- 59
- 63 762
Abuu Humeid
Tanzania
Приєднався 4 кві 2022
MKE KUFANYA KAZI ZA NDANI NI WAJIBU AU IHSANI?
MKE KUFANYA KAZI ZA NDANI NI WAJIBU AU IHSANI?
Переглядів: 91
Відео
MALENGO YA KUTUMWA MTUME MUHAMMAD ﷺ - Abu 'Ubaydah Zubayr bin 'Uthmaan حفظه الله تعالى
Переглядів 29Місяць тому
MALENGO YA KUTUMWA MTUME MUHAMMAD ﷺ - Abu 'Ubaydah Zubayr bin 'Uthmaan حفظه الله تعالى
SABABU ZA WANANDOA KUTALIKIANA - Sheikh Abu Khawlah Mbwana bin 'Abdi Al-Bajuuniy حفظه الله تعالى
Переглядів 121Місяць тому
SABABU ZA WANANDOA KUTALIKIANA - Sheikh Abu Khawlah Mbwana bin 'Abdi Al-Bajuuniy حفظه الله تعالى
SABABU ZA KUKITHIRI WANAWAWAKE JAHANNAM - Sheikh Abu Ayman 'Uday bin Akida حفظه الله تعالى ورعاه
Переглядів 55Місяць тому
SABABU ZA KUKITHIRI WANAWAWAKE JAHANNAM - Sheikh Abu Ayman 'Uday bin Akida حفظه الله تعالى ورعاه
KUISOMA SHIRKI ILI KUJIEPUSHA NAYO - Sheikh Abdallah Humeid (حفظه الله تعالى)
Переглядів 79Місяць тому
KUISOMA SHIRKI ILI KUJIEPUSHA NAYO - Sheikh Abdallah Humeid (حفظه الله تعالى)
NI NANI ANAEFAA KUOA AU KUOLEWA NAE? - Sheikh Abdallah Humeid (حفظه الله تعالى)
Переглядів 179Місяць тому
NI NANI ANAEFAA KUOA AU KUOLEWA NAE? - Sheikh Abdallah Humeid (حفظه الله تعالى)
KUOA KWA AJILI YA MALI NI SAWA NA KUOLEWA - SHEIKH ABDALLAH HUMEID (حفظه الله تعالى)
Переглядів 855Місяць тому
KUOA KWA AJILI YA MALI NI SAWA NA KUOLEWA - SHEIKH ABDALLAH HUMEID (حفظه الله تعالى)
WASIA KUHUSU JAMBO LA KUTAFUTA ELIMU YA KISHERIA SEHEMU 03 - SHEIKH KASSIM MAFUTA
Переглядів 1136 місяців тому
WASIA KUHUSU JAMBO LA KUTAFUTA ELIMU YA KISHERIA SEHEMU 03 - SHEIKH KASSIM MAFUTA
WASIA KUHUSU JAMBO LA KUTAFUTA ELIMU YA KISHERIA SEHEMU 02 - SHEIKH KASSIM MAFUTA
Переглядів 1156 місяців тому
WASIA KUHUSU JAMBO LA KUTAFUTA ELIMU YA KISHERIA SEHEMU 02 - SHEIKH KASSIM MAFUTA
WASIA KUHUSU JAMBO LA KUTAFUTA ELIMU YA KISHERIA SEHEMU 01 - SHEIKH KASSIM MAFUTA
Переглядів 1656 місяців тому
WASIA KUHUSU JAMBO LA KUTAFUTA ELIMU YA KISHERIA SEHEMU 01 - SHEIKH KASSIM MAFUTA
UKWELI KUHUSU BIDAA ZILIZOKUWA NZURI 02 - SHEIKH ABDALLAH HUMEID
Переглядів 2716 місяців тому
UKWELI KUHUSU BIDAA ZILIZOKUWA NZURI 02 - SHEIKH ABDALLAH HUMEID
UKWELI KUHUSU BIDAA ZILIZOKUWA NZURI 01 - SHEIKH ABDALLAH HUMEID
Переглядів 5426 місяців тому
UKWELI KUHUSU BIDAA ZILIZOKUWA NZURI 01 - SHEIKH ABDALLAH HUMEID
UKUMBUSHO KWA WANAUME JUU YA KUSIMAMIA MAJUKUMU YAO - USTADH ABUU SHAAKIR SHARIFU ALLY
Переглядів 746 місяців тому
UKUMBUSHO KWA WANAUME JUU YA KUSIMAMIA MAJUKUMU YAO - USTADH ABUU SHAAKIR SHARIFU ALLY
UTUKUFU WA MWEZI WA MUHARRAM - USTADH ABUU HALIMA ARAFAAT IBN MAHMOUD
Переглядів 306 місяців тому
UTUKUFU WA MWEZI WA MUHARRAM - USTADH ABUU HALIMA ARAFAAT IBN MAHMOUD
MALENGO MAKUBWA YA NDOA - SHEIKH ABUL-FADHIL KASSIM MAFUTA
Переглядів 896 місяців тому
MALENGO MAKUBWA YA NDOA - SHEIKH ABUL-FADHIL KASSIM MAFUTA
YANAYOMPASA MUISLAM KUYAFANYA ANAPOKUWA NA HASIRA - SHEIKH ABDALLAH HUMEID حفظه الله تعالى
Переглядів 1,8 тис.6 місяців тому
YANAYOMPASA MUISLAM KUYAFANYA ANAPOKUWA NA HASIRA - SHEIKH ABDALLAH HUMEID حفظه الله تعالى
ANDAA KIZAZI CHAKO - SHEIKH KASSIM MAFUTA حفظه الله تعالى
Переглядів 2686 місяців тому
ANDAA KIZAZI CHAKO - SHEIKH KASSIM MAFUTA حفظه الله تعالى
MAFUNZO YA TAWHEED KATIKA KISA CHA NABII IBRAHIIM AS - Sheikh Kassim Mafuta حفظه الله تعالى
Переглядів 7597 місяців тому
MAFUNZO YA TAWHEED KATIKA KISA CHA NABII IBRAHIIM AS - Sheikh Kassim Mafuta حفظه الله تعالى
KUPEWA WAJA VITABU VYA MATENDO YAO SIKU YA KIAMA - Sheikh Abdallah Humeid حفظه الله تعالى
Переглядів 2577 місяців тому
KUPEWA WAJA VITABU VYA MATENDO YAO SIKU YA KIAMA - Sheikh Abdallah Humeid حفظه الله تعالى
KUAMINI KUPITA KATIKA SWIRATWI SIKU YA KIAMA - Sheikh Abdallah Humeid حفظه الله تعالى
Переглядів 2717 місяців тому
KUAMINI KUPITA KATIKA SWIRATWI SIKU YA KIAMA - Sheikh Abdallah Humeid حفظه الله تعالى
KUAMINI KUPIMWA MATENDO YA WAJA SIKU YA KIAMA - Sheikh Abdallah Humeid حفظه الله تعالى
Переглядів 1227 місяців тому
KUAMINI KUPIMWA MATENDO YA WAJA SIKU YA KIAMA - Sheikh Abdallah Humeid حفظه الله تعالى
IMANI HUZIDI NA KUPUNGUA - Sheikh Abdallah Humeid حفظه الله تعالى
Переглядів 8897 місяців тому
IMANI HUZIDI NA KUPUNGUA - Sheikh Abdallah Humeid حفظه الله تعالى
KUTHIBITI MALAIKA WENYE KUANDIKA MATENDO YA WAJA - Sheikh Abdallah Humeid حفظه الله تعالى
Переглядів 2507 місяців тому
KUTHIBITI MALAIKA WENYE KUANDIKA MATENDO YA WAJA - Sheikh Abdallah Humeid حفظه الله تعالى
KUTOWAKUFURISHA WATU WENYE MADHAMBI MAKUBWA - Sheikh Abdallah Humeid حفظه الله تعالى
Переглядів 1947 місяців тому
KUTOWAKUFURISHA WATU WENYE MADHAMBI MAKUBWA - Sheikh Abdallah Humeid حفظه الله تعالى
MASHAHIDI NI WALE WALIOKUFA KATIKA NJIA YA ALLAH - Sheikh Abdallah Humeid حفظه الله تعالى
Переглядів 1257 місяців тому
MASHAHIDI NI WALE WALIOKUFA KATIKA NJIA YA ALLAH - Sheikh Abdallah Humeid حفظه الله تعالى
KUAMINI ADHABU ZA KABURINI - Sheikh Abdallah Humeid حفظه الله تعالى
Переглядів 2597 місяців тому
KUAMINI ADHABU ZA KABURINI - Sheikh Abdallah Humeid حفظه الله تعالى
UWAJIBU WA KUWATAJA MASWAHABA WA MTUME KWA WEMA - Sheikh Abdallah Humeid (حفظه الله تعالى)
Переглядів 497 місяців тому
UWAJIBU WA KUWATAJA MASWAHABA WA MTUME KWA WEMA - Sheikh Abdallah Humeid (حفظه الله تعالى)
KUWAFATA WEMA WALIOPITA, KUWAIGA NA KUWAOMBEA MAGHFIRA - Sheikh Abdallah Humeid (حفظه الله تعالى)
Переглядів 2247 місяців тому
KUWAFATA WEMA WALIOPITA, KUWAIGA NA KUWAOMBEA MAGHFIRA - Sheikh Abdallah Humeid (حفظه الله تعالى)
KUWATII VIONGOZI WA KIISLAMU NA WANACHUONI - Sheikh Abdallah Humeid (حفظه الله تعالى)
Переглядів 1857 місяців тому
KUWATII VIONGOZI WA KIISLAMU NA WANACHUONI - Sheikh Abdallah Humeid (حفظه الله تعالى)
KUACHA MIZOZO NA MIJADALA KATIKA DINI NA MAMBO YALIYOZUSHWA - Sheikh Abdallah Humeid (حفظه الله)
Переглядів 2827 місяців тому
KUACHA MIZOZO NA MIJADALA KATIKA DINI NA MAMBO YALIYOZUSHWA - Sheikh Abdallah Humeid (حفظه الله)
Kuna wakati hampimi maneno yenu kwahiyo mtume kusema sifa ya mali mmemtafsiri hivo? Tumieni akili mnapofundisha watu msitafute sifa tu za usalafu ulokole
We ninamashaka na afya ya akili yako itakuwa na shida sasa usichokielewa hapo ni kitu gani? Allah akuongoze utoke kwenye usufi ukiijua sunna hutoweza kutukana mitandaoni
صح كلامك
جزاك اللّٰه خيرا🎉🎉🎉❤❤❤❤
Mashaallah ❤❤❤❤
❤❤❤❤❤
Mashallah
Allah atuhifadh sisi wanawake
Aamin
Mashalah
Mpaka wajifiche mubtad,ii 3:17 wakimuona salafiy
Hakika yaani nyimbo zimeenea eti nasheed ukiwambiia hawaelewi
Changanoto sana Allah atuhifadhi
Allah amuhifadhi alhafidh wetu
❤❤❤❤❤❤❤
Allah akuhifadhi akuweke tuzidi kufaidika kwako
Allah akuhifazii
Aamin
Si muowe In sheikh Abuu Khatwaab sound Allaah amuhifadhi.....
Aamin
barakallahfikum yaa sheikh qassim
barakallahfikum
Mashallah allah akuhifadhi shehe
Mashaallah hakh nimenufaika sana..allah akubariki Ila hapo kwenye mtu akitokea ang'ara kweli kweli...
Swadakta wa baarakallahu fiykum
Ww umekosa kazi ya kufanya
Ww hutambui dini yako laa utulie usome. Sheikh humeid ajipatia kheri kutoka kwa Allah, kwamba amekosa kazi ya kufanya huo ni mtazamo wako wa hovyo
this goes directly to the prezzo and the youth
Sheikh Abdallah mashaallah.Zidi kutuelimisha.Kweli ELIMU NURU,UJINGA GIZA
Sheikh wangu ALLAH akuhifadhi Sheikh, nimewaidhika sana Inshaallahu
Subhana Allah, mtihani mkubwa
Allah Akuhifadhi yaa sheikh Abdallah Humeid
لا اله الا الله محمد رسول الله
Kwani ao ahlul bidaa Na masufi Na makundi mengine walioukubali uislamu hawajatoa Shahada mbili, hawaswali,hawafungi,hawatoi Zaka, hawahiji,
Shukran Sheikh Allah atupe mwisho mwema
Shukran Sheikh Allah akupe kheri ya Dunia na Akhera
🫠
Shukran Sheikh Allah akupe kheri za Dunia na Akhera
Amin, Jazakallahul Khayr
Assalamualaikum.. sheikh naomba hizi clip....nijulishe wasio jua
Ingia Telegram search Sheikh Abdallah Humeid
Sheikh naomba hizi clip ...niwajulishe wengine kwa ajjli ya ALLAH
Can anyone send the photo of shiak
Photo haraam fiddiin
Which language is it
Swahili
شيخنا ابل خطاب عبدالله حميد سعيد الحذرم حفظه الله تعالى
Allah akuhifadhi akhy
Hii ni haqq! Mimi nimeona tamthilia ya An najash رحمه الله تعالى akiigizwa et amebebelea msalaba mkubwaa azunguka nao katika kasr yake kile kipindi cha Hijra ya Waislamu afu annajash mwenyewe amekondeana saana
Wallah tunamtihani mbele ya Allah jamani wanawake tubadilike
MashaAllah Really educative praying to Allah to bless you more with knowledge
Baarakallah fiikaa wazaadakallah ilmaa wafahma fii diini
Ndugu mbona wewe mwenyewe usoma miez 6 tu sasa unaanzaje kuwalingania watu swala elim ikiwa wewe mwenyewe haukufika hata theruthi
برك الله فيك
Wazee wakujitukuza mpo!!! Masalafu
Bila shaka ni sufi😂😂 Maana mada hiyo nayo ni ya kupinga
Wamejitukuza wapi apo
Acha kusema hivyo Allah anakuona masalaf wanaitakasa dini kutokana na uzushi aliotutahadharisha Mtume swallallahu a'laih wasallam
@Maryam-u8i6h wahuni tu hao huwajui
Natamani kk yangu waipate hii maana hawataki nioe wataka nisome tuuuu hadi niwehuke
hhhhhh hhhhh eti hawataki
Si maswahaba tu Shekh mpk manabii utaona mtu yuko busy anatizama tamthilia kisa cha nabii Yusuf subhana baadae akili inajenga yule ndiye nabii tumekua km makafiri na tamthilia ya nabii Issa ilivo waathiri
Good abuu khatwaab
BaarakaAllahu fyiik
Aamiin
Ndio waweza pata durus zake kupitia telegram Chanel ya itwa ahlul athar ao Chanel ya itwa markaz imam Shafii