Japo Mimi ni mnyakyusa malafiki zangu ni wasukuma nawapenda sana wasukuma tukiwa tumeka pale dila 😮 4:23
Siwezi kuamini kama 2025 mwezi wa kwanza nipo pekeeyangu hapa like za kutosha kwa Ntemi❤
Tupo wengi usiwaze
SHILEMBE. KWAYA
Nakubal
Yani. Nazipenda hizinyimbo mm❤
Tunakupata hadi DSM
Hongeraaa zako sana mungu akubariki sana uishi maisha malefu amina
Napenda Sana jamani nyimbo zako zinanibaliki sana
Unajua kaka
Xafi xana
Mwana omabara nakuku bari sana enderea kuwanyoosha
Ntemi omabala
Unaimba vizulo 7:02
tuwekee na wimbo wa harusi ya moshi na lena,
Kazi nzur sanaaa
Huyu jamani balaa
Pow ndoivo me nakulangoma za nyumban
❤
Asante msukuma unaimba vizur sana uko wapi hivi kweli wewe ni mwalim obheja nyanda gongolaga
Kunipitisha na wimbo shilingi ngapi
Kaka napenda sana nyimbo zako toka lindi liwale apa
Ninakubar mwanakamws
Djamo façon je t'adore merci lavoi d'Afrique Legrand
Nakuona mwamba wa Kanda ya ziwa nakuelewaga sana hasa Huku meatu na ulishafika karibu tena
Nyimbo zako huwa unazipangilia kwa ufundi sana yaan huimbii kiholela
😂❤❤❤
San kaka
Pole kaka
Huu mwimbo naupenda sana
Nakukubali sana
Diamond comasava
Vizurii,najivunia kuwa msukumaa❤❤❤❤
❤ dada
Yaani wewe Kaka unajua kuimba Sana
Iko vizuri san
Nini maana ya ngwana nthonthontho?
Maana take kijana mdogo mdogo.
Mimi kisukuma sikijui lakini nakuhakikishia,nyimbo hizi zinanikosha Sana, Jaribu kututolea hata Moja ya kiswahili itafanya poa Sana NTEMI OMABALA
Hongera sana sikuwah kusikiliza nyimbo zako, sauti safi, mashairi safi, wabheja sana.
Uko vizuli
Upovizuli Sana vava
Apo sawa kaka
Ubarikiwe sana nyimbo zako nzur sana zinanikosha nikiwa huku qatar
Umetsha
Mie sio msukuma ila nyimbo za asili nazipenda sana japo sizielewi ila zinanikosha kwakweli love much from Singida 💯 ❤❤❤❤
🎉
Mungu akutangulie kwenye kaz yako
Mungu akupe nn bor
Hongera kaka
Pamana we utafika mbli nakuombea upendwe na Kila mtu
Hongera sana kaka kazi ni nzur sana
Kaka wewe ndo msanii wangu bora nakukubali Sana ck moja utakuja kupiga kazi kwangu tuombe uzima tu