ANSAF - Agricultural Non State Actors Forum
ANSAF - Agricultural Non State Actors Forum
  • 64
  • 338 854

Відео

Mkurugenzi Mtendaji wa ANSAF, Honest Mseri, akieleza lengo la ushiriki waokatika Majadiliano
Переглядів 68Рік тому
Mkurugenzi Mtendaji wa ANSAF, Bwana Honest Mseri, akieleza lengo la ushiriki wao, Asasi za kirai na vikundi wa wakulima katika mazungumzo yaliofanyika tarehe 3 mei 2023 na Kamati za kudumu za Bunge kuhusu changamoto za pembejeo, upatikanaji wa huduma za ugani, masoko na kodi kwa wakulima, kati ya Kamati za Bunge za kudumu na kuhusu changamoto za wakulima kuhusu pembejeo, huduma za ugani, masoko...
Mikopo ya asilimia 10% ya halmshauri inayotolewa kwa Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu
Переглядів 1292 роки тому
Mikopo ya asilimia 10% ya halmshauri inayotolewa kwa Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu
ANSAF WAJADILI RIPOTI YA UTEKELEZAJI WA CAADP NA KAMATI ZA BUNGE @azamtvtz
Переглядів 512 роки тому
ANSAF kwakushirikiana na AGRA imekutana na wenye viti na makamu wenyeviti wa kamati sita zinazohusiana na kilimo kwaajili ya kujadili matokeo ya ripoti ya tatu ya utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo Africa (CAADP 3rd BRR) Tanzania haiko on track katika utekelezaji wa malengo ya mpango huo kufikia mwaka 2025. Tanzania haifanyi vizuri katika maeneo manne ikiwemo uwekezaji katika kilimo n...
MADA: BAJETI KUU NA MAGEUZI YA KILIMO
Переглядів 512 роки тому
Honest Mseri, Mkuu wa Operesheni ANSAF akichambua/changia bajeti ya Serikali ya KilimoYa mwaka 2022/23 kwenye Kipindi cha Aridhio kupitia Televisheni ya Taifa -TBC. Licha ya Pongezi , ametahadharisha serikali kuhakikisha inatoa kiwango kilichopangwa kwa wakati kutekeleza miradi iliyokusudiwa ili kuleta mapinduzi kwenye sekra ya kilimo Ya mwaka 2022/23 kwenye Kipindi cha Aridhio kupitia Televish...
MAJADILIANO KATI YA SEREKALI NA WADAU MBALIMBALI
Переглядів 403 роки тому
Majadiliano kati ya serikali na wadau mbalimbali ikiwemo wakulima, wafugaji na wavuvi kufanikisha utekelezaji wa lengo la wanachama wa Umoja wa Mataifa la kutokomeza njaa ifikapo mwaka 2030. @ITVTanzaniaTz
AGROFORESTRY FOR LIVELIHOOD EMPOWERMENT (ALIVE PROGRAMME) DOCUMENTARY.
Переглядів 1904 роки тому
AGROFORESTRY FOR LIVELIHOOD EMPOWERMENT (ALIVE PROGRAMME) DOCUMENTARY.
MAFANIKIO YA UFUATILIAJI UWAJIBIKAJI JAMII KATIKA MIRADI YA KILIMO.
Переглядів 1384 роки тому
MAFANIKIO YA UFUATILIAJI UWAJIBIKAJI JAMII KATIKA MIRADI YA KILIMO.
KILIMO MSETO (AGROFORESTRY) KILIVYOCHANGIA KUONGEZA KIPATO KWA WAKULIMA MKOANI MARA.
Переглядів 9444 роки тому
KILIMO MSETO (AGROFORESTRY) KILIVYOCHANGIA KUONGEZA KIPATO KWA WAKULIMA MKOANI MARA.
SERIKALI IWEKE ZUIO LA KUSAFIRISHA KOROSHO GHAFI NJE YA NCHI - AUDAX RUKONGE
Переглядів 1154 роки тому
SERIKALI IWEKE ZUIO LA KUSAFIRISHA KOROSHO GHAFI NJE YA NCHI - AUDAX RUKONGE
WHY DATA AND RESEARCH IS IMPORTANT IN ADVOCACY?
Переглядів 1034 роки тому
WHY DATA AND RESEARCH IS IMPORTANT IN ADVOCACY?
HOW CAN ADVOCACY BE CARRIED OUT SYSTEMATICALLY?
Переглядів 634 роки тому
HOW CAN ADVOCACY BE CARRIED OUT SYSTEMATICALLY?
HOW IS ADVOCACY DEFINED IN CONTEXT OF JUWAVITA?
Переглядів 714 роки тому
HOW IS ADVOCACY DEFINED IN CONTEXT OF JUWAVITA?
WHAT ARE THE IMPORTANT STEPS IN ADVOCACY
Переглядів 694 роки тому
WHAT ARE THE IMPORTANT STEPS IN ADVOCACY
MAFANIKIO KATIKA UFUGAJI KUKU | Azam Tv.
Переглядів 5314 роки тому
MAFANIKIO KATIKA UFUGAJI KUKU | Azam Tv.
Taarifa ya Habari AZAM Tv Wiki ya Maziwa
Переглядів 94 роки тому
Taarifa ya Habari AZAM Tv Wiki ya Maziwa
MORNING TRUMPET Mchango wa sekta binafsi nchini katika kuongeza uzalishaji wa maziwa.#AudaxRukonge
Переглядів 184 роки тому
MORNING TRUMPET Mchango wa sekta binafsi nchini katika kuongeza uzalishaji wa maziwa.#AudaxRukonge
SERIKALI YAWEKA BAADHI YA TOZO ZINAZOLENGA KULINDA SOKO LA UZALISHAJI WA NYAMA NCHINI.
Переглядів 304 роки тому
SERIKALI YAWEKA BAADHI YA TOZO ZINAZOLENGA KULINDA SOKO LA UZALISHAJI WA NYAMA NCHINI.
TANZANIA KUONGEZA UZALISHAJI MAZIWA | Azam Tv
Переглядів 354 роки тому
TANZANIA KUONGEZA UZALISHAJI MAZIWA | Azam Tv
CHANGAMOTO YA MASOKO KATIKA SEKTA YA UZALISHAJI NGOZI | Azam Tv.
Переглядів 274 роки тому
CHANGAMOTO YA MASOKO KATIKA SEKTA YA UZALISHAJI NGOZI | Azam Tv.
MIJADALA YA WADAU WA SEKTA YA KILIMO KATIKA KONGAMANO LA 6 LA SERA ZA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI.
Переглядів 1024 роки тому
MIJADALA YA WADAU WA SEKTA YA KILIMO KATIKA KONGAMANO LA 6 LA SERA ZA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI.
Maoni ya wadau wa sekta ya kilimo (AAPC2020)
Переглядів 1014 роки тому
Maoni ya wadau wa sekta ya kilimo (AAPC2020)
HOTUBA YA MWENYEKITI; KONGAMANO LA SITA LA WADAU WA SEKTA YA KILIMO (AAPC2020)
Переглядів 394 роки тому
HOTUBA YA MWENYEKITI; KONGAMANO LA SITA LA WADAU WA SEKTA YA KILIMO (AAPC2020)
UFUGAJI WA KUKU WA KISASA WENYE TIJA....
Переглядів 1,3 тис.4 роки тому
UFUGAJI WA KUKU WA KISASA WENYE TIJA....
UFUGAJI WA KISASA KWA MAENDELEO YA WAFUGAJI
Переглядів 1194 роки тому
UFUGAJI WA KISASA KWA MAENDELEO YA WAFUGAJI
Dairy Value Chain
Переглядів 3384 роки тому
Dairy Value Chain
Leather Processing (Uchakataji wa Ngozi)
Переглядів 3324 роки тому
Leather Processing (Uchakataji wa Ngozi)
Mmiliki "Shambani Milk" aelezea fursa na Changamoto zilizopo katika sekta ya maziwa.
Переглядів 7354 роки тому
Mmiliki "Shambani Milk" aelezea fursa na Changamoto zilizopo katika sekta ya maziwa.
SEKTA YA MIFUGO: Wajasiriamali wa soko la Mnadani-Msalato walia na kuporomoka kwa soko la ngozi.
Переглядів 2814 роки тому
SEKTA YA MIFUGO: Wajasiriamali wa soko la Mnadani-Msalato walia na kuporomoka kwa soko la ngozi.
Fursa zilizopo kwenye sekta ya maziwa nchini; makala kutoka ANSAF
Переглядів 3884 роки тому
Fursa zilizopo kwenye sekta ya maziwa nchini; makala kutoka ANSAF