EV DANIEL IKOJA
EV DANIEL IKOJA
  • 74
  • 32 994

Відео

KUANGU SIO MWISHO WA SAFARIBY EV DANIEL IKOJA
Переглядів 14528 днів тому
Karibu katika ukurasa huu Ubarikiwe na wimbo huu kutoka kwa mtumishi wa Mungu Ev Daniel ikoja Uitwao kuanguka utajifunza Utatiwa moyo na kupokea Hatua mpya ya Neema kutoka kwa Mungu Kupitia ujumbe ulioko ndani ya wimbo huu
MADHARA YA KUTOKUSAMEHE BY EV DANIEL IKOJA
Переглядів 366Місяць тому
Karibu sana mpendwa wetu tazama na usikilize Somo hili utajifunza mengi Kupitia Roho mtakatifu akimtumia mtumishi wake Ev Daniel ikoja katika masomo mbali mbali ambayo Roho mtakatifu ameyaweka moyoni mwake Karibu sana mpendwa wetu
Mkutano wa Injili Kabuku Tanga by Ev Daniel ikoja
Переглядів 393Місяць тому
Karibu sana mpendwa wetu katika Huduma hii ya Neno la Mungu Kupitia Roho mtakatifu akimtumia mtumishi wake Ev Daniel ikoja
MAMBO YANAYOWEZA KUZUIA MAONO BY EV DANIEL IKOJA
Переглядів 4472 місяці тому
Karibu sana mpendwa wetu hapa utajifunza Nano la Mungu kupitia Roho mtakatifu akimtumia mtumishi wake Ev Daniel ikoja kutokea Arusha Tanzania 🇹🇿
IBADA KKKT MAJI YA CHAI-NKWAZAKAYO BY EV DANIEL IKOJA
Переглядів 1852 місяці тому
karibuni wapendwa wangu tubarikiwe sote kwa Neno la Mungu na ukishabarikiwa tunakuomba Share kwa wengine wengi maombi/ushauri/ushuhuda na sadaka tumia namba hii 255762249002
KONGAMANO LA SIKU 3 UKOMBOZI KKKT MOWO LYAKOMBILA MOSHI KILIMANJARO
Переглядів 2132 місяці тому
Karibu sana mpendwa wangu ungana nasi katika Huduma hii ya Neno la Mungu linalofundishwa na mtumishi wa Mungu Ev Daniel ikoja
NGUVU YA MACHOZI YA MTU BY EV DANIEL IKOJA "
Переглядів 6883 місяці тому
Ev Daniel ikoja nimwalimu wa Neno la Mungu kwa mataifa yote hivyo nakukaribisha Tujifunze pamoja Nakupokea maarifa kutoka kwa Mungu naamini utabarikiwa utainuliwa na utatiwa moyo tena utapokea Hatua mpya ya Neema kwa maombi ushauri au kusaport injili kwa Sadaka yako ikiwa ni fedha au vifaa vya Injili wasiliana nami kwa 255762249002 Karibu sana mpendwa wangu
Nguvu ya Uaminifu By Ev Daniel ikoja Ibada iliyofanyika KKKT unga Ltd Arusha"
Переглядів 3443 місяці тому
UAMINIFU NI NENO DOGO SANA KULITAMKA LAKINI TUKILIINGIZA KWENYE VITENDO LINA BARAKA NYINGI NA KUBWA SANA KWA MAISHA YETU' FAMILIA NA TAIFA PIA" UAMINIFU NI SIFA MOJAWAPO YA MUNGU UAMINIFU NI JINA MOJAWAPO LA MUNGU KILA DHAMANA UNAYOPATA JITAHIDI SANA KUFANYA KWA UAMINIFU HUTAPUNGUKIWA MITHALI 28:20 TUJITAHIDI KUA WAAMINIFU KWA MUNGU NA KWA WANADAMU WENZETU"
KUIJUA SAUTI YA MUNGU BY EV DANIEL IKOJA
Переглядів 5484 місяці тому
KKKT MONDULI ARUSHA" SOMO KUHUSU KUIJUA SAUTI YA MUNGU TUNAYEMUABUDU KUNA FAIDA KUBWA NA NYINGI SANA ZITOKANAZO NA KUIJUA SAUTI YA MUNGU ZIPO PIA HASARA NYINGI ZITOKANAZO NA KUTOIJUA SAUTI YA MUNGU UNAYEMUABUDU
UMUHIMU WA KUA NA MAONO BY EV DANIEL IKOJA"
Переглядів 1464 місяці тому
Mkutano wa injili machame Uswaa" KATIKA MAISHA YA KILA MTU NIMUHIMU AWE NA MAONO/MALENGO " MALENGO AMA MAONO NDIO YANATUSAIDIA KUJUA 》TULIKOTOKA TULIPO NA TUENDAKO" 》KUJIZUIA KUFANYA YASIOSTAHILI" 》YANATUPA BIDII/JUHUDI
CHANZO CHA UHARIBIFU DAY2 BY EV DANIEL IKOJA
Переглядів 1584 місяці тому
UKIJUA CHANZO CHA TATIZO NA KUSHUHULIKA NACHO UTAKUA UMEKOMESHA MSTOKEO YAKE KARIBU KATIKA MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU KUPITIA MTUMISHI WA MUNGU EV DANIEL IKOJA" UTABARIKIWA'UTAINULIWA UTATIWA MOYO NAKUPOKEA HATUA MPYA YA NEEMA
CHANZO CHA UHARIBIFU BY EV DANIEL IKOJA"
Переглядів 3664 місяці тому
MKUTANO WA INJILI KKKT MONDULI" KILA JAMBO LINA CHANZO HIVYO UKITAKA KUONDOA JAMBO ONDOA CHANZO CHAKE UKITAKA KUSHUHUKIKIA/KUKOMESHA TABIA/ROHO YOYOTE KWENYE FAMILIA AU ENEO TAFUTA CHANZO CHA UHARIBIFU HUO NDIO UTAIKOMESHA
CHANZO CHA UHARIBIFU BY EV DANIEL IKOJA
Переглядів 2064 місяці тому
KARIBU SANA KWENYE UKURASA HUU UJIFUNZE NENO LA MUNGU NA MTUMISHI WA MUNGU DANIEL IKOJA
FAIDA ZA KUMJUA MUNGU BY' EV DANIEL IKOJA-KKKT SANYA JUU"
Переглядів 1874 місяці тому
FAIDA ZA KUMJUA MUNGU BY' EV DANIEL IKOJA-KKKT SANYA JUU"
umuhimu wa kua na maono/malengo by Ev Daniel Ikoja
Переглядів 1554 місяці тому
umuhimu wa kua na maono/malengo by Ev Daniel Ikoja
FAIDA ZA ROHO MTAKATIFU" By Ev Daniel Ikoja
Переглядів 3584 місяці тому
FAIDA ZA ROHO MTAKATIFU" By Ev Daniel Ikoja
KKKT KIJENGE ARUSHA/IBADA YA MORNING GLORY
Переглядів 1215 місяців тому
KKKT KIJENGE ARUSHA/IBADA YA MORNING GLORY
MORNING GLORY KUTOKA KKKT KIJENGE ARUSHA🇹🇿 by Ev Daniel Ikoja
Переглядів 1585 місяців тому
MORNING GLORY KUTOKA KKKT KIJENGE ARUSHA🇹🇿 by Ev Daniel Ikoja
MORNING GLORY KKKT KIJENGE ARUSHA
Переглядів 1215 місяців тому
MORNING GLORY KKKT KIJENGE ARUSHA
MORNING GLORY KUTOKEA USHARIKA WA KIJENGE ARUSHA BY EV DANIEL IKOJA
Переглядів 1155 місяців тому
MORNING GLORY KUTOKEA USHARIKA WA KIJENGE ARUSHA BY EV DANIEL IKOJA
NGUVU YA UAMINIFU by Ev Daniel Ikoja
Переглядів 3286 місяців тому
NGUVU YA UAMINIFU by Ev Daniel Ikoja
MAOMBI YA KIMKAKATI BY EV DANIEL IKOJA
Переглядів 3236 місяців тому
MAOMBI YA KIMKAKATI BY EV DANIEL IKOJA
NGUVU YA MSAMAHA BY EV DANIEL IKOJA
Переглядів 2696 місяців тому
NGUVU YA MSAMAHA BY EV DANIEL IKOJA
EV DANIEL IKOJA"NGUVU YA NADHIRI"
Переглядів 6057 місяців тому
EV DANIEL IKOJA"NGUVU YA NADHIRI"
NGUVU YA USHUHUDA BY EV DANIEL IKOJA
Переглядів 4597 місяців тому
NGUVU YA USHUHUDA BY EV DANIEL IKOJA
Ev Daniel ikoja anakualika ingia hapa Ubarikiwe na Neno la Mungu pamoja na maombi
Переглядів 2658 місяців тому
Ev Daniel ikoja anakualika ingia hapa Ubarikiwe na Neno la Mungu pamoja na maombi
IBADA YA LUNCH HOUR~KKKT ARUSHA MJINI-KANISA KUU"
Переглядів 1538 місяців тому
IBADA YA LUNCH HOUR~KKKT ARUSHA MJINI-KANISA KUU"
IBADA/MAOMBI YA FAMILIA KKKT HIMO MJINI KILIMANJARO
Переглядів 5238 місяців тому
IBADA/MAOMBI YA FAMILIA KKKT HIMO MJINI KILIMANJARO
Ibada ya Lunch Hour kutoka KKKT Arusha mjini-Kanisa kuu
Переглядів 1478 місяців тому
Ibada ya Lunch Hour kutoka KKKT Arusha mjini-Kanisa kuu

КОМЕНТАРІ

  • @MaimesoiKalanga
    @MaimesoiKalanga 2 дні тому

    Mungu akubariki na aendelee kukutumia katka kuwachuga kondoo wake

  • @veronicamagallah3111
    @veronicamagallah3111 5 днів тому

    Hakika bila Imani ni bure. Mtumishi Naomba namba Yako.

  • @AbiaThobiko
    @AbiaThobiko 6 днів тому

    Asante baba kwa ujumbe mzurii

  • @lilianpaul365
    @lilianpaul365 9 днів тому

    Tumebakiwa sn na somo zuriiiiii❤❤❤❤

    • @Ev.Daniel_Ikoja
      @Ev.Daniel_Ikoja 8 днів тому

      @@lilianpaul365 Ameeen utukufu kwa Yesu Endelea kuwabariki wengine kwa ku share

  • @lilianpaul365
    @lilianpaul365 9 днів тому

    Ameeeeeeeeeen Man of God...

  • @gracetillye1856
    @gracetillye1856 25 днів тому

    Good song my dear❤❤❤

  • @MonicaMfinanga
    @MonicaMfinanga 28 днів тому

    siku kitanda kikipambwa mashuka au vi khanga kwa maandishi yakasomeka WELCOME DADY ndo utajua hujui😅😂😂😂😂😢

  • @sirellyonlinetv8477
    @sirellyonlinetv8477 Місяць тому

    Hakika Mungu ni mwema... Ibada imejaa upako... Saaafi. Glory to God

  • @ENEA-l7z
    @ENEA-l7z Місяць тому

    Amina

  • @ENEA-l7z
    @ENEA-l7z Місяць тому

    Amina

  • @ENEA-l7z
    @ENEA-l7z Місяць тому

    Barikiwa kazi nzuri sana

  • @RedemthaMoses-j4l
    @RedemthaMoses-j4l Місяць тому

    Mkono wa Mungu usikupungukie katika huduma yako mtumishi .

  • @rabsonmnzava3545
    @rabsonmnzava3545 Місяць тому

    Mungu akubariki sana Kwa ibada hii nzurii tunasubiria zingine

  • @HellenKifanyi
    @HellenKifanyi Місяць тому

    Emeen nimemuona bwana kwenye ujumbe huu🙏

    • @Ev.Daniel_Ikoja
      @Ev.Daniel_Ikoja Місяць тому

      @@HellenKifanyi Ameeen mpendwa wetu Endelea kubarikiwa

  • @JoyceMunisi-hm8qm
    @JoyceMunisi-hm8qm Місяць тому

    Barikiwa mtumishi wa Mungu

  • @DAVIDMGONJA-i8h
    @DAVIDMGONJA-i8h Місяць тому

    Hii imeenda

  • @DavidDavid-q9i
    @DavidDavid-q9i Місяць тому

    Mungu azidi kuwalinda familiya yako mtumish

  • @gladsonchaki-gm8xw
    @gladsonchaki-gm8xw Місяць тому

    Hakika ubarikiwe mtumishi

  • @kivatiromichael1863
    @kivatiromichael1863 Місяць тому

    Be blessed Mtumish wa Bwana

  • @kivatiromichael1863
    @kivatiromichael1863 Місяць тому

    Hakika Somo Hili limenivusha na limenibariki sana

  • @bonaventuremathias3251
    @bonaventuremathias3251 Місяць тому

    Barikiwa sana mtumishi, Mungu azidi kukuinua zaidi🙏

  • @Furaha-kt8qf
    @Furaha-kt8qf Місяць тому

    Ameeeen mtumish

  • @gladylyamuya1350
    @gladylyamuya1350 Місяць тому

    Ameeeeeeeeeen Mtumishi, Mungu akuinue zaidi

  • @avelinajuma3654
    @avelinajuma3654 Місяць тому

    Mambo ni mazuri kwakweli ..... Uwepo wako Kabuku wengi tumebarikiwa na Mungu akubariki San ili tuweze kupokea mengi Zaid kutoka kwako kuhani wa Mungu 👏

    • @Ev.Daniel_Ikoja
      @Ev.Daniel_Ikoja Місяць тому

      @@avelinajuma3654 Ameeen mpendwa Mungu aendelee kutenda

  • @GabySomi
    @GabySomi Місяць тому

    Nakusimiliza nko Rau kkkt Moshi Kilimanjaro

    • @Ev.Daniel_Ikoja
      @Ev.Daniel_Ikoja Місяць тому

      @@GabySomi Ubarikiwe sana wasalimu hapo Rau

  • @GabySomi
    @GabySomi Місяць тому

    Ameen Barkiwa sana Mtumishi wa Munguu

  • @lilianpaul365
    @lilianpaul365 Місяць тому

    Mungu azidi kukutunza sana..

  • @lilianpaul365
    @lilianpaul365 Місяць тому

    Ameeeeen Man of God ❤❤❤

  • @GabySomi
    @GabySomi Місяць тому

    Ameen Barkiwa sana Mtumishi wa Munguu

  • @DAVIDMGONJA-i8h
    @DAVIDMGONJA-i8h 2 місяці тому

    Nimebarikiwa na neno hili

  • @JENIFAJOHN-vy1zy
    @JENIFAJOHN-vy1zy 2 місяці тому

    Amena mtumishi wamungu ubarikiwe sana kwakuja wiri

  • @JENIFAJOHN-vy1zy
    @JENIFAJOHN-vy1zy 2 місяці тому

    Ameni

  • @DavidDavid-q9i
    @DavidDavid-q9i 2 місяці тому

    Barikiwa Sana na mafundisho yako

  • @gladylyamuya1350
    @gladylyamuya1350 2 місяці тому

    Ameeeeeeeeeen

  • @winterallen748
    @winterallen748 2 місяці тому

    Napenda sana mafundisho yako mtumishi by kijana wa rau parish

  • @Furaha-kt8qf
    @Furaha-kt8qf 2 місяці тому

    Amina🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @EvanceShirima-cf9id
    @EvanceShirima-cf9id 2 місяці тому

    Asante kwa ujumbe

  • @-jenniekitiwi5155
    @-jenniekitiwi5155 2 місяці тому

    Urudi tena mtumishi😊

    • @Ev.Daniel_Ikoja
      @Ev.Daniel_Ikoja 2 місяці тому

      @@-jenniekitiwi5155 Endelea kutuombea mpendwa wangu

  • @YohanaIkoje
    @YohanaIkoje 2 місяці тому

    Amina mtumishi wangu mungu azidi kuku inulia baraka uweze wapa kondoo wake

  • @GabySomi
    @GabySomi 2 місяці тому

    Ameeen 🙏 Mungu azidi kukupandisha viwango kwa viwangoo Mtumishii wa Mungu Barkiwa Sana sana

  • @gladylyamuya1350
    @gladylyamuya1350 2 місяці тому

    Ameeeeeeeeeen, Barikiwa Mtumishi kwa neno hili la uzima la kututoa katika shimo la uharibifu. Nimesikia

  • @GraceMosha-r5c
    @GraceMosha-r5c 2 місяці тому

    Mungu akubariki sana uliniombea kuhusu masomo yangu nimefaulu vizuri sanaa nilikua nimekata tamaa naona kufeli tu lakini baada ya kuniombea nimefaulu Amen

    • @Ev.Daniel_Ikoja
      @Ev.Daniel_Ikoja 2 місяці тому

      @@GraceMosha-r5c Ameeen mpendwa Hongera sana Mungu aendelee kukutendea mema

  • @SifaKisanga
    @SifaKisanga 2 місяці тому

    Ubarikiwe sana mtumishi

  • @Furaha-kt8qf
    @Furaha-kt8qf 2 місяці тому

    Amen

  • @Furaha-kt8qf
    @Furaha-kt8qf 2 місяці тому

    Hongera Kwa huduma

  • @rozimrema
    @rozimrema 2 місяці тому

    Imekuwa ibada njema Sana ubarikiwe ubarikiwe mtumish

  • @churchillmassawe
    @churchillmassawe 3 місяці тому

    Ameeeeen mtumishi

  • @HoitaMotta
    @HoitaMotta 3 місяці тому

    Amen mtumishi wa Mungu

  • @HoitaMotta
    @HoitaMotta 3 місяці тому

    Amen mtumishi wa Mungu