- 50
- 33 074
Tinuka Mlowe
Tanzania
Приєднався 4 лис 2019
WIMBO ------JUBILEI NI SHANGWE.
KARIBUNI KUSIKILIZA WIMBO HUU WA JUBILEI YA PADRE ESDRASI MLOWE
Переглядів: 179
Відео
WIMBO===TUMPONGEZE PADRE NATHANAEL MGAYA. BY TINUKA MLOWE.
Переглядів 6614 місяці тому
KWAYA YA UKWAKATA PAROKIA YA B.M. MALKIA IHALULA JIMBO KATOLIKI LA NJOMBE. Wimbo huu ni wimbo Maalumu kwa ajili ya kumpongeza Padre wetu Nathanael Aloyce Mgaya. Basi karibu kuutazama wimbo huu tushirikiane kumpongeza Padre Nathanael.
JINA LA WIMBO---NI MDA MREFU UMEPITA-----------BY TINUKA MLOWE.
Переглядів 7247 місяців тому
Karibu tuungane kuwaombea vijana wetu wa UVIKANJO waliotutangulia mbele za Mungu, ili wapumzike kwa amani. Amina Wimbo huu umetungwa naTinuka mlowe na kuimbwa na Tinuka Mlowe pamoja na Juliana .J. Pila. Ninaomba uutazame na kuusikiliza Mwisho tuungane pamoja kuwaombea marehemu hawa na wengine waliotutangulia mbele za Mwenyezi Mungu. Wasambazie na marafiki zako unaowajua. Asante
WIMBO----NASEMA BWANA ASANTE ==MWIMBAJI --BY TINUKA MLOWE
Переглядів 6988 місяців тому
Kribu kuutazama wimbo huu ulioimbwa na Tinuka Mlowe Wimbo huu ni wimbo wa kumshukuru Mungu kwa mema yote anayonitendea katika maisha yangu. asante.
WIMBO-- AMANI TANZANIA-- BY WATOTO YATIMA WA DOROTEA UPENDO IBUMILA
Переглядів 3839 місяців тому
Wimbo huu umetungwa na marehemu Fr. Alois Msigwa Na umeimbwa na watoto Yatima wa Dorotea upendo Village ibumila, karibu kuutazama
SONG---Hongera Askofu Eusebio Samweli Kyando-- by Tinuka Mlowe
Переглядів 1,7 тис.10 місяців тому
Karibu kuutazama wimbo ulioimbwa na Tinuka Mlowe kwa ajili ya Kumpongeza Baba Askofu Kyando, kwa kuteuliwa kuwa Askofu wa Jimbo la Nj0mbe.
WIMBO--- Mhashamu Baba Askofu Hongera. By Tinuka Mlowe
Переглядів 1,9 тис.10 місяців тому
Wimbo wa kumpongeza Baba Askofu wetu Baba Kyando Karibu Kuutazama. Asante.
JINA LA WIMBO-- MUNGU NINAKUAMINI ==BY Fr. ALOISI JUMA MSIGWA.
Переглядів 299Рік тому
Wimbo huu wa Mungu ni nakuamini umetungwa na Marehemu Fr. Aloisi .J. Msigwa, na umeimbwa na kwaya ya Mt. Mikael Kigango cha Nundu, Parokia ya Nundu Njombe. Karibu kuusikiliza
JINA LA WIMBO-- Nitajisifia, Udhaifu wangu by Tinuka Mtalingweya Mlowe Mjukuu wa Magunila.
Переглядів 478Рік тому
Karibu mpenzi Mtazamaji kuutazama wimbo huu, ulioimbwa na Tinuka Mtalingweya Mlowe wimbo huu wa nitajisifia udhaifu wangu, umeimba na Tinuka Mtalingweya Mlowe. karibu kutazama na kuusikiliza wimbo huu.
WIMBO-- Tuungane Wote----- Mwimbaji Tinuka Mtalingweya Mlowe
Переглядів 425Рік тому
Wimbo huu ni maalumu kwa Yubilei ya Padre Esdrasi Mlowe ambaye ametimiza miaka 25 ya Upadre, Karibu Kwa kuutazama.
UJUMBE ULIOTOLEWA NA FR. ALOISI JUMA MSIGWA KWENYE UTANGULIZI WA ALBAMU YA MT. MONIKA ITIPINGI,
Переглядів 292Рік тому
UJUMBE NI UJUMBE ULIOTOLEWA NA FR. ALOISI JUMA MSIGWA KWENYE UTANGULIZI WA ALBAMU YA MT. MONIKA KIGANGO CHA ITIPINGI, PAROKIA MTWANGO JIMBO LA NJOMBE, AKIWA HAJAFARIKI DUNIA, RAHA YA MILELE UMPE EE BWANA, NA MWANGA WA MILELE UMWANGAZI, APUMZIKE KWA AMANI.
WIMBO== Tawala Bwana By Tinuka Mlowe
Переглядів 487Рік тому
Wimbo huu wa Tawala Bwana umeimbwa na Kwaya ya Mt. Petro Kigango cha Magoda Parokia ya Uwemba Jimbo Katoliki la Njombe
WIMBO--Mmefufuliwa Pamoja na Kristo By Tinuka Mlowe
Переглядів 220Рік тому
Wimbo huu umeimbwa na Tinuka Mlowe Akishirikiana na kwaya Mt. Mikael Kigango Cha Nundu.
TINUKA MLOWE---- Wimbo==Njoni wote tujumuike pamoja
Переглядів 546Рік тому
Wimbo huu ulikuwa Maalumu kwa ajili ya kumpongeza Padre Gideoni Aidani Mgaya Mwaka 2017 hapa Kigangoni Mtila. Karibu uendelee kuburudika na wimbo huu.
Tinuka Mlowe FAMILY--- JINA LA WIMBO--Ni Mwaka Mmoja Umepita tangu itokee ajali. 0765-476-724
Переглядів 853Рік тому
Tinuka Mlowe FAMILY JINA LA WIMBO Ni Mwaka Mmoja Umepita tangu itokee ajali. 0765-476-724
Tinuka Mlowe Mjukuu wa M agunila:- Wimbo--: Nitakwenda Kulitangaza Neno Lako wewe Bwana.
Переглядів 712Рік тому
Tinuka Mlowe Mjukuu wa M agunila:- Wimbo : Nitakwenda Kulitangaza Neno Lako wewe Bwana.
Tinuka Mlowe Wimbo == Twatigilige situlapata Upadili pena Mtila
Переглядів 1,6 тис.Рік тому
Tinuka Mlowe Wimbo Twatigilige situlapata Upadili pena Mtila
TINUKA MLOWE ---: WIMBO===: KWA AJILI YETU MTOTO AMEZALIWA / Isaya 9:6
Переглядів 306Рік тому
TINUKA MLOWE : WIMBO : KWA AJILI YETU MTOTO AMEZALIWA / Isaya 9:6
Wimbo:- Mwangaza Umetung'alia Leo hii ]] Mwimbaji Tinuka Mlowe, Mjukuu wa Magunila
Переглядів 356Рік тому
Wimbo:- Mwangaza Umetung'alia Leo hii ]] Mwimbaji Tinuka Mlowe, Mjukuu wa Magunila
WIMBO= WAAMINI WOTE KWA PAMOJA TUUNGANE KUOMBEA MIITO..... MWIMBAJI==TINUKA MLOWE
Переглядів 2712 роки тому
WIMBO= WAAMINI WOTE KWA PAMOJA TUUNGANE KUOMBEA MIITO..... MWIMBAJI TINUKA MLOWE
KWAYA YA MT. KAROLI LWANGA WERENI KIBOSHO UMBWE MOSHI. WIMBPO-- SAFARI YANGU: MTUNZ- -TUNUKA MLOWE
Переглядів 6452 роки тому
KWAYA YA MT. KAROLI LWANGA WERENI KIBOSHO UMBWE MOSHI. WIMBPO SAFARI YANGU: MTUNZ- -TUNUKA MLOWE
Kwaya ya Watoto yatima Dorotea Upendo Village, WIMBO --Mwanga wa Milele, Uwaangazie hawa:
Переглядів 6262 роки тому
Kwaya ya Watoto yatima Dorotea Upendo Village, WIMBO Mwanga wa Milele, Uwaangazie hawa:
Tinuka M lowe & Juliana Pila. Wimbo--: Nimekukimbilia Wewe Bwana
Переглядів 6702 роки тому
Tinuka M lowe & Juliana Pila. Wimbo : Nimekukimbilia Wewe Bwana
Tinuka Mlowe. Kwaya Mt. Veronika Kigango cha Mjimwema 'A' Njombe Wimbo-- Kanisa la Kisinodi
Переглядів 9702 роки тому
Tinuka Mlowe. Kwaya Mt. Veronika Kigango cha Mjimwema 'A' Njombe Wimbo Kanisa la Kisinodi
Tinuka mlowe. Wimbo----- Mateso ya YESU Yalikuwa ni yahuzuni
Переглядів 4142 роки тому
Tinuka mlowe. Wimbo Mateso ya YESU Yalikuwa ni yahuzuni
TINUKA MLOWE-- Wimbo Monika Utuombee// mtunzi Rev, Fr. Aloisi juma Msigwa
Переглядів 3602 роки тому
TINUKA MLOWE Wimbo Monika Utuombee// mtunzi Rev, Fr. Aloisi juma Msigwa
TINUKA MLOWE---Ngikukundye luwa oko(Nakupenda Mungu wangu
Переглядів 2992 роки тому
TINUKA MLOWE Ngikukundye luwa oko(Nakupenda Mungu wangu
Tinuka Mlowe--Kwaya Mt. Karoli Lwanga Kigango cha Mjimwema- njombe Song: Waambieni--by Tinuka Mlowe
Переглядів 8042 роки тому
Tinuka Mlowe Kwaya Mt. Karoli Lwanga Kigango cha Mjimwema- njombe Song: Waambieni by Tinuka Mlowe
Kwaya Mt. Karoli Lwanga Kigango cha Mjimwema"a" Njombe: Wimbo-- Tutoe Sadaka njema by Richard Mushi
Переглядів 3122 роки тому
Kwaya Mt. Karoli Lwanga Kigango cha Mjimwema"a" Njombe: Wimbo Tutoe Sadaka njema by Richard Mushi
Download nyimbo za bernad mkasa
Download nyimbo za bernad mkasa
Endelea kupumzika Baba Msigwa
Safi sana
Hongera tinuka Mtila fainest
Mungu awabariki kwa kazi nzuri ya kumtukuza bwana
Ooh wonderful
Hongera sana kaka Tinuka❤
Hongereni sana wanaihalula
Mambo c ayooo 😂😂😂😂😂 chezea sisi ww
Hongera sana mwalimu Tinuka
Inahuzunisha sana,,,Kaka Tinuka
An Unforgettable adventure 😭😭
Hatuna Neno zaidi ya kushukuru😭😭🙏
Hakika kumbukumbu hii haiwezi kupotea kamwe kwa wana jimbo katoliki la Njombe
Hongera sana Mwl.Tinuka, keep it up umefanya kazi nyingi nzuri
🎉🎉🎉❤❤❤🎉🎉
Hongera sas kaka kaz nzur mno
Asante sana mkuu
Hongera sana kwa kazi nzuri ya kubariki
🎉 pongezi kwako wimbo mfupi ila unamaneno na ujumbe mzuli , Na umeeleka 🎉
Mungu awasimamie🎉 Wimbo mzuli umeimbwa Kwa utulivu na kwaunyenyekevu. Pongezi nyingi kwenu.
Hongera
Hongereni watoto Mungu azidi kuwajalia afya njemaa
Asantee Sana baba yetu kwa utume hakika kazi yako tumeipenda Mungu azidi kukujaria maisha marefu.
Hongera sana
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
Congratulations🎉❤❤
Amina❤ Mungu akupiganie katika utume wako Baba🎉🎉
Congrats bro
Congratulations 👏👏👏
"Katika Unyenyekevu na Upole"
Asante sana
🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
Hongera kaka 🎉
Hongeleni sana wapendwa❤🎉
Amina
Kamwene mnyalukolo
halo hongera sana
Hongera sana kwa uinjilishaji
Hongera sana kwa kazi nzuri
Unafaa🎉hongera👍
Hongera Kaka kazi nzr
Hongera sana Kwa kazi nzuri
Hongera sana mwl. Tinuka kwa kufundisha vizuri kwaya hii
Hongera sana mkuu kazi nzuri sana
Hongera sana Kwa wimbo mzuri
Good Mr.mlowe
Barikiwa sana Tinuka mlowe hakika yesu aliteseka sana, kwa kweli wimbo mzuri
Nawaona wanakwaya wa ikondo mko zoezini hongereni sana
Mko vzuri sana hongereni sana