ufufuko ulioimbwa na kwaya ya Mt Verena 2022
ENYI WAPENZI WA MUNGU -MT Verena MLIMBA. wimbo wa Ufufuko ulioimbwa na kwaya ya Mt Verena 2022
Переглядів 5 тис.2 роки тому
Wimbo huu ni umeimbwa na kwaya ya Mt Verena Parokia ya Mt Verena -Mlimba, ukiwa maalumu kwaajili ya Sherehe za ufufuko wa Bwana wetu Yesu Kristo(PASAKA), Karibu uungane nasi katika kuinjilisha kwa njia ya uimbaji. Kutazama nyimbo zetu nyingine kutoka kwenye album yetu ya MWIMBIENI MUNGU usisite kutembelea Facebook, Instagram na UA-cam kwa jina la Mt Verena mlimba. Mtunzi: I.P. NGANGA Organists:...
MTAKATIFU VERENA WAFANYA MATENDO YA HURUMA DOMINIKA YA 23(MSAMALIA MWEMA)MTAKATIFU VERENA WAFANYA MATENDO YA HURUMA DOMINIKA YA 23(MSAMALIA MWEMA)
MTAKATIFU VERENA WAFANYA MATENDO YA HURUMA DOMINIKA YA 23(MSAMALIA MWEMA)
Переглядів 2993 роки тому
wannakwaya wa Mt Verena kitoka Jimbo katoliki la Ifakara, Parokia ya Mt Verena wakifanya matendo ya huruma kwa kuwatembelea wagonjwa dominika ya 23 ambayo ni domonika ya msamalia mwema. Huku wakienzi somo wa kwaya Mt Verena
HAWEZI MTU KUSEMA YESU NI BWANA - Mt VERENA MLIMBAHAWEZI MTU KUSEMA YESU NI BWANA - Mt VERENA MLIMBA
HAWEZI MTU KUSEMA YESU NI BWANA - Mt VERENA MLIMBA
Переглядів 1,1 тис.3 роки тому
Jumapili ya Pentekoste, Kwaya ya Mt verena wakifanya uinjilishaji Parokiani Mlimba kwenye misa ya Kwanza, wasikilize upate kubarikiwa @Mt verena Mlimba cont: 0753346666/0625685337 Email.verenachoir6@gmail.com
UZINDUZI WA VIDEO - MT VERENA MLIMBAUZINDUZI WA VIDEO - MT VERENA MLIMBA
UZINDUZI WA VIDEO - MT VERENA MLIMBA
Переглядів 5084 роки тому
wanakwaya wa Mt Verena -Mlimba tutakuwa na uzinduzi wa Mkanda wetu wa Kwanza wa Video uitwao HURUMA YA MUNGU, siku ya Jumapili Tar 06/09/2020. Karibuni sana kutakuwa na kwaya mbali mbali za ndani na nje ya Jimbo la Ifakara Kusindikiza uzinduzi huo. Usipange kukosa hii Njoo ujipatie nakala yako Mawasiliano: 0784251660/0625685337 mwenyekiti 0682569427 - katibu
AHSANTE BABA KWA UKARIMU WA KWELIAHSANTE BABA KWA UKARIMU WA KWELI
AHSANTE BABA KWA UKARIMU WA KWELI
Переглядів 6984 роки тому
Shukrani zetu ni kwa Mungu Baba Mwenyezi. Kwaya ya mtakatifu Verena Mlimba tukiwa luterani yote Ni katika kumtukuza Mungu kwa njia ya uimbaji. Karibu ungana nasi.
EE MUNGU USHUKE- MT VERENA MLIMBAEE MUNGU USHUKE- MT VERENA MLIMBA
EE MUNGU USHUKE- MT VERENA MLIMBA
Переглядів 4824 роки тому
Huu Ni wimbo wa Sala maalumu uliotungwa na Mwl Haonga Iman na kuimbwa na kwaya ya Mt. VERENA- MLIMBA. Lengo la wimbo huu ni Kuelimisha kwa njia ya kuimba juu ya Janga la Corona lililo ikumba nchi yetu ya Tanzania na Dunia kwa Ujumla. Karibu usikilize ili kwahuo usali na Uelimike kupitia wimbo huu. Pia Tunataraji kufanya uzinduzi wa album yetu ya Mkanda wa Video inayoitwa HURUMA YA MUNGU utakao ...

КОМЕНТАРІ