- 507
- 561 464
TRA ONLINE TV
Приєднався 25 сер 2017
TAREHE 23/01/2025 NI SIKU YA SHUKRANI NA TUZO KWA MLIPAKODI
TAREHE 23/01/2025 NI SIKU YA SHUKRANI NA TUZO KWA MLIPAKODI
Переглядів: 143
Відео
KIKAO KAZI CHA TATHMINI YA UTENDAJI WA NUSU MWAKA TAREHE 06/01/2025
Переглядів 15612 годин тому
KIKAO KAZI CHA TATHMINI YA UTENDAJI WA NUSU MWAKA TAREHE 06/01/2025
WAZIRI WA FEDHA DK. MWIGULU NCHEMBA AKIFUNGUA KIKAO KAZI CHA TRA TAREHE 06.01.2025 AICC ARUSHA
Переглядів 23612 годин тому
WAZIRI WA FEDHA DK. MWIGULU NCHEMBA AKIFUNGUA KIKAO KAZI CHA TRA TAREHE 06.01.2025 AICC ARUSHA
TRA YARUDISHA KWA JAMII DODOMA TAREHE 27/12/2024
Переглядів 13314 днів тому
TRA YARUDISHA KWA JAMII DODOMA TAREHE 27/12/2024
ZIARA YA KAMISHNA MKUU WA TRA KUWASIKILIZA NA KUWASHUKURU WALIPAKODI MKOANI DODOMA TAREHE 27.12.2024
Переглядів 13514 днів тому
ZIARA YA KAMISHNA MKUU WA TRA KUWASIKILIZA NA KUWASHUKURU WALIPAKODI MKOANI DODOMA TAREHE 27.12.2024
TRA NA BASATA WAINGIA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO
Переглядів 9814 днів тому
TRA NA BASATA WAINGIA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO
BASATA NA TRA WAINGIA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO
Переглядів 4314 днів тому
BASATA NA TRA WAINGIA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO
TRA KUONGEZA IDADI YA WAENDESHA UCHUMI WALIOIDHINISHWA (AEO)
Переглядів 19414 днів тому
TRA KUONGEZA IDADI YA WAENDESHA UCHUMI WALIOIDHINISHWA (AEO)
WAENDESHA UCHUMI WALIOIDHINISHWA (AEO)
Переглядів 3914 днів тому
WAENDESHA UCHUMI WALIOIDHINISHWA (AEO)
KAMISHNA MKUU WA TRA ATEMBELEA KIWANDA CHA MATI SUPER BRAND LTD MKOANI MANYARA
Переглядів 18321 день тому
KAMISHNA MKUU WA TRA ATEMBELEA KIWANDA CHA MATI SUPER BRAND LTD MKOANI MANYARA
ZIARA YA KAMISHNA MKUU WA TRA MKOANI MANYARA KUWASHUKURU NA KUWASIKILIZA WALIPAKODI
Переглядів 7221 день тому
ZIARA YA KAMISHNA MKUU WA TRA MKOANI MANYARA KUWASHUKURU NA KUWASIKILIZA WALIPAKODI
ZIARA YA KAMISHNA MKUU WA TRA KUWASHUKURU NA KUWASIKILIZA WALIPAKODI.
Переглядів 16221 день тому
ZIARA YA KAMISHNA MKUU WA TRA KUWASHUKURU NA KUWASIKILIZA WALIPAKODI.
ZIARA YA KAMISHNA MKUU - TRA KUWASHUKURU NA KUWASIKILIZA WALIPAKODI
Переглядів 7821 день тому
ZIARA YA KAMISHNA MKUU - TRA KUWASHUKURU NA KUWASIKILIZA WALIPAKODI
NAMNA YA KUFANYA/KUWASILISHA DECLARATION.
Переглядів 8728 днів тому
NAMNA YA KUFANYA/KUWASILISHA DECLARATION.
NAMNA YA KUWASILISHA KIBALI CHA BOOKING.
Переглядів 6928 днів тому
NAMNA YA KUWASILISHA KIBALI CHA BOOKING.
FORODHA: NAMNA YA KUTENGENEZA BONDED TRANSPORTATION (BT).
Переглядів 10428 днів тому
FORODHA: NAMNA YA KUTENGENEZA BONDED TRANSPORTATION (BT).
KAMISHNA MKUU WA TRA ATEMBELEA WORLD VISION TANZANIA
Переглядів 15328 днів тому
KAMISHNA MKUU WA TRA ATEMBELEA WORLD VISION TANZANIA
MWEZI DESEMBA NI MWEZI WA KUWASHUKURU NA KUWASIKILIZA WALIPAKODI
Переглядів 17328 днів тому
MWEZI DESEMBA NI MWEZI WA KUWASHUKURU NA KUWASIKILIZA WALIPAKODI
TRA INA MAMLAKA YA KUFANYA DORIA NA KUKAMATA MAGENDO
Переглядів 45128 днів тому
TRA INA MAMLAKA YA KUFANYA DORIA NA KUKAMATA MAGENDO
BOTI YA DORIA KUPAMBANA NA MAGENDO ZIWA VICTORIA
Переглядів 77Місяць тому
BOTI YA DORIA KUPAMBANA NA MAGENDO ZIWA VICTORIA
TRA YAZINDUA BOTI YA DORIA ZIWA VICTORIA
Переглядів 73Місяць тому
TRA YAZINDUA BOTI YA DORIA ZIWA VICTORIA
TRA YASHIRIKI UPANDAJI MLIMA KILIMANJARO
Переглядів 115Місяць тому
TRA YASHIRIKI UPANDAJI MLIMA KILIMANJARO
TRA YASHIRIKI ZOEZI LA UOKOAJI KARIAKOO
Переглядів 108Місяць тому
TRA YASHIRIKI ZOEZI LA UOKOAJI KARIAKOO
ZIARA YA KAMISHNA MKUU WA TRA KATIKA KITUO CHA UWEKEZAJI TANZANIA (TIC)
Переглядів 2202 місяці тому
ZIARA YA KAMISHNA MKUU WA TRA KATIKA KITUO CHA UWEKEZAJI TANZANIA (TIC)
JE, MLIPA KODI ANAWEZA KUFUNGUA AKAUNTI YAKE HATA KABLA YA HUU MFUMO KUANZA RASMI?
Mtu sahihi Kwa wakati wake,Mungu akupe hekima na afya ya kusimamia chombo hiki kubwa TRA
Mbona hii video hauwezi download?
slides za notes tunapataje
ZA SAIZI SAMAHANI NAOMBA KUJUA PAGE YA PORTAL MBONA HAIPO
Hongereni sana. Mungu awabariki kwa kazi nzuri sanaa.mnastahiri kupongezwa , Hongera sana Kamishna TRA upo vizuri Sanaa Mungu akulinde
Hongereni sana nipeni buku basi kesho niamke na chai nzito
Hongereni Sana. Kazi nzuri sana
Well, more collections more public purposes distribution.
mimi ni mfanyabiashara nataka kudownload certificates zote nafanyaje maana inaniruhusu kuprint moja moja filed return
🙌🙌
Safi sana kwa mafunzo haya. Muendelee hivihivi
Ni vyema kutoa elimu jumuishi kuhusu Sheria na taratibu za ulipaji Kodi Mara Kwa mara Ili kuondoa taharuki zisizo na msingi✍️
Hawanaga maelekezo kwa mbagala rangi tatu ni mtihani sioni kama wapo rafiki na walipa kodi
Tra jau tu hata utende mema ni mtihani ni rushwa rushwa tu
Uongo
Ujumbe umetufikia👍
Pamoja tunajenga Taifa letu
Mh.piga kazi nasi tupo nyuma yako Kwa kujifunza mengi zaidi kuhusu kodi,barikiwa sana.
Excellent, Taxpayer Education
Mkoa wa Manyara hatujaona hizo semina
Watanzania wana hamu ya kulipa kodi.Kinachotukatisha tamaa ni kuwa CAG anapogundua wezi wa pesa mlizotukamua, Serikali inanyamaza. Mnatukamua huku mkinyamazia wezi wa pesa zetu.Ni upuuzi mtupu.
Kuna madudu sana huko TRA zaidi ya hayo monayo yasema sasa hapa mmkaa wenyewe kwa wenyewe tu kna wahanga ma hayo matukio je mme wahoji?
wabunge mbona hawapo maana hao ndio watunga sheria
wafanya biashara TRA kwanini haitoii divident hata kidogo tu
Ni kweli ama siasa! Approach ni zuri!
Mungu tusaidie
kazi ya tra inatakiwa kubadilishwa na iwe pia na jukumu la kuinua wafanya biashara sio kukusanya tu kodi ,
kwanini TRA HAINA DIVIDENT KWA WAFANYA BIASHARA
TRA WAFANYA BIASHARA PIA WAPATE DIVIDENT MBONA ZAIN ,MPESA WOTE WANATOA DIVIDENT WHY NOT TRA , ONLY KWA WAFANYA BIASHARA NA WAO WAJISIKIEE TRA INA WAJALI
TRA FUNGUWENI MADUKA BANDIA ILI MMBAINI CHANGAMOTO ZINAZO WAKABILI WAFANYA BIASHARA , TRA NI KITENGO KINACHO KUSANYA TU SIO KUMSAIDIAA MFANYA BIASHARA BADILISHENI POLICY ILI TRA IWE CHACHU YA KSAIDIA MFANYA BIASHARA APANUKE KIBIASHARA NA SIO KUKUSANYA TU
machinga na boda boda waingizwe kwenye mifumo
Ahsante sana Mheshimiwa
TRA INATAKIWA KUANGALIA UPYA SHERIA ZA BRANCH MTU AKIWA NA BRANCH MBILI AU TATU ANATAKIWA KUPUNGUZIWA KODI NA VIZUIZI ,KWANINI ,MTU HUYU ,KAAJIRI . KWENYE USIMAMIZI WA BIASHARA NI CHANGAMOTO, BADO ANALIPA SHURU NYINGI SANA , ILI HUYU MTU AKUWE INATAKIWA TRA WAWE CHACHU ,MATAJIRI WENGI WANABAKI KARIAKOO TU HAWA SAMBAI MIKOANI KWASABABU HIZO
TRA inatakiwa kubadili mfumo duka liwe registerd according to bussness activities kama viwanda , kunakua na fixed tax kwa sababu gani, mfanya biashara wa wilaya anaagiza mzigo kutoka mkoani ,mfamnya biashara wa mkoani anaagiza mzigo kutoka kariakoo ,kwa kiatu kimoja kina tozwa kodi ya domestic kwa kila mfanya biashara hii haija kaa sawa kabisa ni sheria za kikoloni kidogo wazi up date au washushe asilimia za makadilio ili kila mfanya biashara alipe kodi kwa wingi, na waweze kujitanua , wafanya biashara wengi wanashindwa kuwa na biashara nyingi kwasababu hiii

ivi kati ya machinga na muunda mauzui nani anafanya biashara tra mko wapi machinga walipieee hata kama ni 20 kwa mwaka
je mabadiliko hayo Tra ime wapa wafanya biashara vipeperushi maana kila mteja wa tra anatakiwa kuthaminiwa kabisa
mtu anaingiza bidhaa milioni moja ya pipi unaipigia vipi kodi kila pipi
tra inatakiwa ifanye utafiti Tanzania nzima wakafanya wastani wafanya biashara wakalipa fixed kodi kila duka limesajiriwa kwa biashara husika itasaidia
pia dhana ya nchi kujitegemea ni ndoto kama nchi ina deni alilo kopa nyerere halija lipwa itajitegemea vip chamsingi nikumpunguzia ,mfanya biashara kodi , mfanyabiashara mmoja wa bus ana miliki mabus 10-50 kwanini huyu asiwe na discount kwenye kodi na ukumbuke serikali haitoi hata elfu mbili ,ila kudhamini michezo isio wahusu wafanya biashara ina weza
Tra inatakiwa iwe na maduka ya demo kila mkoa ili mwananchi kama huelewi unaenda kujifunza pale
ivi tra ina duka hata la demo ili wajue changamoto za wafanya biashara
Ikiwa nimeelewa vizuri Misamaha Iko katika Power Tiller, Wazalishaji wa Mafuta ya Kula wa ndani ya Nchi, Vifaa vya Ujenzi (Sijaelewa endapo ni Viwanda vya Ndani ama Vifaa vinavyoagizwa toka Nje ya Nchi), Vifaa vya Miradi ya Nyuki, Vifaa vya Michezo, nk.
Rekebisheni Sheria muweze kukusanya Kodi kwa wapangishaji wa frem,nyumba na vyumba,sio kwa mpangaji, maana mengine yanashangaza, Unakuta nyumba una flem 40 na zote zinawapangaji mnaenda kumdai mpangaji awape Kodi kwenye pesa aliyomlipa mwenye nyumba! Inashindikana vipi kumfuata mwenye nyumba akawapa.,.hapa Kuna mapato mengi yanapotea na nyie mkiwa mnaona!. Na Kuna kitu kinaitwa"KILEMBA"hapa Kuna pesa nyingi mnoo kama ni halali na zenyewe zitozeni Kodi muongeze mapato ya nchi
Ahsanteh sana Kamishna
Muheshimiwa Mwenda sisi tunaonewa kodi tulilipa miaka minne iliopita tukapewa control kwenda lipa lakn leo unaambiwa kuna kodi yamiaka minne iliopita inadaiwa natulishalipa kodi miaka yote hiyo hii inakuwaje tumeletewa bil yakulipa yamizka hiyo ilipita?
Sisi ambao tulishalipa kodi miaka minne ilipoita leo tunaletewa bil nyngne tunaambiwa kuna deni nakodi tulidhalipa baada yakupewa control no inakuwaje?
ili kuijua changamoto kamishina agiza mzigo wowote kwa jina la mfanya biashara asie julikana utabaini changamoto zote agiza kuanzia kontena moja mpaka kumi za majaribio utaona wapi tra mnafeli na uhakika utajifunza kitu