UKWATA HWAZI SEC
UKWATA HWAZI SEC
  • 11
  • 24 260
Official Video -Yesu Ni kila kitu -Ukwata Hwazi secondary school
Ingia uitazame nyimbo mpya iitwayo Yesu ni kila kitu kutoka kikundi cha UKWATA tawi la Hwazi sekondari Kasulu mjini, usisahau ku share, kutoa comment zako na ku subscribe
Переглядів: 2 153

Відео

WIMBO MPYA_-PELEKA NENO (offical misic) mp4.
Переглядів 1,3 тис.2 роки тому
USHIRIKA WAKIKRISTO TANZANIA {UKWATA} HWAZI SECONDARY SCHOOL
Official Video -Baba Utuongoze-UKWATA HWAZI SEKONDARI-KASULU
Переглядів 3922 роки тому
WIMBO MPYA _VIJANA WA UKWATA mp4 HWAZI SECONDARY SCHOOL.
TAZAMA WIMBO MPYA KIZAZI KINACHOMJUA MUNGU HUTEMBEA WAKILINGA NAE.mp4 HWAZI SEKONDARI
Переглядів 4622 роки тому
UKWATA HWAZI SEC VIJANA CHIPUKIZI WAKILINDIMA TAZAMA UJIONEE KASULU-KIGOMA-TANZANIA
WIMBO MPYA UJUMBE KWA KIZAZI KIPYA UKWATA HWAZI SEC SCHOOL
Переглядів 15 тис.2 роки тому
WIMBO MPYAA UENDAO KWA JINA LA UJUMBE TWAUTOA UNAHUSU VIJANA WA SASA KIZAZI KIPYA UKIWAELEZA VIJANA WA SASA KUYAEPUKA MA................ USIACHE KUSUBSCRIBE KISHA KUONA ALAMA YA KENGELE ILI UWEWAKWANZA KUPATA VITU VIPYA YAJAYO YANAFURAHISHA JIWEKE TAYARI MUNGU AKUBARIKI.
Enyi wanadam mbona mwatangata?
Переглядів 4543 роки тому
mwanadam ulliye umbwa na Mungu acha kuhangaika yupo baba mmoja tu anakupenda naye ndiye Mungu wa kweli
Mshike sana elimu
Переглядів 2,2 тис.3 роки тому
Elimu ni ufunguo wa maisha Jack na kitu unaweza kufanya ndani ya maisha kama hauna elimu so kumbuka kuikamata elimu bila kuacha share like and comment
Nafurahia kuwa MWANAUKWATA
Переглядів 1,1 тис.3 роки тому
Chanzo cha kuendelea kumshika Mungu ni huduma ndani ya UKWATA Jaman Mimi nafurahia kuwa mwanaukwata usije ukaacha huduma tumia nguvu zako,akili yako na muda mwingi kwa ajili ya huduma ya #MUNGU #DenisJailos
MANABII WA UONGO WATATOKEA
Переглядів 3783 роки тому
Tazama wimbo wa UKWATA wa manabii wa uongo unavyoeleza wazi juu ya watumishi waongo watakavyo tokea Yesu mwenyewe alisema kuwa watatokea kuwadanganya wengi hivo basi yakupasa kuwamakini watajifanya ni wema kumbe umbwa mwitu wakubwa kuwa machoo!!ndugu
Tunatembea tukilinga na Yesu__UKWATA HWAZI SEC
Переглядів 7423 роки тому
Mungu hajawahi shindwa jambo lolote UKWATA HWAZI SEC-tunalinga na Yesu maana yeye yuko upande wetu ni nan aliye juu yetu?
Official Video -Upendo husitirii- UKWATA HWAZI SECONDARI-KASULU
Переглядів 2923 роки тому
wimbo wa ukwata kuhusu upendo ndani ya maisha ya binadamu aliyeumbwa na MUNGU

КОМЕНТАРІ

  • @LeahKolanya
    @LeahKolanya Місяць тому

    nawapenda sana wana ukwata hwazi

  • @Brightonychristopher
    @Brightonychristopher 2 місяці тому

    Amen

  • @Lukeshawthebrandy
    @Lukeshawthebrandy 3 місяці тому

    Mubalikiwe sana hwazi Mungu awatangulie

  • @Fran3pen
    @Fran3pen 7 місяців тому

    Nawapenda saana wadg zangu,,, barikiwa saana

  • @Fran3pen
    @Fran3pen 9 місяців тому

    Amina

  • @Fran3pen
    @Fran3pen 9 місяців тому

    acha kabsa,, ukwata ni raha,tutatumika daima,,wimbo huu naupenda saana,,,

  • @Fran3pen
    @Fran3pen 9 місяців тому

    nawapenda saana wadogo zangu Ukwata hwazi sec ❤❤❤❤

  • @Fran3pen
    @Fran3pen 9 місяців тому

    ❤❤❤

  • @KefaniaAyubu
    @KefaniaAyubu Рік тому

    Kaz njema

  • @KefaniaAyubu
    @KefaniaAyubu Рік тому

    Kaz nzur Mungu awajaalie

  • @KefaniaAyubu
    @KefaniaAyubu Рік тому

    Hongereni sana kwa kuieneza injili ya mungu mungu awabariki

  • @KefaniaAyubu
    @KefaniaAyubu Рік тому

    Hongereni sana kwa kuieneza injili ya mungu mungu awabariki

  • @KefaniaAyubu
    @KefaniaAyubu Рік тому

    Ukwata heeeeeeeeee

  • @PeaceHassan-i7i
    @PeaceHassan-i7i Рік тому

    🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @syprianlameck3565
    @syprianlameck3565 Рік тому

    Mungu awatie nguvu awatetea katka kazi hiyo ya uimbaji

  • @PeaceHassan-i7i
    @PeaceHassan-i7i Рік тому

    Mdawa kure Kodi ni jioni mchana haingai

  • @PeaceHassan-i7i
    @PeaceHassan-i7i Рік тому

    ❤❤❤❤

  • @enockmalack1185
    @enockmalack1185 Рік тому

    Nawapata nikiwa mwenyekt wa ukwata ,kihenya sc school

  • @MlokoziAudax-co7lp
    @MlokoziAudax-co7lp Рік тому

    Mbalikiwe sana

  • @isaiengongo7531
    @isaiengongo7531 Рік тому

    Tumsifu kwa nia moja n'a faraja tu karibu atatujibu

  • @leboyacomfort9685
    @leboyacomfort9685 Рік тому

    #HONGERENI COMING SOON "PIGA KELELE USIACHE UWAHUBIRI MATAIFA DHAMBI ZAO"

  • @neemamakala-rg1be
    @neemamakala-rg1be Рік тому

    Amina

  • @rashtanzania
    @rashtanzania Рік тому

    Mbalikiwe Sana vijana

  • @dathanbalayinga4303
    @dathanbalayinga4303 Рік тому

    kazi nzur

  • @adolphnicodemus6854
    @adolphnicodemus6854 Рік тому

    Mbarikiwe Sana vijana wa yesu kazi yenu ni njema sana

  • @sadickpetro5167
    @sadickpetro5167 Рік тому

    UKWATA HAI na mungu 🙏🙏🙏 aibaliki UKWATA kwakila hatua HWAZI INJILI INAENDELEA VIJANA WATUMISHI MUNGU 🙏 AWAINUE ASANTENI KWA UJUMBE WENU

  • @karugwe
    @karugwe Рік тому

    ua-cam.com/users/clipUgkxTzH0aEj2G_A5o2kWsXRCYMlNLNis-6BO

  • @karugwe
    @karugwe Рік тому

    Vijana mmetisha ndan ya Yesu big up Sana

  • @nsengiyumvalukeha
    @nsengiyumvalukeha Рік тому

    Mbarikiwe Sana Wana wa Mungu

  • @danielinyanthonio.7021
    @danielinyanthonio.7021 Рік тому

    Emen sana, kazi ya Mungu iendelee.

    • @karugwe
      @karugwe Рік тому

      ua-cam.com/users/clipUgkxTzH0aEj2G_A5o2kWsXRCYMlNLNis-6BO

  • @ezibonjosephat8849
    @ezibonjosephat8849 Рік тому

    Kazi nzuri

    • @karugwe
      @karugwe Рік тому

      Acha an kumbe na ww umeon wametisha sana

  • @jacksonedward9409
    @jacksonedward9409 2 роки тому

    Hongeren Sana Wana UKWATA wenzangu kazi nzuri Sana mungu awabariki xan

  • @dausonmayan6567
    @dausonmayan6567 2 роки тому

    Mm Mmejitahid wa2mixh zidin xan kuxonga mbele ktk kuifanya kaz ya MUNGU mxikubal kuruixhwa nyuma H ejitahidi

  • @dagraskaragane4730
    @dagraskaragane4730 2 роки тому

    ASANTENI kwa ujumbe mzuri Mungu awabariki

  • @dagraskaragane4730
    @dagraskaragane4730 2 роки тому

    Mubarikiwe

  • @heartmotbetetse7401
    @heartmotbetetse7401 2 роки тому

    Hongereni sana watumishi wa Mungu, tunawaombea mzidi kuongezeka kwa viwango vingine.

  • @karugwe
    @karugwe 2 роки тому

    Nice

  • @dorothymbuere5832
    @dorothymbuere5832 2 роки тому

    Ni kweri mkikamata elimu .Elimu ni kila kitu bila Elimu ni bure,Safi vijana na mzikiwenu unasisimua wengi. Kila mtu. Nyimbo zenu ni nzuri sana kila mtu anapenda kuwasikiliza na vyombo vyenu safi mbarikiwe.

  • @dorothymbuere5832
    @dorothymbuere5832 2 роки тому

    Kusema kweri nyimbo zenu ni nzuri za kumsifu Mungu Mbarikiwe saaana Ukwata Sec. sauti zenu nisafi na Mungu awazidishie zaidi mjulikane sana sana.

  • @barakabosco5844
    @barakabosco5844 2 роки тому

    God bless ukwata

  • @dagraskaragane4730
    @dagraskaragane4730 2 роки тому

    Kazi nzuri vijana Mungu awabariki

  • @johnshedrackjohnson7866
    @johnshedrackjohnson7866 2 роки тому

    Dad ulitisha hongereni sana ukwata hwazi

  • @ibrahrugaly7734
    @ibrahrugaly7734 2 роки тому

    Ho ngeren sana vhana by cameraman bakar

    • @ukwatahwazisec5426
      @ukwatahwazisec5426 2 роки тому

      ASANTE SANA MUNGU AKUBARIKI USIKOSE KUTUFUATILIA KUNA VITU VPYA VINAKUJA

  • @nuruyohana855
    @nuruyohana855 2 роки тому

    Kazi nzuri ❤️

    • @ukwatahwazisec5426
      @ukwatahwazisec5426 2 роки тому

      AMENI PIA TUNAOMBA UTUSAIDIE KU SUBSCRIBE CHANNEL YETU KISHA SHARE NA WENZAKO MUNGU AKUBARIKI.

  • @elizabethkinono3858
    @elizabethkinono3858 2 роки тому

    Safiiii sana vijana mmejitaidi sanaaaa bwana awabariki mfike mbali

    • @ukwatahwazisec5426
      @ukwatahwazisec5426 2 роки тому

      AMENI PIA TUNAOMBA UTUSAIDIE KU SUBSCRIBE CHANNEL YETU KISHA SHARE NA WENZAKO MUNGU AKUBARIKI.

  • @kilinaenoki3553
    @kilinaenoki3553 3 роки тому

    Baarveer two iliyotafasiriwa

    • @ukwatahwazisec5426
      @ukwatahwazisec5426 2 роки тому

      AMENI PIA TUNAOMBA UTUSAIDIE KU SUBSCRIBE CHANNEL YETU KISHA SHARE NA WENZAKO MUNGU AKUBARIKI.

  • @mokiwaunderson7052
    @mokiwaunderson7052 3 роки тому

    Mbarikiwe

  • @adasaluziro8150
    @adasaluziro8150 3 роки тому

    Hongereni sana ,kila hatua dua Mungu azidi kuwainua zaidi

    • @ukwatahwazisec5426
      @ukwatahwazisec5426 2 роки тому

      AMENI PIA TUNAOMBA UTUSAIDIE KU SUBSCRIBE CHANNEL YETU KISHA SHARE NA WENZAKO MUNGU AKUBARIKI.

  • @evaamos1686
    @evaamos1686 3 роки тому

    Mungu awatie nguvu sanaaa....mmeweza wadogo zang

    • @ukwatahwazisec5426
      @ukwatahwazisec5426 2 роки тому

      AMENI PIA TUNAOMBA UTUSAIDIE KU SUBSCRIBE CHANNEL YETU KISHA SHARE NA WENZAKO MUNGU AKUBARIKI.

  • @sarahjames9741
    @sarahjames9741 3 роки тому

    Hongeren Sana hiyo no hatua

    • @ukwatahwazisec5426
      @ukwatahwazisec5426 2 роки тому

      AMENI PIA TUNAOMBA UTUSAIDIE KU SUBSCRIBE CHANNEL YETU KISHA SHARE NA WENZAKO MUNGU AKUBARIKI.